Ni kwa neema yake kweli...nakumbuka kipindi fulani nilipita kutengwa na wakwe nilisimama na mume wangu tu niliomba sana nilipitia shida kutopata mtoto baadae Mungu akanihurumia nikapata walichukia sana na baadae wakagombana wao kwa wao na kusema waliniloga sana ila sikuumwa wala kufa nlishangaa sana maana mpk sumu nlipewa bila kujua lakini sikufa kumbe NEEMA YAKE ILINIBEBA MAANA NLISTAHILI KUTOKUWEPO HAPA UWIII HUU WIMBO UMENIKUMBUSA JINSI MUNGU ANAVOTOA NEEMA.🙏🏾🙌🙌🙌🙌
@AgnesMduda7 ай бұрын
Poleeh sanaaa
@nakalisibaraka39437 ай бұрын
AMINA ENDELEA KUMTUMAINIA BWANA ILI NEEMA YAKE IKUFUNIKE ZAIDI
@CarolinaLucas-it1ri7 ай бұрын
Ni kwa neema tu Kuna wakati tunapitia magumu ,lakini mkono wa bwana unatuvusha.❤
@CarolinaLucas-it1ri7 ай бұрын
Mungu ni mwem ,hajawahi kutuacha .mungu akubariki kwa ushuhuda wako kupitia wewe wengine wataenda kupona
@harunisalingo7 ай бұрын
AMINA,ENDELEA KUMWAMINI YESU..ALIKUWEPO,YUPO NA ATAKUWEPO MILELE DAIMA.....UBARIKIWE KUMTUMAINI YESU PEKEE.
@vicentpatrick5587 ай бұрын
Likes za mwandishi wa wimbo jamani ❤️🔥❤️❤️🥰🥰🎉🎉
@Regnard9997 ай бұрын
Huu ni wimbo na nusu❤❤🎉🎉tulipoianza safari, tulikuwa kama waotao ndoto......hatukujua kwamba BWANA ametufanyia njia😭❤❤,, hapa ni patamu mpaka nakosa la kusema❤!! Barikiweni sana VVC🎉🎉
@fadhilidanieli14787 ай бұрын
Wasouth kaeni sawa Tz inakuja kwakasi kwenye live Miusc... Mungu anatukuzwa kwaviwango... Hongeren saaaaaana VVC
@mchalokasasa90345 ай бұрын
Groly upon to God 🙏
@youngmaster41274 ай бұрын
Bado sana
@faithrehema47677 ай бұрын
Much love from kenya 🇰🇪
@elishacharlesjr36117 ай бұрын
Brother @Oscar Justine Keys Moja kati ya MD wanao fanya vizuri sana broo ww ni Next Level 🔥🔥 KWA UTUKUFU WA MUNGU Nakuona South Africa 👑
@oscarjunkig38387 ай бұрын
Thank you sir 🙏🙌Glory to God🙌
@kipkiruigillie43322 ай бұрын
Chitete,kaniki Benjamin na gashion kazi safi Sana 🔥👌 huku Kenya 🇰🇪 Moore love
@Regnard9996 ай бұрын
I love the confidence in a female soloist❤❤🎉🎉🎉 singing deep from her soul❤❤
@mchalokasasa90345 ай бұрын
God's grace is sufficient 🙏🙏
@ChristineSyombua-d7l6 ай бұрын
Ni Kwa neema tu ,,much love you really bless me natamani siku Moja niwameet am from Kenya
@mchalokasasa90345 ай бұрын
Groly to God 🙏♥️ you're welcome our friends
@nickluca15127 ай бұрын
Huyu zoravo anakuwaga moto sanaa ❤❤🔥🔥🔥🔥..napenda vibe lakee 🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰
@dorcastesha4237 ай бұрын
hii nyimbo ntaingia nayo kwa engagment yangu mwakan kwa jina la YESU
@journeywithjesus3 ай бұрын
Nahisi na mimi 😢 Asante Yesu!
@judithp.kyamba83199 күн бұрын
Same here❤
@aminashilla9422 ай бұрын
This song is talking reality..safari ya wokovu ina mengi, lakini hatuuangamii❤ Tunngewezaje, Tunngefanyaje, kama c Neema yake
@isayamelamiofficial64687 ай бұрын
Nilikuwa nawasubiria kwa hamuuuu nyie 🎉🎉❤
@fridamsofe49255 ай бұрын
Hakika ni kwa neema ya Bwana,hata mimi sikustahili🙏
@mchalokasasa90344 ай бұрын
Amen 🙏♥️
@jacklinekiptanui3 ай бұрын
GOD bless you and uplift you for blessing many🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️
@leahlazaro73247 ай бұрын
Kyi ipyana lyake tukabhagile nkofika leleno kyi ipyana lyake 🔥🔥 ila kinyakyusa kiwe tu lugha ya TAIFA kwa gosiple songs Mana ata usipoelewa unajikuta tu umezama uweponi 🙌🙌🙌 ndaga fijo kalombo zoravo 🙏🙏
@mchalokasasa90345 ай бұрын
Ndaga tukumpala marafysle
@judithp.kyamba83199 күн бұрын
At this point I’m convinced Maserafi na Makerubi mbinguni ni wanyakyusa 🙌🏽 tunasifu jamani
@kipkiruigillie43322 ай бұрын
Dancing style more fireeee 🔥🇰🇪 Moore love
@berthayindi64467 ай бұрын
Kwanza tuanze na Zoravo. He has this taste that is really really amazing. Alafu huyo leader wow! She did justice to this song. Especially hiyo sauti aliyoingiza Dk ya 8:03 it was EXTREMELY BEAUTIFUL God bless you VVCT… watching from the states! I prayed and spoke in tongues while listening to this song…. God’s grace has kept me 😢😢😢 hatukustahili kabisaaa. 🥹😩🙏
@John951777 ай бұрын
Nakosa cha kusema ila hii nyimbo imefanyika Baraka ndani ya Moyo wangu❤❤❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤only by Grace of God we can overcome all maters. Nice song
@nakalisibaraka39436 ай бұрын
Mda wote natamani niendeleeee kusikiza huu wimbo huu Bila Neema ya MUNGU 😭😭😭
@AtwendaLazaro2 ай бұрын
Mungu awabarki Sana
@JohnFranco-2557 ай бұрын
Yes, neema yake tu ndio inatusaidiye , amen amen , wimbi nzuri sana , tulianza kama 'doto kumbi bwana ana tufanyiq njiya , mbarikiwa sana
@Regnard9997 ай бұрын
Powerful lyrics❤❤,, my anthem❤❤....KWA NEEMA YAKE (MUNGU)❤❤😭
@victorialuoga12807 ай бұрын
This song is powerful,,😢😢
@nickluca15127 ай бұрын
Mmoja aiandikee iyo lyrics ya kinyakyusaa❤❤
@NickNyagawa7 ай бұрын
Hakika ni neema ya Mungu ndo inatubeba mubarikiwe watumishi kwa ujumbe mzito sana
@DicksonSteven-yz1tw3 ай бұрын
Hongereni kwa maono ya nyimbo hii kwa Neema yake Mungu awabariki
@kvcdotcom7 ай бұрын
Good song❤❤❤mwl wa wimbo huu barikiwa mnoo
@RebeccaSanga-yg2uz7 ай бұрын
Kwa neema yake tyu mana sikustahili🔥🔥🔥
@UpendoMbawala-cd7bzАй бұрын
Amina mko vizuri waimbaji
@ClementJona7 ай бұрын
❤Ni neema ya Mungu tu sio ujanja ujanja ...Big up
@QeasdDz6 ай бұрын
Mungo Agape neema VVC_TANZANIA
@mchalokasasa90345 ай бұрын
😄😄🔥🔥🔥
@SamsonHerman7 ай бұрын
Hii nyimbo sio ngeni kwangu 🔥
@rosemwiti62957 ай бұрын
Well composed, powerful words. It's by His grace that am here. Zoravo❤❤❤the anointing of God is upon your ministry my brother🇰🇪❤
@graceedasalemba89627 ай бұрын
Uwiiiii. NEEMA ya Mungu ikifika ni Imefika,mmenikumbusha Mengi. God bless you All
@mchalokasasa90345 ай бұрын
Amen 🙏♥️
@benardobande42357 ай бұрын
Super nice following from Nairobi
@nakalisibaraka39437 ай бұрын
Hakika ni kwa Neema ya Mungu tu sikustaili mimi asante vvc Tanzania ❤
@graciek36964 ай бұрын
Hii song ni tamu🇰🇪
@kipkiruigillie43327 ай бұрын
VVC mungu anawainua Kwa Kasi Sana..wimbo mkubwa sana wenye ujumbe na ufunuo . muonekano pia yanafurahisha sana. Wacheza vyombo kuanzia bassist, Andrew the drummist 🥁 ...ni motoo 🔥huku Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana watu wa mungu
@vicentpatrick5587 ай бұрын
Ni kwa Neema tu nina comment 🙌🙌🙌 You are loved VVC 🥰🥰💯
@aloyceponela32497 ай бұрын
Mko juu sana.hongeren sana
@kulwarichard57757 ай бұрын
kwa neema yake , mungu awabariki sana watumishi.
@BenedictoEmily7 ай бұрын
Hakika tumemuona mingu😢❤
@MariaKilasi-xw4iv7 ай бұрын
Ni kweli pasipo neema yake tusingelikuw hap💯💯🙏🔥🔥🔥🔥
@oscarmugo88987 ай бұрын
Bassman nani uyu😎😎
@Neymicah217 ай бұрын
Aaaiy🎉 🔥🥳🥳 God’s grace🔥😇
@CarolinaLucas-it1ri7 ай бұрын
Ni kwa neema yake . Ni mengi Mungu umetutendea ni kwa neema yako tu 🙏
@emmaemma36547 ай бұрын
Hakika hatukustahili,bali ni kwa Neema yake Mungu
@Movie_town-u3d7 ай бұрын
Huyuu bass man atengwee🔥🔥🔥🔥
@martinetimotheoofficial33047 ай бұрын
Waaaaoooo!!! Glory to God Mbarikiwe sana
@EvangelistFrancis.7 ай бұрын
Very powerful VVC God bless you all
@Carolinembillanga7 ай бұрын
🔥🔥V.V.C nawapenda sana❤
@EmmanuelMwakilasa7 ай бұрын
Mungu atubaliki kwahilo namxhukulu mungu kwahili
@frankkipaleni7 ай бұрын
Wimbo Mkubwa wa Shukrani na Ushuhuda Kweli ni Kwa Neema ya Mungu. Kufika hapa ni Kama ndoto tu