Nakupenda sana mtumishi wa mungu,napenda sana mafundisho yako ya kweli.barikwa mtume mishak mali ya Bwana.
@MutuaAlice10 ай бұрын
Mungu akurehemu ndungu yangu never ever point the anointed one so humbiri mwili wa kristo ila soo watumishi wa mungu.
@danielgarry5389 ай бұрын
Mwili wa kristo ndio gani mpendwa Yesu alisema hubirini kwamba ufalme wa Mungu umekaribia tubuni na kuiamini injili. Sasa Yesu aliwakemea watu ila watubu waokolewe wala kwa Hilo hakufanya dhambi sisi ni nani tujifanye watakatifu kumliko Yesu??
@JEREMIAHMADAMA198710 ай бұрын
Acha haya mambo ya hovyo hovyo mzee,
@jovinmwesige852010 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu,hata mimi hao manabii nilikuwa nawatilia mashaka,asante kwa kutujulisha ukweli.
@irinenanciebarasa556610 ай бұрын
MUNGU akubariki saidi MUNGU akuinuwe saidi mtumishi wa MUNGU kweli nakufuadilia Sana nabarikiwa mafundisho mazuri Sana nikiwa Kenya 🇰🇪 naomba MUNGU Sana wengi.........wakiristo wamejaa wivu dharau MUNGU atusaidie Sana mtumishi wa MUNGU watu wataki kutupu wataki kujiombea mtumishi wa MUNGU ooooh hallelujah MUNGU
@JanetMwaijumba11 ай бұрын
Tuonyeshe basi WA kweli tena wataje hao kweli ww usije ndo WA kutupeleka kuzimu kwako mm mwenyew mungu alinionyesha kuhusu wew nikaona c Halali kinywa chako
@lowassaloitore477411 ай бұрын
kuzimu inahangaika sana kuwachafua watumishi wa Mungu... Yesu Kristo alidhihakiwa sana hadi kuambiwa alikuwa anatumia mapepo kuwaponya watu.... Wakristo tuweni makini sana nyakati hizi.
@danielgarry5389 ай бұрын
Nani amechafuliwa hapa, niukweli mtupu kwa sababu maandiko yamesema hakuna lililofichika ambalo halitafunuliwa. Lazima ukweli usemwe Yesu amekaribia kurudi ndugu zangu Mungu awajalie baraka.
@lowassaloitore47749 ай бұрын
Lililojificha ni lipi hapo??, Unajua huo mstari ulionukuu unamaana gani kweli?, Wewe hubiri injili watu wapate kumjua Yesu Kristo Wapate Kuokoka na Kama Una Karama ya Uponyaji, Yesu akutumie Kuwaponya watu, Acha Kuwatukana Watu ambao pia ni ndugu zako katika Kristo Yesu, Tuache ubishi sio vyema...@@danielgarry538
@samwelmatemu887310 ай бұрын
🎉mchungaji anae hubiri neno kama hajatumwa na Mungu huyo ni wa shetani na ni njaa kali.Mtumishi akitumwa na Mungu kila neno la Mungu ana lonena linaambatana na ishara namiujuza.Yesu hakuwahi kuwatuma wanafunzi wake bila power .huyu nabii wenu nadhani hana nguvu hata yakutoa kapepo kidago.kazi kuwasema wenzake ambao wamefanikiwa huu ni wivu na ni ushetani
@ShukuruDaudi-ue6in21 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 MUNGU awadhidishie
@AishaMhoka6 ай бұрын
Mungu akubarik mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na huduma yako
@ShabanBajaji11 ай бұрын
Barikiwa san mtumishi wa Bwana kweli kabisa hao manabii wa meteka wengi.Mungu..akubariki mno
@SilaLongo-pp6ep11 ай бұрын
Hubiri injiri,acha kuwasema watumishi wa mungu,acha mungu hahukumu,
@eliasjoseph640611 ай бұрын
Hapo sasa ss yetu macho ,ila wapemba wanajuana kwa vilemba
@MiriamAbdallah11 ай бұрын
@@eliasjoseph6406hahahaha 😂
@paulirungu623410 ай бұрын
BWANA AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU. UKWELI NA USEMWE. HALLELUYAH
@albertmanga13775 ай бұрын
Barikiwa mtumishi uko sawa.
@RwelamiraPascal10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Hawa mashetani wameendelea kuharibu imani yeti kwa kutumia hela kuhonga serikali zao kutokana na fedha wanazowaibia washirika wao. Bahati mbaya washirika Hawa hajitambui
@isayatippe640910 ай бұрын
Kama kweli wewe ni Mtumishi wa Mungu, bora umhubiri Yesu Kristo siyo Wanadamu wenzako!!!
@brendanasenya366310 ай бұрын
Ushindwe katika jina la yesu kristo,wewe ni adui wa kanisa kabisa
@alfanigwoma38210 ай бұрын
ingekea neema sana kama mungu angekuongoza uliombea taifalako kuliko kutafufa ushawishi kwenye mtandao
@RehemaMtono10 ай бұрын
MUNGU wetu wa mbinguni na akubariki sana MALI YA BWANA
@mamamtakatifu64658 ай бұрын
Ameen Mungu akutumie zaidi Mtumishi wa Mungu
@Jeremiatitomawala10 ай бұрын
Mtumishi Mungu wa mbingu na nchi akubariki. Nakuelewa sana . Yesu kristo akutunze
@abelmbilinyi126210 ай бұрын
Wewe ni mwalimu wa neno la Mungu au mchambuzi wa unayo yasikia mitandaon km siye , inakupasa uhubiri neno na hao unao amin wamepotea waje kwako kupitia neno na sio kwahii style hii unayotumia , Mungu ndie anajua yote , ipo siku na ww utatukanwa na kusemwa vibaya kama hao , watu wana uhaba waneno la Mungu just do it
@KizaJacqueline-dw8eh10 ай бұрын
Amen mtume maliyabwana Mungu akubariki ❤
@marymutua82057 ай бұрын
Be blessed man of God umenisaidia sana
@MtumishiAroni11 ай бұрын
Mtumishi Bwana akuvike nguvu zaidi. Wengi tunafunuliwa juu ya hao, lakini kibali cha kuwazungumzia ndo utupewi. Na wengine wanaogopa tu. Bwana akuvike nguvu zaidi
@AredFered11 ай бұрын
Kwan pastor ezekiel jaman jamn pastor ezekiel jmn lakn hacha wamuite develop worship lakn acha tu
@PatsonKyando-d1p11 ай бұрын
A TRUE and genuine servant of God cannot judge or attack others
@AredFered10 ай бұрын
@@PatsonKyando-d1p very nice
@trophywilson721110 ай бұрын
@@AredFeredEzekiel hakuna Mungu pale
@adylineamutamwa95910 ай бұрын
Kwa Ezekiel akuna kitu pale jambazi tu hafai kuuza maji vitambaa ingia ytube tafta mch. Katekela ndo utafahamu ni janya ule
@NdukuWilson10 ай бұрын
Ubiri kuhusu Yesu wachana na watumishi wa Mungu,kama wewe ni nabii wa sawa basi tenda makuu kuwaliko wewe ndio tukujue,never torch the anointed ones
@EsterbernardoVumo-kn2xv10 ай бұрын
Amem Amen Amen Mtumishi Wa Mungu.MunguAkutetee,Na Kukutia Nguvu.Mimi Niko Maputo Msumbiji Nakufatiria sana Mungu Azidi Kukutumia Ili Uweze Kutuongoza.
@PPOJ10 ай бұрын
Ubarikiwe kwa kusimama na ukweli niombe niendele kùa. Mtumishi wa ukweli wakati huu wa mwisho.
@rabeccakwekwemungumi644110 ай бұрын
Waaaaaa ach mungu atetee watu wake juuu wengi hawana ufahamu kw kusimam n upendo wa mungu
@daudidaniel54410 ай бұрын
Hapana hapo kwa TB Joshua nimeanza kuwa na mashaka na wewe
@natashaagatha354010 ай бұрын
It's true tb Joshua alikuwa akitumika kipepo
@norahfrank10 ай бұрын
Watakatifu, muwe makini na baadhi ya watumishi ambao wanawapinga watumishi wengine.hizi ni siku za mwisho.kaane mkao.wengi watadanganyika ili kufifisha uamsho wa injili duniani. Kumsema mtumishi wa Mungu T.B.Joshua ni mojawapo ya mapambano ya lusifa,na maajenti wote ikiwepo mpinga Kristo..kuweni makini sana.BBC ni nini? Ni moja ya combo kinachotumika kudhoofisha uokovu.wamejitahidi hata kutumia michongo ya watu kuweka ushahidi wa uongo
@norahfrank10 ай бұрын
Tujiulize ingekuwa ni wa dini fulani imeguswa.duniani kusingekalika.tuwe makini sana.sana.jina la Kristo linadhulumiwa.huyu mtumishi namwogopa kabisa.tuwe kiroho zaidi ya kusikia mafundisho haya
@joycekundo-uu5su10 ай бұрын
Usittaki kuhukumu wewe siyo Mungu.ya kwako yana kusubiri.uta yaona.katika jana la yesu christu
@Lekulevan10 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda, usichoke kusema Bwana aliyokutuma maana wa wamewapeleka watumishi wengi motoni.
@ElisonguoShayo-hb2gs10 ай бұрын
Sie wakristo watu wa ajabu. Mtumishi yeyote akitumika vizuri na Mungu kwa viwango vikubwa ni shetani. Basi hata Musa angekuwepo nyakati na miujiza ya kukausha bahari mngepata mafunuo eti yuko upande wa shetani.
@bettykendi810110 ай бұрын
Amen mtumishi WA mungu🙏
@Peace-x6s10 ай бұрын
I wish ungehubiri tu Injili , kazi ya kuhukumu umwachie Mungu 🙏
@linetmbevi680610 ай бұрын
Kukemea sio kuhukumu
@mottoTv110 ай бұрын
Acha kuubili watu fulani ubili YESU unaweza kupinga kazi ya mungu akizani unamtumikia mungu kua makini usi hubiri miemkoo yako
@emmanuelmakongoro822810 ай бұрын
Aise nashangaa sana why preach ppl instead of Gospel
@DanielJengela10 ай бұрын
ASANTE SANA mtumishi niombee niondoke mimi Ninaabudu kwenye ministriy
@mwitaagness45510 ай бұрын
Rudi kwenye msingi wako, kuna ile maandiko watu wangu wanaangamia kwa kupoteza maarifa
@esterkawogo506410 ай бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho
@kingsdaughter204010 ай бұрын
Bibilia Ina Jesus na bar Jesus miujiza ipi mnapokea ukiombewa tujiulize hilo yesu alifanya bar- Jesus pia yesu pia alikasirika alipopata kanisa imebidilishwa biashara alileta vurugu wanaosema nabii asiongee mungu anawachekelea
@MaryAmaiza-th2fo11 ай бұрын
Mtume mali ya Bwana, Mungu akupe nguvu zaidi, wapigweee kwa moto wamungu ulao 🇰🇪🙏.
@Mwikalimakewa10 ай бұрын
Mm uwa nakupenda sana kwa maana unasema ukweli
@sharonzuberi55510 ай бұрын
Tunakupenda ongea ukweli kilaa siku
@jumaakalume545810 ай бұрын
Kama unacho kiongea niroho wa mungu anakuongoza mungu akuzidishie kipawa chako
@estherachayo10 ай бұрын
Ameeeen barikiwa sana
@erickebiath-pq6pd8 ай бұрын
Mh mh mungu tu atende
@AyubuYusuphu10 ай бұрын
Nitaenda saaana kwa baba yangu rolinga mana najua anatumiwa na mungu haswa i love u my dady ,,,wew na huyo pepo wako mchafu endelea kuwachafua watumishi wa Mungu wa kwl na huyo shetani wako ambae unamwita roho wa mungu kumbe pepo mtambuzi
@LindahEdwini-ux1st10 ай бұрын
Yes our Dady The Lord our maker moto wa roho mtakatifuu umzingilee
@oandamomanyi10 ай бұрын
Man of God God bless. One with the Spirit of God with descern false prophets. You shall know them by their fruits. Devil can imitate all but not the fruit of the Holy Ghost.
@Precious242510 ай бұрын
Mungu akurehem kwakwelii
@sbcbritescollection98310 ай бұрын
Roho anayekuongoza achunguzwe kwa kua si was Mungu tunayemjua. God doesn't judge. Kama hujui ukweli wa Jambo, uliza ujue. Usijifanye mjuaji ukajipata matatani maana Mungu akiamka kuwapigania hao watumishi unaowaanika, utaaibika!
@mildredalalia1410 ай бұрын
Barikiwa sana pastor, Amen 🙏🏼 .. 🇰🇪 🇺🇸 🌎 ..
@aurickyenze578011 ай бұрын
The Spirit of God doesn't name sinners individually because everyone has an opportunity to repent and live righteous! Remember the thieves crucified with Jesus? Jesus didn't call them so but He saved one of them without condemning them!
@andrinisrael928911 ай бұрын
YOU ARE VERY TRUE
@leahmgunda415410 ай бұрын
This is not Jesus, his spirit is working that way as God instacts him to.
@FearlessAfrican10 ай бұрын
I believe it happens when they sin extremely.
@abigaelsamuel130710 ай бұрын
He is alerting general people and if he doesn't mention how will people know
@treasureforashes349710 ай бұрын
They are named , read your bible when they fell from grace they were named, Sin is sin regardless of fame
@ElizabethNafula-kd1qn11 ай бұрын
Endelea kitufungua macho mtumish wa mungu kupitia neno la Mungu
@salehmdemu572210 ай бұрын
Ubarikiwe sana,, MUNGU atusaidie
@lakhyalakha199210 ай бұрын
WEE JAMAA NI MJINGA SAAANA KUMBE.... MBONA HUTAJI WATUMISH WA KWEL..... WEWE NI MWEHU
@kashindiasha511110 ай бұрын
Acha kuwadadisi watumishi wenzako bali kumbusha watu neno la Mungu,sio kuwadhalilisha watumishi wenzako
@saidyussuf229110 ай бұрын
Mungu akuongoze wewe msemaji na wafuasi wako mfate uislamu , hakuna nabii wala mtume sasa ivi , mnafanya utume na unabii ni cheo cha kipuuzi anaetaka ajipe cheo hicho , acheni uongo , wewe msemaji na wenzako wanaojiita mitume .
@julianawanjala649511 ай бұрын
Amen Amen Mtume Mali ya Bwana
@preciouschild124611 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana🇰🇪
@stephensonkimeu750410 ай бұрын
Mbona wakristo ndio hushinda kusumbuana, ati huyu sio wa mungu, huyu ni shetani na zaidi, hubiri neno na uache mungu afanye kazi yake. Dunia ni kubwa na mwenyewe ni mungu, atajua vile atafanya nawao ndie aliwaumba.
@Nikkichogo11 ай бұрын
Mungu akubariki sana na ukutumie kwa kiwango cha juu.
@nimpayeibrahim10 ай бұрын
Pastor Ezekiyeli nakwambia usimufananishe nawengine sema kila mucungaji nayenyealitenda. Ila Pastor Ezekiyeli nimutumishi wa Mungu kabisa
@elishampoki875129 күн бұрын
Mimi natoa ushali watu wasitafute miujiza bali wamtafute yesu mtenda miujiza, hapo vip mtumishi,
@luselose994410 ай бұрын
Hakuna mkamilifu mbele za Mungu tunaishi kwa neema yake
@trophywilson721110 ай бұрын
Mmmh hapo umechemsha
@rosemarymwanitega792611 ай бұрын
Amen Amen Mtumishi wa Mungu endelea kuongea ukweli
@Izo310211 ай бұрын
Amen mtumishi wa Bwana
@maximilar10 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@joychege254310 ай бұрын
Fichua sili sote za waovu in Jesus name
@PatsonKyando-d1p11 ай бұрын
A TRUE servant of God cannot attack others
@Izo310211 ай бұрын
What do you mean ? ?
@lilianowti547711 ай бұрын
Preach the Gospel my son,do not judge others only God had the power to judge.
@MjakaziGladys10 ай бұрын
Hii nyakati sio za kubembelezana wapendwa ni kukemeana ukweli usemwe ama nyie mnauziwa upako ndiomana mnawatetea hao manabii amewataja
@mildredalalia1410 ай бұрын
Wacheni tuambiwe ukweli, ndio wewe mwenyewe upotee kwa kupenda kwako. Mara mingi watu wameonywa kuhusu watumishi fulani fulani hawaskii, badaye wanajikuta kwa shida na walionywa 😢😢 ..
@gpaul860110 ай бұрын
Amina
@catherinenicander746810 ай бұрын
Mungu hakuna aliyemwona hata Musa akiona Moto kwenye kichaka:tusubiri neno la Mungu sio kujionyesha kuwa wewe ni nabii wa kweli,sio kusakama watumishi wenzio:hata wewe wako wenye kukuona kama mtumia shetani,kikubwa endelea kuhubiri neno bila kuwadhalilisha wengine,Mungu ndiye mwenyekujua kila Roho ya MTU,
@daudluswema-mx3ok10 ай бұрын
mtumishi hili jambo ungelisema mwanzo kabla hajafa ningesadiki,sasa huyo roho aliekufunulia wakati amekufa,du!! mungu atusaidie sana.
@barikimollel789010 ай бұрын
😢Tutafika Mbinguni tumechoka Sana Mungu Simama Na Sisi Waumini Neno Lako Na Likae Ndani Yetu Utumishi Haupaswi Kupingana Wao Kwa Wao Ila Ninaona Wengi wao Kwa Sasa Ni Wapiga Dili Tu anaemjua Ni Yesu kristo tu Hawa Waongeaji Wengi Bado Sana
@kigomamaranathagospelchoir26426 ай бұрын
Kabisa
@salimaechessa893311 ай бұрын
Mungu naomba ufungue babangu macho atambue manabii wa ukweli, yeye ni moja wapo ya waumini wa Tb Joshua,Kakande na Bushiri wote manabii wa shetani.Sina uhusiano bora naye kwa ajili ya kumwambia ukweli.
@feliciteruzunga465211 ай бұрын
Mungu hakusema wowote amupiganiye ni yeye peke atajipiganiya
@SabbyBABBY-z3x10 ай бұрын
Mimi nimekudharau sanaa
@roselynekasaya660710 ай бұрын
Be blessed the servant of God.
@gracekituhile584510 ай бұрын
Huu ni mtihani sasa, sijui yupi ni sahihi, mwenyezi tunaomba utujulishe
@HusseinLimbe10 ай бұрын
Karibu kwenye Uislam Madam Grace Kituhile Karibu kwenye Uongofu Karibu kwenye Njia iliyonyooka Mungu Akubariki
@3leggedbird22211 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia ili sisi waja wake kuone mwangaza
@anasialauwo492211 ай бұрын
Amen baba yangu
@agustinosimon254910 ай бұрын
May GOD open your eyes mtumishi........... Stick to your vision, focus on the cross of Calvary usipotoshe watu Don't preach what u don't know, even Jesus HIMSELF was rejected sikushangai ila mwenye macho ataona Nakushauri, fungua na usikilize mafundisho ya senior Prophet TB JOSHUAukimaliza utajua upo level ipi Pole, WATCH AND PRAY THAT U MAY NOT ENTER INTO TEMPTATION
@amonphilip590210 ай бұрын
Achana na hiki kituko kaka😂😂😂 ni pepo kama pepo lingine
@YasiniKombo11 ай бұрын
Mbona unaonekana una njaa sana
@mangalaemanuel479711 ай бұрын
NDIO Ana njaa ya kumtumikia MUNGU wewe je una njaa ya nini
@Derrickcontez-sj3qf10 ай бұрын
Jee huyu nabii anaitwA prophet owori ni mkweri
@BeatriceNyongesa-b2m10 ай бұрын
True kapisa
@asminmakoha688911 ай бұрын
Tena wengi Sana mtume MALI YABWANA wemepotea Niuruma🇶🇦🙏
@erickkagoro615110 ай бұрын
Ukiona mtu au mtumishi anamsema vibaya nabii TB Joshua Wala usiangaike naye huyo amemilikiwa na shetan bila yeye kujua. Kwa wengine unaweza wasema lakin Kwa TB Joshua? Mtu yeyote mwenye Roho Mtakatifu atakushangaa. huna tofauti na wale makuhan waliomwambia yule kipofu kwamba mpe Mungu utukufu Ila tunajua huyu mtu akutoka Kwa Mungu. Mimi mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na mizimu kupitia huyu mtumishi Mungu alinikomboa na miujiza IPO mingi ukitaka niiseme nitaisema. Ushauri wangu Muombe Mungu akupe Roho Mtakatifu Nina uhakika 100% huna Roho Mtakatifu maana bila huyu utaishia Kumwabudu Mungu Kwa hisia sio Kwa Roho Mtakatifu.
@christinemwende942810 ай бұрын
No one has the right to judge only God will judge them so let everyone do his work.
@MjakaziGladys11 ай бұрын
Unanena vyema Mtumwa wa Mungu...sio baba alisema chimbuko lake ni from TB Joshua na tangu apo mm nkaacha kumfatlia lkn nlkua nkimfuatilia....wenye maskio na wasikie Halleluya
@Hfane7It11 ай бұрын
Sipendi venye unaita wenzake umbwa,, niviema uwahubirie inyili ya mungu Ili wabadilike n waokoke amen 🙏
@MjakaziGladys10 ай бұрын
@@Hfane7It huo mstar ametoa biblia ndivo imeita mbwa .
@JennyAndrewAmnaay10 ай бұрын
Hujasema wanatatizo gani
@rosekamau297411 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 May the Holy Name Of Jehovah be Glorified by All Nations.
@joycekundo-uu5su10 ай бұрын
Usihukumu usiji ukahukumiwa.
@ElizaberthMagesa10 ай бұрын
Sasa tuoneshe nabii wa kweli ni yupi,maana kila nabii ni washeta,nabii Mungu ni yupi
@shaibumbwilo993810 ай бұрын
Jihadhari tu usichukue nafasi ya Mungu ,ukawahukumu wengine
@johnsinyinza745010 ай бұрын
Mchungaji unasema kweli wambiye wasitudangaye.
@feliciteruzunga465211 ай бұрын
Kugusa kwa tb Joshua umenigusa , na unagusa dunia nzima , God knows you , and will rewards you
@MeksonOscar11 ай бұрын
Wewe acha ujinga tb Joshua nimwana damu mwamini yesu TU.
@samuelnzusyo852211 ай бұрын
Mrudie Tena mtumishi
@trampiino11 ай бұрын
Hao ndio mapastor wanatoa nguvu kwa miungu za kutenda miujiza na kufunga watu macho na mahubiri ya Mungu.ukwili lazima usemwe sai tushajua mapastor wengi wa Africa nguvu zao za miujiza niza miungu.
@MiriamAbdallah11 ай бұрын
@@trampiinokunywa juice nakija kulipa
@NgieAngela10 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@JEREMIAHMADAMA198710 ай бұрын
Kuna watu wanahitaji kufunguliwa, au je hiyo huduma unayo, au ndio unawasema tu hao watumishi
@SurprisedBamboo-uz6xl9 ай бұрын
Ammna
@bettykendi810110 ай бұрын
Chenye najua Chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho Ezekiel anaconfuse watu na amewateka akili zao
@linetmbevi680610 ай бұрын
Amen kilicho fanyiwa Kwa Giza kitawekwa wazi
@SelinaKalema10 ай бұрын
Ni wakati wa Mungu kutengeneza kanisa nakujitambulisha Nguvu zake