Mandojo & Domokaya - Niaje

  Рет қаралды 169,020

Mandojo na Domokaya

Mandojo na Domokaya

Күн бұрын

Пікірлер: 218
@incredibleyoung5442
@incredibleyoung5442 Жыл бұрын
Tunaofunga mwaka na hii ngoma tujuane na like tafadhali🎉❤💯15/12/2023
@martintemmistoclesprosper6013
@martintemmistoclesprosper6013 4 ай бұрын
Nani yuko hapa baada ya kuskia man dojo hatunae tena 😔 Rip Mandojo
@JohnbuhuruJohnbuhuru
@JohnbuhuruJohnbuhuru 4 ай бұрын
Acha unafiki
@FreeGod368
@FreeGod368 4 ай бұрын
Acha unafiki huna maana ww
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
Hii verse ya kwanza ni moja kati ya verse bora sana za muda woteee...🔥🔥🔥💯
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Aminia sn
@eliyankerebuka9280
@eliyankerebuka9280 Жыл бұрын
Bonge la verse
@sololuchagula6362
@sololuchagula6362 Жыл бұрын
Mimi nasemaje hizi ngoma zilikuwa ni hatari sana ukiniambia niache kusikiliza au nije bora kufa kama upo na mimi ngonga like za kutosha 31/6/2023
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
🙏🙌
@hurumagideon173
@hurumagideon173 Жыл бұрын
😅 kabisaaa
@thabitkawambwa862
@thabitkawambwa862 Жыл бұрын
​@@mandojonadomokaya❤❤❤❤❤❤
@thabitkawambwa862
@thabitkawambwa862 Жыл бұрын
​@mandojonadomokaya ❤❤❤❤❤
@fadhilfadhili221
@fadhilfadhili221 Жыл бұрын
Hatuwexi kuacha kusikiliza kwani zinaburudisha na zinafunza pia
@kuvetamzazi8689
@kuvetamzazi8689 Жыл бұрын
Toka 2001 hadi 2023 tuliowahi kumkubali Nature kwa pande zote mbili za chorus na verse tujuane hapa kwa Like zetu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
Kama umekuja kusikiliza baada ya msiba gonga like twende msibani 😥😥
@JohnbuhuruJohnbuhuru
@JohnbuhuruJohnbuhuru 4 ай бұрын
Acha unafiki
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
@@JohnbuhuruJohnbuhuru sawa
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 4 ай бұрын
​@@JohnbuhuruJohnbuhuruMjinga sana uyo mitandao inawafanya wasiwe na akili eti gonga like km vile like inalipa
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 4 ай бұрын
MSIPO NISIKILIZA MTANIELEWA VIPI" YAANI JAMAA WANGEMSIKILIZA KWANZA MAUTI USINGEMKUTA JAMAA WALISHINDWA KUSIKILIZA KABISA.
@sadamissa5687
@sadamissa5687 4 ай бұрын
Daah sure kaka😢😢
@haroublato6319
@haroublato6319 4 ай бұрын
Kila kifo kina sababu tuombeni kwa Mungu tuwe na sababu nzuri
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 4 ай бұрын
*Msiponisikiliza mtanielewa vipi* ? Wangemsikiliza wasingemuua mwamba.
@athanassospeter4748
@athanassospeter4748 4 ай бұрын
Nalia na Mola kumbe wanga ndio wanamix. wanga wameshamix tayari kwa kumuua mwamba.R.I.P dojo ulituburudisha sana😢
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Afu washamba tu wamemuua shujaa huyu wa bongo flavor na mtindo wao wa hip hop banjo R.I.P Dojo😢😢😢😢😢
@thestonetown3302
@thestonetown3302 2 жыл бұрын
Bhanaeeee!!!! Musiponiskiliza mtanielewa vipi????musitoboa kwa ngoma hizi muniite mbwa nipo paleee nimekaaaa!!!!@Niaje!!
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Aminia sn man kwa saport
@asasaa2375
@asasaa2375 2 жыл бұрын
Ndefu ata biki aziandiki ....wanajua
@chitwangandembo6302
@chitwangandembo6302 Жыл бұрын
2023 I’m here listening gud music ✌🏾
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 жыл бұрын
Asanteni sana, kuturudishia muziki wetu halisi, tumechoka kuwa sikia hawa "TAKATAKA na mima Piano yao ya wasauzi"
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Hahahaha sure
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
Juma nature ni goat wa bongo fleva wallahi
@geraldsanga7093
@geraldsanga7093 4 ай бұрын
Roho imeniuma sana kupata taarifa Mandojo kuuliwa wakizani ni mwizi ......Mungu atawalani wote waliofanya hivyo. Rest In Peace........
@alvezog_3836
@alvezog_3836 2 жыл бұрын
Vitu ambayo vinaimbwa paka Leo bado vipo na vitakuwepo..much respect brothe's..
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Salute sn man
@casmirchami8914
@casmirchami8914 4 ай бұрын
uwa nna mwambia mke wangu kati ya wasanii ambao natamani sana niende live band zao ni mandojo na domokaya ... it's just the way these guys play their guitar and the vocals that they had! man it's so sad i won't be able kuskia wote wakiimba pamoja it really pains me but ila mwisho wa siku Mungu hapangiwi. Rest Easy Champ! Nitakua nakuweka kwenye maombi yangu surely this is one hard pill to swallow.
@JamesKarata-kz4rp
@JamesKarata-kz4rp Жыл бұрын
Daah hatari sana. Naisikiliza hii ngoma leo 22/7/2023
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 ай бұрын
This song's INTRO is probably one of the BEST intros i've ever heard. 💣 RESPECT Sir nature🙌🏽 R.I.P Mandojo 💔😥
@kilingechasimulizi2072
@kilingechasimulizi2072 Жыл бұрын
Dah..napata hisia za ndani kbs kwenye moyo wangu...ilo gitaa, io verse ya kwanza, uyo necha alivotembea..much respect ma bro
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Respect sana
@ashraphomary8715
@ashraphomary8715 5 ай бұрын
Ngoma zinazoishi, Burudani , Elimu na ujumbe. Hii ndio Bongo Flava tunayoijua
@ShomaryMasunga-jz9jo
@ShomaryMasunga-jz9jo 4 ай бұрын
Pumzika kwa Amani brother RIP dojo 😢 mbele yako nyuma yetu
@mdouharoon66
@mdouharoon66 4 ай бұрын
RIP mandojo nmeumia sana asee😢😢😢😢
@augustinodaniel5574
@augustinodaniel5574 4 ай бұрын
yaan jamaa aliimba mpaka kigogo why watu wa Dodoma lakin , nimeumia sana R.I.P dojo
@edmundmanyala5903
@edmundmanyala5903 4 ай бұрын
Kaburi lako likawe moja ya bustani litaloipamba mbinguni kwa baba.
@officialChamboy
@officialChamboy 4 ай бұрын
Love from Johannesburg South Africa gonga like kama wazikubali raha za pwani ❤❤ ubaya ubwela🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇹🇿
@Babamaploti
@Babamaploti 11 ай бұрын
Nlidhani ni collabo na nature first day only OG wataelewa real tz music reppin 4rm 254
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya 11 ай бұрын
Respect sana
@usercabal
@usercabal 4 ай бұрын
R.I.P mandojo legend
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 2 жыл бұрын
Nalia na Mola Kumbe Wanga Wana Mix Sio Hadithi za Sungura Na Fisi, Realy Bongo Flavor, Big up Mandojo Domokaya
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Salute sn
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
E babaa 🙏 🙌
@msafirideus9982
@msafirideus9982 3 ай бұрын
Rest In Peace Mandojo Thanks for this beautiful memory Tutaonana baadae 🙏
@KulwaMwankanye
@KulwaMwankanye 4 ай бұрын
Jumanature upewe maua kaka umu ulifanya vurugu sana na mandavako
@BahatSakuru-uo6zv
@BahatSakuru-uo6zv Жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana hii ngoma❤❤❤❤
@allymohamed4425
@allymohamed4425 4 ай бұрын
😢😢😢mwamba ametangulia inaumiza sana
@dularsparta9004
@dularsparta9004 2 жыл бұрын
from Qatar much love 👊
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Much love 🙏🙌
@AllenAllanus
@AllenAllanus 4 ай бұрын
Juma kaka imenitokea jamaa nafanyanae kazi kumbe ananichukia nakula nae nakunywa nae mungu yupo
@Msemakweliempire
@Msemakweliempire 2 ай бұрын
#Usipo niskiliza utanielewa vip #Kuva napendeza hawaamini Ninadhiki🔥🔥🔥🎶🎶🎶
@magrethjulius7796
@magrethjulius7796 Жыл бұрын
This music gives me nostalgia,i remember the old gold days of this life,when the music was called the MUSIC❤❤🎉
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
We appreciate this 🙏
@aboumogrey6553
@aboumogrey6553 4 ай бұрын
So sad legendary kama huyu kufariki kwa kifo kama hiki, RIP Mandojo 🐦
@justine_mdogo
@justine_mdogo Жыл бұрын
Vocal za Mandojo na Domokaya. Melody 🔥🔥🔥🔥🔥
@denissimeo1924
@denissimeo1924 Ай бұрын
Sjawai jua song inaitwaje hiii 2024 nabahatisha kuipa aseee
@bjtv_001
@bjtv_001 Жыл бұрын
Nko Kenya ila nawakubali sana hizi nyimbo zanikumbusha zamani sana 😊
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
E babaa 🙏
@abdulsataribashiri8300
@abdulsataribashiri8300 Жыл бұрын
Wasanii pekee duniani naez toa hela kwend kuwaangalia 🔱
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Respect sana 🙌
@IbrahimErnest-b8l
@IbrahimErnest-b8l 2 ай бұрын
Usipo nisikiliza utanielewa vp ngoma kali san
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Жыл бұрын
Aisee, wakati mziki ukiitwa "MZIKI", Sasa ivi Kuna music ..
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk 5 ай бұрын
Napiga ndefu mpak dingi azindiki ❤hatar xana
@jumajuma6612
@jumajuma6612 5 ай бұрын
😂 bic haziandiki
@mwasubilasaimoni4119
@mwasubilasaimoni4119 4 ай бұрын
Hatar sana nakumbuka enzi hizo nafunika sipika kwenye chungu aisee
@shijaenock7638
@shijaenock7638 2 жыл бұрын
Ngoma yangu hii kabsa kila nikinunua smu mpya lazma uikute tu kwnye memori respect sna hii ngoma naielewa
@joelmpakele8900
@joelmpakele8900 4 ай бұрын
Nalia na mola kumbe wanga ndio wanamix💔rest in peace dojo
@salimumarijani9013
@salimumarijani9013 4 ай бұрын
R.I.P Man Dojo
@juliusloy5023
@juliusloy5023 4 ай бұрын
Form one enzi hizo daaah mziki bado unaishi
@nasrujuma7306
@nasrujuma7306 Жыл бұрын
Verse ya kwanza daaaaaah 🙌
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 2 ай бұрын
RIP mandojo😢
@mariahwayesu7312
@mariahwayesu7312 5 ай бұрын
Ila huyu mika mwamba muacheni tu kwa vinanda
@Marquezsharif
@Marquezsharif 6 ай бұрын
2024 nani anaskiliza bado
@MijikendaArts
@MijikendaArts 4 ай бұрын
Wana roho nyeusi zisizo nga ta kwa jiki......daah r.i.p legend yee baba😢😢😢
@IsmailMunyarubuga
@IsmailMunyarubuga Жыл бұрын
Unyama ulikua ni mwingi sana kitambo hiko🙌🏾🙌🏾 thanks to the living legends out there
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
🙏🙌
@MijikendaArts
@MijikendaArts 4 ай бұрын
Msipo nisikiliza mtanielewa vipi.....haaaa kweli😢😢😢
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk 4 ай бұрын
Dah jamaq atuko nae tena😢pumzika kwa aman bro cc sote njia ni hyo hyo bro
@yohanagalusi619
@yohanagalusi619 Жыл бұрын
Those days when music was called Music ... Please make a Remix or new Version of this song
@francosichale
@francosichale 4 ай бұрын
No way out R.I.P ndojo😢
@farajitv4745
@farajitv4745 Жыл бұрын
much respect my brothers, hii ngoma ni kali siku zote. OLD is GOLD always. salut...
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Pamoja sana
@honestybeda2704
@honestybeda2704 3 күн бұрын
Happy new yr 2025
@jaymagora
@jaymagora 9 ай бұрын
Mikamwamba
@chalichali5457
@chalichali5457 4 ай бұрын
Msiponisikiliza mtanielewa vp kuvaa napendeza hawaamin nnaziki
@jumammbaga9974
@jumammbaga9974 4 ай бұрын
Aisee simngemsikiliza kwanza brother daah😢
@noelkalinga
@noelkalinga 4 ай бұрын
Hv verse ya kwanza ameanza dojo au kaya 2024
@sebastianorossy7284
@sebastianorossy7284 4 ай бұрын
domokaya😊
@kevookikwale5083
@kevookikwale5083 Жыл бұрын
Verse ya kwanza ni balaa
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc Жыл бұрын
Today is sunday 2023 i listen this my ❤
@saidsilver6026
@saidsilver6026 4 ай бұрын
Daaah mandojo 😭😭😭😭
@EmmanuelCairo-lc6zf
@EmmanuelCairo-lc6zf Жыл бұрын
Kweli nature huyu ni wa kulipwa 500k 😅😅
@abellucas6576
@abellucas6576 Жыл бұрын
Much respect….. ❤ old is gold 🎉
@Seranto880
@Seranto880 7 ай бұрын
Who is still watching in 2024?
@Ccaprice278
@Ccaprice278 5 ай бұрын
I don't understand what it saying but love this song.💕🫂🤝🏼👋🏿✌🏽👍🏽👍🏾
@dianamasaka4168
@dianamasaka4168 4 ай бұрын
He passed away yesterday 😢
@JumaMHDaffa
@JumaMHDaffa 4 ай бұрын
don't have a translator app
@salitosofo5561
@salitosofo5561 2 жыл бұрын
Hivi vitu tumevikosa siku nyingi🎉🎉
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Eeeeh baba
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 6 ай бұрын
Kuvaa napendeza hawaamini kama nadhiki .... Wananiita luza heshima tena hamnipi...
@brunolazaro-sc2tb
@brunolazaro-sc2tb Жыл бұрын
Nkiwa yaki kabisa hii ngoma inakumbusha meng sana ktk maisha nliyokuwa nayapitia wakat uwo aisee
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
🔥🙏🙌
@gabrielwence
@gabrielwence 2 жыл бұрын
Thank you for uploading
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Aminia sn man
@MohamedBakari-n6o
@MohamedBakari-n6o 4 ай бұрын
12 /8/24 baada ya kusikia man dojo kafariki. So sad rest in peace brother LEGEND
@nicholaskobelo
@nicholaskobelo Жыл бұрын
Nalia na Mola kumbe wanga ndo wanamix..... Dah mstari una hisia sana huuuu
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Noma
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 ай бұрын
Niaje Hatupatani Na Msela....
@saidbai-iu7ss
@saidbai-iu7ss 8 ай бұрын
Hio verse ya kwanza ni balaa
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 4 ай бұрын
Rip Dojo
@WilliamsEzekiel-dh9cc
@WilliamsEzekiel-dh9cc 4 ай бұрын
dah mungu amlinde
@saumuomari9925
@saumuomari9925 6 ай бұрын
Mimi nasikiliza leo 2024🎉🎉🎉🎉🎉
@DismasEmanuel
@DismasEmanuel 4 ай бұрын
Jamani waliofanya icho kitendo Cha kinyama waukumiwe
@NaimaRamadhani-q1p
@NaimaRamadhani-q1p 4 ай бұрын
Shabki wake namba 1❤
@ESTONIATV
@ESTONIATV 6 ай бұрын
Ngoma moja Hatari I remember MINAKI HIGH SCHOOL
@nicholaskobelo
@nicholaskobelo Жыл бұрын
Verse ya kwanza huwa naipenda sana...Sir nature kama kawaida kauwa sanaaa...beat kali sana...nani alitengeneza hii MJ au P funk?
@dicksonfula2335
@dicksonfula2335 Жыл бұрын
Album hii alifanya Miika Mwamba kutoa mwimbo mmoja tu wa Nikupe ulifanywa Bongo Records
@emmanuelchanganya1900
@emmanuelchanganya1900 Жыл бұрын
Majani
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Mika mwamba at Fm studios
@jameslizomba9883
@jameslizomba9883 Жыл бұрын
Hili dundo kama limetoka leo...
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Noma sana
@yassinuddi
@yassinuddi Жыл бұрын
Am here again December 2023
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 9 ай бұрын
Dude langu la kila siku❤
@wakukayatz6959
@wakukayatz6959 4 ай бұрын
R.i.p man dojo
@willyfurniturearusha9161
@willyfurniturearusha9161 2 жыл бұрын
Dah big project we want more
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Aminia sn
@harrykarua9238
@harrykarua9238 Жыл бұрын
👊👊👊👊👊
@frankmanga3721
@frankmanga3721 Жыл бұрын
22/8/2023 Nimepita ku enjoy
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Tishaaa sana 🙌
@BugaJustine-wr9pt
@BugaJustine-wr9pt Жыл бұрын
Mnafanya kaz wazee
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
🙌
@monicageorge2181
@monicageorge2181 2 жыл бұрын
Msela ana Hasira.......🙏
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
Msipo nisikiliza mtanielewa vipi???? Yaan ngoma kama imetoka leo! Daaa
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Aminia sn respect
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
most respect to you son of Francis
@FridaPhilbert-r6f
@FridaPhilbert-r6f 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@shahzade8850
@shahzade8850 Жыл бұрын
ngoma Kali Sana👐
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
🙏🙌
@Denislyamuya
@Denislyamuya 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mandojojoseph1665
@mandojojoseph1665 2 жыл бұрын
Eeeh baba
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 430 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 569 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Mandojo & Domokaya - TASWIRA
4:04
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 67 М.
Hawatuwezi (feat. Enika)
4:54
Nako2Nakotz
Рет қаралды 339 М.
Niaje
4:50
Mandojo & Domokaya - Topic
Рет қаралды 43 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 448 М.
Dully Sykes - Hunifahamu (Official Music Video)
5:19
Dully Sykes
Рет қаралды 265 М.
Wanoknok
5:00
Mandojo & Domokaya - Topic
Рет қаралды 50 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН