No video

HATUKUANZA SISI KUMKHALIFU CHIEF QADHI BALI KAJIKHALIFU MWENYEWE

  Рет қаралды 9,571

Alwiy Muhanna

Alwiy Muhanna

Күн бұрын

SAYYID SWALEH AL AHDALY/ USIACHE KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE

Пікірлер: 201
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 2 ай бұрын
Makosa hako sio chief kadhi pekee umemukhalifu hata Quran umeikhalifu Akhui. Pili mme fanya dhulma kubwa kuwakosesha watu fadhla ya arafa sababu ya hawaa nafsi na kuwafungisha siku ya idd na hili mtume kaliharamisha. نسأل الله العافية والسلامة
@omarychinchi2843
@omarychinchi2843 2 ай бұрын
Mashaallaah tunashukuru Kwa kaz kubwaa mfanyayo walimu zetu allaah awalipe khery
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Mashallah, unapenda mtumi sana lakini maulidi umetowa wapi
@SaidiOmy
@SaidiOmy 2 ай бұрын
Mohagurey Jibu hoja hapo hapajatajwa MAULID wala washindano ya Qur-ani . Watu kufuata muandamo ya sehemu zao NDIVO ALIVOTUAMRISHA MTUME NYINYI KUFUATA SAUDIA MMEPATA WAPI ???
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
@@SaidiOmy Nipe hio hadithi kwanza kisha nitakujubi, wapi mtume s.a.w kasema fuateni muandamo wa kwenu
@SaidiOmy
@SaidiOmy 2 ай бұрын
@@mohagurey2214 Soma hadithi ya KUREIBU . Baada ya KUREIBU kurudi Sham aliulizwa na IBNU ABBASS kuhusu mwezi . KUREIBU akasema wao kule sham waliuona usiku wa Ijumaa. Na watu wa Sham wakafunga pmj na Muawiya. IBNU ABBASS Akamuuliza jee na wewe pia imeuona ?? KUREIBU : akasema ndio . lBNU Abbasi: Akasema lakin SISI tumeuona (mwezi) usiku wa jumaamosi. KUREIBU: Hivi hutosheki na mwezi ulioonekana shamu ??? IBNU ABBASS: laa , hapana Hivi NDIVO ALIVOTUAMRISHA MTUME . ........................ .................. ................. IBNUL ABBAS : AMEKATAA KUFUATA MWEZI WA SHAM. KWASABB MTUME NDIVO ALIVOTUAMRISHA. Maana yake tufuate mwezi wa kwetu na ndio maana hajamfuata mwezi ulioonekana na Muawiya. KWAIVO HATA SISI TUNAFUATA AMRI YA MTUME JEEE NYNY MAWAHABI MNAMFUATA NANI NA USHAHIDI WENU UKO WAPI ?????
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 ай бұрын
Alwiy Ww ni Khuraafi. Unahangaika sana na Ukhurafi. Mnachofata matamanio.
@SaidiOmy
@SaidiOmy 2 ай бұрын
Kwani MTUME amekwambia Ufuate Saudia ?? Naomba Aya moja tu au hadithi moja t ambayo Mtume ametwambia tufuate SAUDIA ..
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 ай бұрын
@@SaidiOmy Ww nawe pia unipe majib kwan pia unafata nchi yako uliyopo .je,Mtume amesema Ufuate kenya??Au Tanzania?au Uganda?Majib yako ww ndo yatakuwa jawab langu ktk swali ulilouliza. Je,kuna Aya ama.hadith inayotutaka tufuate Mwez wa Kenya ama Tanzania ???Mim nayasbr majb yako hapa
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 2 ай бұрын
Allah atuhifadhi na Mashekhe wapotovu Makhurafi nyoyo zenu zina maradhi wala hamumpendi mtumi,kama mwampenda kweli mtumi mungemfuata,wekeni ndevu,musiburute makanzu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Wapotofu nyinyi mawahabi wacha ujinga sisi twafuata msingi wa kiilimu sawa nyinyi mawahabi wapotoshaji ndio hamumpendi mtume na kumzushia tawhed tatu alafu ww wajua suna ya ndevu pekee yake soma utoke kwenye ujinga ww wahabi
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 2 ай бұрын
@@saba-gv3mj we ni jahil makhurafi nyinyi mambo yenu yote Yako against na mafundisho ya Mtume Ibada zenu zote Sio mafundisho yake Munaabudu makaburini,munasoma khitma,munapiga Ngoma mskitini,munatumia vinanda miskitini piano,zumari,ngoma haya niambie mwehu haya mambo mumeyatoa wapi?hamuna tafauti na Makafiri makanisani mwajifananisha na wao,huna hata haya waongea nn
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 2 ай бұрын
Sasa we we una ujinga wa kianswari wa zamani kasome dini vizuri Acha ushabiki
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Acha ujinga Kueka ndevu utaenda peponi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
@mohammadswaleh6900 ww wacha ukondoo sisi hatuabudu makaburi tunazuru makaburi hata mtume s a w alikua akienda makaburini kuzuru sisi twamuomba mungu alafu msikitini mahabasha walicheza wakipija twari na mtume s a w hakukataza na sisi twasoma maulid ni kumsifu mtume s a w kama maswahaba walivokua wakimsifu dalili nimekupa hio yote ambayo twafanya tumeyatoa kwa mtume s a w napia mtume s a w alisema tumsifu ila tusivuke mipaka kama manaswara kumfanya issa mtoto wa mungu
@sofiaahmed2170
@sofiaahmed2170 2 ай бұрын
Allah akuongoze atuongozi na sisi tunao fwata kisimamo cha arfaa ya saudia
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp 2 ай бұрын
Masha Allah
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 2 ай бұрын
mwenye fitna ni mwenye baba tungekuwa sote tumefunga pamoja tukafunguwa pamoja ila kile kizee kishetani sana
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 2 ай бұрын
Nashkuru Allah aliniokowa na Usufi
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Akakupa sponji lenye joto halilaliki
@ayubmusa9816
@ayubmusa9816 2 ай бұрын
Mashallah Allah azidi kukuongoza
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 2 ай бұрын
NASHUKURU ALLAH KWA KUNINUSURU NA MAWAHABI WA KIYAHUDI AMIN
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 2 ай бұрын
Wahabu ni jina la Allah sijakuelewa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
@@user-ts1kz1lw9p wahabiy sio wahabu. Tunakusudia jina la mtu lilio malizia ABDUL WAHABI. wanaemfuata mtu huyo huitwa mawahabi
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 ай бұрын
Kama hakuna aya inayosema kuna mwez wa suudia Kwa kuwa Ni ya juzi. Vip tufate Mwezi Kenya ?? Wala huna Elim ya hadith.Jarib kurud usome.
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 2 ай бұрын
Haki ngumu toka zamani mnafuata mwezi Sasa suudia imeleta watu mnafuata suudia
@arrisalastriker9813
@arrisalastriker9813 2 ай бұрын
Mcheni Allah mwafunga iddi kwa vibri vingi.
@kassimsaid4481
@kassimsaid4481 2 ай бұрын
Mcheni mungu na nyinyi mwala mwezi 9
@swalehmuhsinhassan9413
@swalehmuhsinhassan9413 2 ай бұрын
wapotosha sheikh hiyo hadith umeelewa vibaya
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 2 ай бұрын
WATU WA MAULIDI NI SARATANI KWA MWILI.
@binzubeir6510
@binzubeir6510 2 ай бұрын
Unaongea nini? Hemu kaeni Mashekh muzungumze usitubigie kelele mitandaoni. Nyote hamna adabu za khilafu musitubabaishe.
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 2 ай бұрын
Ww huna jipya ww wazungumza vitu tofauti mpuuz
@abdulhamidbakar2461
@abdulhamidbakar2461 2 ай бұрын
Ndugu yangu nakuhusia matusi sio sehem ya mafundisho ya mtume kama umeona shekh kakosea au unashaka na jambo alilozungumza weka hoja yako kielimu lkn sio matusi ndugu yangu ww unatarajia kheri kwa mola wako na kheri haipatikani kwa matusi tuwe tunafikiria kabla ya kutamka kwani chochote tutakacho kifanya tutaenda kukikuta mbele ya Allah
@S.SWarfa
@S.SWarfa 2 ай бұрын
Sheikh mwezi wa Saudi Arabia na dunnia nzima ni mwezi moja. Kenya na Saudi hamjapishana hata dakika kmoja. Dunia nzima tunapishana kwa kw masaa tu.
@abdab8466
@abdab8466 2 ай бұрын
Ok huko saudia ulijuaje kama umeonekana
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Kwanza kama saii naona tononoka kumejaa makhurafi wataswali kesho wangapi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 ай бұрын
😃😃Dunian kote wameswali leo tareh 16.06.2024 لآ Hapo imetumika kukubar Mwez wa shamb soma vizuri shekh hujaelewaaa ktk hiyoo Hadth! Ibn Abbas hakupata taarifa ndio maana aliuuza ! lkn mwsho ya hiyo hadh Inn Abbas amekubalii kifuata mwez wa sham Usdanhanye watu Wwwshekh Haya tujalie Mtume SAW yuko Makkah kisha akasema Arafa tareh 15 jmoc! Jee ww wa kenya ungesema Hapanaaaaa!!!!!
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Ibada yoyote ya saumu SI semi wanaotekeleza Ibada ya hijjah ....wanafunga kwa Time hata swala inaenda na time ....
@user-id6bo3mu3j
@user-id6bo3mu3j 2 ай бұрын
Amaa kweli ibilisi ananguvu sheh uchwara unaongopa
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 2 ай бұрын
Chief haendi na mapenzi yenu wala ya mmoja wenu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
NA sisi hatuendi na SHAHAWA zake wala mawahabi wenzake
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Chief kadhi wa Kenya hataki kuonesha msimamo wake
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
@@muktarkassim6647 HATAKI KUJIDHIHIRISHA KUWA YEYE NI MUWAHABI NA ANACHUKUWA NAFASI KUWARUBUNI SUFI KAMA MAKAFIRI WALIPOTAKA KUMRUBUNI MTUME SAW IKASHUSHWA QUL YAA AYUHA LKAFIRUUUN. MASUFI SIO WAPUMBAVU NA WAO WAMETEGUA MTEGO, LAAAA SIO HIVYO KINGEWARAMBA. MUNGU KAWASAIDIA, WANGEFATA UKAFIRI WANGEKWISHA HOJA ZAO.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
@@muktarkassim6647 ni MUWAHABI
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Ni MUWAHABI
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 2 ай бұрын
shehe ikhtilafu matalii yiko lakin kama shafii ikioneka malindi mwandamo tarehe 29 , watu wa mombasa watafunga au wata kamilisha 30 ?
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Kama hakuna mwez wa saudia kwanin unasema kuna mwez wa kenya mnazingua masufi
@isaack100
@isaack100 2 ай бұрын
Kuna majahil hawawezi pima maneno wao no mashabikitu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Sasa mmeanzia chief kadhi tena, masufi mko na shida
@salehthesword
@salehthesword 2 ай бұрын
Mashee wa majipete sijui kwanini inawauma wakiona Waislamu wanafunga na wanafungua pamoja duniani.
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Nani kakwambia Dunia nzima wanafunga na kufunguwa pamoja
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 2 ай бұрын
Wagunya mnachuki sana,pigeni Ngoma tu na kula mpunga viwanjani
@hassanhussein2422
@hassanhussein2422 2 ай бұрын
Matusi Ni YA nani
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 2 ай бұрын
@@hassanhussein2422 matusi gani na wagunya ndio wapiga kelele kuusu chief kadhi, only wapiga Ngoma tu
@hassanhussein2422
@hassanhussein2422 2 ай бұрын
@@sheehamadnganzi8317 المسلم من سلم المسلمون من لسانه ويده
@mav2zmajamboz624
@mav2zmajamboz624 2 ай бұрын
Suala ni moja ,kwani Kadhi si msomi. Alipokuwa akieleza alikuwa hajui anachokinena?
@ahmedaljabri5891
@ahmedaljabri5891 2 ай бұрын
Sheikh samahani wewe pia unayo fanya ni fitna kuja kwa mitandao na kumkosoa kadhi, kama wewe una hikma unge muita au unge jitolea kwenda kumuona kadhi mukaongozana kwa ajili ya umma wa Mtume Mohamed s.a.w. hao maswahaba unao wataja walikua wakitumiana ujumbe kuelimishana sio kuwekeana mihadhara.. masheikh wetu tumieni hikma musitu gawe kama wakiristo
@binnagy1497
@binnagy1497 2 ай бұрын
Makhurafi wana shida wallaahi
@abdallahsalem8499
@abdallahsalem8499 2 ай бұрын
Duniya nzima yasherehekea pamoja illa nyinyi, munkaa mukiwapa maadui zetu faida. MEM awahadi nyinyi na soote jamian yarab🤲
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 2 ай бұрын
Una uhakika kama ni Dunia nzima au ndo kama walikole mkiambiwa na mashekhe zenu ndo mnafuata hivo hivo
@abdulqadiralyan4824
@abdulqadiralyan4824 2 ай бұрын
Wewe enda usome Zaidi. Oman na nchii nyinyi nyengine hawajafanya Saudia
@abdallahsalem8499
@abdallahsalem8499 2 ай бұрын
@@abdulqadiralyan4824 Nadhani wewe ndio na wafuwasi wako mwahitaji kusoma zaidi munkaa mukiushi kwa haqqad na ndugu zenu waislamu
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 ай бұрын
Labda Dunia Yakwenu Binga Au Mbagala Maji Matitu. Hivi Wewe Dunia Nzima Unaijua. Kenya Haujawahi Kwenda Unazungumzia Dunia.
@kihimbamushyaibrahim7284
@kihimbamushyaibrahim7284 2 ай бұрын
Hao wanaifata iran na oman wanatuweka kwenye khilafu za khaleeji Nana kusudia masufi,na ibadhi,mashia hizi kundi zina chuki tu na saudia kiitiqadi nasio kibiashara! Sasa sisi wa islam wa maamuma tunapotoshwa!sasa arafa nahijja wamekwenda wapi!!ubishani wahovyo wawo wanajiona kuelewa sana yote nini!!??sisi mababu zetu ndio walio uleta uislam africa mashariki,kama nikusherehekea arbainat,maulidi,watatetea bidia kufa sife,wallahul mustaan
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 ай бұрын
Huyu kwani ni nani?? Ama ashakua shekhe pia? 😂😂😂😂😂😂 kila anaeamka azuka na yake....
@mrafm7285
@mrafm7285 2 ай бұрын
Haktukusoma shekhe lakini macho tunayo tumeona mahujjaj wako arafa huku sisi yatakiwa tufunge Sasa wewe subiri arafa yako
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Hujui macho pia hudanganya watu ....
@husseinshatry938
@husseinshatry938 2 ай бұрын
Wacha unafik mwajipenda wenyewe chief kadhi shida yake ni kua hatokani na nyinyi
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 2 ай бұрын
Kwa hivyo kufuata mwezi ulioonekana saudia ni haram?
@faizhassan8423
@faizhassan8423 2 ай бұрын
Akhii Ndio ni haramu.
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 2 ай бұрын
@@faizhassan8423 Kwani Allah kaumba miezi mingapi? Je,mipaka tunayoitumia iliwekwa na Nani? Je,tungekuwa nchi Moja na Saudi,tungefuata mwezi Gani? Tukiendelea hivi,itafika siku rais wa nchi ndiye atakuwa anatangaza mwezi. Watu wa pwani amkeni, jamii imeoza Kwa sababu viongozi wa dini wameshindwa kukemea maovu. Wakristo wanaoenda kanisani wana Akhlaq mzuri kushinda sisi. Madrassa zinatumia over 10 percent of the time kufindisha Maulidi.
@yusufsaid8911
@yusufsaid8911 2 ай бұрын
HAWA WATU WA MASLAHI LEO WATU WAO WAKO ARAFA MOUNT KENYA.JEE MTUME ANGEKUA HAI NA LEO EID MUNGEMFUATA AMA?? BURE KABISA
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Kwani MTUME AKISWALI SWALA YA ISHAA MAKKA UKIMUONA KWENYE TV NA WEYE UPO KENYA UTAMFUATA MTUME SAW KUSWALI NAE PAMOJA AU UTAMKHALIFU?
@SurprisedCoastalBeach-em2cu
@SurprisedCoastalBeach-em2cu 2 ай бұрын
Unapotizama kripu yoyote inayo usiana na dini achakwanza msimowako naubishi je anachosema huyo msemaji anatowa ushahidi gani upohaupo kishando upate jibu sahihi
@eidmage2361
@eidmage2361 2 ай бұрын
Uisilama ni kustiriana,hizi ni tabia za kikafiri,masheikh hii ni fitna
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s 2 ай бұрын
Mwezi ni kuhakikisha.na je saudia muko na uhakika gani siku ya arafah wako nyuma na siku moja? alafu miaka yooote saudia haghafiliki yeye ni mia fil mia tuu hawakosei saudia?
@shakibabdissalaam8861
@shakibabdissalaam8861 2 ай бұрын
Huyo Sheikh ametoa hadeeth ya Mtume, na nyinyi toeni yenu. Ama hio hadeeth ni dhaifu? 😅
@genius0045
@genius0045 2 ай бұрын
Why are you Sufis worrying about when is Arafaat or when is not Arafaat and when is Eid or when is not Eid? Don't worry about that; you can do your Eid anytime you like or you can fast next month if you like. You people are busy committing shirk by calling dead people for help. Before you worry about when is Eid or Arafaat, first of all stop committing shirk by calling dead people for help, like saying "al madad Yaa Ali, Yaa Hussain, or yaa Abdul Khadir."
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Ok nice. YAA ABDULKADIR JAILANI WALIU LIRAHMANI. HOW ABOUT YOU? MUJASIMA
@genius0045
@genius0045 2 ай бұрын
@@hilalalhabsi2047 Allah] said, ‘O Iblees, what prevented you from prostrating to that which I created with My hands? Allah said he created Adam with his own hands . Yaa mujrim yaa quraafi . Allah has hands if you deny that you are kaafir .allah is above them thrown , above the Arsh if you deny that and believe that allah is everywhere then you are kaafir .
@mohamedali7544
@mohamedali7544 2 ай бұрын
Shida YA kushagua mawahabi kuwa maimam.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
Shida ya kua masufi ndo maimamu
@shariffomar8580
@shariffomar8580 2 ай бұрын
Mwafata maslahi ya matumbo yenu Hamumfwati mtume. Sunnah ndogo tu ya ndevu yawashinda
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 ай бұрын
Hii kadhiya ya mwezi ni rahisi Sana kuelewa. Kihistoria bwana mtume katika mwaka wa pili baada ya kuhamia madina ndio Eid ya kuchinja iliwekwa rasmi.....kisha baada ya hapo mtume aliporudi Makkah baada ya miaka saba ndio akafanya hajj ya kwanza.....hii miaka Saba walichinja kwa maana Arafa haikuwa na mafungamano na Eid walikuwa wanafata kuonekana kwa mwezi. Halikadhalika huo ndio uhalisia wa kufuata mwezi
@SalmaAhmed-mz7vn
@SalmaAhmed-mz7vn 2 ай бұрын
Usiseme hatutokufuata,sema sitokufuata.kwani umelazimishwa.jifunze kuongea.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
Hatutofuata. Sio pekeake sote
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
ALICHOKITAKA KADHI KWA SUFI, QULYAA AYUHA LKAFIRUUUN 😂😂😂😂😂😂. SUFI WAMETEGUA HAPO
@SalumuMatimbwa
@SalumuMatimbwa 2 ай бұрын
iv hawa mashekh wakisufi wanapo ongea wanaamini kwel kwamb kunasiku watakutana na mola wao mbona hawana uwadirifu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Hawa wafuata ilimu na mtume s a w aliofundishwa sasa nyinyi mawahabi mwamkalifu mtume s a w alafu mwasema masufi masufi wafuata ilimu na mtume s a w yale aliyo fundisha
@babinhoelninho5416
@babinhoelninho5416 2 ай бұрын
Mumemuhalifu sababu hakufwata mutakao nyinyi masikitiko
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Maana kumkhalifu ni nini .....
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 2 ай бұрын
Sisi tumeambiwa tuangalie mwezi usituletee uchafu apa
@saidhashi2856
@saidhashi2856 2 ай бұрын
Ni haramu kufunga suku ya iddi.
@abuurasshaad
@abuurasshaad 2 ай бұрын
Majinga haya yanajifakharisha kumkhalifu kiongozi wao, Duuh hivi ni Bangi ktk Dini
@oyay2821
@oyay2821 2 ай бұрын
Hawa wanatafuta kiki chembelecho wa Bongo.
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 ай бұрын
Kwahiyo ZINGATIA mipaka ya nchi na nchi au Tuzingatie Nini shekh??? MPAKA KATI YA MPAKA NA MPAKA kati ya arafa jumamosi na Jumapili, Mpaka ni upi sasa? je Tuzingatie mipaka ya nchi? mipaka ya Africa mashariki? Bara Moja na Bara jengine? ili wale watu wanao ishi MIPAKANI wajue wauate MPAKA UPI?
@alimwawema9932
@alimwawema9932 2 ай бұрын
Watu watwarika wanachuki na Saudia because hakuna uzushi Saudia.
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
😂 kwani Uzushi ni nini .....Uzushi ni nyingi sanaa nenda katembee ujionee
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 2 ай бұрын
Kushawahi kufika au unaongea tu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
KWANI WEWE UNAFATA SAUDIA AU UNAFATA QUR-AN NA SUNNA?. HUKO SAUDIA WALIKUTUMENI MUWAFUATE WAO AU?. BASI SAUDIA WASHARUHUSU ULEVI LEWA BASI 😂. SI UNAEPENDA SANA MPELEKE DADAAKO AKASHINDANE UMISS TAYARI PASHAFUNGULIWA. MISS SAUDI HUMJUI FUNGUA TU U TUBE HAWANA BIDAA 😂. QUR-AN YAKO NI SAUDI AU SIO EWE WAHABI ZUMBURUKUTU
@alimwawema9932
@alimwawema9932 2 ай бұрын
Mimi nimesoma Madina University hakuna mambo ya uzushi
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Kwani Uzushi mpaka ifanywe ndani ya Dini ndio ujuwee ni Uzushi....Hata njee ya Dini Uzushi ni mwingi na sisi waislam tunafanya.....Tatizo ni mafhum si kujuwa Ibara zakiaru na kutafsiri laaa ....
@awadhjamal3430
@awadhjamal3430 2 ай бұрын
Kama arafa ni mbili ina maana na lailatul kadri pia ni mbili, na sheikhee watuu hawafwati suudia watu wanafata arafa ambayo utake usitake iko moja tu na iko suudia
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 ай бұрын
Ukiisoma historia Arafa haina mafungamano na Eid. 1. Mtume alipoghura kwenda madina mwaka wa pili wake ndio Eid ya kuchinja iliwekwa.... 2. Mtume s.a.w aliishi madina miaka Saba baada ya hapo ndio akarudi Makkah .....na katika huo mwaka wa Tisa ndio ibada ya hajj ilianza.... Kwa kifupi watu walichinja kwa mwandamo wa mwezi adhha na si kwa Arafa kama mnavyolazimisha nyinyi.
@awadhjamal3430
@awadhjamal3430 2 ай бұрын
@@muhibbualii4580" fungeni siku ya arafa " hiki ni kitu kimoja acheni siasa zenu kuvitenganisha hivi vitu
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 2 ай бұрын
Tena chief kadhi sio kutangaza mwezi wa saudia tu, ilitakiwa hd akataze maulidi na kuwaomba maiti mana hakuna ktk Dini. Nyie masufi makhurafi hamna dawa. Kiboko yenu nyie Sheikh Abdallah Humeid (Allah amhifadhi). Ngoja arudi toka hajj awatandike. Lau mngekua na ilm msingekua mnaenda makaburini kuomba maiti.
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 2 ай бұрын
Ukhawaariji Huu Kila ampingae Kiongozi wake kwa tadi na inda ni Khawariji Mbwa wa motoni
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 ай бұрын
😂dini gani hii imekufundisha matusi? Hata asokuwa mwislamu akiona unacomment hivi si atachukia uislamu kwa tabia kama hizi.
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 2 ай бұрын
@@muhibbualii4580 Ni Mafundisho ya Nabii tumekatazwa kuwakhalifu viongozi Wetu na Kila Kila apandae mbegu ya kuwakhalifu viongozi wao hao ni Ndugu wa Khawariji na Makhawariji ni Mbwa wa Motoni kwa Mujibu wa Hadithi
@AliAhmed-hp7nn
@AliAhmed-hp7nn 2 ай бұрын
Huna elmu ww
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 2 ай бұрын
Huyu chief kadhi ache kucheza na akida za wenzake yeye aeleze msimamo wake ni gani ktk masala ya mwezi aunhana na rai Ahmad bin Habal au rai ya al imam shafi? Sio Ramadhani afuwata rai ya Al imama shafi kisha dhulhija afuwata Ahmad bin Habal
@abdallasalim4104
@abdallasalim4104 2 ай бұрын
Uwilimisheni ummah tafauti ziliyoko baina ya tai za Ahmad bin Habal na Al Imama Shafi kisha watu wenyewe waamuwe na hata rai za Abu hanifa na rai za Malik
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
RAI zote kila nchi machomozo yake. Wanazifasiri uongo tu mawahabi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Jitu la bidaa katika kupotosha jamaa hawa wataenda kuchmwa moto kweli allah awaongoe maana ibilis kawashikilia kama ruba kawapa upovu hali ya kuwa wanaona😅
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 2 ай бұрын
Ww kwanza kasome huo uwahabi sio uje utujane mashekh na kuwaingiza watu moton ww mwenyeo ni mtu wa moton maana uwahabi ni tawa la katoliki kisha muna mtume wenu muhmmadi alwahab
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@fadhilimusa9732 bidaa kweli kwani uongo sasa ni mtu wa sunnah huyo watu wa bidaa wameraaniwa na allah na toba zenu haikubaliwi mpk muache bidaa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@swalehseifmuhammed8289 ndo mnavyo danganywa unachekesha kweli kwahiyo muhmmad ni mtume wenu watu wa bidaa wengine so mtume wao daah mnadanganywa sana bidaa zinaharibu akili unakuwa zezeta kufata bidaa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Mtu wa bidaa wameraaniwa na allah na toba zenu batwil mpk muache bidaa mi ndomana sisalimiagi mijitu ya bidaa miongo xana kujifanya ina mapenz na mtume kumbe mnamzushia tuu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@swalehseifmuhammed8289 dini hii kutaka salama kwa Allah kufata sunnah tuu vinginevyo uzushi ni motoni mtume ashasema wakulu bidaat dhwalala wakulu dhwalala finnari uzushi ni upotevu na upotevu ni motoni na ninyi mizushi mikubwa ya hii dini kumkosoa Allah na mtume wake kila uwanja mnazuwa bidaa
@issahabdallah9018
@issahabdallah9018 2 ай бұрын
Usufi ni ni kirusi kibaya zaidi ya korona.
@alimwawema9932
@alimwawema9932 2 ай бұрын
Wacha usufi wako
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 ай бұрын
Wacha ujahili
@alimwawema9932
@alimwawema9932 2 ай бұрын
@@muktarkassim6647 wewe ndiye jahil
@alimwawema9932
@alimwawema9932 2 ай бұрын
@@muktarkassim6647 hujui ushirikina ambao wako nao. Nenda kasome شرح السنة ،عقيدة الرازيين، عقيدة الطحاوية أصول السنة كتاب التوحيد Nenda kasome
@mohammedabdulshakur8162
@mohammedabdulshakur8162 2 ай бұрын
Muawiya sio radhia llah anhu.. Bali Ni laanaa llah aleihi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Raana inarudi kwako hiyo huwezi mraani swahaba wa mtume raana itamrudia msemaji swahaba ashatabiliwa pepo ww wamrani nikujisumbua bure
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 2 ай бұрын
Itajuta kuyasema haya maneno imma utubie
@mohammedabdulshakur8162
@mohammedabdulshakur8162 2 ай бұрын
Hakuna kutubia Muawiya bin Sufyan Hawa wameelaniwa khaswaa Kwa Qur'an laanaa tullah Muawiya bin Sufyan na yazidi mwanawe
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@MohammadJumah-qk2xc maneno yapi hayo
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 2 ай бұрын
​@@mohammedabdulshakur8162nyie mashia mna tabu sana hata Lete ushahidi wa Aya wapi Muawiya kalaaniwa ndan ya Quran
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 2 ай бұрын
wasufi wenzako kzbin.info/www/bejne/q5bJkKuMYrCGqrMsi=iNsfYTR_tRaSLujn
@suleimanjabiri729
@suleimanjabiri729 2 ай бұрын
Hizi khilaf za masheikh tusipokuwa makini zitatubesha dhima kubwa mbele ya Allah.....acheni kucomment kwa ushabiki....waachieni wenyewe gundu lao
@salehthesword
@salehthesword 2 ай бұрын
Watu wanafuata Makka na Madina sio Saudi Arabia. Nyinyi kwanini kwani nafsi hazikubali zinakuwa nzito? Mnajua siwaelewi
@mzulwa2006
@mzulwa2006 2 ай бұрын
Kusoma sio kuelewa walichofundisho wamemeza hivyo hivyo bila kutafakari
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
​@@mzulwa2006MAJUHA MMEKUTANA MNALIWAZANA😂, KWANI MAKA NA MADINA ZIPO NCHI GANI? 😂😂😂. MFALME WA MAKA NI YUPI NA MFALME WA MADINA NI YUPI NA ZIPO WAPI?
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
8:26
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 10 М.
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 16 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
18:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 75 М.
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 36 М.
HUU NDIO MSIMAMO SAHIHI KUHUSU ARAFA! DALILI HIZI HAPA!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
23:57
SHK ABDULQADIR ALIPOULIZWA KUHUSU ARAFA NI MOJA AU KILA NCHI NA ARAFA YAKE
8:24
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 16 МЛН