Dont stop doing what you're doing dada angu, umenisadia saaana saana kwenye maisha yangu ya kibachelor nikikwama kwenye ideas au how to's za kupika nakuja hapa kwako😁😁. Umenisave sana aisee, nisipofungua restaurant sijui, maana interest ya kupika imeongezeka baada ya kudiscover channel yako 😊❤❤💯 Appreciate you my sister Ika
@user-pd2fk6kt5i20 күн бұрын
Mama kijasho wetu twakupenda sana hila usipende kunywa vitu vyabaridi sio vizuri kwa mtoto❤❤❤ jitahidi uepukane na vivyaji vya baridi
@SifaJasitinАй бұрын
Mungu akuweke dada Ika na kijacho wako jaman mwenzako nimeshusha ijumaa usku ka baby Boy karijua kunitesa jaman ❤❤❤❤❤
@ikamalleАй бұрын
Amen Amen! Hongera sana, mungu azidi kuwalinda na nyie❤️❤️
@user-sn6js2ze3rАй бұрын
Hongera sanaa mtuombee na sis wenye uhitaj watoto❤
@SifaJasitinАй бұрын
@@ikamalle Asante mwaya
@SifaJasitinАй бұрын
@@user-sn6js2ze3r MUNGU akutimizie hitaji la moyo wako best
@lilianestephanie788123 күн бұрын
@@ikamallefanya water birth
@nasraemmanuelАй бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza kukupenda tu ndio najuaa❤❤❤❤❤❤❤