Bwana Yesu asifiwe, jitahidi ku like hii video iwafikie watu wengi zaidi ❤
@wemawestern197110 ай бұрын
Nipokeee neeema na kutembeee na neeema ya Mungu juu yangu na Kila kitu changu kitembeee juu ya neeema Amen
@elizabethmahenge22318 ай бұрын
Mungu utukuzwe kwa ajili ya mtumishi wako Mwalimu Mwakasege kwa neema na kipawa cha kufundisha NENO, nabarikiwa
@avitrujweka211310 ай бұрын
Somo zuri sana, ahsante na ubarikiwe sana Mwalimu 🙏❤
@ibrahimedsonsimba236010 ай бұрын
❤ Asante kwa semina hii imekuwa Baraka Sana kwangu na Mkoa wangu wa Shinyanga.
@JelisterKwambazatz10 ай бұрын
Shalom Mungu anisaidie nami nijiungamanishe na madhabau hii nami mipokee alichokiandaa siku ya leo Bwana mpake Mtumishi wako mafuta kwa kusanyiko lako
@emmanuelkayuni761510 ай бұрын
Uzao mteule ktk lango la ualimu ktk kristo yesu ndani yako baba na ukatawale mataifa.Utunzwe ktk kristo yesu ambaye ni Siri ya mungu ifunuliwayo na ROHO mtakatifu ndani yako🎉❤
@margaretsamson113010 ай бұрын
Mwalimu Mungu akubariki sana. Ni neema ya ajabu kwa ufunuo huu, hakika nitaponya madhaifu na magonjwa yote kwa jina la Yesu
@rosepatrick814810 ай бұрын
Wewe Mungu ni mtakatifu siku zote za maisha yangu semina hii ikawe Baraka kwenye maisha yangu.
@viviankitonka718210 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma hii yenye kibali mbele za Mungu na wanadamu pia
@janemdalingwa26599 ай бұрын
Hii message inanigusa sana, akili yangu inafunguka na kupata majibu ya maswali yangu, hooo Mungu asante
@JosephKapinga-gu1pt10 ай бұрын
Amina Mungu akupe maisha marefu Baba, nakupenda sana
@hailethandrea586210 ай бұрын
Najiunganisha ma maombo haya Mungu nionekanie kwa upekeeee maana nakuamini na nakutumaini wew.
@winifridajohn922610 ай бұрын
Amen 🙏
@EliaGerald10 ай бұрын
Najiungamanisha na mafundisho mungu uniponye Afya yangu na uharibifu WA mimba na uti isiyoishaa
@MsetiRyoba-el3ye10 ай бұрын
Mungu wa Utukufu mwingi
@lavendermlay573110 ай бұрын
Mungu tunashukuru
@jastinnkya10 ай бұрын
Asante yesu
@FadhiliPerta9 ай бұрын
mungu azidi kuku inua azidi kukupka mafuta maabichi
@JanethShirima-i4lАй бұрын
barikiwa baba
@EverlynKenneth10 ай бұрын
Asante YESU 😢😢😢
@vailetheanyambilile974910 ай бұрын
Amen Amen
@gasprtina23610 ай бұрын
Ameeen
@neemaerasto18429 ай бұрын
🙏🙏🙌
@lidiahwasai13710 ай бұрын
What a divine revelation.. God bless your servant
@sammlawatvlive370110 ай бұрын
Ameni
@LILIANJACOB-zx3zt10 ай бұрын
Amen
@sekelabenard10 ай бұрын
Ameen
@AnnaAlbert-ez5jd10 ай бұрын
Ameen😊
@mtilimsita667510 ай бұрын
Ila baba sio rahisi
@mamsaramamassawe.479710 ай бұрын
BWANA YESU NAKUOMBA SEMINA HII ITAKAPO ITIMISHWA SIKU YA (5) JUMAPILI NAMI NIKAINUKE KIROH NIKAINUKE KIUCHUMI ..YESU NAKUTUMAINIA MAPENZI YAKO YAKATIMIE 🤲
@mamsaramamassawe.479710 ай бұрын
KWA MAANA FADHILI ZAKE NI ZA MILELE ...NI WEWE TU BWANA
@BonifaceAndrew-ul7vk10 ай бұрын
La sikuona live lkn nimeipata
@lovenessrichard10 ай бұрын
Amen naomba mume wangu arud alinikimbia
@yuliahenry33839 ай бұрын
AMEEEEEN muda wangu na uzao wa mama yangu na uzao wetu haujaisha hatutajikatia tamaa Katika jina la Yesu