MPINA KUITAFUTA HAKI MAHAKAMANI, HII NDO KAULI YAKE YA KWANZA BAADA YA KUFUKUZWA BUNGENI

  Рет қаралды 13,043

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#uhondotv #uhondo

Пікірлер: 131
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 3 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki na kukulinda sana katika kipindi hiki unachoendelea kupigania haki za watanzania.❤ Sana my Brother Luhaga Mpina.
@janethtender6774
@janethtender6774 3 ай бұрын
Tanzania ndio nchi peke ambayo mwizi analindwa anaemkimbiza anashambuliwa
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 3 ай бұрын
Huo ndo ukweli
@EsterNdalu
@EsterNdalu 3 ай бұрын
​@@yusufujemson9020kabisa hii nchi sijui inaenda wapi
@stewartmdebe4314
@stewartmdebe4314 3 ай бұрын
Ukiwa msema kweli siku zote Utapigwa vita mpina safi
@aloycelaizer2553
@aloycelaizer2553 3 ай бұрын
Wa kumshitaki ni spika ila mwambaa kumbuka Ndugai alikuwa na kosa gani kusema tusiwe na Deni kubwa Kisha anashinikizwa ajiuzulu Kwa maslahi ya nchi
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 3 ай бұрын
Ndunga mnafiki tu alikuwa anajua mchakato wote wa mkopo na aliubariki alipokwenda kwa wananchi ikabadilika kwa kutaka kiki
@CarlosMagige
@CarlosMagige 3 ай бұрын
Tunakusubiri upinzanini huku... Maana kwa uhakika hawatarudisha jina lako lipigiwe kura Jimboni kwako...!!
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 3 ай бұрын
Mpina mungu Akulinde kweli wewe ni mzalendo wa Taifa letu lakin hao wote walio ungana na uyo spika mkumpavu ya mwanamke tulia kukutoa Bungeni juu ya kutetea hali maisha ya watanzania wanyonge mungu Anawaona lakin wakumbuke walio kuweka hapo mbungeni zio tulia na samia ni wananchi wa jimbo lako 2027 zio mbali watajua Ajui
@BUDIDACHOYA
@BUDIDACHOYA 3 ай бұрын
Tulia Mpina! Kunyamanza nako ni hekima! Nilidhani unaijua CCM! Hapo ndipo unazidi kuyakanyaga!
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 ай бұрын
Hakuna lolote Mungu ndiye mpangaji wa yote
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 3 ай бұрын
Uko vizuri muheshimiwa mpina tunakufatilia sana
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 3 ай бұрын
M ungu wa HAKI AKUPIGANIE . LUHAGA MPINA HOYEEEE!!!! WATANGANYIKA TUKO NYUMA YAKO TUKOMBOE RASLIMALI ZETU .
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 3 ай бұрын
Respect Mpina Watanzania tupo nawewe 🇹🇿🙏
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Ole wao wasiporudisha jina lako uchaguzi ujao 2025 sisi na Mpina pote atapokuwepo walimbana Ndugai akanywea wamezoea Bunge la wafanya biashara na mabepari litafilisi nchi yetu
@daudmasanja9483
@daudmasanja9483 3 ай бұрын
mheshimiwa acha uongo umefukuzwa kwa sabab ya kushindwa kuheshim bunge kwa kutoa maelezo binafsi ya kuthibitisha waziri anadanganya kwa waandishi wa habar kabla bunge halijasikiliza na kutoa maamuz ya hoja zako
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 3 ай бұрын
Wewe nawe huelewi
@boaziamos1224
@boaziamos1224 3 ай бұрын
Unazjua sheria hlo n kossa? Na asingesema hayo kwenye vyombo vya habar wwe ungejua alichompelekea huyo spika
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
mpina aende chadema
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 2 ай бұрын
Baba usijali hilo ni jaribu 2 pia ni mapito 2 hivyo yasikufunje moya mwombe mungu na usonge na mbele
@sondajohn1371
@sondajohn1371 3 ай бұрын
Pamoja mliambiw wakmalza kushulikia wapnzan mtakulana wenyewe
@JosephManginja
@JosephManginja 3 ай бұрын
CCM wote wezi mkombozi uliobaki ni wewee mpina namkumbuka sana mzee ngosha.
@MikidadiMahumbi
@MikidadiMahumbi 3 ай бұрын
Hamna hapo umewafilisi wafanya biashara wa samaki nawenye walikua wanamungu
@MwinyijumaThomas-rp4sz
@MwinyijumaThomas-rp4sz 3 ай бұрын
Huku mpina kule Msigwa sijui ni chama Gani kinatenda haki🤔
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 ай бұрын
Mpina unaongea ukweli,Mungu wa ahadi za kweli akulinde daima,Amen
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 ай бұрын
Hiinchi ukionekana unatetea wanyonge unaambiwa unatumia ubabe
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 3 ай бұрын
HATA WAPAMBANE NAWR KWA KILA AUNA YA MBINU ZA KUKUDHOOFISHA WATANZANIA WANAJUA MBIVU NA MBICHI .HUU SI WAKATI WA NDIO MZER KIKA MTU ANAUHURU WA KUTETEA WANANCHI NA KUPINGA MIPANGO MIBOVU INAYOUMIZA RAIA .HONGERA MPINA NATHUBUTU KUSEMA SHUJAA MPINA.
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 3 ай бұрын
mimi nimelelewa kwenye chama,maridhiano ndio nguzo kubwa ya chama chetu,wamuite wamuweke chini kijana maisha ya endelee.
@cosein
@cosein 3 ай бұрын
We Kaka nakupenda sana unaipenda nchi yetu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 3 ай бұрын
Hayo ni maneno ya kwenye mtandao ila anaposhughulikiwa atatumia mwenyewe
@emanuelmchelemi2428
@emanuelmchelemi2428 2 ай бұрын
Pambana mpina siyo kuna wabunge kazi yao ni kupiga makofi tu na kuunga mkono kwa kila kitu mzarendo wa kweli
@MikidadiMahumbi
@MikidadiMahumbi 3 ай бұрын
Ata kulima nikazi maslai yanalleta shida
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 2 ай бұрын
Allah akupe maisha malefu mpina
@dayanikitambi2085
@dayanikitambi2085 3 ай бұрын
Sema mwamba tunakuelewa mungu atakuongoza
@musakitalala-xf5kl
@musakitalala-xf5kl 2 ай бұрын
mungu akutangulie
@paulombay6884
@paulombay6884 3 ай бұрын
Tuko pamoja ,twende tumshitaki bashe
@siamollel6051
@siamollel6051 3 ай бұрын
Na spika pia
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 3 ай бұрын
WAKATI UNAKARIBIA YALE YA KENYA. YAJA ,HAPA TANZANIA MAFISI EMU MTAJUTA MNACHOKIFANYA ENDELEENI
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 3 ай бұрын
Kabisa aisee
@BossiLaizer
@BossiLaizer 3 ай бұрын
Wengine sio wa kisesesa , lakini tunakuwelewa kuliko kawaida
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 ай бұрын
Mpina wewe ulichoma nyavu za watu ukiwa wazili wa uvuvi wengne walifaliki ila malipo ni bapa hapa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Yeye alifuata sheria ww kilaza,hakuvunja sheria yoyote.
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzkwa habari ya nyavu wengi walionewa, hata ng'ombe ilikuwa walikamatwa Leo kesho yake gari linawachukua kuwa wameshauzwa kabla ya hukumu, tunaishi huku usikatae
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
@@hassanmitayo1875 inawezekana alikosea kidogo tu tena kwa bahati mbaya tu ila mimi ninavyojua alifuata sheria.Unakumbuka magufuli alipokuwa kwenye wizara hiyo aliitia nchi hasara kubwa na kusababisha nchi kulipa mabilioni ya fedha kwenye kampuni moja ya uvuvi ya china baada ya kuchukua maamuzi ya kukurupuka.Mpina hakuitia nchi hasara.Hata hivyo haimzuii Mpina kuibua madudu pale penye madudu.
@selemaniigosha
@selemaniigosha 3 ай бұрын
Ww kondoo, kwa nn hukumpeleka mahakaman?
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
@@selemaniigosha jamii fulani ya wanyama huwa na lugha moja, sasa wewe kondoo mwenzangu uwe unatumia vizuri akili zako, usiwaamini sana wanasiasa mwingine leo katoka Chadema kaingia CCM, wanasiasa ni kama wanyama walao nyama, hivyo kondoo mwenzangu usiwe ng'wana byula uwe ng'wana kengela
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 3 ай бұрын
Wapeleke
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ай бұрын
Mheshimiwa Luaga Mpina Nakupa Saluti Wewe ni Mtanzania Kwelikweli sio mkimbizi kama bashe, Tena Wewe Ni Mtu Na Robo Tatu,Chapa Kazi JEHOVAH MUNGU Yupo Nawe Na Mimi Nakuombea Sana.
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 3 ай бұрын
Chini ya uongozi wa CCM au? Ninachoamini watacopy matokeo ya kamati.
@RaphaelEdward-g2f
@RaphaelEdward-g2f 3 ай бұрын
Mungu akulinde kipenzi chetu endelea kutupigania
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 3 ай бұрын
Wewe bwana una chuki binafsi kwa baadhi ya mawaziri kipindi chako cha uwaziri uliwavuruga sana wavuvi. Wacha kutaka huruma kutoka kwa watz.
@yokoi3970
@yokoi3970 3 ай бұрын
Mshamba ww tena fucken ww
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
Kukosoana kupitia vyombo vya habari sio utamaduni wa CCM, kwa kuwa umefikia hapo jivue ubunge ugombee kupitia chama kingine tena kisicho maarufu ili ushinde na kuthibitisha nguvu zako, nilitegemea utamshitaki spika kwenye chama chenu, kwa kuwa unakwenda mahakamani tunasubiri matokeo na tafasiri ya mihimili mitatu.
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 3 ай бұрын
Pole sana mwamba hiyo ndio ccm tulokua nayo akili kichwani mwako
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 3 ай бұрын
naona umeamua kuiburuza mahakamani mihimili miwili inayoongozwa na wanawake.Sasa unajaribu mhimili unaoongozwa na mwanaume.Hebu tuone kama utaamua tofauti na ile ya wanawake.
@noahirst914
@noahirst914 3 ай бұрын
Mbona huyu jama wakati alikuwa waziri wa mifugo na uvuvi aliboranga vibaya Sana. Watu walipigwa faini shillingi millioni tatu hadi millioni tano kwa kasifirisha kuku mmoja na samaki,kadha. alichoma nyavu na boti za wavuvi. Aliwaingiza wavuvi kanda ya ziwa katika umaskini.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 3 ай бұрын
CCM wana kazi ndogo tu. Kukufukuza uanachama wa CCM na kupoteza ubunge wako. CCM Wamemaliza mchezo.
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 ай бұрын
Wakati wewe na baba yako magufuli mnapima samaki kwa rula watu walipiga kelele hamkusikia ..Sasa unapata wapi ujasiri wa kuwahoji mafusadi wenzako
@gabapentin8070
@gabapentin8070 3 ай бұрын
Kwann hii nnchi ukiwa msema kwli unaonekana kiherehere unaonekana mjinga unaonekana unaongea vitu usivyovijua kwanini tanzania tumekua ivi !!?😡
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 3 ай бұрын
Mzee baba swala la kusimamia kweli sio jambo rahisi brother! Umegusa jambo ambalo wengi wagopa wewe USIOGOPE tuko pamoja!
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 3 ай бұрын
Hata ukishtaki, wakiamua wataamua wanavyotaka sisi WANANCHI tunakuelewa . Achana nao hawatatenda haki?
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 3 ай бұрын
Mwamba mipango Iko waziii chadema❤❤❤
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 3 ай бұрын
Nina imani na wewe Kaka mkubwa endelea kusimamia ukweli Mungu atasimama na wewe daima kweli haijawahi kushindwa elekeza nguvu yako huko kwa watafasiri wa Sheria tuone kama nako watapindisha sheria!! Hauna kosa Kaka umeonewa tu kutokana na Ubabe wa Viongozi wetu.
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 3 ай бұрын
Ningekuwa Rais mpina ningemuingiza kwenye baraza la uwaziri moja kwa moja.ili tuoane yeye anaweza kufanya vyema
@fredrickyakobo
@fredrickyakobo 3 ай бұрын
Ahahaha 😂😂😂 Mpina uko vizuri kwa kwel ila kumbuka ndani ya chama chako cha CCM ukiwa mkweli lazima upigwe spana
@severamtungi7036
@severamtungi7036 3 ай бұрын
Achana na Siasa kaka watakuuwa ,hii ni nchi yao sisi wote wakimbizi
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 ай бұрын
Anajitoa ufahamu na kupotosha,alipokosa kuita press wakat jambo lipo kwenye kamati ya bunge ya jambo hlo
@SamwelRichard-ep4sd
@SamwelRichard-ep4sd 3 ай бұрын
Jiongeze weewe
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 3 ай бұрын
TUMPE SUPPORT ILI HAWAPIGE SPANA WEZI HAO
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov 3 ай бұрын
Hii haikubaliki Mh,tuko pamoja Wana nchi tunakufuatilia. Nimambo Ya Ajabu Sana 🙏 usiludi nyuma.
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 3 ай бұрын
Hongera sana Mpina
@LucasMapundu
@LucasMapundu 3 ай бұрын
Hyu jamAA Anaongea point sana ila kuna wabunge wajuaji wanaoleta mamb yaajabu
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 ай бұрын
Kikokotoo wala hakujafurahiwa kwa 40% hzo
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 ай бұрын
Hamia upinzani kama hukubaliani na chama chako tafadhali
@djumakonki1964
@djumakonki1964 3 ай бұрын
Hii nchi ya Tanzania kuna vituko vingi sana !!! waandishi wa habari wanapiga makofi baada Mheshimiwa Mpina kumaliza kuongea !😂 MwenyeziMungu tusaidie.
@boaziamos1224
@boaziamos1224 3 ай бұрын
Mpina anaongea kama utani vile lakn kamaliza Na hurudii maneno
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 ай бұрын
Gombea urais, nchi inahitaji kuangalia wananchi wake.
@BossiLaizer
@BossiLaizer 3 ай бұрын
Ukweli unagezwa dhambi Tz. Mungu atakutetea
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 3 ай бұрын
Kama nyavu zetu za samaki,huku kigoma zilivyomwa ukiwa waziri.tatizo hapo,wakupe hata unaibu
@sambulugu9988
@sambulugu9988 3 ай бұрын
Ziwa Tanganyika linafungwa na kukosa samaki!
@dottomabula7253
@dottomabula7253 3 ай бұрын
Jamaa ana akili nyingi
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj 3 ай бұрын
Kuweni kama wakenya
@josephbisare1629
@josephbisare1629 3 ай бұрын
Lema,lisu,Sugu,walifukuzwa miaka mingi bungeni.. Na hukusema chochote, Leo wewe kutimuliwa tu kwa siku chache kelele nyingi
@BenardMwigulu-ml7pq
@BenardMwigulu-ml7pq 3 ай бұрын
Mwanaume kujipambania
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 3 ай бұрын
Walitakiwa nao kujipambania
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 ай бұрын
Huyu jamaa anauchungu sana nchi
@MussaBundala-yg8nw
@MussaBundala-yg8nw 3 ай бұрын
Mungu atakusimamia ingia cotini kakaaaa
@mungatandassa5453
@mungatandassa5453 3 ай бұрын
Brother mpina usivunjike moyo tuko pamoja na ww ..
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 ай бұрын
Pole jembe
@nyembobea7285
@nyembobea7285 3 ай бұрын
Acha unafiki wewe mbona wakati wa magu watu walilazimishwa kununuliwa korosho zao mtwara kumbuka hata wewe ulikuwa waziri wa mifugo ulitesa sana watu wewe ulidiriki kupima samaki bungeni kumbe unataka kuendeleza mapambano na sasa wewe ni mwanaharakati basi nenda chadema
@fidellujo8362
@fidellujo8362 3 ай бұрын
Ww umefanya nn kwenye nchii hii au kujaza choo
@LuciaMagoli-en7eb
@LuciaMagoli-en7eb 3 ай бұрын
Leo nimejua unaweza kuwa msomi lakini kitu kidogo kikakufanya uonekane wakawaida hapo unajidhalilisha tu ata wewe ulipo kuwa waziri wa uvuvi ulifanya madudu
@yokoi3970
@yokoi3970 3 ай бұрын
Kwaiyo iwe kitu cha kawaida sbbu na yy akifanya acha ushoga
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 3 ай бұрын
Hongera mpina
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Nakushauri uwachane nao.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 3 ай бұрын
Kosa lako ni unafiki. Haya yote unayasema baada ya kuwa nje ya baraza la mawaziri?
@AlenKinyina
@AlenKinyina 3 ай бұрын
Siku zote anasema sema wewe ni mnafiki CCM kenge
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 3 ай бұрын
Nenda tu mahakamani
@JoffreySanga
@JoffreySanga 3 ай бұрын
MPINA 🔥🔥🔥🔥
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 3 ай бұрын
Aende mahakamani
@LuciaMagoli-en7eb
@LuciaMagoli-en7eb 3 ай бұрын
Hapo unajianika tu watu wa jimboni kwako waanze kuangalia mbunge mwelevu wewe ni mnafiki tu.
@fidellujo8362
@fidellujo8362 3 ай бұрын
Kalia kiti
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 3 ай бұрын
We chawa tulia acha aseme ukweli
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 3 ай бұрын
kazi kazi
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 ай бұрын
So sad!
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 3 ай бұрын
Huyu hana lolote zaidi ya unafiki.
@AlenKinyina
@AlenKinyina 3 ай бұрын
Wewe ndo mnafiki kwani anachoongea hapo ni uongo?
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 3 ай бұрын
@@AlenKinyina Bila shaka hujui maana ya unafiki. Hivi wewe unadhani shetani hamjui MUNGU? Anamkubali na kumdhirisha kuwa MUNGU yupo. Ila atabaki muasi vilevile daima.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 3 ай бұрын
Kosa lako ni unafiki
@fidellujo8362
@fidellujo8362 3 ай бұрын
Kalia chuma
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 3 ай бұрын
I like 🇰🇪
@NicholausZongo
@NicholausZongo 3 ай бұрын
Kapime samaki mjinga
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 3 ай бұрын
Sasa ujinga unatokea wapi jamani????😊
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 ай бұрын
WAKATI ULIKUWA UNAPIMA SAMAKI KWA RULA ULIKUWA UNASIMAMIA HAKI YA WAVUVI AU
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 3 ай бұрын
Pamoja na kukuunga mkono kwenye kulieleza taifa ufisadi wa huyo Msomali lakini wakati ukiwa waziri serikali ya mwehu mwenzako,unayakumbuka madudu yako?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Madudu yake yapi?
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 3 ай бұрын
Wewe Mpina acha unafiki, wewe kutolewa tu bungeni unalalamika. Mbona hujawahi kemea makubwa wanayotendewa wengine. Unajifanya huelewi wewe endelea na ujinga wako.
@songamberetv2219
@songamberetv2219 3 ай бұрын
Kosa ulifanya ni kwamba ulitowa kashifa kwa waziri bashe spika kakwambia utowe ushaidi kama sheria ya bunge inavyosema wewe ukaenda kwenye mitandao kutowa ushaidi hatakama una ukweli lakini lazima ueshimu sheria za bunge
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Hilo sio kosa
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 3 ай бұрын
Ofcourse but why bashe achunguzwi? Yupo tu
@fidellujo8362
@fidellujo8362 3 ай бұрын
Ww hujui kitu tulia
@songamberetv2219
@songamberetv2219 3 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz nini sasa 🤣
@songamberetv2219
@songamberetv2219 3 ай бұрын
@@fidellujo8362 haya tufahamishe sasa wew
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 3 ай бұрын
Kiukwel nimeumia san lakin ipo siku
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 94 МЛН