2_UFAFANUZI WA KINA KUTOKA KWA ASTON MBAYA:WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI | SULEIMAN YUPO KUZIMU!!?

  Рет қаралды 23,517

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 312
@maggyirene110
@maggyirene110 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana Wachungaji, mimi nimeelimika na kubarikiwa mno. Mungu na AWAZIDISHIE nguvu zaidi na kuwapa mafuta mabichi coz hii kazi si rahisi
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 жыл бұрын
Jamani yaani kuingia ufalme wa Mungu inataka moyo sio rahisi ee Mungu tunaomba utusaidie kwa kweli
@tamarali8325
@tamarali8325 3 жыл бұрын
Nikutabirie Jacktan. Utafika mbali. Barikiwa sana. Wasalimie Watumishi wa Mungu aliye Hai. Wabarikiwe pia. Tunawapenda kwa Jina La Yesu Mwana wa Mungu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@fezajoseph7964
@fezajoseph7964 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen tunashukuru pia kwa Neno ushauri Mungu wetu akubariki zaidi watumishi wake.
@focusmzima5262
@focusmzima5262 2 жыл бұрын
This is the true gospel of our beloved Lord Jesus Christ coming liiiiiive from our bantu mother land Congo...Mungu awabariki sana ndugu zangu watumishi...hakika leo nimepokeo jibu kamili kuhusu wanawake na mazabau...hili swala limenisumbua sana!!! Hakika moyo wangu umefunguka sasa.
@LucyMerchiorly
@LucyMerchiorly 4 ай бұрын
kwa kweli mungu awabariki sana watumishi wa mungu nimeelewa
@gracemutono5023
@gracemutono5023 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana tena sana mimi nimefunguka
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 Жыл бұрын
Asante mungu akubarik sana mtumishi kwa kueleza vzr
@SusanAshle-zj8do
@SusanAshle-zj8do Жыл бұрын
Amen Amen God bless you
@reginawanyama6078
@reginawanyama6078 Жыл бұрын
Am blessed, have learned and i agree with the servant of God,my husband is an apostle,i only stand on the altar when the spirit of God has ordered me through the vision.....i agree what the lord Jesus Christ is saying through his servants.
@samkinando1620
@samkinando1620 3 жыл бұрын
asante Yesu kwa watumishi wako kutupa injili ya utakaso kwa ajili ya maandalizi ya kuja kwenye ufalme wako
@nkugi
@nkugi 3 жыл бұрын
Nikimuangalia Aston nauona unyenyekevu na kiwango kikubwa cha mtu aliyeikana nafsi yake kwa ajili ya Kristo. Mungu awabariki watumishi wake wote Jactan, Aston na Langi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Ukutane na YESU machokwamacho uwe km gigymane?
@nkugi
@nkugi 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 Haiwezekani kabisa
@dadaz4653
@dadaz4653 Жыл бұрын
Kabisaaa
@Chosenbrian-nf9gb
@Chosenbrian-nf9gb 10 ай бұрын
GOD bless u chosens
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 3 жыл бұрын
Ninampenda yesu sana nanatamani nimuone kwa macho yangu kwasababu nimeona watumishi kutoka kwake
@endtimes9850
@endtimes9850 2 жыл бұрын
YESU ni mzuri sana ukiwa nae alama mojawapo ni kuwa na amani ys ajabu ndani mwako. Ninaamini faida mojawapo aliyo nayo mwanadamu kutokuweza kuona vitu vya rohoni na ninaimani MUNGU anapenda tuwe katika hali hii. Sababu ukiyoka katika hii hali unaingia rohoni kuliko na njia mbili kwa mwanadamu UHAI au UMAUTI. MUNGU anasema chagua uzima sasa ili uweze kuishi. Kumbu 30:19 NOTE: Kwa WAFU wanaokufa katika dhambi wanakutana na MUNGU mwenye wa tofauti sana. Ghadhabu yake peke yake inatisha sana. OMBA. Ukutane na MUNGU aliyekuandalia uzima ndani ya YESU KRISTO.
@clarastephen7809
@clarastephen7809 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu aliye hai kwa kutufungua Mungu azidi kuwainua
@MKOMBOZIADAM
@MKOMBOZIADAM Жыл бұрын
Utukufu ni wa Yesu kristo
@dokasa9176
@dokasa9176 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana, Mungu wetu na awatie nguvu mpya
@Jane-tn5qq
@Jane-tn5qq 10 ай бұрын
Yesu ananipenda
@paschalndarokulwijila546
@paschalndarokulwijila546 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana, ukweli lazima usemwe, Mungu wetu ni yule yule, viwango vyake ni vile vile.
@veronicaonesmo899
@veronicaonesmo899 3 жыл бұрын
Amen mbarikiwe sana sana
@zambia7797
@zambia7797 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mwanamuke sio kazi yake kumazabao 🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y Жыл бұрын
Je kama ni mama mchungaji mme wake kafark
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 3 жыл бұрын
Kwa kweli neno la Mungu linahitaji kuongozwa na Roho Mtakatifu ,Mungu azidi kuwajaza
@annitahpraize1247
@annitahpraize1247 3 жыл бұрын
Amina nafuatilia nikiwa Bahrain.
@veronicaheliya4847
@veronicaheliya4847 3 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana watumishi kazi yenu ni njema,,Kaka jaktani nilikuwa naomba uniulizie vipi kwa mkristo kujenga makaburi
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 2 жыл бұрын
Karibuni watumishi wa Mungu
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 Жыл бұрын
Mungu awabariki nabii Aston ,mchungaji Langi Stan na ndugu Jack tan
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Amen watumishi wa Bwana mbarikiiwe
@emmanulmbembati
@emmanulmbembati Жыл бұрын
asante kwa mafundisho
@rachelpaschal9378
@rachelpaschal9378 Жыл бұрын
Amina watumishi wa mungu wotee
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 Жыл бұрын
AMEN,MUNG ATUSAIDIE TUISHI MAISHA YA UTAKATIFU
@Jane-tn5qq
@Jane-tn5qq 10 ай бұрын
Amen amen
@violetakinyi-x6r
@violetakinyi-x6r Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,ninamshukru Mungu kwa kuwa nimejifunza mengi.kwa habari ya Sulemani,someni nehemia 13:26 Naomba Bwana atusaidie, sisi ni watu shingo ngumu
@juliaseverianonangade8807
@juliaseverianonangade8807 3 жыл бұрын
Mungu awabariki.
@rahelnkuni25
@rahelnkuni25 3 жыл бұрын
Hakika nimeona unyenyekevu ulioko ndani yako Mtumishi wa Mungu Aston Mbaya. Barikiwa Mtumishi Jactan Msafiri kwa kuwaleta watumishi hawa pamoja na Mtumishi Lang.
@consolatambita2146
@consolatambita2146 3 жыл бұрын
Mubarikiwe watu wa Mungu
@elishalugano5679
@elishalugano5679 3 жыл бұрын
Amen Amen man of God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 2 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah
@mawazobayndulwa1909
@mawazobayndulwa1909 3 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu kutoka congo 🇨🇩 ♥ Mungu hawabari sana tena sana kwakazi hiyo ya Mungu Aston Adam Mbaya yeye ni wakwaza kuweka wazi kwa jisi haliongozwa na Mungu jamani wamasikio na hasikiye mubarikiwe nyote kwa jina la Yesu
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
Kuna mama domitila nae ulishawah kuufuatilia jaribu pia utajifunza mengi kutoka kwake
@rmaryp6269
@rmaryp6269 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wote wa Mungu hapo.
@THEWORLD-om1bo
@THEWORLD-om1bo 3 жыл бұрын
This servant have a dignity wisdom🙂
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 3 жыл бұрын
aisee
@nurusaidi3642
@nurusaidi3642 Жыл бұрын
Nimewaelewa Sana hawa watumishi Mungu ajakataza wanawake kushuhudia lkn amekataza wanawake kuongoza makanisa na ndio maana Kuna yule bibi magreth alitokewa na yesu na kupewa maelekezo ayaseme kwa watu yeye akaamua kujenga kwanza kanisa ili awaambie watu akiwa madhabahuni aliumwa nusra ya kufa lkn alipotubu na kuacha mambo ya kanisa akapona na kuanza kushuhudia hivi hivi Mungu atusaidie sana
@bentesha
@bentesha 2 жыл бұрын
Kuna jambo moja ni muhimu kulitafakari Kama mtu aliyekopa, hata kama hakumbuki hawezi kuingia mbinguni, mtu aliyeiba si zaidi ya hapo? Lakini ilikuaje yule mwizi aliyesulubiwa pamoja na Yesu alihesabiwa haki kwa kumwamini Kristo? Ni wapi alirudisha vitu alivyoiba au kuomba msamaha watu aliowaibia? Neno la Mungu linasema, tumeokolewa kwa neema, si kwa matendo ya sheria na wala si kwa nafsi zetu, ni kiwapawa cha Mungu. Tunahesabiwa haki kwa kukaa ndani ya Kristo, maana hakuna mtu atakayehesabiwa haki kwa matendo ya sheria (matendo yake mwenyewe). Kama tunahesabiwa haki kwa matendo ya sheria, basi Yesu alifia kitu gani msalabani? Ikiwa Yesu alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zangu, iweje tena nihukumiwe kwa dhambi ambayo Yesu amekwishaichukua? Warumi 8:32 inasema "Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki." Sasa, iweje tena, baada ya mtu kuingia ndani ya Kristo na kuhesabiwa haki kwa imani, ahukumiwe tena kwa mambo ya zamani? Ni nani anayemhukumu mtu aliyehesabiwa haki na Mungu? Warumi 8:1 inasema "Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu." Iweje tena mtu aliye ndani ya Kristo awe na hukumu ya adhabu? Nimesikiliza shuhuda kadhaa za watu waliokwenda Mbinguni na Kuzimu, ukweli ni kwamba zinatofautiana. Mungu huyo huyo anajipinga, huku anasema hili, huku anasema hili. Hadi kutofautiana na Neno lake? Me nimeamua kubaki na Neno, ambalo ndio Kristo.
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
Mbarikiwe
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Mungu kwa sasa ameamua kuifunua Biblia yote kwa njia ya Ushuhuda wa watumishi wake kama ndg huyu Astoni Mbaya na wengine aliowachagua. MAANA WATU WENGI WAKO VIFUNGONI NA HAWAELEWI!!
@amissilulinda2166
@amissilulinda2166 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe nilitaka kushuhudia kusu mapambo kama mimi niko USA kusu mambo yawanawake kujipamba wamini wakweli katika Imani yaki kristo wazungu wasio jipamba sio wote wanao jipamba
@rebecafuraha8051
@rebecafuraha8051 3 жыл бұрын
tunafatiliya kweli kweli kabisa Mungu awajaze.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Mbarikiwe Watumishi tunamshukuru Mungu kutufundisha
@godisable2098
@godisable2098 3 жыл бұрын
Minabarikiwa sana Asante, na change sana
@elizalililove9193
@elizalililove9193 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 3 ай бұрын
Nimeelewa
@adolphineapingi7774
@adolphineapingi7774 3 жыл бұрын
Amina
@adolphineapingi7774
@adolphineapingi7774 3 жыл бұрын
Tupo pamoja
@adolphineapingi7774
@adolphineapingi7774 3 жыл бұрын
Mungu atajipatia.
@imertabumbababula83
@imertabumbababula83 2 жыл бұрын
Soit béni homme de Dieu pour la prédication j'ai beaucoup compris je veux faire le moyen tout possible pour lessez les péché Amen gloire à Dieu
@queenesther2639
@queenesther2639 3 жыл бұрын
Wakati wa YESU kulikuwa na wanawake wengi tu waliomfuata BW.YESU lkn ktk kuchagua mitume hakuthubutu kuchagua hata mwanamke mmoja... Mm nimeelewa
@johnmkama8074
@johnmkama8074 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Adam Mbaya kusema ukweli umetusaidia sana kujua mambo makubwa sana ya kujiandaa kiroho ili twende mbinguni kumbe hata mahari kama haujalipa unaenda kuzimu kama uliacha mke wa kwanza na kuoa mwingine unaenda kuzimu Mungu atuhurumie Mimi sins swali
@wililoatu989
@wililoatu989 3 жыл бұрын
MUNGU tusaidie kuishi sawasawa na Neno lako, maana ni kioo cha Maisha yetu yote ya kila siku, nakushukuru MUNGU kwa Neema hii ya kujua kweli yako. Awabariki watumishi wake hawa na aendelee kuwapa unyenyekevu Ameeeen
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 9 ай бұрын
@mariamngowa2882
@mariamngowa2882 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
Amen
@tabithajeremiah2657
@tabithajeremiah2657 3 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa ufafanuzi wa maswali hasa la makanisa yanayoongozwa na wanawake hii ni roho ya Jezebel iliyomwagwa duniani. Kipindi cha nyuma jambo hili halikuwepo kwani ni wanaume tu ndio waliongoza ( kuchunga) makanisa. Na suala la krismasi siyo la kiroho kwani lilianzishwa huko roma ya kipagani enzi hizo na miti ya Christmas na father Christmas ni upagani.
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie kujua kweli maana dunia duara
@sallymumia8425
@sallymumia8425 3 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ,👏👏👏
@onesmomasud3168
@onesmomasud3168 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na Huyu Mtumishi wa MUNGU, kila neno analoulizwa Yeye atarejea kwenye Biblia, Hata Ambalo linaonekana kuwa Swali ambalo ni dogo na la kujiludia, yeye atafungua Biblia, Nimebarikiwa kwa hilo Sana.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Ili tuamini akina Thomas
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 жыл бұрын
Amen,amen,Yesu wetu usituache Baba tunakuhitaji....
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kwa kweli sana pia tungependa kujua manabii wanaojifanya ni wa Mungu tutawajua vip
@saintececile4930
@saintececile4930 3 жыл бұрын
Je suis connecté et fidèle à promover tv
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 3 жыл бұрын
You don't even a little Swahili!!!?
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 10 ай бұрын
Amen
@jacksonkahima4589
@jacksonkahima4589 3 жыл бұрын
Mimi nina comment kwamba hawakuambiwa wafungue makanisa bali baada ya kuwashirikisha watumishi wa Mungu, baadhi huwa wanawashauri wasome Theolojia wawe wachungaji ili eti ya kwamba watakapotoa shuhuda zao katika hali hiyo ya kichungaji ndipo watu wengi wataamini na kuokoka,
@linetmusee6500
@linetmusee6500 3 жыл бұрын
True gospel!!!! Be blessed
@tamarali8325
@tamarali8325 3 жыл бұрын
Nimeelewa vizuri ssna na maswali yote na majibu. Nimebarikiwa
@rhodachanangula7734
@rhodachanangula7734 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu huu sasa utakuwa mwaka wang wa 3 tangu niache kusheherekea chrismas, najua utakuja wakat kila mtu ataelewa kuhusu christmas! kitu ambacho weng inabid tufunguke n kuwa kitu ambacho kinakubalikaga sanaa na weng wa dunia hii huwa hakitoki kwa Mungu aliyejuu
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
Kumimina roho na kutabiri kuona maono SIO KUWA MCHUNGAJI. Hata kama huna kanisa unaona maono, una tabiri nk, hiyo ni kazi ya Roho Mtakatifu ndani yako. Tuache kupotosha maaandiko
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 2 жыл бұрын
Na nani amesema kuwa ni kazi ya wachungaji pekee. Mtumishi amesema kuwa kazi ya kuwa mchungaji haijaitiwa wanawake ila karama zote nyingine hazijakatazwa mtu. Jisomee maandishi
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Hahahahaha hapa nimecheka kwenye kurudisha shughuli ipoooo kubwaaaaaaaaa sana haaaahaaaa mbingu sio mchezo mchezo Asante Watumishi nikianza na nyie jactan, mchungaji mliomleta mtumishi Aston mbaya mleteni tene
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Kinyerez sehemu gani kanisa lipoo
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Kifuru
@Agnes-wzj
@Agnes-wzj 8 ай бұрын
Je, vipi kuhusu shule hizi za wasichana tu,. Je wanapokutana katika fellowship ,,inakuwaje kwenye kuhubiri au kufundisha maana ssi tulifanya hivyo,,,,naombeni mnisaidie hapo wapendwa ,yeyote anijibie😢
@graceofgolgothatv
@graceofgolgothatv 3 жыл бұрын
Bwana wetu Yesu Kristo Awabariki kwa kutuonya ili tusiaibike milele. Watumishi wote mubarikiwe kabisa
@faze_narq6890
@faze_narq6890 3 жыл бұрын
Msamalia alienda akawashuhundia wenzake Yale yesu aliyomwambia. That was a testimony of what Jesus told her concerning her life !! She only testified but did not preach! May the Lord help us!! Women get off pulpit let’s make it to heaven in Jesus Name Amen
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
When God called you to preach and ur awoman its not wrong
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
@@millicentayangokunting3728 then you have to test every spirit to see if it is from the Lord. God doesn't contradict His word. He is not the author of confusion. Amen
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Ni lazima kusikiliza maelekezo hayo vzr, yeye amezungumzia ktk nafasi ya kulijenga kanisa, sio kushuhudia mtaani kama alivofanya mwanamke msamaria. Maana pale alikuwa halijengi kanisa, sikiliza vzr kabla ya kutoa comment
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 10 ай бұрын
​@@millicentayangokunting3728Can God go against His own Word?!?
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 3 жыл бұрын
Inakuwaje
@rehemapetro2303
@rehemapetro2303 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe nina swali kuhusu kusuka nywele za kwangu mwenyewe ni dhambi
@myekanowelongo609
@myekanowelongo609 3 жыл бұрын
Ndugu Daktani pamoja na wapendwa wote mliopo kwenye madhabahu ya bwana,Mungu awabariki. Ila nahitaji ufafanuzi kuusu tofauri za watenda kazi ya Mungu baba wa kiume na wakike maana yanachanganya: WAGALATIA 3:27-29 Asanteni Mtumwa wa bwana Myekano Welongo Toka UK
@labanijapheti3045
@labanijapheti3045 3 жыл бұрын
Mubalikiwe
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
Wako wengi sana wenye maono ya mapambo, wazungu kwa waafrika. Fanya tafiti uijue kweli
@riccahcate8126
@riccahcate8126 3 жыл бұрын
Amen Amen hakuna lisilo wezekana kwa Mungu. Jactan Mungu mwenye mal yotei atakupa camera
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@michaelmwalimu6057
@michaelmwalimu6057 2 жыл бұрын
Mafundisho ya uongo hayo mwambie atume maana ya 1kor11:5
@beatricendikumana8776
@beatricendikumana8776 2 жыл бұрын
Ça se vrais
@evelynlehnard3928
@evelynlehnard3928 2 жыл бұрын
Mtumishi bibilia Yesu alikuwa mweusi na naamini wafuasi wake pia. Kuhusi nyweli ni ya kiafrika tu inaweza kusukika. Suleimani alikuwa mweusi.
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Bwana atusaidiye nakutuparoo yasubira
@Ngalyaelvira
@Ngalyaelvira 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe watumishi wa Mungu, je mwanamke kuvaa suruali kwenye mazowezi pia ni makoza?
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Apana
@lilianachiengministries3386
@lilianachiengministries3386 3 жыл бұрын
Je kwa nini mungu huwatumia hata kama haeafai.
@fifikabene5663
@fifikabene5663 3 жыл бұрын
Fifi Juliette Na support jacktan
@helenanduwimana9715
@helenanduwimana9715 Жыл бұрын
Jambo sana, swali yangu,tumefundishwa mwana muke asifundishe neno la Bwana je kuongoza ibaada ni vizuri
@THEWORLD-om1bo
@THEWORLD-om1bo 3 жыл бұрын
Nauliza vip kuhusu dini ya sabato.. Nao wanaenda mbinguni🥺 au.. maana wao pia ni watakatifu yaani hawaweki majezebel..!! N.k
@mwanjad
@mwanjad 3 жыл бұрын
Watu wasome Biblia wajazwe na Roho mtakatifu. Where the Spirit of the Lord is there is freedom. God is not an author of confusion. The confusion in the comments section is sad. Let the Holy Spirit give discernment test all spirits.
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Mleteni tena huyu mtumishi mtangaze tujeeee Kwa wingi kusikiliza vyumba vingine maana hatujasikia
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
UWE unaeka no! tuwe tunatoa sadaka mnatubariki Sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
namba zipo kila video
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 3 жыл бұрын
Ahaa kushuhudia hapo kuna kuhubiri na kuponya humohumo ndani, sawa?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Lakini hilo Andiko waliandikiwa ili wasipige kelele Kanisani Wakati wa Maswali na Mafundisho jamani,Hapo na Mimi nahitaji ufumbuzi Mkuu zaidi sijaelewa bado,
@shalomkind4575
@shalomkind4575 2 жыл бұрын
Can women be prophetess ?
@lizzyontune5338
@lizzyontune5338 3 жыл бұрын
Tafadhali ningependa kuongea na Mtumish wa Mungu aston kwa uelekezi fulani nawaomba 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@chamipeter778
@chamipeter778 3 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mbarikiwe sana. Mimi swali langu ni kuhusu haya makanisa ambayo yanaweka bendera madhabahuni, je, ni sahihi?
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 3 жыл бұрын
Wale wanaweka kusapoti wale wanao wapa misaada kutoka nnje
@chamipeter778
@chamipeter778 3 жыл бұрын
@@gressjoseph5615 Ok
@MarcusRashid996
@MarcusRashid996 3 жыл бұрын
Mungu aturehemu hakika.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Neno la Yehova linasema Mwanaume atamutawala mwanamke,Sasa kanisa kuna wanaume na wanawake wengi ,mwanamke atawezaje kuwatawala na kuwaongoza wanaume,na kuwafundisha ,kuwafungisha ndoa na kuwazika wAnaume,huo ni ushoga mambo Leo,
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 3 жыл бұрын
Mfalme Yesu Kristu asifiwe. Yangu tu nikufuata maelekezo ya Mwenyezi Mungu; kuna scriptures( maneno halisi ya Mwenyezi Mungu) na maelekezo ya manabii na mitume. Hapo swali la wanawake kuhubiri ni maelekezo ya mitume kama Paul. Tusiwashtumu watu kwani makanisa sasa ni ya jumapili lakini ukifuata scriptures kanisa latakiwa siku ya Sabato na mpangilio unafaaa kama wayahudi wanavyo fanya eg siku ya vibanda, kutokula milate ilio chachu etc.pointi yangu ni dunia karibu nzima haifuati kanuni zote za angano la kale so manabii wa sasa wote hawafuati kanuni za kale kama mfano nilioutoa; lakini hatuwashtumu kwani hizi ni nyakati za mwisho Mwenyezi Mungu ndie anajua atakaye mkomboa. Sikiza shuhuda lakini soma neno na usishtumu mtu sote ni wenye dhambi.Asante
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Kama ni msabato usitake watu wote wawe wasabato ni uamuzi wa mtu mwenyeme aamini kipi mbona jnawahukumu watu kwa siku na wengine wanahukumu watu kwa mwandamo wa mwezi kwa mwaka nk mnachuja mbu mnameza ngamia mbona mnaikumbatia torati na mnalikataa agano jipya na mnamkataa Roho Mtakatifu na matendo ya miujiza ya Bwana wetu Yesu Kristo mnakataa kuwa kunena kwa lugha mpya ya Roho Mtakatifu ni roho mchafu aacheni hizo sote tutubu tumrudie Mungu
@Lekulevan
@Lekulevan Жыл бұрын
Ukisoma neno bila kuongozwa na Roho mtakatifu ni kazi bure? Mfano wayahudi wanasujudu na kutawaza na hawasali zaidi ya dakika 20 na wala hawabatizwi. Sasa wao wanafuata agano gani? Je agano linapingana? Biblia ina nyakati na nyakati lazima ujue hilo.
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Yaaan Kwa vile Mungu kakataza tusifosi mambo mbingu sio rahisi km tulivyodhani kabisa...sisi wanawake tufanye kazi zingine za kanisa mbona zipo nyingi tuuu..mm habari ya Adamu nimemuelewa mnoooo lkn km mtu akishupaza shingo basi .Huyu anasema alichokiona Kwa jinsi alovyopata neema hiyo....mm acha nitengeneze yangu km Mungu alivyomuonyesha mtumishi wake
@mesamale
@mesamale Жыл бұрын
​@@msanginaza905 Kwa kweli naungana na wewe kwa nyakati tulizonazo kila mmoja aiponye nafsi yake tu maana watu hatutaki kuambiwa ukweli kila mmoja anataka kuishi alivyoelewa yeye neno
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 3 жыл бұрын
Mimi. Nimebarikiwa. Sana. Nauliza. Hivi. Naweza. Kupata. Cd. Ya. Ushuhuda
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ndio, tuwasiliane
@NeemaMwambungu
@NeemaMwambungu Жыл бұрын
Kweli kuingia mbingun siyo lele mama inamaana suleiman yuko kuzimu kwa dhambi gan? Au ndo ya wanawake wengi? Mbn alisema mambo yote niubatili mtupu?
@lilianachiengministries3386
@lilianachiengministries3386 3 жыл бұрын
Basi nani ataingia.....
@Dennismwangi1234
@Dennismwangi1234 3 жыл бұрын
Kuhusu wanawake, tujiulize kwanza, mbona wakati Yesu alipowaita wale mitume hatuoni popote jina la mwanamke mtume, angalizo hilo,,🇰🇪
@augustinombena5098
@augustinombena5098 3 жыл бұрын
Hatutafuti ubishoo,niheri kuyaacha haya tukapate uzima wamilele,
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
1. Shetani huko mbinguni alisema, nitakuws kama Yeye aliye juu. 2. Eva bustanini: ukila tunda utakuwa kama Mungu. 3. Mwanamke wa kisasa: mwanamke uko sawa na mwanamume HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA. Mashairi yale yale mdundo tofauti!!
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
Sherehe pekee iliyorekodiwa toka mbinguni ni PALE MWENYE DHAMBI ANAPOOKOKA. Huko mbinguni hufanywa party ya nguvu, yanayozidi hapo yatoka kwa mwovu.
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Dibalik Kehidupan Ustadz Felix Siauw - Daniel Tetangga Kamu
1:40:08
Daniel Mananta Network
Рет қаралды 6 МЛН