MPINA AIBUA MAZITO "NILITEGEMEA HILO, SIJAWAHI KULALAMIKA, MIMI NI MWAMINIFU" AMWIBUA NDUGAI NA....

  Рет қаралды 3,675

Uhondo TV

Uhondo TV

4 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 19
@Shalom803
@Shalom803 5 сағат бұрын
Pole Hon Mpina. Ukweli siku zote unasimama. Nyamaza kimya. Tulia kimya. Tena wala usihame chama. Mungu atakutetea😊
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i 2 күн бұрын
Pole sana!!
@user-sr9xz7od6p
@user-sr9xz7od6p 3 күн бұрын
Kalibu chadema
@JosephMpina
@JosephMpina 3 күн бұрын
Naamini munguatakutetea
@monicachacha455
@monicachacha455 3 күн бұрын
shida nini😂😂😂
@michaelmizambwa1246
@michaelmizambwa1246 2 күн бұрын
Endelea kuwa kweli kwa yale unayoona bayana,..una mtazamo na msimamo tofauti ukiachana na wengi hasa kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
@brendashao36
@brendashao36 3 күн бұрын
Pepo tokaaa maana naandika nafuta naandika nafuta nisije jukuta pabaya. Pole kaka Mpina
@FelicianSimon
@FelicianSimon 2 күн бұрын
😂😂
@FrankAldo-z7y
@FrankAldo-z7y 2 күн бұрын
Huyu Mama mkumbuke wtz kuwa ndo aliyetuleta kwenye mita mia mbili katika uchaguzi ndo likawa daraja la unaibu spika au mmsahau
@hakikahajijecha3558
@hakikahajijecha3558 3 күн бұрын
Ndugu Mpina kaa kimya, muungwana akivuliwa nguo uchutama hakimbii bila ya nguo... Unazidi kujichafua...kubaliana na maamuzi ya wengi pengine ni jibu sahihi kwako...
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 2 күн бұрын
Wewe nyamaza huna unalolielewa
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i 2 күн бұрын
Anajichafua Nini wewe ni tope kabisa
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 күн бұрын
We acha upumbavu wale wote wamepigwa pesa ili wamuwajibishe mpina bunge la tanzania ni bunge la kutetea uovu na wizi wa serikali nchi hii tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na bunge la kuwatetea wananchi ila huwa ni bunge la kutetea wezi wa serikali na machawa wa maspika na rais
@FelicianSimon
@FelicianSimon 2 күн бұрын
​@@user-kx5dt5ih2impina ni jembe kaa kmy
@LazaroELucas
@LazaroELucas 2 күн бұрын
Utatolewa halafu msigwa atakuja huko Sisi ndio watanzania
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 2 күн бұрын
Jitafakari kwanza
@fredrickyakobo
@fredrickyakobo 2 күн бұрын
Kuna kitu hapa. Namwona Mpina akiwa chadema
@FelicianSimon
@FelicianSimon 2 күн бұрын
Big no ccm hawata muangusha
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 95 МЛН
NAIBU WAZIRI: WAKUU wa MIKOA WENGINE MUIGENI MAKONDA,.
6:03
HABARIMPYA TV
Рет қаралды 7 М.
MPINA KAMA MPELELEZI ANASA NYARAKA / ABAINI UOZO HUU
13:28
Uhondo TV
Рет қаралды 13 М.
BAMBO NA MTU MREFU COMEDY RECAP
8:53
Bambo Comedy
Рет қаралды 45 М.