Pole sana mdude Mungu akulinde malaika wake wakufunike
@hildandumbalo58273 күн бұрын
Du inasikitisha sana samia unatumia polisi kutesa wananchi uwe makini
@hellenngwilla5503 күн бұрын
Pole sana Mdude yaan police mnampiga mtu wakati hajawafanya chochote achen kuonewa Watanzania tuna haki pia😢
@nelsonnyamle3 күн бұрын
Aliyeshikwa hajasumbua sasa huyo afande anayerusha ngumi usoni kwa mtu ambaye hajawasumbua anaashiria nini sasa ndiyo utaratibu unaotakiwa?
@NgendandumweAlouise3 күн бұрын
Samia police na ccm wote naweza kuwaita wasenge tene wasenge mbona marekani uchaguzi ulikuwa huru na haki ingekuwa africa trump hangeshinda urais 100% ma police na samia ipo siku wataingia vitani yes or no
@adelinelyaruu30363 күн бұрын
AT THIS POINT IN TIME SIKUTEGEMEA HAYA YANAYOENDELEA KWA PANDE ZOTE
@adelinelyaruu30363 күн бұрын
Kutumia dola kubaki kwenye dola. This was the worst statement ever said in the history of TZ
@rasnchimbi3 күн бұрын
Hii mijadala ni ya kuwasemaga chadema tu,mapandikizi yalotumwa na ccm yapo humu kibao,hawampendi Mbowe kichizi jinsi anavyodumu😂😂😂
@ZiggysebahZiggysebah3 күн бұрын
Duh mbona wananchi kila kukicha mnatuvalisha matatizo yasiyo na majibu???? Mungu Ingilia kati maswala ya Tz. Bila Wewe Mungu we are nothing kabisa.kwa akili zetu hatuwezi chochote kweli
@DevotaPacras3 күн бұрын
HIVI MPO KWA KUSONGA MBELE AU MPO KUIBEZA CHADEMA. HEBU LIANZISHE WEWE ACHAKUTEGEMEA CHADEMA
@SuolFat3 күн бұрын
Mtu anakamatwa kama jambazi
@ceciliamagalabajimmy43913 күн бұрын
Ona wanavyopambana kwa nguvu kumkamata mtu mmoja. Yuko mmoja ni mgomvi mpaka kwake. Anaonekana tu ni mshari. Ccm ni waongo. Ukisema ukweli unapotezwa, unatekwa. Ukweli ni uwazi ndio mwongozo.
@rab7923 күн бұрын
Mna kumbuka Mnyika alivyo wajibu Sauti ya Wa Tanzania kwenye mkutano wa kule dar wali tutenga hapo mna piga kelelee tuuu ni mjinga tuu ambaye ambaye ana ddhani chadema italeta mabadiliko ni sisi sauti ya wa Tanganyika tuamue nchi yetu iende vipi
@HaryPoter-zw7vr3 күн бұрын
MTU yeyote Yule ambaye anakuwa anasema ukweli kuhusu ubaya wa CHADEMA anaitwa KIBARAKA?? AU AMETUMWA NA CCM KUISAMBALATISHA CHADEMA?
@adelinelyaruu30363 күн бұрын
Nakubaliana na wewe. Au. Hajui which side of his bread is buttered