JEE! MAIBADHI WANATUKANA SAHABA? UFAFANUZI

  Рет қаралды 1,911

Haki Kwa Dalili

Haki Kwa Dalili

Күн бұрын

Darsa hii imekuja katika kuwajibu wenye kuwatuhumu Maibadhi kwa tuhuma ya kutukana Masahaba.
Ukakika ni kua ndimi za Maibadhi ziko mbali sana na kutukana Sahaba yoyote, humsikii Sheikh wao yoyote wala Mlinganiaji wao yoyote wala Mwanafunzi wao wala huwezi kulipata hilo katika vitabu wanavyosomeshana Maibadhi katika darsa zao na vyuo vyao.

Пікірлер: 14
@khalidm.gharib4189
@khalidm.gharib4189 3 ай бұрын
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Skukran shekhe kwakumuradi huobwana hawo masalaf bandia wanajua kuchonganisha waislam ndivo walivo mimibinafsi simuibazi ila waibazi allah awalipe kheri dawazenu ninzuri nazinatujenga kiimani nahuobwa nimchonganishi hatuwezi kumusikiliza
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 3 ай бұрын
Wanaambiawa wasiwasikilize maibadhi ,Sasa haki wataijuaje,au ndo kufugwa kitambaa Chauso?
@SoudSanawari
@SoudSanawari 3 ай бұрын
Shk tumekuelewa sisi sio wajinga wa kuchukia watu kisa sio madhehebu yako Madam wewe ni mcha mungu tutakupenda Fitna za MUJASSIMA tunazijua
@hassanmakame
@hassanmakame 3 ай бұрын
Maashallah....hii darsa imenifungua macho na masikio, hakika kuna mengi katika tarekh hatuyajui sisi maamuma, pengine ni bora pia kutoyajua, yabaki kwa masheikh na wanazuoni.... Shukran yaa sheikh...endelea kutuelimisha, Jazaakum Allah.
@SalehLofy
@SalehLofy 3 ай бұрын
Hawa masalafy na maanswari (Mawahabi) sijui Allah amewaandalia adhabu gani Kwa kuzuwa na kufitinisha na kugombanisha waislam yaani ni hatari sana
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 3 ай бұрын
Asante sana sheikh wetu Abu hafidh❤❤❤❤❤❤
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Yalemambo yatanzania yamekwishakufika huku burundi acheni hii haifai
@baarutmazrui5186
@baarutmazrui5186 3 ай бұрын
Maashaallah sheikhanaa
@hajiupepo3146
@hajiupepo3146 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@KhalidAbdalla-lb4ph
@KhalidAbdalla-lb4ph 3 ай бұрын
Kwani mujassima ndo nani ?
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 ай бұрын
Mujassima ni wenye kuitakidi kua Allah ni mwili, wao wanamsifu Allah kwa sifa za mwili na viungo.
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 3 ай бұрын
Aaleykum sauti haiko vizur sheikh Hafidh
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 ай бұрын
Waalaykum salam wa rahmatullahi wa barakatuh Asante sana kwa tanabihi hii In shaa Allah tutajitahidi ili sauti iwe vizuri zaidi katika darsa zijazo. Na pengine hii darsa tukairejea siku zijazo.
KATI YA IBADHI NA SALAFI NI NANI KHAWARIJI?
36:36
Haki Kwa Dalili
Рет қаралды 1,8 М.
KUTONYANYUA NA KUTOFUNGA MIKONO KATIKA SALA.
27:43
Haki Kwa Dalili
Рет қаралды 2,3 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 53 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,9 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН
JEE! MTUME (S.A.W.) ATAWATOA WAOVU MOTONI?!!
36:38
Haki Kwa Dalili
Рет қаралды 1,5 М.
تفسير سورة الإنسان كاملة #الشيخ_سعيد_الكملي
3:57:19
قُطُوفُ الكَمَلي🌹_ saıd alkamali
Рет қаралды 1,4 МЛН
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
MASJID AISHA MCHINA MWISHO
Рет қаралды 10 М.
Watu hawa hawafai kuongoza Misikiti. Sh. Kipozeo
51:56
OBA Online tv
Рет қаралды 83 М.
The Open Forum Episode 58
3:48:17
EFDawah
Рет қаралды 80 М.
Surah Yasin 13 Times Recited By Sheikh Mishary Rashid Al Afasy
3:49:40
43. HUKUMU YA MABUGHATI
26:31
Haki Kwa Dalili
Рет қаралды 122
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 53 МЛН