MPINA;"NIMEONEWA, NIMEFUKUZWA BUNGENI KWA FITNA, WALINICHONGEA, WATAKUWA NA KIBARUA KIGUMU CCM"

  Рет қаралды 4,377

Uhondo TV

Uhondo TV

7 күн бұрын

#uhondotv #uhondo

Пікірлер: 40
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 4 күн бұрын
Kumfungia mpina kuna maana bunge halitaki wananchi wajue nini kinaendelea na limeshindwa wajibu wake wa msingi kuisimamia serikali
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 күн бұрын
Hawo wote walaji. Tofauti kati ya matajiri na masikini inazidi kukuwa, hii ni kwasababu bunge liko upande wa mafisadi. Ukiwachunguza matajiri hawa, wamejitajirisha kwa kupiga tenda. Hata Magufuli alichukiwa wakati wengine bila yeye wasingekuwa bungeni. Mpina tumeona mbele ya macho yetu. Inasikitisha wanapoanza kutowa na kumutanguza Mwenyezi Mungu huku hawafuati haki. Hii ni aibu kubwa kwa bunge. Hawa wameshaona wanaongoza wajinga. Wabunge wengi bungeni wamebandikwa tu. Wengi hawajuwi kinachoendelea bungeni ni kushangilia tu na kupiga meza
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 күн бұрын
Kwa kweli hawakukutendea haki,tulia nimetokea kukuchukia sana
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 күн бұрын
Hongera Muheshimiwa Luaga Mpina HAKIKA Wewe Ni Mtu Na Robo Tatu
@MariaNyanyama-r8k
@MariaNyanyama-r8k 5 күн бұрын
Wataelewa tu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 күн бұрын
Speaker Tulia, kuna wabunge anawaogopa. Hata wakiwa na Mąkosa hasemi kitu, zaidi ya kumung’unya maneno.
@allykassim1120
@allykassim1120 4 күн бұрын
wabunge wanafiki tumeshawajua 😅😅😅hadi wewe msukuma
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 3 күн бұрын
Unajua sana mpina na unafaa kuigwa na watu wote sena ukwel unaumaaaa na ukwel wako washajua
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 4 күн бұрын
Speaker Tulia upoooooooooo!!!!
@wanguwangu34
@wanguwangu34 4 күн бұрын
Bribe is leading in the world and no body will listen you front of thieves whom your accusing them.
@user-op7eu9gv6x
@user-op7eu9gv6x 4 күн бұрын
Luhaga uko sahihi
@MonayLai
@MonayLai 4 күн бұрын
Huyu mwamba anahoja ya msingi nimemuelewa sana spika alichochewa tuu na wabunge kwa kuambiwa eti amemdharau
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 4 күн бұрын
Waziri si wakisesa semea tz na subiri mamlaka
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 күн бұрын
Mbunge Mpina mzarendo,wapeleke mahakani hao mafisadi,
@paulmrope6002
@paulmrope6002 4 күн бұрын
hasan una maslahi gn na upigaji mali za umma kwa baadhi ya viongozi? Acha kuwa chawa wa wapigaji
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 4 күн бұрын
Mpina kunyamaza ni ungwana maana adhabu ushapewa na hamna kitakacho badirika. Kaka acha kulialia utaharibu Tena, shauri Yako.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 4 күн бұрын
Usiwe mpumbavu huyo mpina yuko sahihi sana
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 күн бұрын
Mpina mtetezi wa wananchi,peleka mahakamani hao mafisadi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 күн бұрын
Kunyamaza kwetu ndiyo tunaonekana wajinga na viongozi kutuongoza kama ng’ombe. Na ukiona mtu anaonewa na wewe kukaa kimya na wewe unakuwa mmoja wa waoneaji. Ujinga wetu ni kukubali kuzibwa midomo. Hakuna mtu Ana haki ya kutunyamazisha
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 күн бұрын
Wa kushauruwa kunyamaza ni wewe wala siyo Mpina. Mpina anatimiza wajibu wake kuwasemea wananchi wapiga kura wake. Uungwana kwake ni kutokuwa mnafiki kwa kuyanyamazia maovu.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Anyamaze ili iweje?Ili waendelee kuwalinda mafisadi na wezi wa mali ya umma.
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 4 күн бұрын
Kaka punguza jaziba vita Yako binafsi ya wewe na Bashe na mwigulu kuwa nayo makini, njia unayotumia na mahala ulipo uenda sio sahihi. Nafikiri unawafahamu korimba, kigoma Malima na wengine. Kuwa jasili Toka huko nenda upinzani ukatetee hizo hoja zako .
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 күн бұрын
Mpina yuko sahihi
@bakanga1410
@bakanga1410 4 күн бұрын
akae huko huko awanyooshe,na tuwaone wanafiki wengine ndani ya ccm
@hassanamani2131
@hassanamani2131 4 күн бұрын
Mpina badilika ndugu yetu, usijifanye wewe unajua kuliko wabunge wote, jitathimini wewe ni binadamu huwezi kujua Kila kitu
@MariaNyanyama-r8k
@MariaNyanyama-r8k 4 күн бұрын
Maelezo ya Mpina umeyasikiliza na kuyaelewa au bado umelala Comrade?
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 4 күн бұрын
Ushabiki mbaya
@MariaNyanyama-r8k
@MariaNyanyama-r8k 4 күн бұрын
Hakika
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 күн бұрын
Jitathimini wewe si mbunge huwezi kujua kila kitu, badilika ndugu!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 күн бұрын
Hassan wewe unajua nini kuhusu sakata hili? Au ni shabiki wa wanasiasa? Unajua kashfa ya Escrow Richmond Dowans nk. yalivyoanza?
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 61 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 23 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 55 М.
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН