Asante sana VVC, Hakika huu Wimbo unanibariki sana sana, Hongera sana mtunzi wa huu wimbo kwajinsi roho mtakatifu alivyokuongoza ktk hii tunzi. Barikiwa sana 🔥🔥 🙏🙏
@tumainimakamba4798 Жыл бұрын
Mwl. Paul Zakaria 🙌
@joshuafidelis9040 Жыл бұрын
Anointed song,I can feel the power of the Holy spirit in it🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@vailethmalakibungu7866Ай бұрын
The song singing into my vein .mbarikiwe Vvc
@Oman-oi9dt5 ай бұрын
Moto huooo mkaliii balaaa ila nyiee mnanyimbo taaaamu Mungu andelee kuwainua
@samilandoo Жыл бұрын
Wimbo Mkubwa umeimbwa Kikubwa. Daughter Lulu your are just Amazing. Mbarikiwe
@Regnard9997 ай бұрын
Kudos to the songwriter through whom God speaks with us👏👏👏✍️✍️,, nice vocal and musical arrangements ❤️❤️💪,, soloists 🔥🔥🔥
@vailethmalakibungu7866Ай бұрын
Lulu you are truly blessed and anointed..
@emmystephen1518 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana VVC Wimbo mzuri sana
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu
@Carolinembillanga Жыл бұрын
Wimbo mzur sana VVC Mungu awabariki sana
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu
@ikupafrank3352 Жыл бұрын
IBADA YANGU🙌🙌🔥🔥
@thomaslukubi729910 ай бұрын
What a choir !much love from Arusha ,tunawapenda sana sana
@mchalokasasa903410 ай бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU
@mchalokasasa90349 ай бұрын
Vvc Tanzania voice of victory choir from Tanzania dar es salaam
@mbokamartin7653 Жыл бұрын
Kila nikiusikiliza najihisi kububujika,mbarikiwe sana
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@KIMKIM-b9b Жыл бұрын
❤❤❤dada mwanaisha
@mwanashajulius10 ай бұрын
❤
@nakalisibaraka3943 Жыл бұрын
Sifa kwa MUNGU , mtunzwe na Jehovah ❤️🙌
@deliverancelifetestimonydl390810 ай бұрын
Mmenibariki Sana kwa wimbo huu
@mchalokasasa903410 ай бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu
@Regnard9998 ай бұрын
On replay❤❤... anointed song😭😭
@EmmanuelMwakilasa Жыл бұрын
❤❤❤❤❤mungu abaliki Kazi ya mikono yake
@graceedasalemba8962 Жыл бұрын
Vvc.Mmnabariki moyo wangu.Mbarikiwee
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Amen
@mpelimwamasangula8019 Жыл бұрын
Viwango vya juu saanaa❤
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Amen
@tatumwaipape7763 Жыл бұрын
❤️❤️❤️hakika nimebarikiwa
@mchalokasasa9034 Жыл бұрын
Amen
@estermwakajinga-jx1pm Жыл бұрын
Hongereni sana aisee
@Carolinembillanga Жыл бұрын
Ni wimbo ambao unanibariki kla itwapo leo ibada yangu