Mashaallah sheikh khafidh Allah akuruzuku elimu naumri yenyemanufaa utufaidishe nasi kwakuijua hakii
@MussaMohamedMohamed6 ай бұрын
Swadakta shesh,,wallah,,umetufungua na kutueli.sha Allah akujaze kheiry ya shekh,,,,,wapotoshaji wamuogope Allah subhaanlahu'wata'alla
@PasserbyMan-ju8ky5 ай бұрын
Shekh,Allah akulipe kheri kiukweli ibadh imekua kimya sana,dunia hii imebadilika sana na wanao kaa darasani ni wachache,tokeni na mutupe faida kama hizi kiukweli tumechoka kusikiliza ahalu lbatil.hebu liokoeni jahazi la uma huu.
@AbubakarKhamis-do7xw6 ай бұрын
بارك الله فيك شيخنا حافظ الصوافي. کلام مقنع
@ayyamirubba52265 ай бұрын
Jazaaka llahu khayrah"
@mohamedsuleiman72556 ай бұрын
kwa mujibu wa itikadi yake huyo jamaa hakuna haja ya waislamu kujipinda na kupoteza mali zao na roho zao kwa ajili ya Allah kumbe moto wenyewe c usiku wa kwanza tuu watatolewa waovu kwamba hata masaa 24 kwa ck za duniani hayatofika waovu woote watakua tayaari wameshatolewa motoni na wana enjoy ktk pepo na wacha Mungu ~ hii itikadi yake haiiingiii akilini hata kwa mwehu
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh6 ай бұрын
Mbona wapo masuni wengi wanakataa itikadi hiyo y kutolewa
@hakikwadalili6 ай бұрын
Vizuri kabisa na ndivo inavyotakiwa.
@Superbasil-h3x6 ай бұрын
أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ تكفي هذه الاية لدحض اكاذيب من يدعي ان النبي سيشفع ممن دخل النار
@KhalfanMakota5 ай бұрын
Ni kwel aya chungu mzima yasema ck ya qiyama hakuna nafsi kupata shifaa kupitia kwa mwingne hakuna suala la mtume kuwatoa watu moton ndio msimamo sahihi.......hii nakubal kaka lkn kusema qurian kiumbe pale sikuelew ndugu😂
@hakikwadalili5 ай бұрын
Karibu sana katika channel yetu hii, na haki ina haki ya kufuatwa, Allah akupe taufiki ya kushikamana na haki katika yale ambayo hoja zake zimekufikia. Ama suala la Quraani kua ni kiumbe lisikupe shida sana, inatosha kuamini kuwa Allah ndiye muumbaji na vilivyobakia vyote ni viumbe vyake. Mara moja Abu Al Ataahia alifikiwa na mtu na kumuuliza kuhusu Quraani jee ni kiumbe au si kiumbe? Abu Al Ataahia akamwambia yule muulizaji: Unaniuliza kuhusu kitu ambacho ni Allah au kuhusu kitu ambacho si Allah? Akamjibu: Kuhusu kitu ambacho si Allah." Hapo Abu Al Ataahia hakuendelea naye tena, alifanya hivyo kwa sababu tayari ameshajijibu, kwa sababu Allah ndiye muumbaji wa vitu vyote, kwa hiyo hakuna isipokua Muumbaji na viumbe vyake tu, kila kisichokua Muumbaji hicho ni kiumbe chake. Na sisi tuunaposema neno kiumbe hua hatukusudii chenye roho na kutembea peke yake, bali tunakusudia kila kisichokua Allah mtukufu hata lugha, rangi, nuru, giza, upepo, hewa, maji, uhai, mauti, furaha, huzuni, msiba n.k vimo katika mjumuiko wa viumbe. Na hapa inakufaa ujue kua sisi hatuitakidi kua sifa za Allah ni vitu vyengine visivyokua Allah mtukufu mwenyewe, kwa hayo hatuna lazimisho la kusema kua sifa za Allah itakua zimeumbwa, kwa sababu si vitu vyengine visivyokua Allah mtukufu mwenyewe. Wabillahi taufiqi