Nami nilikuwa nahubiri madhabahuni nanikawa na upako hata kuliko mchungaji wangu lakini niliposikia hili nikaacha ili nimtii Bwana Yesu
@immaculatonyango7153 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu, tusaidie, tuwezeshe kuyaosha mavazi yetu kwa damu ya mwanakondoo. Tuwe safi, tuwe watiifu wa neno, tuwe macho tusije tukadanganyika na uzao wa nyoka, tukubalike machoni pako utakapokuja. Katika jina la Yesu naomba, Amina!
@msanginaza905 Жыл бұрын
Mm naona wanawake tumepunguziwa kazi tusinganganie kazi za uchungaji
MUNGU naomba unirehemu unisamehe sina ukamilifu sina Utakatifu unisafishe kwa Damu yako ya thamani iliyomwagika pale msalabani, nakushukuru kwa watumishi hawa Sifa Urukufu na Heshima ni kwa YESU Ameeeen
@elizabethbarasa10353 жыл бұрын
Ashukuruwe Mungu kwa mafundisho hayo
@harimakidesu36803 жыл бұрын
Samahani mtumishi kuna evangelist yupo Congo anaitwa zawadi mugane yesu amekuwa akimtumia nanimahalufu sana huko kwenu imekaaje hapo sasa
@nsimirrlove21392 жыл бұрын
Nsimire Nshokano ameeeen
@marcbanyankirubusa1353 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu ,samahani kidogo umekosea kidogo alusi ya mwana kondoo ni myaka saba ,badae tutaludi kwa utawala wa myaka elufu wakati shetani alipofungwa minyololo kuzimuni.
@nellydeborah9433 жыл бұрын
Bwana asifiwe,barikiwa sana kwa neno ilo la maarifa ya biblia.ningependa tu kuuliza kuwa yes mwanamke awezi kusema kanisani ,na je?aruhusiwi kuevangelise kule inje kama kwa mitaa,masokoni na kwa vijiji ama vikundi.swali lengine ni hili. Ikiwa mwanamke asitoe sauti kanisani ,Ina maana kuwa hatufai hata kutoa sifa na maabudu na choir au vipi kwa sababu hizo ni sauti pia kwa mwanamke kanisani.barikwa
@maggyirene1103 жыл бұрын
Asante kwa swali hilo, nami nangojea jibu,, mfano hata hapa mtandaoni mwanamke akikumbusha watu wampokee Yesu na kutembea kwa njia zake...
Mwanamke kutaka sana kuwa kiongozi wa kiroho ni sera zilezile za kidunia zinazomtaka awe kiongozi wa kisiasa au kijamii. Shetani huwa anataka kujiinua juu, na hili linawezekana kupitia kuliinua juu neno lake kuliko la Mungu. Watumishi wa kanisa wengi wanamsaidia adui kuliinua neno lake juu linalopinga neno la Mungu kuhusu mwanamke. Lengo la Adui sio kuinua wanawake bali kulishusha chini neno la Mungu. Bali watu wa Mungu watatenda makuu ya kubakia kwenye maneno ya Mungu japo upepo mzito wa kimbunga utavuma sana kusomba watu nje ya neno la Mungu. Yesu alisema kila mkristo asiyekaa kwenye neno la Mungu atakatwa na kutupwa nje na huko ndiko wadanganyaji watamfundisha maagizo ya shetani yapinganayo na maneno ya Mungu katika kumfutia motoni - Yohana 15:1-6
@manyanyazakaria3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@isayailungu11853 жыл бұрын
Ubarikwe mtumishi
@alinefeyi67313 жыл бұрын
Amina amina amina
@EvangelistMathayo26043 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Langi Stany
@wainjilisti44583 жыл бұрын
shalom mtumishi nina swali...je mandiko yanasema kua ni hatia / haruhusiwi mwanamke kufundisha? ama ni AIBU....naomba tu unieleweshe alafu pia umesema kua uchungaji / ualimu / uinjilisti mtu anazaliwa nao maana ni wito inamaanisha mtu mwenye jinsia ya kike hawezi zaliwa nayo kulingana na MUNGU ambaye ndiye anapeana karama hizi....
@jenifakajuni35503 жыл бұрын
Amina. Sana mtumishi
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Kutokana na baraka ya uzazi aliyoumba Mungu kwa mwanamke,Mwanamke anaweza kuwa na udhuru wa kusimama madhabahuni km kuhani mkuu kwa ajili ya utakatifu wa nafsi na mwili according to TORAH/TAURAT (Lawi 15:19-30). Fahamu jambo hili; Amri,Hukumu,na Sheria; Kiebrania inatamkwa Taurat/Tohorat (Instruction of God)Kumb 6:1 Mtumishi kumbuka Agano la Kale ni kivuli cha AGANO JIPYA (Ebrania 10:1) Na katika AGANO JIPYA; MWANZO -UFUNUO[BIBLIA] ni NENO LA MUNGU ama MAELEKEZO YA MUNGU/INSTRUCTION OF GOD/TOHORAT OF TAURAT NA KRISTO BWANA NDIYE MJUMBE NA KUHANI MKUU WA AGANO JIPYA {Ebrania 7:22-25) KRISTO NDIYE MWISHO WA TAURATI/TORATI Kuzuwia HUDUMA YA MWANAMKE(Amri,hukumu na Sheria)Rumi 10:4 v/s Ebrania 7:11,18./Ebrania 8:7,13, Tangu kuumbwa kwa ulimwengu WANAMKE anaweza kuwa mtumishi ktk Karama yoyoyote na WITO wowote ila lazima awe chini ya mwanamme(Kuhani mkuu)1Korintho 11:3. } AGANO JIPYA kuhani mkuu wa Kanisa ni YESU KRISTO (Efeso 1:22-23). Si mwanamume uzao wa Haruni Mlawi. Kama BWANA anehesabu nasaba/angeangalia Jinsia wewe na mimi tusigeitwa makuani,Wangebakia kabila la Walawi tu.[Ebrania 7:12-14] YESU WA KABILA LA YUDA,ALIYE MWISHO WA SHERIA Mwanamke/mwanamme,wa kila lugha,taifa,,jamaa wote tumehesabiwa haki bure kupokea (Wito/Ukuhani) na VIPAWA vya MUNGU {Ufunuo 1:5-6/Ufunuo 5:9-10. V/s Yoel 2:28-29/Galatia 3:26-28} Muhimu kujuwa ni kuwa; Mungu hana upendeleo [Rumi 2:11]na Alichokitakasa Mungu wewe mwanadamu usikiite najisi [Matendo 10:17]
@valentinanduku87183 жыл бұрын
Amen
@sarahshebele62522 жыл бұрын
Pole sana kwa uelewa potofu mtumishi..mmekaa kuhubiri habari za mwanamke na kuacha kuhubiri utakatifu. Mnapoteza muda kwa mambo yasio na tija. Mungu katika neno lake kasema ni yeye anetoa karama kwa yeyote kama apendavyo. Sasa kama mwanamke kapewa karama ya kuhubiri atumike wapi...? Hubiri habari za utakatifu..watu wafanane na mungu..
@nduwimanaelias Жыл бұрын
Yaaahhhh Hapa ndoo wanafeli wachungaji
@ChemchemiRecords2 жыл бұрын
Biblia inawataka kukaa "kimya" kanisani, sasa vp kwa hawa wanaoimba kwaya?
@BerylSeer13 жыл бұрын
Sasa hatutowi ushuhuda church ⛪ ju ni wanawake
@rehemar36593 жыл бұрын
Ameen sasa mtumshi umesema Mungu ametupa karama wake Kwa waume ukasema uaskofu nikazi kweli imeandikwa hivyo NI mwanaume WA mke mmoja,SSA Mungu amenipa karama ya kuhubiri mbona nisihubiri?maana neno linasema mwanamke ni waihubirio injili ni jeshi kubwa Kwa nini Mungu amewapa maneno hayo,mtumshi nipe ufafanuzi utakao nielewesha
@annanicholas47563 жыл бұрын
Bible 🙏❤❤
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Unapotaka mafundisho jaribu kuzungumza kiswahili ama kingereza
@fureenselle2273 жыл бұрын
Mh! Kwa kweli ni muhimu kupata chakula chá kushiba namna hii!
@annanicholas47563 жыл бұрын
Anima anima anima
@annanicholas47563 жыл бұрын
Anima anima 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏
@maggyirene1103 жыл бұрын
Ameen ameen Asante kwa Neno hilo la nguvu
@failaprince9250 Жыл бұрын
Mchugaji apounatuchanganisha kabisa kwaiyo ruga
@pendonaomi18253 жыл бұрын
Tunaomba pia ufafanuzi kuhusu YOELI 2:29 Inakuwaje MUNGU anasema watumishi wenu wanaume kwa wanawake ikiwa utumishi sio sehemu ya wanawake?
@edwinmbwilo61283 жыл бұрын
Wanadamu wengi hawamjui ROHO MT na ndo tatizo la huyu mtumishi wa Mungu. We Kaka roho mbaya ya adui inakusumbua, Nakuomba tafuta mazingira ya hilo andiko la utumishi
Asante mtumishi wa Mungu, ila tunaomba ufafanuzi zaidi, Kuna sehemu anaweza kukuta huduma bado ni changa na wanaume waliopo ni wachache au pengine hawana wito na ujasiri wa kufundisha na kuonya, Sasa je akipatikana mwanamke mwenye uwezo na utayari wa kuchunga hilo kundi atakuwa ametenda dhambi?
@dawhiteschola88473 жыл бұрын
Kwa hiyo hata Wana wake wanao eneza habari njema za YESU pia wasiwahubirie watu ???kuhusu kuwa mchungaji mwanamke Hilo nakubali je kuhubiri maeneo mbalimbali mwanamke pia ni dhambi maana imeandikwa Wanawake wanaoeneza habari njema ni jeshi kubwa hapo imekaaje mtumishi nisaidie
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
Inaruhusiwa kasema. Ila hawezi kuwa mchungaji.
@aswilekibona98613 жыл бұрын
Hakika pando asilolipanda baba yangu litang'olewa
@kalangwapaschal77183 жыл бұрын
Je mwamke kutafsiria mtu kanisani ni dhambi?
@fabianmihale3715 Жыл бұрын
Madhabau inayosimamiwa na mwanamke NI ushetani
@salomejames58923 жыл бұрын
Samahani mtumishi naomba niulize swali nimiaka Saba ya au miaka mitatu? Samahani naomba nielewe
@brightthabit97493 жыл бұрын
Kifungu hani katikz biblia kinachosema kabla ya dhiki kuu tutanyakuliwa?
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Pastor hebu fanunua vizuri hapo kwenye unyakuo inamaanisha unyakuo wa kanisa utafanyika zaidi ya mara1?
@nellydeborah9433 жыл бұрын
Yeah,very true tusaidie kufafanua hapo
@shirikaniyonkuru65603 жыл бұрын
Mwalimu soma Vema ugunuo 20 kanisa la bwana halita enda watu bila ku juwa
@rizikimarie67653 жыл бұрын
Kanisa litaenda aje
@egidiusteonest79503 жыл бұрын
Kweli wewe ni langi, langi wa injili ya kweli
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
Kabisa
@egidiusteonest79503 жыл бұрын
Me bado nipo macho kuendelea kujifunza mahali apa
@emmanuelpeter56863 жыл бұрын
Kizibao
@neemaeliaselias30613 жыл бұрын
Kwote nimekwelewa bt hopo kwenye unyakuo umeniacha,especial hapo kuhukumu coz bibilia inasema baada ya kifo ni hukumuu,hebu aston atwabie ukweli mnatuchangamya,,
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
Kabisaa
@atumwampondele29113 жыл бұрын
Anima amina yoote ni kweli ndio injili tunayo ihubili nashangaa wako watu dunia hii Kama wewe
@atumwampondele29113 жыл бұрын
Hakika Neno litahubiriwa .je sala za toba Za makanisani sisi hatuna dhehebu madhehebu sio mpango wa Mungu .hongeraaaa mtumishi wa Mungu palipo na mzoga ndipo tunakusanyika .tunaamini uponyaji wa kiungu tunapenda kuingia ndani ya mwili wa kristo ili tuwe walithi wa ile ahaadi yaani warithi pamoja na kristo tuwekwe sehemu yetu ili tutumike ktkt mapenzi take ndani ya Neno lake ubarikiwe sana karibu mbeya
@kennedyurassa90933 жыл бұрын
SEMA bila kuogopa mtumishi .unafiki ni mwingi Sana kanisani hasa wachungaji .niliuliza swali nikiwa chuo Cha biblia.mwanamke akiwa ktk hedhi anasimamaje pale madhabahuni ?nikaonekana mbaya.wanawake walininunia.
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Uliuliza swali zuri tatizo wanawake wengi wameathiriwa na mambo ya azimio la Beijing wanafikiri Mungu ni mwanaharakati wa haki za binadamu
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Dhiki ya miaka3na1/2kanisalitakuwa hapa duniania
@rizikimarie67653 жыл бұрын
Tuambie itakuwa aje siku iyo
@azizaaziza91133 жыл бұрын
@@rizikimarie6765 unyakuo ni mara moja tu hiyo ya kusema eti kwenye mateso kanisa litakuwa halipo you ni uongo kbs ww kasome biblia utajua kanisa halijanyakuliwa na kristo mwenyewe na kwenye dhiki kuu atakuwa hajarudi kristo hautarudi mpaka afunuliwe kwanza mpinga kristo kitu pekee ambacho kanisa halitakutana nacho ni yale mapigo 7 ya kwenye ufunuo
@rizikimarie67653 жыл бұрын
@@azizaaziza9113 mimi nataka nijuwe siku ya unyakuo itakuwa aje mtu au watu wataona ishara gani ilikujuwa wateule wanaenda kwa maana maandiko unasema itakuwa kufumba na kufumbuwa sasa naomba unisaidie apo please
@azizaaziza91133 жыл бұрын
@@rizikimarie6765 Ngoja saiv nina kazi badae nitakuambia
(1 )Mwanamke amekatazwa kuwa na mamlaka ya kiroho juu ya wanaume , biblia haijakataza wanawake wasitumie vipawa vya Rohoni kulingana na 1WAKORINTHO 12:4_11. (2) Mbona wanawake wanasisitizwa kuwafundisha wanawake wengine pamaja na ,watoto ndani ya Biblia ? (3) mtumishi : mbona wanawake Hawa walikua na nanyadhifa za uongozi katika biblia ?. DEBORAH : alikua mwanamke peke yake aliekua mwamuzi katika waamuzi 13. HULDAH : alikua peke yake nabii wa kike kati ya manabii wote waliotajwa katika biblia. MIRIAM: aliunganiswa na huduma ya ndugu zake wa kina Musa na Haruni.
@alondaamuri6813 жыл бұрын
Tito 2 :3-5
@rizikimarie67653 жыл бұрын
Kwaiyo kuubiri kwamwanamke nisawa?
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Jamani mimi nilizaliwa wazazi wangu wakiwa waprotestanti wanawake walikuwa hawahubiri madhabahuni. Haya mambo ya kuhubiri madhabahuni kwa wanawake yameanza miaka ya karibuni hasa baada ya azimio la Beijing. Ukichunguza biblia wanawake walifanya huduma nyingi lakini madhabahuni hawakusimama.
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa Neno la Mungu,wa mama musikasirike Ila ikiwa umeitwa n'a Mungu utatumika usijiite kama Mungu ajasema,Amin🙏