SATIVA amepatikana, ktk Hifadhi ya Katavi, amepigwa na kuumizwa, 'hajui waliomteka, miguu imevimba',

  Рет қаралды 17,087

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

SATIVA amepatikana, ktk Hifadhi ya Katavi, amepigwa na kuumizwa, 'hajui waliomteka, miguu imevimba',

Пікірлер: 96
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 24 күн бұрын
Pole sana sativa ,Hawa askari,mungu anawaona wanatumwa kuuwa watu kwa maslahi yasio ya kwao,
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Ай бұрын
Doh!!! Eeh Mungu, nimetoka kuangalia enterview ya kupotea kwake mara gafla huyu apa❤️🔥 Ila Mungu atawahukumu waliotekeleza hayo
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 Ай бұрын
Mpeleken hospital kwanza watu wanaanza kuhoji at least apatiwe huduma ya kwanza
@ellianoah1416
@ellianoah1416 Ай бұрын
Maswali ya nini mtu anahitaji huduma ya haraka,Mtu amepatwa shida huduma ya kwanza apelekwe sehemu husika kama ni mgonjwa apelekwe hospital
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Kuna wakati hata hujui huandike nn jamani.Mungu awahukuwa maadui zetu kabla hawajatimiza hila zao.kama alivyoandika Isaya 49:26 .Adui zety waleweshwe mvinyo wa damu zao wenyewe na washibishwe kwa nyama zao wenyewe.Amen!!
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Ай бұрын
Kwanini isiwe hospital direct alaf maaskari wamfate kumchukua maelezo hospital na hio PF3 Sabab kama ni hali mbaya na ni emergency alaf anaanzia police…!!!!!? Au naomba kuuliza kwann mtu akiwa kaumia sana lazima ianze police kwanza?
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 29 күн бұрын
Mimi anayeuliza ananiudhi badala ya kumwahisha hospitali mnahoji nini muwahisheni duh jamani
@amedeusfredrick1614
@amedeusfredrick1614 Ай бұрын
Badala asaidiwe mtu anaumwa mnakazana kurekodi na maswali ya kiwaki ya kurudia rudia
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Ай бұрын
Jamani jamani, seriously mtu yupo ktk hy Hari badara mumpe huduma ya Kwanza,m'kazana na kuhoji kweli😢😢😢?Tz nchi yangu
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Ай бұрын
Very bad mtu anapambania uhai wake still wanamzidishia mizigo mingine.Japo maelezo yake ni muhimu ambayo yanatoka kwenye kinywa chake akiwa hai.
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Ай бұрын
Weweeee, Dunia imebadilika hii, usikirupule kumuokota mtu bila kukiridhisha kwanza, utakuja kuuziwa majanga ndugu, kauliza maswali ya msingi Sana, na akarekodi km ushahidi
@user-fn3gc9cu2d
@user-fn3gc9cu2d Ай бұрын
Ni lazima amuhoji anaweza kukufia mikononi mwako ukose pa kumpeleka , na pia Kwa hali aliye kutwa nayo ni lazima umuhoji maswali mawili matatu Ili kumpima utimamu wa akili , kumbuka hawamjui huko .
@sarahnyithambe6726
@sarahnyithambe6726 29 күн бұрын
Tena anasema kichwa kinauma alafu bado wanampa maswali, sijui angekuwa mwanae wa kumzaa angekumbuka hayo maswali​@@MCNgakungaJunior
@frankpaul5951
@frankpaul5951 27 күн бұрын
Bongo mambo mengi wewe unaezaa muwahisha huko ukanganganiwa wewe utalisaidia jeshi la police
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 29 күн бұрын
Huyu askari bwege sana Mtu analalamika kichwa kinamuuma unazidi kumuuliza maswali kibao Alafu Hapo hakuna haja ya Kumpeleka police mpelekeni kwanza hospital 🏥
@enjoomaliya1399
@enjoomaliya1399 29 күн бұрын
Pole sana Mungu atakusaidia utapona
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Ай бұрын
peleka hospatal acha maswali
@dahuu8461
@dahuu8461 Ай бұрын
Sasa wanamuhoji vinini mtu akifia hapo shenzi type...
@user-wr7wp9sl2p
@user-wr7wp9sl2p Ай бұрын
Badala ya kumkimbiza hsptl mapema akapate matibau, ameshawaambia kichwa kinauma nyie mnaanza kumhoji hojo maswali. Ndo shida wa waandishi wa TZ. Mnakera
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 21 күн бұрын
Mungu wangu inauma hayo mambo yanakela sana kwa nini kijana wa kitanzania atendewe udhalimu mkuu namna hii ni nini eti tuigeuze tz kama somalia tuliowapigia mifano leo twataka watupigie mifano sisi? nani huwaghalimia wadhalimia wadhalimu watuchafue kwa viwango hivi nani huwatuma wachafue taswila yetu mbele ya mataifa yote tuonekane miongoni mwa nchi zisizothamini uhai wala utu? Hebu kwa pamoja tuwakatae wadhalimu kwa nguvu zetu zote tanzania ni yetu sote tuipende na kuitakia amani ee mungu ibaliki Tanzania utuludishie amani yetu wadhalimu wote wavikwe aibu na fedheha na damu za waliowadhulumu ziwe juu ya vichwa vyao wenyewe
@daudiedsonrichard509
@daudiedsonrichard509 Ай бұрын
watu wanamambo ya kisenge sana. yani mtu anaonekana yupo kwenye hali mbaya alafu wanaanza kumuuliza maswali ya kisenge kisenge tu. pumbavu kabisaa. mbwa nyie. mtu anatoa damu nyie mnaleta upumbuvu wa kuhoji maswali. mbwa nyie
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Ай бұрын
Yaan wanakeraaaa kumuuliza maswali mtu akiwa na maumivu hivyo
@daudiedsonrichard509
@daudiedsonrichard509 Ай бұрын
@@HappyMwaigwisya wanakera sana. hapo utashangaa kupata matibabu hadi apitie polisi kwanza
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Ай бұрын
@@daudiedsonrichard509 yaaniiii
@Francis-bi1gu
@Francis-bi1gu Ай бұрын
😢😢 Ila bongo wanauliza maswal ambayoo hayan maan kbs ety umepigwaa
@user-fn3gc9cu2d
@user-fn3gc9cu2d Ай бұрын
Lazima amuhoji anaweza kukufia mikononi mwako ukose pa kumpeleka , na pia Kwa hali aliye kutwa nayo ni lazima umuhoji maswali mawili matatu Ili kumpima utimamu wa akili , kumbuka hawamjui huko
@MvpMsuya254
@MvpMsuya254 27 күн бұрын
maswali mengi ya nini wa bongo nyinyi jalini afya kwanza eti ulikuwa na hela?😢 ...then uyo maza anataka ampeleke polisi kwanza badala ya hospital jmn jmn.
@athmankiama1133
@athmankiama1133 27 күн бұрын
Sisi wabongo tutabadilika lini!!mtu anaumwa mpeni msaada kwanza mazwali mengi mpaka mtu afariki daah!!!tubadilike Jamani
@dorcasassenga2005
@dorcasassenga2005 29 күн бұрын
Masikini! Alijua anepata msaada wa Haraka, badala yake anakutana na Interview 😢 Waandishi wa habari jamani! Imagine ni wewe uko katika hali hiyo unaanza kuhojiwa😢
@EstherJoram-gt4lt
@EstherJoram-gt4lt 25 күн бұрын
Polee jaman 😢
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti 28 күн бұрын
Hii nchi ngumu sana badala ya kumsaidia mtu mamuhoji
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt Ай бұрын
Pole sana Mungu akuponye cha msingi uzima wako.
@brendaurio4480
@brendaurio4480 Ай бұрын
Sasa si wamepelek hospital jmn hao kaah jmn
@user-fn3gc9cu2d
@user-fn3gc9cu2d Ай бұрын
Lazima amuhoji anaweza kukufia mikononi mwako ukose pa kumpeleka , na pia Kwa hali aliye kutwa nayo ni lazima umuhoji maswali mawili matatu Ili kumpima utimamu wa akili , kumbuka hawamjui huko
@davideditz2049
@davideditz2049 25 күн бұрын
Hii ndo kitachokutokea ukipigia police kama upo na shida
@user-pj8ul5hz8e
@user-pj8ul5hz8e Ай бұрын
Ila wadamu bhna Mungu atusaidie kwa kwely
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Ай бұрын
Hizo hela zanni tena mzeee au ndo pesa kwanza wakati unamuona amechakaa ivo unawaza kuwa na pesa mfukon kwake
@nuruosward8161
@nuruosward8161 Ай бұрын
Yaaan jaman baada ya mtu kumkimbiza hospital mnamhoji mtu kama mzima watanzania tuna nn lkn au nia yenu awafie hapo😢😢😢😢 ujinga wa viwango😢
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Japo Dada Ulichukua Ushaidi Lakini Amkutakiwa Kuoji Mtu Ivo Na Macho Mko Nayo Acheni Mengine Yapite
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 Ай бұрын
Anaulizwa kama alikuwa na hela jamani mungu tusaidie watoto wetu
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 28 күн бұрын
😮😢😢 😭😭 My 🇹🇿 😰😭
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 29 күн бұрын
Uyo anaye muhoji msenge ,Sasa Kama mnapitia polisi kwanini msimsaidie mtamuhoji uko,mtu anaumia Apo ,mshenz🤒🤒
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 Ай бұрын
Weeeee dada jaman mtu Anaumwa
@edishaa3108
@edishaa3108 Ай бұрын
Alikua na hela iweje mzee
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Ай бұрын
Inatia hasiraaaa
@user-wr7wp9sl2p
@user-wr7wp9sl2p Ай бұрын
Nami nimeshangaa....maswali mengine hayana mashiko.
@broganbig6651
@broganbig6651 Ай бұрын
Inamaana😮 baada ya kumuhoji hapo hata hojiwa tena.... Hakuna maana ya kumuhoji mtu wakati analia na maumivu hapo hauta pata taarifa kwa ufasaha kama ni pf3 report ingefata baada ya kupatiwa huduma (matibabu) Vyombo husika inabidi viangalie upya taratibu hizi badala ya kuokoa maisha tunaweza kujikuta tunawapoteza wapendwa wetu
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Jaman mahojiano yangeendelea wakati process za hosp zinaendelea
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
mh kwann mnamrekodi jaman kwenye iyo hali af mnapost bora mngeweka tu picha jamani mtu anavuja damu hvo duh😢😢
@user-ug3lu2km4c
@user-ug3lu2km4c Ай бұрын
BORA WALIVOPOST AMEONEKANA ALIKUA ANATAFUTWA TAARFA ZAKE KWA MILLARD AYO
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 Ай бұрын
Maskin jaman 😢😢😢
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
@@user-ug3lu2km4c najua ndio lakin inasikitisha iyo video
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Mungu akuponye SATIVA
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Ай бұрын
Yani some time mnaboa sana asaidiwe kwanza awe china ya ulinz alafu mahojiano mjue katoka wap na mengine dar hapo mmefeli
@Yustonlutefu-yh8qo
@Yustonlutefu-yh8qo Ай бұрын
Yaan watu wanamhoji kwanza badl kumpeleka hospital hii bongo shuhuli😢
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Eti Kwaiyo Wamekupiga Wakati Mnamuona Yuko Oi
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 29 күн бұрын
Duu alipelekwa kalakana ya wapi? Wasiojulikana wajulikana mungu ni mwema nashauli taasisi inayohusika na hilo kalakana ambalo ndugu huyo alihifadhiwa taasisi hiyo ijitenge na kashfa hiyo ya utekaji kwa kuwaweka wazi watekaji
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 Ай бұрын
Yan mtu apelekwe police ndo apelekwe hospital please serikali itoe huo utaratib ingekua ni baba ake au mwanae angeanza mhoji hayo yote? Mtu apewe huduma ya kwanza kisha mengine yafate
@elinamimtaita6724
@elinamimtaita6724 Ай бұрын
Ni sahh kimhoji lkn analalamika kuumwa wangempeleka hospitali chini ya uangalizi wa police akipata nafuu wamhoji wanazd kumchosha tuu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Ай бұрын
Eti,wamekupiga?? Hapo mtu anadamu
@meshajohn8713
@meshajohn8713 Ай бұрын
Xida yahawa nimboro mkononi hawajui ,nihatariii
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 Ай бұрын
Sasa polisi ya kazi gani surely, mtu akiwa katika hali mbaya hukimbizwa hospitali na si polisi. Polisi wapaswa wamfate huko hospitali wamuhoji🤨😏😏
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Ай бұрын
Masikini jmn msaidieni kwanza
@castorinampunga6387
@castorinampunga6387 Ай бұрын
Munamuuliza maswali MTU yupo ktk Hali hyo na anajieleza anaumia, nyie munatoa wapi ujasiri wa kuendelea kumuuliza badala ya kumchukua kumpeleka hospital na akikaa Sawa ndipo mumuulize hayo maswali munayoyaona muhimu Kwa muda sahii, mbona munapoteza muda😢
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Ай бұрын
Hao wanaomhoji mtu akiwa hali hii ya maumivu hivi natamani kuwapigaaa dah hasira sana. Mnaulizaje maswali mtu anaumiaaaaa
@Zubaiba
@Zubaiba 29 күн бұрын
Mpelekeni hospital kwanza
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v Ай бұрын
Yaani poles badala umsaidie kwanza ata kumpa uduma ya kwanza mnaanza kumuhoji kwanza
@Dulla_kite
@Dulla_kite Ай бұрын
Acheni ujiga nyiyi mchukuweni hospital 😭
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 Ай бұрын
Yale yale ya unanijua mm nani!???
@Esteriajoseph-yk8bq
@Esteriajoseph-yk8bq Ай бұрын
Mtu analalamika anaumwa mzidi kuhoji so atakufa toa huduma mahojiano badae
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Ай бұрын
Mpelekeni mojakamoja hospital nyie mnamzingua mtu snsumwa peleka hospital then mahijiano nyie vp bwana
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Ай бұрын
Pole san kaka
@Gml-wi5nv
@Gml-wi5nv Ай бұрын
Jamani
@mustaphakaimu5810
@mustaphakaimu5810 Ай бұрын
Baada wamplk hospital wanamuhoji
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Ай бұрын
😢😢😢
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Ww polisi mpeleke hospital jaman atakufa
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 Ай бұрын
Bwana Yesu Bwana Yesu Bwana Yesu Mponye Edgar
@yonamallo6277
@yonamallo6277 Ай бұрын
😢😢😢😢
@rehemajackson
@rehemajackson Ай бұрын
😭😭
@user-uy3uk2ul5b
@user-uy3uk2ul5b Ай бұрын
Yani mnamuhoj wakati yupo kwenye maumiv makali
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
jamani jamani kawakosea nini
@festosambala8372
@festosambala8372 Ай бұрын
Scary
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Ай бұрын
Mtu yupo vibaya anaanza kumuliza maswali.
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Ай бұрын
Mpelekeni hospital kwanza nyie mbwa
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 Ай бұрын
Uyo dada kuma kweli, mi nisingejibu
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
ata mimi ningejitupa hapo waongee peke yao
@taucdulle7460
@taucdulle7460 Ай бұрын
Asubiri mtu anaumwaaa😢😢
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Ай бұрын
Mpelekeni hsp mtamuhoji uko
@MihayoMjomba
@MihayoMjomba 28 күн бұрын
Subiri nini acheni usenge
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Ай бұрын
Zama za magu zimerudi
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 Ай бұрын
Sisi wa tz niwajinga sana yani badala ya kutoa msada wa halaka huduma ya kwanza hospital matibabu yaanze maswali ya kijinga yana anza huniujinga ulokisili yani ujinga mwingi sana
@teraluhizo9991
@teraluhizo9991 Ай бұрын
Tumerudi kule kulee! Unajua mi mtoto wa nani..
@sudymgeni701
@sudymgeni701 28 күн бұрын
Sasa swali la kijinga sana eti ulikua na ela ili akupe au.mtu anasema kichwa kinamuhuma nyinyi maswali Sasa mfano akifia hapo inakua nani wamakosa
@ufundi_tz
@ufundi_tz Ай бұрын
very stupid ... yan wana muuliza maswali gan hayo ... acheni Ujinga
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Ай бұрын
Ulikuwa na hela???? Mtu alie umia hivo jamani unamuuliaaje swali la hivi daaa
Sativa kupatiwa matibabu Dar, ndege yapata dharura
5:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
VIJANA WALIOWEKA HISTORIA KWENYE MAANDAMANO KENYA
7:08
Wasafi Media
Рет қаралды 250 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 61 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 293 М.
Всегда проверяйте зеркала
0:19
Up Your Brains
Рет қаралды 21 МЛН
Детство злой тётки 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 4,7 МЛН
ЖВАЧКИ!!!
0:47
Li ALINA
Рет қаралды 5 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 18 МЛН