Mmhu uyu mchungaji au kitu gani ata simuelew 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rebeccamwakyabala671026 күн бұрын
Hapa sijaona mchungaji bado 😂😂😂😂 mchungaji kweli unajihusisha na haya kweli
@hawamasanje958924 күн бұрын
Wewe siyo mchungaji unachochea acha watu wazungumze haya yasingejulikana mama anateseka kawasomesha, kaishi nao kwa shida dada akienda nyumbani anaenda na Joan ambaye anavuruga vikao vya familia. Kikao hakifikii muafaka
@AraAra-fs7tg26 күн бұрын
Martha mama ako anadhalilika hivi Kwa akili yako,,Mungu akuponye
@victaboy727327 күн бұрын
Huyu naye vipi. Yule mama amesema yeye siyo mnyakyusa. Sasa huyu mbna anajifanya kujua kila kitu.
@aishamaliyabwana492126 күн бұрын
X wa Martha uyo
@ErickMakozi26 күн бұрын
Uyu mchungaji anajibu sawa sana,
@VeronicaIsavari27 күн бұрын
Sai kila mama anaekuja, Martha mwanangu,hadi nashangaa,kwani kazaliwa na mama wangapi?
@jansonjosefh757527 күн бұрын
Dada pole sana utajiii unakazi ngum umetafuta pekeyako lakini unapigiwa kelele na dunia je? Sisi ambao atujapata tufanyeje?
@rosediria730626 күн бұрын
Nilijua Dr kumbuka😂😂😂
@WilfredSimbu20 күн бұрын
Kwa mtazamo wangu na kwa msingi ya utumishi wa kiroho hairuhisiwi kumdhalilisha ndugu yako beatrece hakufikiria madhara ya alichokisema maana kitadumu mitandao mda mwingi
@EdithaEditha-z3s27 күн бұрын
Kila mtu aijue Iman yake make sijui tunapokwenda ni wapi mungu wangu
@BenadethaAmon-m5y27 күн бұрын
Mchungaji gani huyu tapeli tu
@leahkarangi96027 күн бұрын
Ivi ni lazm kuongea😂
@ShalineAdoyo26 күн бұрын
Kaongea ukweli mchungaji
@SamwSanga27 күн бұрын
Dunia imekwisha. Sasa. iv watumishi na waimbaji wengi wamejiunga na shetani ukiona mtu asaidii ndugu zake inawezeka mafanikio yake akuyapa kwamungu
@Devota-mr6ng27 күн бұрын
Mchungaji mcho Nganyishi ukifanikiwa Raha ule na ndugu zako
@eliasraphaelpuju8227 күн бұрын
Huyu naye ni pepo katumwa aache kulopoka ukweli haufichiki mama kaongea kila kitu
@AgnessJohn-v8p24 күн бұрын
Toka hapa na creemu zako usoni kama mwanaume
@janethmgeni184027 күн бұрын
Kweli kabisa
@FurahaKabunga27 күн бұрын
Ww sio mchungaji muongo sana
@Mussaphanuel-p1q27 күн бұрын
We sunajikilim mchunga watu tena wanawake
@DianahWalukana27 күн бұрын
Marther mpendwa wetu tuambie mamako n mgani ,sai Kila mtu muanangu,mbona wanaking,ang,ania,ama vnye we n mrembo na hixo mali ?tumeshindua kuelewa Hawa watu wa tazania🇰🇪🇰🇪
@marrykigabimk26 күн бұрын
Ukweli mtupu
@Esterkomba-ef7eb27 күн бұрын
Acheni ujinga
@BishibeSabuni-d2w27 күн бұрын
Wewe unaukweligani
@AbbasKaduma26 күн бұрын
Hapa mchungaji hakuna
@ModestFredrick25 күн бұрын
du acheni kumchafua mama wa wamtu inauma
@DanielJamesNgulo24 күн бұрын
Mchungaji mnafiki mshenzi huna msaada kwa mtu Ili awe katika mstari sahihi halafu unaongea bila kuangalia wewe umesimama kama nani
@AshaSalem-ug4ii27 күн бұрын
Wew nae tahila2
@beatricenangale543927 күн бұрын
Basi yule bibi kama si mama yake Marttha ashitakiwe
@epifaniamilinga284827 күн бұрын
Kuwa makini kusikiliza.mama yake. Si mnyakyusa.ni MTU wa. Njombe.ujue wamekaa vikao lakini imeshindikana.Pale alikuwa anatoa ushuhuda jinsi walivyofungwe.Ww mchungaji usidharau mzigo wa mtu..
@Mariam-ke4og25 күн бұрын
Weeee mchungaji umetoka wapi hivi huna aibu unachokiongea unauhakika nacho mama yake martha unamjua wewe mchungaji mzima unaongea pumba mbona unampotosha Martha wameleta huku kwa sababu anaomba msaada kifamilia watakuwa wameshindwa kuna ubaya gani kuomba msaada, nahisi huyu si mchungaji hana busara kabisa
@PricaMagesa26 күн бұрын
Bola baba use wasimchafuwe dad's yet
@AgnessJohn-v8p24 күн бұрын
Huyu ni hawala yao wewe kwenda zako huko hujui uchungu wa ndugu kwenda huko
@Mariam-w9s3b27 күн бұрын
Mtoto wa kiume akijiangaia kwenye kioo na akajiaona ajapendeza akamua kutumia cream uyo ni dam
@samiahjmlimanzilla935427 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@estermathias835426 күн бұрын
Acha kutetea ukweli unaonekana mjinga.na mtu wa shetani sasa utapingaje ukweli?
@Juyo5627 күн бұрын
Shiiiiyyyy
@salumumorimori170825 күн бұрын
Nyie si ndo walewale
@FurahaKabunga27 күн бұрын
Kalale boya
@Mussaphanuel-p1q27 күн бұрын
Mchungaji wewe huna Akili na wanao kuamin hawajielewi
@estonmwalongo109126 күн бұрын
Hizo ndo roho chafu zenyew
@TantineJuma27 күн бұрын
Siku zamwisho kweli uhu ni mchungaji ahu? Toka pale ageti wa shetani wewe