Mtoto wa Mbarikiwa aamua kuomba msamaha kwa Rev. Magembe na wahubiri aliowaambia WANALIUA KANISA.

  Рет қаралды 1,789

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@RogateShayo
@RogateShayo Ай бұрын
Mungu akubariki uu ktk Mungu wa kweli ndivyo inatakiwa kweli
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 Ай бұрын
Yes kikosi chenu tumeshakielewa sana, ndicho kimebeba watu wanaotetea maslahi ya Mungu tanzania na ulimwenguni pote, songeni mbele, chapeni injili SANA Amina!
@christianchando7041
@christianchando7041 Ай бұрын
Mlelwa leo umeongea kama mtu mzima kiroho, hizi ni point tupu. Mungu wa mbinguni akubariki sana na akibariki hiki ulichoongea
@PatsonKyando
@PatsonKyando Ай бұрын
Huna heshima wewe kijana,hao unaowasema wako bize kufanya kazi waliopewa na Mungu siyo Kusema wengine vibaya Sikushangai kwa sababu ndicho umefundishwa na aliyekufundisha
@simonmwavipa1368
@simonmwavipa1368 Ай бұрын
Ubarikiwe
@ShadrackMwita-q3d
@ShadrackMwita-q3d 24 күн бұрын
Wewe kua kwanza dogo ungejua hao watu, wewe na magembe nani anauchungu na kanisa,wewe umetumiwa
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
Kosa lenu Mlelwa, Ni KULAZIMISHA KILA MHUBIRI AROPOKE KAMA NYIE!!! Huo ni ubinafsi ambao siyo wa kikarama. Bali wa ukabila!!! Na ni dhambi. "WATU WASEMAO SIMAMA PEKE YAKO, USINIKARIBIE MIMI, KWA MAANA MIMI NI MTAKATIFU KULIKO WEWE..." (Isaya 65:5).
@barakahhawu2324
@barakahhawu2324 Ай бұрын
99.9% wahubiri wanachangia watu kuharibika hapa duniani Wanawavuruga Sana waumini . Nimekupata mtumishi
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Ай бұрын
Matuni ,Nani anakufundisha bwana mdogo
@user-mx4tx1mm2d
@user-mx4tx1mm2d Ай бұрын
Kama umeelewa kosa lako ni vizuri ,Mch maghembe ni mtu mzima sana pia amepigania injili sana kuna mambo anafanya ambayo si lazima yawe wazi nyie kuyaelewa
@georgekyando885
@georgekyando885 Ай бұрын
Mpaka ukosolewe ndipo useme ukweli wenzio tulikushangaa sana kwa kauri zako kwamba eti akina Mwakasege wanalipotoa neno tulikuona kama una shida ya afya ya akili omba radhi kijana upone.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Ай бұрын
Umesikiliza hiyo clip?? Na ile ya kwanza ulisikiliza. Kuhusu Mwakasege hiyo haibadiliki, hapa ninayemzungumzia ni Magembe, wala sio Mwakasege.
@user-lh5rx6yf1g
@user-lh5rx6yf1g Ай бұрын
Mbona nyinyi mlihubiri uongo, mlisema biblia imetoa sababu mbili za kuvunja ndoa pamoja na namna ya kumsamehe mtu. Mmeelezwa lkn hatuoni hata yoyote kwa maana hiyo mnahukumu kwani mnafanya mnayowakataza wengine wasifanye.
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Ай бұрын
Kwani wewe namagembe Nani anamungu ,muache mtushi wetu
@renatus5687
@renatus5687 Ай бұрын
Uchawa tu wa kuongelea waliofanikiwa kama vile huna malinda
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Ай бұрын
Kufanikiwa ni nini??
@renatus5687
@renatus5687 Ай бұрын
@@HelbethMlelwa haujui tafuta kazi unakua unawashwa kusema wenzio tu kama sio liziki
@avelinaluoga9141
@avelinaluoga9141 Ай бұрын
Jaman haka nako kanapambana kanataka kufahamika hao uliopost tumeona kaz zao ww mpk ufike walipo hawa kwa roho mbaya mlizonazo hamfiki mbali
@omuze1290
@omuze1290 Ай бұрын
Mlelwa amekosea wapi?​@@avelinaluoga9141
@user-lh5rx6yf1g
@user-lh5rx6yf1g Ай бұрын
Nyinyi mkipewa ushauri mnashaurika?
Binti Afungishwa Ndoa na Marehemu | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
9:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 28 М.
Mch Moses Magembe - VITA VYA KIROHO VYA MWAMINI
2:21:50
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 64 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 159 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 93 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 182 М.
USHUHUDA WA EV.MAPENDO KUTOKA UBELGIJI |NIONYESHWA PICHA SITA (06) ZA MKRISTO
43:34