VVC Tanzania - Mungu Ni Mungu (Live Video

  Рет қаралды 24,040

VVC Tanzania

VVC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@jabaladebayo3612
@jabaladebayo3612 3 ай бұрын
I'm Nigerian, saw this song popped on my KZbin and just so love ittt! The language is sweet & soothing too. God is indeed our lover no matter what 😊
@DIANAPHENNY-Kenya
@DIANAPHENNY-Kenya 3 ай бұрын
The makeup is good for ladies I love it, Men also look good, the alter is neat.... Yaonyesha Mungu ni mzuri. Nimependa, Mungu awabariki watumishi wake❤ Love from Nairobi❤❤
@masebomusic
@masebomusic 3 ай бұрын
Kumbe huu wimbo ulikua haujatoka bado?😊 Aloo My favorite song. Hongereni sana VVC 🇹🇿 Nice job 💪 Mungu wetu ni Mungu 🔥
@Livingstone.Chengo
@Livingstone.Chengo 3 ай бұрын
Mungu ni mungu haha na atabaki kuwa Mungu ❤ Kenya 🇰🇪 let's gather here and proclaim these words 🙏
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 3 ай бұрын
Wimbo mkubwa wenye baraka tele Kenyans let's support this fellow brethren in Jesus name....mmbarikiwe sana ...huku Kenya 🇰🇪 Moore love
@hopemuro2899
@hopemuro2899 Ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwakuisuport kazi ya Mungu
@SusanaNkoma-db3bg
@SusanaNkoma-db3bg 3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana, na wanaume wamependeza sana , wanawake wamependeza kiasi mipasuo imezidi itakuwa nzuri sana kama mtalekebisha hiyo sale❤❤🎉
@nakalisibaraka3943
@nakalisibaraka3943 3 ай бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 3 ай бұрын
Nyie watu wanawapenda sana hii kwaya kristo azidi kuwatunza na kuwainua mnoo hakika kila Leo mnazidi kutoa nyimbo nzur zaidi zinazotuhudumia
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 3 ай бұрын
Andrew, Benjamin na Gashion pamoja na bassist and all the music team,kazi safiee. . Kenya 🇰🇪 Moore love
@meshakimsacky4746
@meshakimsacky4746 3 ай бұрын
Niko nafikiria, how were these musicians made. A big team ever. Nice Job
@happyswai2106
@happyswai2106 3 ай бұрын
Wimbo mzur sana namuona tumaini wangu ❤
@TalmonFletcher-u2l
@TalmonFletcher-u2l 3 ай бұрын
Nyimbo kubwa sanahii mungu awabark mmenibark sana jeco ubarikiwe
@mwanashajulius
@mwanashajulius 3 ай бұрын
Mungu anaendelea kutupenda siku zote na anatuwazia mema❤
@abigailipambe6999
@abigailipambe6999 3 ай бұрын
Mumgu yupo kwa ajili yetu hallelujah very powerful be blessed 👏💪
@Regnard999
@Regnard999 3 ай бұрын
VVC mnabariki sana ❤❤🎉🎉
@sweetbethjulius4818
@sweetbethjulius4818 3 ай бұрын
Hii nyimbo ni tamuuu mnoooo
@YurithaYohana
@YurithaYohana 3 ай бұрын
Hongereni sana vvc❤❤wimbo mzuri sana
@nakalisibaraka3943
@nakalisibaraka3943 3 ай бұрын
Kweli ufahari wote tulio nao ni Mungu anatenda VvcT Mungu awabariki
@barakastewart
@barakastewart 3 ай бұрын
A NICE SONG
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 3 ай бұрын
MUNGU yu pamoja nasi BWANA 🇹🇿🇹🇿
@mikadanniel1952
@mikadanniel1952 3 ай бұрын
Bassist ananibariki sana 🙌🏾
@paulseneda
@paulseneda 3 ай бұрын
❤😊nawakubali sana familia
@hekimamedia4721
@hekimamedia4721 3 ай бұрын
AMEEEN
@kilangiih
@kilangiih 3 ай бұрын
🎉 Hongereni sana
@estercharles7339
@estercharles7339 3 ай бұрын
Waoh 😍👏👏🎉🎉🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alphaetabale
@alphaetabale 3 ай бұрын
Love this
@nakalisibaraka3943
@nakalisibaraka3943 3 ай бұрын
Pendo lake Mungu la ajabu sana❤
@lodrickcharles2456
@lodrickcharles2456 3 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri👏👏
@rebecajeremiah1556
@rebecajeremiah1556 3 ай бұрын
Kweli Mungu yupo nasi tunauhakika na hilo🤗
@BeatriceMapinda
@BeatriceMapinda 3 ай бұрын
❤❤❤nice work
@aloycejames4862
@aloycejames4862 3 ай бұрын
VVC mnanibariki sana
@dannie_scenes
@dannie_scenes 3 ай бұрын
🎉.. always good 💯
@Oman-oi9dt
@Oman-oi9dt 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@sweetbethjulius4818
@sweetbethjulius4818 3 ай бұрын
Mungu mzuri sana
@TausiBruno
@TausiBruno 3 ай бұрын
Ameeeen sana Dada
@NicholsKing-c9i
@NicholsKing-c9i 3 ай бұрын
Grady Track
@GrolyFredy-uf1tx
@GrolyFredy-uf1tx 3 ай бұрын
❤❤❤
@gadimwakabana
@gadimwakabana 3 ай бұрын
Amen
@mchalokasasa9034
@mchalokasasa9034 3 ай бұрын
vimelia🎧🎧🎧🔥🔥🔥 ULAO @vvc_tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎧🎧
@EmmanuelMwakilasa
@EmmanuelMwakilasa 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@praisemusic4134
@praisemusic4134 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Gracegodfreytz
@Gracegodfreytz 3 ай бұрын
🔥🔥
@AnnaLwilla
@AnnaLwilla 2 ай бұрын
❤❤❤
VVC Tanzania Ft Herman Mchome - Jambo Lipi (Live Video)
12:52
VVC Tanzania
Рет қаралды 9 М.
VVC Tanzania Ft Agape Gospel Band - Yamekwisha (Official Video)
12:07
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - ELOHIM (Official Live Video)
7:29
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 2,3 МЛН
VVC Tanzania Ft Joel Lwaga -Kwa Mkono Wako (Official video)
11:05
VVC Tanzania
Рет қаралды 25 М.
Hira Fiderana Medley Adoration 2025
53:45
David Production
Рет қаралды 6 М.
Swahili Worship Gospel Mix | Best Nonstop Swahili Worship songs Video Mix 2024
1:02:44
VVC Tanzania - Mwaminifu Bwana (Official Music Video)
11:01
VVC Tanzania
Рет қаралды 25 М.
Mercy Chinwo's Soul-Stirring Performance at The Experience 19
18:53
The Experience
Рет қаралды 202 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН
Agape Gospel Band - Shuka Yesu (Live Music Video)
16:15
Agape Gospel Band
Рет қаралды 201 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 2,7 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН