15 June 2024
1:09
5 ай бұрын
Hija
5:36
5 ай бұрын
العنصرية في الغرب
2:08
SUALA LA ARAFAH
9:35
5 жыл бұрын
43. HUKUMU YA MABUGHATI
26:31
6 жыл бұрын
42. MILA SITA NA HUKUMU ZAKE.
12:51
6 жыл бұрын
41. NGUZO ZA DINI
18:11
6 жыл бұрын
40. WARAA
16:02
6 жыл бұрын
39. MISINGI YA DINI
13:25
6 жыл бұрын
37  NEEMA ZA ALLAH NA ISHARA ZAKE
11:51
38. KUOGOPA NA KUTARAJI
13:25
6 жыл бұрын
TAFSIRI ZA MAANA ZA KUSHABIHISHA. 2
15:34
36. KUIHIFADHI DINI
16:06
6 жыл бұрын
2. Yenye Wasaa na Yasiyo na Wasaa.
38:17
1 Utangulizi wa Kitabu
44:06
6 жыл бұрын
ULAZIMA WA KUPENDA NA KUCHUKIA
16:57
6 жыл бұрын
34. Njia Za Kujua Walaayah na Baraa-a
17:17
33. Baraa-a Na Vigao Vyake.
36:58
6 жыл бұрын
Radi 3 Abu Haatim
51:36
6 жыл бұрын
Jawabu no. 2.3 kwa Abu Haatim.
31:15
6 жыл бұрын
32. Walaaya Na Vigao Vyake.
19:11
6 жыл бұрын
Пікірлер
@universitylink
@universitylink 3 күн бұрын
وردت صفة "كلام الله" في العديد من الآيات القرآنية، ولكن بأساليب متعددة، فوردت بالتصريح بكون القرآن "كلام الله" في ثلاث آيات، في سورة البقرة (75):{ وقد كان فريق منهم يسمعون كلام الله ثم يحرفونه من بعد ما عقلوه وهم يعلمون }، وفي سورة التوبة (6):{ وإن أحد من المشركين استجارك فأجره حتى يسمع كلام الله ثم أبلغه مأمنه }، والمقصود بكلام الله هنا القرآن، وفي سورة الفتح: (15) في قوله تعالى عن المنافقين: { يريدون أن يبدلوا كلام الله } أي أمر الله في القرآن . ووردت "صفة الكلام" بنسبة فعل التكلم له سبحانه وذلك في آيتين، الأولى في سورة البقرة (253) في قوله تعالى:{ تلك الرسل فضلنا بعضهم على بعض منهم من كلم الله }، فجعل تكليم الله لبعض أنبياءه تفضيلا لهم. والثانية في سورة النساء (164) في قوله تعالى: { وكلم الله موسى تكليما }، فصرح في الآية بأن الله كلم موسى وأكد ذلك بقوله: " تكليما" تأكيدا على اتصافه سبحانه بهذه الصفة، وأنها على الحقيقة في حقه تعالى Aya zote hizo tatu Allah mwenyewe ana sema kuwa mpaka wasikie maneno ya Allah yaani wasikie Quraani ya Allah na si wasikie kiumbe cha Allah. Najua falsafa mnayoitumia kuwa kuna Muumba yaani khaliiq(خالق) na viumbe yaani makhluuq(مخلوق) hivyo asiye Allah ni viumbe hivyo maneno yake ni kiumbe. Mnasahau kuwa hayo maneno unayoyasema kuwa ni kiumbe yalikuwa na Allah tokea nwanzo baadhi ya meneno yake akamua kuwa zabur,na mengine Injiil ,na mengine Taurat na mengine Quraan na maneno mengi anayo yeye katika dhati yake na sifa zake . Si kwamba mungu alikuweko kisha akaanza kujizulia maneno ndio yawe Quran au vitabu vingine vitukufu. Swali lingine hata neno Allah ina irabu na consonanti( vowels and consonants) sasa utasema hata Allah ni Makhkuq kwa sababu jina lake linamjengo wa maneno wenye kutoa sauti
@hakikwadalili
@hakikwadalili Күн бұрын
Maneno ni viwakilishi vya maana kusudiwa, kwa hiyo yako maneno yanawakilisha maana ya ujumla, na yako maneno yanawakilisha maana makhususi, sasa angasema mpaka wasikie kiumbe cha Allah, maelezo yangalikua ni sahihi lakini ingehilitajika ufafanuzi ni kiumbe kipi baina ya viumbe vyake? Lakini aliposema mpaka wasikie maneno ya Allah tayari kumepatikana ainisho la kiumbe gani kilichokusudiwa nacho ni maneno ya Allah. Nataraji umeshafahamu.
@hakikwadalili
@hakikwadalili Күн бұрын
نحن متفقون على أن الله متكلم، ومعنى ذلك أننا متفقون على وصف الله بالتكلم وعلى هذا الأساس أعيد العبارة. ورد وصف القرآن بأنه "كلام الله" في العديد من الآيات، ولكن بأساليب متعددة، فورد بالتصريح بكون القرآن "كلام الله" في ثلاث آيات، في سورة البقرة (75):{ وقد كان فريق منهم يسمعون كلام الله ثم يحرفونه من بعد ما عقلوه وهم يعلمون }، وفي سورة التوبة (6):{ وإن أحد من المشركين استجارك فأجره حتى يسمع كلام الله ثم أبلغه مأمنه }، والمقصود بكلام الله هنا القرآن، وفي سورة الفتح: (15) في قوله تعالى عن المنافقين: { يريدون أن يبدلوا كلام الله } أي أمر الله في القرآن . ووردت نسبة فعل التكلم له سبحانه وذلك في آيتين، الأولى في سورة البقرة (253) في قوله تعالى:{ تلك الرسل فضلنا بعضهم على بعض منهم من كلم الله }، فجعل تكليم الله لبعض أنبياءه تفضيلا لهم. والثانية في سورة النساء (164) في قوله تعالى: { وكلم الله موسى تكليما }، فصرح في الآية بأن الله كلم موسى وأكد ذلك بقوله: " تكليما" تأكيدا على اتصافه سبحانه بالتكلم فهو متكلم، فهو متصف بالتكلم على الحقيقة في حقه تعالى.
@universitylink
@universitylink Күн бұрын
Sasa ndio umesema nini kama unakubaki ana sifa ya kuongea na maneno ni yake yatakuwaje kiumbe, kisha una hama mada hattukuwa tunaongea kuwa Allah anaongea au haongei bali maneno yake ni kiumbe au la? Nimekuuliza swali na hujajibu bali umezunguruka tu, nakuuliza tena Allah anaposema mpaka msikie maneno ya Allah kwenu nyie ni kiumbe, swali unaweza kufasiri mpaka wasikie kiumbe cha Allah? Jibu hapo do not beat arround the bush. Tukimaliza hii tunakuja mada ya pili ya nyie kujataa kuja kwa imam mahdi mkisema hadithi dhaifu onyesha moja baada ya nyingine kwa dalili hamna mboyoyo hapa ni hoja kwa dalili
@universitylink
@universitylink Күн бұрын
Sasa Maneno ya Allah si kiumbe wewe ulitakiwa kufanya katika aya hizo tatu ni ipi inaonesha kuwa maneno yake ni kiumbe
@hakikwadalili
@hakikwadalili Күн бұрын
@@universitylink Suali no. 1 Kama unakubaki ana sifa ya kuongea na maneno ni yake yatakuwaje kiumbe? Jawabu: Maneno yake yatakua kiumbe sababu ni athari ya kusifika kwake kwa usemaji (kuongea), kwa mfano tunamsifu Allah kua ni Muhuishaji uhai ambao ni kiumbe chake, na Mfishaji mauti ambayo ni kiumbe chake, na Muumbaji viumbe ambavyo ni viumbe viumbe vyake, na Mtoajiriziki riziki ambayo ni kiumbe chake. Kwa ufupi kuna Msifiwa na Wasifu na Athari ya Wasifu, bila shaka tunakubaliana kua Maneno ni athari ya wasifu wa usemaji. Suali no. 2 una hama mada hattukuwa tunaongea kuwa Allah anaongea au haongei bali maneno yake ni kiumbe au la? JAWABU: Kuongea na maongezi ni wasifu na athari yake vinalazimiana. Kwa hiyo tukizungumzia maongezi ni lazima tutazungumzia uongeaji hususan tunapotafutiana, jee! Sifa ni Maongezi au ni Uongeaji. Nafikiri hatutafautiani katika hilo, na kwa sababu hiyo sisi hatumsifu Allah mtukufu kwa Quraani wala kwa maneno bali tunamsifu kwa usemaji na uongeaji, na kwa sababu hiyo tunaisifu Quraani kua ni Kitabu cha Allah, na tunayasifu maneno yake kua ni maneno ya Allah, kwani tunamsifu Allah kwa usemaji au uongeaji na tunaisifu Quraani kua ni kitu kilichoongewa, na kwa sababu hiyo tunaposema Quraani ni maneno ya Allah na kiumbe cha Allah hatusemi kua Quraani ni sifa ya Allah. Ningependa uje kua katika Itikadi yetu ukisema sifa ya Allah ni kiumbe utakua umekufuru, kwa maana hiyo ikiwa unaitakidi hii Quraani ni sifa ya Allah ukija ukisema kua ni kiumbe utakua umekufuru. Suali no. 3 Allah anaposema “mpaka msikie maneno ya Allah” kwenu nyie ni kiumbe, swali unaweza kufasiri "mpaka wasikie kiumbe cha Allah?" JAWABU: Unaweza kufasiri hivyo ikiwa tayari kiumbe kusudiwa kinaeleweka, hakuna tatizo lolote, na ukilulizwa kiumbe gani utasema tu maneno yake Allah mtukufu. Si tatizo katika hilo, kama mtoto wako unaweza kumwambia kaniletee kinywaji, ikiwa tayari kinywaji kinajulikana baina yenu atakuletea ama ikiwa hakijulikani atakuuliza kinywaji gani? Utamjibu kama ni maji au uji au maziwa au juisi.
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 4 күн бұрын
Ama hakika ukipewa taufiki umepewa jambo kupewa,
@SirajiHussein
@SirajiHussein 24 күн бұрын
Mashallah tuweleweshane tuckufulishane
@dreahmed2336
@dreahmed2336 29 күн бұрын
Sheikh mimi nina hofu sana ukiwa wewe utaondoka ulimwengu, katika kipindi chote nimekua nikikuona peke yako ukiwa mstari wa mbele miongoni mwa ibadhi kutetea upotoshaji wanaoufanya mawahabi, na wao wapo wengi sasa na wanaitumia mitandao kwa kasi inayotakiwa kujitangaza. Je umetuandalia vijana wakuja kusimama baada yako? Nina hofu maisha baadae yatakua magumu sana kwa ibadhi ikiwa hatutasimama kwa ushupavu, pamoja na kuendana na nguvu yao.
@ShabaniRashidi-d2v
@ShabaniRashidi-d2v Ай бұрын
Quran si kiumbe cha mungu ,Quran ni maneno ya mungu,Quran imeshushwa haikuumbwa
@hakikwadalili
@hakikwadalili Күн бұрын
Inakupasa ufahamu kwanza nukta tuliyoizunguzia, kwa sababu na sisi wenye kuitakidi kua Quraani ni kiumbe cha Allah tunaitakidi pia kua Quaani ni maneno ya Allah na Quraani imeshushwa.
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r Ай бұрын
Nimekukubali shk anayetaka huo ndio ukweli
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 2 ай бұрын
Jinsi uibadhi ulivyombaya ndomana hata Allah kakunyima watu kukufahqm au hata maneno yko hayaeleweki
@hakikwadalili
@hakikwadalili 2 ай бұрын
قَالُواْ يَٰشُعَيۡبُ مَا نَفۡقَهُ كَثِيرٗا مِّمَّا تَقُولُ وَإِنَّا لَنَرَىٰكَ فِينَا ضَعِيفٗاۖ وَلَوۡلَا رَهۡطُكَ لَرَجَمۡنَٰكَۖ وَمَآ أَنتَ عَلَيۡنَا بِعَزِيزٖ [Hud 91] Wakasema: Ewe Shua'ibu! Mengi katika hayo unayo yasema hatuyafahamu. Na sisi tunakuona huna nguvu kwetu. Lau kuwa si jamaa zako tunge kupiga mawe, wala wewe si mtukufu kwetu.
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 2 ай бұрын
Maibadi hamna elim
@hassanmakame
@hassanmakame 3 ай бұрын
Tafsiri ya sheikh....tafadhali. waswahili umetuacha hapo.
@nadirnassor6467
@nadirnassor6467 3 ай бұрын
مقاومتنا الباسلة
@SalehLofy
@SalehLofy 3 ай бұрын
Mbona youtube Yako haikubali kitu hata like
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 ай бұрын
Hatujui kua kuna tatizo lolote katika Channel yetu, isipokua katika suala la Comment kwa sababu ya wafuatiliaji wengine hua wanatumia lugha mbaya na hata matusi, na wengine hua wanaeleza masuala binafsi tumeona kuziwekea chujio, zile ambazo zinastahiki kupita zipate nafsi na haki yake, ama zile ambazo haki yake ni kubakia kwa muhusika wake abaki nazo huko huko. Asante sana. HAKI KWA DALILI.
@allyhamza9969
@allyhamza9969 3 ай бұрын
kumbe muutazila bado wapo
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 ай бұрын
Subiri Muutazila wakijitangaza shughulika nao, ama hapa sisi ni Ibadhi shughulika na dalili na hoja tunazotoa sisi, achana na ya Muutazila mpaka wajitangaze hapo utashughulika na dalili zao na hoja zao. Asante sana.
@stonecolly
@stonecolly 3 ай бұрын
mashaallah shukran
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 4 ай бұрын
Wambieni ndugu zenu masufi wao waona ni uwahabi
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 ай бұрын
Katika Itikadi yetu kuna Mlango mahususi wa Al Walaayah Wal-Baraa-a. Al Walaayah ni haki ya Wachamungu na hapo ndipo penye undugu wa Kiimani. Na Al Baraa-a ni haki ya Mafasiki Makafiri ni sawa ukafiri wao ni wa Neema au Ushirikina. Kwetu hakuna undugu wa kivikundi fahamu hilo. Na uwanja wa kuheshimiana katika yaliyoingiwa na Tafauti unatuenea sote. Asante sana. HAKI KWA DALILI.
@HassanMwamaku-z3u
@HassanMwamaku-z3u 4 ай бұрын
Asalam Alaykum WarahmatulLAHI wabarakatuh vp Hali Sawafe {Haki Kwa Dalili} Tuwekee Namba yako Ya Sim SHEIKH
@SoudSanawari
@SoudSanawari 4 ай бұрын
Allah akuhifafhi shk usichoke kutoa elimu na Allah atakulipa
@SoudSanawari
@SoudSanawari 4 ай бұрын
Allah akulipe kheri tunakuelewa sana endelea kutoa elimu
@SoudSanawari
@SoudSanawari 4 ай бұрын
Allah akulipe kheri Allah akuhifadhi Allah akupe umri wenye faida kwa waislam Allah ajaalie watu wakuelewe
@KhalidAbdalla-lb4ph
@KhalidAbdalla-lb4ph 4 ай бұрын
Kwani mujassima ndo nani ?
@hakikwadalili
@hakikwadalili 4 ай бұрын
Mujassima ni wenye kuitakidi kua Allah ni mwili, wao wanamsifu Allah kwa sifa za mwili na viungo.
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry 4 ай бұрын
Mnakanusha kuwa Quran si kalamu Allah kueni naisaf nakama manaamini kuwanimaneno yake Allah Asa vipi iwe kiumbe
@hakikwadalili
@hakikwadalili 4 ай бұрын
Bali sisi tunaamini kua Quraani ni kalamu Allah, wala hakuna khilafu katika hilo baina yetu, ama kua maneno ya Allah ni miongoni mwa viumbe vyake huko hakupingani na uhakika wa kua ni maneno yake, usipate shida, elewa kua kila kiumbe ni cha Allah mtukufu pia ni athari ya utendaji wa Allah mtukufu, tunasema Mtume wa Allah, Ngamia wa Allah, Nyumba ya Allah, basi pia tunasema: Maneno ya Allah.
@baarutmazrui5186
@baarutmazrui5186 4 ай бұрын
Maashaallah sheikhanaa
@saidmohammed2405
@saidmohammed2405 4 ай бұрын
Je hii kufunga mikono imeanzia wapi?
@hakikwadalili
@hakikwadalili 4 ай бұрын
Kunyanyua mikono na kuifunga kulianza Shaam zama za Utawala wa Bani Umayyah na lengo lao ni kuwabagua Raia nani anayekubaliana na siasa zao na nani aliyebakia katika asili ambae ni mpinzani wao.
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 4 ай бұрын
Swadakta ibaki ubishi tuu kwasababu ya Matumbo yao
@salumissa3200
@salumissa3200 4 ай бұрын
aya nyingi katika quran zaeleza kuwa allah ni mwenye kusikia na mwenye kuona. sheikh, kusikia na kuona kwa allah si sawa na kusikia na kuona kwa viumbe, hili hamlifahamu pia??!! kwa mantiki hii aya nyingi za quran na hadithi sahihi za mtume, amani iwe juu yake mtakuwa mnazipinga!! na nini hukumu ya anayepinga quran na sunna za mtume wa allah??!! jisahihisheni kabla hamjachelewa, hakika huu ni upotofu ulio dhaahir kabisa!! tumwombe allah atuhifadhi, aamiin
@hakikwadalili
@hakikwadalili 4 ай бұрын
Ahalul Haqi wal Istiqamah (Ibadhi) tunamsifu Allah mtukufu kwa kuelezea ukamilifu wake wa Kidhati si kwa kuthibitisha vitu visivyokua dhati viitwavyo sifa, sisi hatuaitakidi kua sifa za Allah ni vitu vyengine visivyokua Allah mwenyewe, lijue hilo na elewa hilo. Allah ni msikivu kwa dhati yake, muoni kwa dhati yake, muweza kwa dhati yake, hai kwa dhati yake, msemaji kwa dhati yake,,, na namna hivi katika kumsifu Allah mtukufu Uoni wa kidhati, usikivu wa kidhati, uwezo wa kidhati, elimu ya kidhati, urehemevu wa kidhati usemaji wa kidhati…. Ama mwili na viungo na harakati hajawahipo Allah mtukufu kujisifu navyo, wala Mtume wake S.A.W. hajawahipo kumsifu Allah mtukufu kwa Mwili, viungo na harakati. Epukeni riwaya za uongo zilizopenyezwa katika Uislamu katika zama za Bani Umayyah zilizoundwa Shaam na Kuufah. Epukeni maitikadi ya Ahalul Kitaabi Mayahudi na Manasara (Israailiyyaati). Allah ni wa mwanzo kabla ya kila kitu, ni Mkwasi asiyehitaji chochote, hajafanana na chochote. Acheni kumsifu kwa sifa za viumbe zenye ufakiri wa kulazimika na sehemu na umbo.
@ayyamirubba5226
@ayyamirubba5226 5 ай бұрын
Jazaaka llahu khayrah"
@SalehLofy
@SalehLofy 5 ай бұрын
Hawa masalafy na maanswari (Mawahabi) sijui Allah amewaandalia adhabu gani Kwa kuzuwa na kufitinisha na kugombanisha waislam yaani ni hatari sana
@hajiupepo3146
@hajiupepo3146 5 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
Wanaambiawa wasiwasikilize maibadhi ,Sasa haki wataijuaje,au ndo kufugwa kitambaa Chauso?
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 5 ай бұрын
Muislam haswa awe anaamin eti allah ashuka daaa uupuuz ulioje huu
@hassanmakame
@hassanmakame 5 ай бұрын
Maashallah....hii darsa imenifungua macho na masikio, hakika kuna mengi katika tarekh hatuyajui sisi maamuma, pengine ni bora pia kutoyajua, yabaki kwa masheikh na wanazuoni.... Shukran yaa sheikh...endelea kutuelimisha, Jazaakum Allah.
@khalidm.gharib4189
@khalidm.gharib4189 5 ай бұрын
@SoudSanawari
@SoudSanawari 5 ай бұрын
Shk tumekuelewa sisi sio wajinga wa kuchukia watu kisa sio madhehebu yako Madam wewe ni mcha mungu tutakupenda Fitna za MUJASSIMA tunazijua
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 5 ай бұрын
Skukran shekhe kwakumuradi huobwana hawo masalaf bandia wanajua kuchonganisha waislam ndivo walivo mimibinafsi simuibazi ila waibazi allah awalipe kheri dawazenu ninzuri nazinatujenga kiimani nahuobwa nimchonganishi hatuwezi kumusikiliza
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 5 ай бұрын
Yalemambo yatanzania yamekwishakufika huku burundi acheni hii haifai
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 5 ай бұрын
Asante sana sheikh wetu Abu hafidh❤❤❤❤❤❤
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 5 ай бұрын
Aaleykum sauti haiko vizur sheikh Hafidh
@hakikwadalili
@hakikwadalili 5 ай бұрын
Waalaykum salam wa rahmatullahi wa barakatuh Asante sana kwa tanabihi hii In shaa Allah tutajitahidi ili sauti iwe vizuri zaidi katika darsa zijazo. Na pengine hii darsa tukairejea siku zijazo.
@LichimbaAlly
@LichimbaAlly 5 ай бұрын
Kwanza tukisema wewe unamiguu na kiti kina miguu je mguu wako na mguu wa kiti unalingana??
@hakikwadalili
@hakikwadalili 5 ай бұрын
Miguu ya mtu na miguu ya kiti inashirikiana katika wasifu wa viungo na umbo, pia vinashirikiana katika ulazima wa kuhitajia nafasi ya kuwepo ndani yake ili kupata nafsi ya kuweza kuvipa umbile na viwango. Ama Allah mtukufu hajawahipo kujisifu kua ana viungo, si mikono, wala miguu, wala macho, wala mdomo, wala meno, wala makalio, bali amejisifu kuwa yeye ni Mkwasi na Wamwanzo kabla ya kitu, na kua ameumba kila kitu, na kusifika huko kunalazimisha kutakasika Allah na uwezekano wa kusifika kwa wasifu wenye lazimisho la kuhitajia sehemu au wakati kama vile viungo na umbo.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 5 ай бұрын
Hii ndiyo Elimu Sasa
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
Shekh hebu liokoeni jahazi,hakika tumechoka kusikiliza darsa za watu wa batil na inadi zao,tafadhali fungue darsa za you tube maana umma umehamia huku na unaangamia kwa maitikadi mabovu yanayo nadiwa Kila siku,Allah akulipe kheri
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 5 ай бұрын
Sawa sheikh wetu❤❤❤❤
@AbubakarKhamis-do7xw
@AbubakarKhamis-do7xw 5 ай бұрын
بارك الله لك
@stonecolly
@stonecolly 5 ай бұрын
Barakallah akhi nimepata uwelewa mzuri hapa . ALLAH atuwafikishe katika hili na akulipe ajra . Amin
@IssaPiero
@IssaPiero 5 ай бұрын
Shekh anasema Qur an ni kiumbe Alipomwambia Nabii Mussa Mm Mola wako surat Twaha Aya ya 3.suali Je Allah aumbe kiumbe halafu kiumbe kiseme mm Mola wako?naomba majibu Mashekh
@hakikwadalili
@hakikwadalili 5 ай бұрын
Maneno ni viwakilishi vya kufikisha makusudio, kwa mfano tunaposema neno "Muumba" tunakua na mkusudiwa na tunakua na neno ambalo limepangika kwa herufi 6 (M u u m b a), ni vitu viwili tafauti, na maneno ni fakiri sana daima yanahitajia mwanzilishi wake wa kuyapatisha ambaye ndiye muhusika wa maneno, kwa hiyo maneno aliyoyasikia Mtume Mussa A.S.W. 1. Aliyeyaanzisha ni Allah, ni maneno yake 2. Yalibeba ujumbe wa kumtaka Mussa amuabudu muazilishi wa hayo maneno. Kwa hiyo unapokuja wewe na kuuliza kwa msingi wa kua maneno ndiyo yaliyomwambia Mtume Mussa A.S.W. inakulazimu. 1. Kutuletea hayo maneno yaliyosemwa na hayo maneno yaliyosema. 2. Inakulazimu kusema kua maneno hayo ndiye Muungu mwenyewe wa kuabudiwa kwa sababu ndiyo yaliyomwambia Mtume Mussa A.S.W. ayaabudu. Kwa hilo la pili utakua ndugu yetu unaambudu maneno wala humuabudu msemaji wake.
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
Shekh,Allah akulipe kheri kiukweli ibadh imekua kimya sana,dunia hii imebadilika sana na wanao kaa darasani ni wachache,tokeni na mutupe faida kama hizi kiukweli tumechoka kusikiliza ahalu lbatil.hebu liokoeni jahazi la uma huu.