Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu ulipoanza kufundisha tuu mambo ya mfumo ktk Ulimwengu wa roho niliona bin la uchafu limejaa uchafu mpaka juu na mwingine uko chini likivuutwa na kupelekwa sehemu nyingine Bwana yesu asifiwe sana mahubiri haya ni ya kwangu Bwana yesu asifiwe sana ❤❤❤mtumishi wa Mungu ktk kristo Yesu
@Tycc960 Жыл бұрын
9
@KarimJerry-qb1gm Жыл бұрын
Baba Mungu akubariki sana na azidi kukupa unyenyekevu mbele ya Mungu
@FrancisKibona-n6o Жыл бұрын
Hakika mwalimu Mungu aiku.buke sadaka yako ya kufundisha wengi tunapona
@derickcowly6681 Жыл бұрын
@@KarimJerry-qb1gm Amina asante sana kwa kuniombea kwa Mungu ktk kristo Yesu kunipa unyenyekevu nawe utakula mema ya Nchi Bwana yesu asifiwe sana
@LadyFaraja Жыл бұрын
Nikiwa kazini Njombe ramadhani najifungamanisha na ibada hii
@johanneskiwera5151 Жыл бұрын
Kristo ainuliwe,Mungu atukuzwe kupitia Huduma hii
@ndeningwambora3302 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa uponyaji niko Arusha
@user-Ndashuka001 Жыл бұрын
MUNGU akubarik sana baba Kwan ww kwangu si tu mwalimu Bali nabii pia. Mafundisho yako yote huja kwangu Kwa wakati. Eee MUNGU NISAIDIE.
@LEMPEMICROFINANCE Жыл бұрын
amina baba mbalikiwe sana pamoja na team yko napokea kuanzia mwanzo mpk mwisho umekua msaada mkubwa ktk safar yangu ya wokovu
@MarthaMoses-i6p Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema san barikiw san watumish wa Mung
@rachelpeter87 Жыл бұрын
Hakika ni somo la wakati kwangu na kwa kanisa Mungu akubariki na kukulinda baba. Hesabu 6:24-27
@gasprtina236 Жыл бұрын
Bwana akubariki sana baba kwa somo nzur nimefunguliwa leo ❤❤❤ najfunza kwako
@nassonimfumbilwa6461 Жыл бұрын
Aaaah eeenh yesuu wastahili heshima na utukufu 🙌🙌🙌🙌
@michaelstanley9898 Жыл бұрын
Barikiwa sawa Mwl
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Amen! Huu wimbo nautafutaga sana sijawahi upata nisaidieni wapendwa
@MosesEfata-qw7br Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@CTCNAVY Жыл бұрын
AMINA
@johnmakweba1357 Жыл бұрын
Kuna mwanamke ninayempenda naningependa awe Mpenzi wangu anaitwa Sara Macmilian Jonathan Namuomba Mungu anirudishie huyu Mpenzi wangu maana nampenda Bwana Yesu anipe kibali mbele za huyu mwanamke Ee Yesu kama ulivyotupatanisha na Baba kwa Damu yako naomba unipatanishe mm Pamoja na Sara Macmilian Jonathan Katika Jina la Yesu Aliye Hai Amen Amen Amen...
@nathanaelkiswili7626 Жыл бұрын
Mungu akutangulie katika huduma yako upo kwenye wakati wa Bwana
@elleymselle5933 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri🙏
@PhilimonNinga Жыл бұрын
Mungu akuzidishie baraka malimu
@Editha-di2xo Жыл бұрын
Amina mtumishi
@CassianNziku Жыл бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya.....
@shigongokimwaga9067 Жыл бұрын
Mbarikiwe Amina.
@maryrweyemamu7825 Жыл бұрын
✋🏽nimekupata mwalimu😊
@daneema9240 Жыл бұрын
Mungu aendelee kutupigania nasi tusimwache
@EuniceMwanri-jw9py Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Asante Mungu barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@JulyMtui Жыл бұрын
Tutabarikiwa Sana Mungu awabariki Sana Mana ministry
@AgnesMgina-ud6ho Жыл бұрын
Amina🙏🙏
@LesikariLukumay-s4j Жыл бұрын
Amen Barikiwa kaz yako njema
@AJESTAKIVIKE Жыл бұрын
Haleluya haleluya
@florangido202 Жыл бұрын
Ameen, Napokea Uponyaji, Uti wa Mgongo😢
@tumainijoshua5090 Жыл бұрын
AMINA MWL MUNGU AKUBARIKI UENDELEE KUMSIKIA HIVYOHIVYO KWA KIZAZI HIKI NA KWA NYAKATI HIZI,YULE MWOVU ASIKUIBIE KWA NAMNA YOYOTE KILE CHA MUNGU MAANA ANA HEKIMA NYINGI NA HILA,LAKINI MUNGU BABA NI MWEMA 14:57
@RuthMaxwell-k1c Жыл бұрын
Mungu akutunzee
@janejacob1402 Жыл бұрын
Haleluyaaaaa 😢❤
@EmanuelMussa-gs9gg8 ай бұрын
Emanueri musa
@Stanlee959 ай бұрын
God connect with me here, as I seek YOU in your Word!
@franknyella5633 Жыл бұрын
Very powerful
@gladnessbenson7999 Жыл бұрын
Hallelujah
@mercympuyiki-cw2jf Жыл бұрын
Yesu wangu atafanya jambo jipya juu ya maisha yangu
@marthagwalema4393 Жыл бұрын
Haleluya
@jemusestevao Жыл бұрын
Jesus é poderoso
@rosemgaya9332 Жыл бұрын
Barikiwa baba
@RoseKiwelu Жыл бұрын
Haleluya Ameni.....
@tumainisaturo3398 Жыл бұрын
Amen Amen
@priscakitambi8639 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie saaanah Mtumishi. Roho/Moyo wangu unafurahishwa sana na mafundisho yako. Hili sasa la mifumo ni la kwangu kbs! Ok. Nitapambana mpk kieleweke asee!
@BraitonPaul Жыл бұрын
Ameniii
@merylyimo9267 Жыл бұрын
Usinipite YESU
@MajjidMsuya Жыл бұрын
Ukiwa na Bwana mfumo ukiasumbua anakuelekeza kubadili 'gear' hata angani!
@florasanga8550 Жыл бұрын
Amina
@mwampambadaniel3485 Жыл бұрын
Wana Yesu asifiwe! Namwomba Mungu akupe kibari cha kuja huku Songwe hasa Tunduma watu tupone.
@emegasper4633 Жыл бұрын
Amina
@magrethuronu7190 Жыл бұрын
AMEEEEN AMEEEEN
@LadyFaraja Жыл бұрын
Amina najifungamanisha pamoja na ibada kuombea asante Yesu kwa uaminifu wako naombea akili zangu leo na faham zangu Yesu zitakase
@JacksonElias-hj3jl Жыл бұрын
ameeeeeni
@ExaudyMassawe Жыл бұрын
Hallelujah
@Denisdidasurio Жыл бұрын
Ameni
@MariamKisisile Жыл бұрын
Amen
@catherinefredrick5516 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe leo hili neno limenifungua nimeona ukuu wa Mungu nilikua nimekaa siku kadhaa bila kuuza wateja wamemiminika akika Mungu ni mwema
@lilianmnyanyi1854 Жыл бұрын
Amen
@LovenessGiftMbwiloLovene-zu6wh Жыл бұрын
Groly to God
@titobupilipili3376 Жыл бұрын
❤
@AlinanusweLukas Жыл бұрын
Ameen
@AgnesTemu-t5w Жыл бұрын
Amen.ubarikiwe sana Mtumishi
@LodaMagele-gs1jv Жыл бұрын
mwakaseke
@JOYCEJIMMY-z5v Жыл бұрын
ameeeen
@SekelaTwisa Жыл бұрын
Ameni
@annaboaz383 Жыл бұрын
HAKIKA LEO NIMEMUONA YESU NIMEUONA UKUU WA MUNGU KUPITIA IBADA HII.