Nakupenda Yesu wangu kwa kuendelea kujifunua Naomba uwabariki watumishi wako hawa wamekubali kutumika
@wemawestern197110 ай бұрын
Neema Yako Mungu ikutane na maisha yangu na ikutane na Kila kitu changu Amen
@Jeremia-b1d7 ай бұрын
Kwanza natanguliza shukurani kwa kutufundisha neno la Mungu, Naomba mniombee namimi mahitaji yangu Mungu ayakumbuke,
@wemawestern197110 ай бұрын
Amina nimefunguliwa vifungo vyangu vyote nilivyokuwa nimefungwa Leo vimeachiya Ahimidiwe Mungu asiyekataa Dua zangu na Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu Amen
@wemawestern197110 ай бұрын
Naachilia neema ya uponyaji wa mwanangu awe mzma Sasa hivi Kwa Damu ya Yesu kiristo na niamuru Kila Giza limwachie kuanzia Sasa na ninaachia Nuru kuanzia utosini mpaka kwenye nyayo Amen
@Neema-wy4mh10 ай бұрын
Amen Amen. Asnte bwana Yesu kwajili ya Neema yako kuachilia kwetu.
@JustaJohn-qt6iv10 ай бұрын
Ameni 🙏🙏🙏 nimebalkiwa nahamin damu ya Yesu imeondoa kila vikwazo
@elizabethliacho990010 ай бұрын
Simtaki shetan mpumbavu sn jinga sn,sitamsujudiai maisha ktk jn la Yesu Kristo wa Nazareti
@wemawestern197110 ай бұрын
Sitamsujudia huyu jamaa shetani Kwa Damu ya Yesu kiristo Naapa sitamsujudia Kwa neema ya Mungu Amen
@JanethMlack9 ай бұрын
❤
@KelvinNaftal-g6i10 ай бұрын
THANKYOU JESUS FOR YOUR GRACE IN TO MY LIFE
@blankakecy246410 ай бұрын
Tunaendelea kujifunza,tunaendelea kubadilika na kufuata njia iliyo njema kila siku ubarikiwe sana mwalimu na sis tubarikiwe kupitia mafundisho yako.
@jisraelel233410 ай бұрын
AMINA
@gracerehemarehema474210 ай бұрын
Amen 🙏
@HeriethMchalo10 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kunisaidia Mungu akutunze.
@samwelrobeth776310 ай бұрын
❤❤❤ utukufu kwa Yesu Kristo
@tanunewstz10 ай бұрын
Jesus high high High.....Amen
@JophFidel10 ай бұрын
Nawapenda san mungu awatuze nakuwapa neema
@ibrahimedsonsimba236010 ай бұрын
Hakika wewe ni Mkuu💪💯🙌🇹🇿🇹🇿
@JoshuaHilgath10 ай бұрын
Amina Amina
@LucyLwiva-h9l10 ай бұрын
Hakika mungu wetu ni mzuri hasa ukiamini kwakeli anafanya makuu
@rosepatrick814810 ай бұрын
Amina Amina Aminaa
@rhodanangoma738610 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni, awatunze Mama na baba Mwl.
@wokovumwazembe350510 ай бұрын
Mungu awabariki sana sana
@upendomollelu726010 ай бұрын
Ameen Mwl.
@RehemaEmmanuel-wz3fo10 ай бұрын
Ameen
@MonyaichiShayo-ke4me10 ай бұрын
Amen
@vinenswilliam353410 ай бұрын
Watu wa idara ya sauti, sauti itizameni vizuri. Tangu day 1 inacheza mara chini... mara juu