Daaaa umekonda unaonekana una mawazo njoo tena tumekumisi bwana nyimbo zako 😍😍miss u ukuje
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Ndo mwili wake
@dotnatajoseph26204 жыл бұрын
Umemjibu vizur sana hata mama yake atakukumbuka Safi bro nimekupend anajua umepotea kwenye gem alafu anakutia hasir jib zur linamfaa
@kozzomix1204 жыл бұрын
uujama 20% yuponahakiri nyingi sana anajibu kama msomi wakujielewa big up bro wew ni noma kabisa
@alfredbalazire4 жыл бұрын
Laiti ningekuwa na kipato ningekuwezesha kaka, unanikoshaga sana roho, heshima kwako
@omosh20233 жыл бұрын
Jamaa ana maarifa sana huyu. Big up 20%
@GisèleSergeMotopamba-r1k Жыл бұрын
20% wangu rafiki Akili zako ndo kazi kwao 😅😅❤❤💪✅
@ChristianMbogi Жыл бұрын
Nakubari sana broo life life 🙏 to you
@mathiewdume72024 жыл бұрын
Big up sana bro kwa majibu uliowapa, respect sana
@BenardSadani3 ай бұрын
Daah uyujamaa sema anaakisi cn xema bas 2
@bernardrioba84134 жыл бұрын
20% may God bless u bro,napenda sana mziki wako...umeenda kimia kwa mda, Mimi fan wako kutoka Kenya wapendwa sana
@sarahogama95404 жыл бұрын
Ooooh mmyyyy God msanii wangu nambari moja..celeb wangu mkubwa maskini kwani ulikwamia wapi jamani nyimbo zake zilikua za mafunzo wallahi
@baysaidotv15184 жыл бұрын
Kutoka Congo drc mimi ni fan Wa 20% natuna hamu yakusikiya wimbo wake mpya, ebu Nipeni likes kama naongeya ukweli
@pittermushi87984 жыл бұрын
6319
@gedionraison24023 жыл бұрын
20 unajua kujieleza upo vzr sana
@makobamakoba44654 жыл бұрын
Dah! Huyu jamaa ana akili nyingi sana
@taekwondotrainingandsparri30334 жыл бұрын
Naitwa Phenias kutoka Burundi, mimi ni Mfans wa 20% kwa ngoma zake pamoja na Movies zake,, Furaha iko wapi? I wish to meet 20%!!
@christinakihwele19504 жыл бұрын
Nyimbo zake ninazipenda sana zina ujumbe mnzuri sana
@bigstonemichanoclassibaby79894 жыл бұрын
20 pacent tunakubali sana,muito obrigado meu fa
@sharinv88644 жыл бұрын
20% you are wright very right.
@godsosmukama59584 жыл бұрын
20% nikupe pole tu kwamba Kiburi, Majivuno na Kutojali vilikuondoa kwenye Ramani ya Music. Mdogo wangu katika Wasanii wenye nyimbo nzuri zenye Ujumbe wenye Mafunzo siwezi kuacha kulitaja jina lako. Waliokupandisha ndo hao hao waliokushusha nakukumbuka sana kwa nyimbo zako.
@moshimkumba32054 жыл бұрын
U
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Oneni hili senge
@GisèleSergeMotopamba-r1k4 ай бұрын
20% wewe sijuwe izo akili mungu kakupa kwa roo moja kweli kweli ❤❤❤❤ wewe ni mwalimu🎉
@gaspertsori69794 жыл бұрын
nice one 20% support you from kenya
@youngsimbawcb18144 жыл бұрын
20% ni fire big up,and intelligence,,,,,, akili kubwa twenty!!!!!
@halimasulaimani8484 жыл бұрын
Majibu ya kujiamini sana❤️❤️👌mtangazaji unaumwa nguvu😝😝usipanic😆😆😆😜mtangazaji mpk kasahau maswali😄😄😄
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
Dah huyo waki haponyuma anajikuta Teeemba na stick mdomoni mixer kubenjua domo az if yeye ndo 20% namuona anaforce ubodyguard next time mawack kama hao muwaweke kando asee sio wanauzauza nyago kireeee big up Asilimaileeee 20%
@maikomgwao49064 жыл бұрын
Hahaha kamati ya uchunguzi
@ivanmejar18044 жыл бұрын
am from Kenya I love 20% for nothing end I love ur songs
@phineruge34804 жыл бұрын
Nimekumiss sn 20% kwani wewe ndo ulikuwa na nyimbo zenye Jumbe nzr ktk jamii unasikiza na kuangalia hata Uwe na Wakwezo, Baba , Mama Watoto na Wajukuu unakaa kwa kujiamini😍😍😍😘😘😘👏👏👏👏
@mahmoodalghefeili53704 жыл бұрын
chechee jee na litawachomaa😃😄😃😄
@monicamonica45974 жыл бұрын
Swali najibu dadeki chezea 20%atari Sana love you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@anthonyissa16604 жыл бұрын
Aiseee ilijamaa shida sana nunda like nyingi kwa20%
@komandoajadondokmtinya13814 жыл бұрын
eshima kwako 20
@darenmboma39524 жыл бұрын
Ongera xana kwa kazi dg
@zaijack47194 жыл бұрын
Mbona kama umepiga tungu , Huyu jamaa wa T-shirt nyeus mibangi 🔥🔥😂😂
@majaliwataidin69214 жыл бұрын
Nkajua nmeona peke yangu
@khalidndemo43864 жыл бұрын
Anaboa kuonekana hapo , bangi tupu
@kimpalambapj4 жыл бұрын
I miss him so much, 20% Dah, can't believe this man is no longer in the world of music. So 😔 Backup brother. Tanzanians need your service, your message. Bro unajua, bro una kila kitu ktk music. Unajua jamii inataka nini, na ipewe nini ili kufika mbali.
@kimaaykimaay67573 жыл бұрын
20 uko sawa kabisa nakuaminia can bradha
@kimpalambapj4 жыл бұрын
You're a brilliant man, 20% You know how not only attempting the propaganda questions but also showing how hero you are. Salute.
@rsshidmnkonje74324 жыл бұрын
Namkubali Sana 20% kuliko msanii yeyote yule
@markodhiambo60164 жыл бұрын
20% anajibu maswali kama Yesu Mtakatifu....
@estarwille82724 жыл бұрын
Nakukubali sana mwanang 20%lud BA's jaman tumekumiss sana
@Bandacuttingtz4 жыл бұрын
Fundi Kama fundi Naelewa xna Kaz zako brother Come back mungu atakucmamia 🤲🤲🤲🤲 Pia kwa hayo majibu uliyo wapatia Hakika huna mpinzani kabixa 20%🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ramadhanruhogore32594 жыл бұрын
Nampenda sana twenty nimefulahi kumuona tena
@MrRolandVlogs24 жыл бұрын
Good
@djmasaitv78974 жыл бұрын
Pamoja 20% broo
@frenklubago57484 жыл бұрын
Jamaaa yuko vizuri kimajibu 20 yuko poa kifkra sana
@joelcryptomarket4 жыл бұрын
Namkubali 20% toka Congo
@yasodishonest97924 жыл бұрын
Umependeza sana 20.pendasana
@saragdominic40254 жыл бұрын
Umetisha 20%
@sharoombay89974 жыл бұрын
Asante 20. Majibu mazuri.
@shalifuomaly35844 жыл бұрын
Nakukubali Sana kaka kiukweli unaweza I'm proud you Mimi shabiki yako sana
@ShukuruMuhindo-es2rh9 ай бұрын
Namukubali sana alikuwa akitunga nyimbo nzuri sana.
@pepyeddy80174 жыл бұрын
Daa namkubali sana 20 muziki wake hata mashehe watausikiliza haporoji anaweza sanaaa
@allanbibba85894 жыл бұрын
20% ni Rasta uyo kwa majibu hayo nime kukubali 20%
@sergekabuka14134 жыл бұрын
Courage Kaka nasepeli pona yo
@abrahamaxcel53344 жыл бұрын
20 alikataa USA nafsi yake kwa shetani ndomàn iko ivo but kipaji kiko tuu, basi ningelishauri a tumikie Mungu atamuinuwa
@josephvenus32594 жыл бұрын
20% ni 💥💥💥👐👐
@tatushebe58474 жыл бұрын
Love u2 ,20 mungu akulinde
@hawaheri58334 жыл бұрын
Nakupenda sana
@jumathabit87034 жыл бұрын
hapo mimi naona mtangazaji ndoo miyeyusho 20 yuko 100% percent clear ,tena anajibu anachoulizwa na anaona kabisa na hisia za mtangazaji !!
@bahatiathumani88224 жыл бұрын
Uko vizuri siku zote kun maboga umu yatadàut oi pitaa,,twent uko poa
@sophiajumanollo55874 жыл бұрын
Nimeyapenda majbu yko twenty hongera unajiamin sana
@eilinli78464 жыл бұрын
Nilijuw kafa kumbe uongo jamani. Mung akup nguvu uendelee kz yako InshaAllah
@mwajumaomari30384 жыл бұрын
Hata mimi nimeshangaa nilijua hayupo duniani
@mangapineema76524 жыл бұрын
Acheni nicheke
@miltonmiltonpaulo34364 жыл бұрын
Good twenty
@SiboMana-w9r11 ай бұрын
Nagupenda 20% binatakia urudi kwenye muziki
@egideniyonkuru97054 жыл бұрын
Huyu mushkaki kapotelea wapi tulikuwa tumekum6 bro ngoma zako ni kali kbs ila siku hiz mbona hauko vip mjuba imekuwaje xaxa rudi tena utuburudishe na mambo ya kisas Burundi tunakubali sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@paulmbata92024 жыл бұрын
20% namuelewa kinoma kwani anajua kujieleza vinzuri kwanza ana confidence kubwa ya kujieleza
@jaylovemangapi92022 жыл бұрын
Nakubali sana kaka 20/*
@augustinzionmanirambona9694 жыл бұрын
Nkupenda twenty umeimba nyimboo zamaaanaaa tafauti na leo ni matusi tuu...
@lovechance29054 жыл бұрын
20% kweli Mungu akulinde, nakuamini ki mziki
@priscamashauri72264 жыл бұрын
Unaimba vizuri saana ila ucje kutuimbia matus kama wasanii wasasa maana tunashindwa kuskiliza na watt.
@joyjilien54324 жыл бұрын
Prisca Mashauri kweliii kabisa kwa ss hamna kitu lkn huyo 20 huaga haimbi matusi labda abadilike,,,,na watu nao sio wazurii huaga wanasapot matusi wakashindwa kusapoti wasanii wazuri
@Summerbtz3 жыл бұрын
20 percent is my best artist
@yodenntulo87984 жыл бұрын
Maswali yanaonekana magumu,lakin sekunde haipiti jibu linapatikana la uhakika.
@poshoramadhani4 жыл бұрын
Upo sahihi brother big up sana kwa majibu uliyo wapi
@OmalyWandi3 ай бұрын
nakukubali fadha ludi kwenye gemu kaka
@reubenismail36724 жыл бұрын
20per ulikuwa vzr Sana lkn ulikosea wapi?wewe jembe pambana bhana mungu atakusaidia!
@oj-qw4yc4 жыл бұрын
Biggest fun mukubwa u the best
@gabriellmadagala71902 жыл бұрын
20pacent pamoja sana kaka
@MrRolandVlogs24 жыл бұрын
Good sir
@NIDIUSNDOMICIAN-d3uАй бұрын
20% PA ni mkali wa hizikazi namkubali Sana wandishi wa habali kazi wa nayo
@paulwilson-hc4ey4 жыл бұрын
😂❣️😂😂😂20 jamaa Unamaswali 😂😂 kashika Mike mbili😂
@anwarigod16673 жыл бұрын
Kiukweli brother kipndi cha nyuma alifanya poa sana namkubali sana
@hatibumsindo29154 жыл бұрын
20 uko sahihi Sana huyo mwandishi mwingine Ana mawenge sana
@boasmbwaga83624 жыл бұрын
Jamaa linamaneno fact
@mbarakajummadindamadinda4914 жыл бұрын
CCM tena kweli njaa noma
@awinhaadrianavicente78803 жыл бұрын
Tweet parcent você foi grande homem na música tanzaniana, parabéns irmão
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
Wangapi wanaamini 20% anaumwa na strees?
@shalifuomaly35844 жыл бұрын
We ndo doctor wake au
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
@@shalifuomaly3584 tulia bichwa kama jiwe la mwanza
@charmant24374 жыл бұрын
Anajua kujieleza noma. Like
@adrofujonasintahobaje79524 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👉👉
@youngdira1584 Жыл бұрын
😂😂😂😂 daahh ila twenty..very wise
@omarikilagu41014 жыл бұрын
Hilo lililo kaa nyuma ya twety Lina mikwala 😬yani bangi tupu apo 😀😀😎
@abrahamsnoopdog59293 жыл бұрын
Usipo ongeleshwa utaongea nni 😃😃 20 bwana
@hamidumohamedi96494 жыл бұрын
Nashukuru kwa majibu yako
@onesmoayesiga72664 жыл бұрын
Twenyty m nakupenda bure
@suleimanngoi46514 жыл бұрын
#furaha iko wap?
@goldsilver58911 ай бұрын
Kaka 20% akili nyingi 😂😂😂
@esa_traveller4 жыл бұрын
top anaakili sanaaaaaaaa
@khadijayusuph93164 жыл бұрын
20% ww n mkal na hilo halina ubshi broo ila kubali tu kama umepotea kwa kushuka kimzk na umekonda sana pole kwa stress braza
@batatabatata99904 жыл бұрын
Nakubali broo kwa maneno yako mazito yamenichoma xaxa
@kulwamachibyajr25324 жыл бұрын
Maisha Ni hatua Hakika Kaka utarudi tu kwenye game
@victorkahimbi58664 жыл бұрын
Mungu atakusaidia tyu utalud mchezon
@abdalamomade85864 жыл бұрын
Kkkkkkk isso é verdade brow,naquele tempo goxtavamox
@mathanyeke83824 жыл бұрын
20% 💞💞💞💞💞
@lovechance29054 жыл бұрын
Kwenye Africa nzima, nimeamini mziki wako nasiulinganishe n'a wengine, nyimbo zako n'a fimbo natembelea
@wilsongeorge99744 жыл бұрын
Kala jerimiah Ndani Ya kampeni
@simbampole48514 жыл бұрын
Nakuku bar Sana 20%
@abdulracksalmo92534 жыл бұрын
Nipenda maneno ya 20pasent
@hosseakikokwe16564 жыл бұрын
Huyu bro namkubal sana tatizo mchicha sana salut 20%
@joramjames21214 жыл бұрын
Majibu ya 20% 🔥
@mohamedmbaruku68444 жыл бұрын
Yaani hapo ndio utajua clouds sio watu wazuri
@faumamakwaia50954 жыл бұрын
Omeongea point sana sana
@bukaone75074 жыл бұрын
Big up, 20%
@beberurafiki35344 жыл бұрын
ni kwl sehem ambazo elimu ilichelewa ndiko watu wake wako duni kifikra. Kwisha hbr yako wewe mkwere, jiajiri kula misuba tu.