Alhamdu lillahi Nakushukuru shekhe kwa kazi nzuri uliyoifanya. Mimi si mpenzi wa masuala haya ya kudadavuana lakini niseme ukweli hawa ndugu zetu wanaojiita masalafi wamekuwa ni tatizo kubwa kwa uislam. Ila hii hasithi uliyoitoa ya kuonyesha hii staili yao ya kujionyesha kwamba wao ni watu wa Qurani sana kwa kweli ni eye opener. Maana watu wwngi wanavutiwa sana na jinsi wanavyojipamba. Ila mwenyezimungu inshallah atuongoze njia iliyonyooka.
@yussufmwinyi46046 ай бұрын
Jazakallah kheir, ukweli utafichuka tu, japo uongo ndio uliotuuzwa juu ya ukweli
@abdulazizal-mazroui33636 ай бұрын
Sheikh Hafidh asawaf. Allah akujaalie kheri na akuzidishie imani na hekima
@hythamhashiem44586 ай бұрын
ماشاء الله بارك الله فيكم
@thuweinmassoud90626 ай бұрын
shukran sheikh
@dreahmed233629 күн бұрын
Sheikh mimi nina hofu sana ukiwa wewe utaondoka ulimwengu, katika kipindi chote nimekua nikikuona peke yako ukiwa mstari wa mbele miongoni mwa ibadhi kutetea upotoshaji wanaoufanya mawahabi, na wao wapo wengi sasa na wanaitumia mitandao kwa kasi inayotakiwa kujitangaza. Je umetuandalia vijana wakuja kusimama baada yako? Nina hofu maisha baadae yatakua magumu sana kwa ibadhi ikiwa hatutasimama kwa ushupavu, pamoja na kuendana na nguvu yao.
@hassanmakame6 ай бұрын
Unasema kweli sheikh...na khasa hapo mwisho, hakika mawahabi na masalafi wana tabia zote za mayahudi na wale wanafiki wa madina walioishi wakati wa Habeeb Mustwafaa صلى الله عليه وسلم.... Wakati umefika hawa Wahabi na mapote yao kama Answar na Salafi wasemwe wazi wazi.
@SheikhYussuf-iv6lo6 ай бұрын
Nadhan umefika muda sasa wa kuweka waz itqad za ibadhi na historia yao na tutaoa kwenye vitabu vyenu watu wafaham uibadh ni nini
@hakikwadalili6 ай бұрын
Itakua ni hatua moja nzuri sana Tunamuomba Allah taufiqi katika hilo.
@nahimanasaidi94906 ай бұрын
Kwa nini nyinyi maibadhi mnawatukana baadhi ya maswahaba kama othman?
@hakikwadalili6 ай бұрын
Kwetu haifai Kutukana hata Mshirikina Allah katukataza basi vipi itafaa kumtukana Muislamu na vipi itafaa kumtukana Sahaba katika Waislamu wa mwanzo kabisa. Ndugu yangu fatilia Maibadhi wenyewe ujue Madhehebu yao.
@nasirdinmohammed87416 ай бұрын
Walizitetea nchi za Africa mssharik au walikuja zitawala kwa maslah yao binfsi na kuwafanya watumwa wasiyo na haqq 😂
@hakikwadalili6 ай бұрын
Maibadhi waliheshimu jamii yote na hiyo ndio hali yao mpaka hivi leo, na hasa hasa ile iliyopo katika mipaka ya utawala wao, na ndio maana Waomani walichanganyika kidamu na Waafrika katika sehemu walizokuwepo, kwa sababu hawakua na chuki za kibaguzi, na Madhehebu yao katika Kiislamu hayana mafundisho ya kuwabagua wengine kwa misingi za rangi zao na makabila yao au mataifa yao au asili zao, ama masuala ya Utumwa unaweza kurejea kitabu Zanzibari Kinyan`ganyiro na Utumwa na Sheikh Issa Al Ismaili utaweza kuufikia uhakika kwa vielelezo, kwa ufupi Zanzibar iliyotawaliwa na Waomani ndiyo Dola ya kwanza kupiga marufuku Biashara ya Utumwa. Pia unaweza kurejea biashara ya Utumwa na athari za Watumwa kwa Wazungu utajua kua kwa chuki zao binafsi za kibaguzi na kidini maovu yao waliyaficha kwa kuwazulia Waarabu.
@aboubilal39266 ай бұрын
Muasisi wa dola la Banu Umayyah inahesabika kuwa ni Muawiyah radhiyaahu anhu. Ukisema aliyekuwa muadilifu ni Umar ibn Abdulaziz peke yake ina maana unamtoa Swahaba Muawiyah radhiyaahu anhu kwenye uadilifu?.. فَإِنْ تَنَازَعْتُمْ فِي شَيْءٍ فَرُدُّوهُ إِلَى اللَّهِ وَالرَّسُولِ " Hivi kimawazo yako wewe ni kuwa kila mtu ana uwezo wa kurejea kwenye Quran na Sunnah na kutoa suluhisho? Si tunahitaji Ulamaa wa kutotolea suluhisho kutoka kwenye Quran na Sunnah? Ulamaa wa Salafi hawaanzii na kina Ibn Taymiyah au Ibn Qayyim Bali wanaanzia kwa Swahaba ! Ama makhawariji kama pote basi halipo tena ila kuna mapote yaliyo na itikadi za kikhawarij. Je, kwenye Uibadhi hakuna itikadi za kikhawarij? Allah akuongoze kwenye haqqi.