3-SIKIA ALICHO ZUNGUMZA LENGAI OLE SABAYA MAHAKAMANI.

  Рет қаралды 156,469

Hababi Mohammed

Hababi Mohammed

Күн бұрын

Na.HABABI MOHAMMED-ARUSHA.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM Lengai Ole Sabaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Arusha na kusomewa mashtaka mawili ikiwa ni mara ya nne kwa makosa,kujifanya mtumishi wa usalma wa taifa na kugushi nyaraka za serikali.
Lengai ambae pia ni diwani wa kata ya sambasha anakabiliwa na kesi ya jinai namba 264 ambapo mnamo tarehe kumi na nane mwezi mei mwaka jana kwa alikamatwa kwa makosa hayo rasmi.
Mapema leo mwenyekiti huyo mara baada ya kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni sita amezungumza na wanahabari kuhusu tuhuma hizo ambapo amesema ni faraja kwake kuona wananchi anao waongozi bado wanaendelae kushirikiana nao na anaamini kesi hiyo ni masuala ya kisiasa tu.
Kwa upande wake Hakimu mkazi Nestory Baro amesema kesi itaiitwa tena mahakamani hapo tarehe 30 mwezi huu ambapo mpaka sasa uchunguzi unaendelea kuhusu kesi hiyo.
Mwisho.

Пікірлер: 104
@qwqw1665
@qwqw1665 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia tuu utakuahuru smama kwamungu tuu twakupenda🙏🙏🙏👈👍👍👍👍👈
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 3 жыл бұрын
Hata miimi nakupenda sana pole baba mungu yupo
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 3 жыл бұрын
Eliza festo Sabay mungu wetu si dhalimu usiogope iko siku wataibika hao wachochezi
@bonytito9380
@bonytito9380 4 жыл бұрын
Niliumia sana cku uliyomtendea ukatili yule singa singa kumtimua ktk mashamba yke wkt hajavuna mbaya zaidi ulimsweka ndani ingawaje aliomba msamaha kwa kitendo kilichotokea ilihali yy mwenyewe inavyoonyesha alitapeliwa tu.
@salvatoremathias9043
@salvatoremathias9043 3 жыл бұрын
Mungu Atakusimamia Kiongozi Wang kwamungu hakuna Jambo litakalo shindkana
@piuslwinga6233
@piuslwinga6233 3 жыл бұрын
Hii ya zamani sana enzi hizo kijana ni diwani.
@estermunis29
@estermunis29 3 жыл бұрын
Upate tena uongozi kwa jinsi ulivyo labda ukute mungu kakubadilisha
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 жыл бұрын
Unajua leo ubabe sio mzuri
@christopherchilimo3529
@christopherchilimo3529 3 жыл бұрын
Kuma la yako kazi ipo iyo uliyo fany
@aisasam7981
@aisasam7981 3 жыл бұрын
Acha uongo kwanza kijana. Mdogo unakuwa na roho mbaya kama una mkataba wa maisha na Mungu
@albertchamafwa6609
@albertchamafwa6609 5 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja nawe usijali mwisho wa ubaya ni aibu
@stefanokileo1294
@stefanokileo1294 3 жыл бұрын
Umeuwa sanaww
@erickmathayo8934
@erickmathayo8934 7 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@hamisijuma4569
@hamisijuma4569 3 жыл бұрын
Polesana
@atiliosanga6955
@atiliosanga6955 3 жыл бұрын
We we sabaya ni shetani sanaaa
@jenngenes2364
@jenngenes2364 3 жыл бұрын
HahahHaha
@chakalaboti9709
@chakalaboti9709 3 жыл бұрын
moyo wa shujaaa sauti ya nguvu na ya kishujaa..watu walimchukia Yesu na mtume pia. Sabaya will be free like anyone else anaye coment.
@TheNichym
@TheNichym 3 жыл бұрын
Mtafute sasa kama yuko free. Achen kushabikia upuuzi
@bulayaipimilo1565
@bulayaipimilo1565 3 жыл бұрын
😄futa chozi mungu ndo anayejua Leo na kesho.
@jacksonjoel6724
@jacksonjoel6724 3 жыл бұрын
Sabaya the righteous and just Man. The Living God is with you, fear not.
@younglisah5582
@younglisah5582 3 жыл бұрын
Pole ila koma
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 жыл бұрын
Utakuwa waziri jiandae, yukosafi sana kaka, Kazi zao tunaziona.
@sawakilulu7425
@sawakilulu7425 3 жыл бұрын
Haufai kabisa ndg
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
@@sawakilulu7425 labda wewe ndiye hufai
@nangeboy5313
@nangeboy5313 3 жыл бұрын
Yupo wapi sasa hivi huyu
@coreshjackson4986
@coreshjackson4986 3 жыл бұрын
Kasaidie jehanam
@josephsimiyu5211
@josephsimiyu5211 5 жыл бұрын
Indelea mbele mkuu siku zote mateso ya mwenye haki ni mengi lakini humuokoa nayo yote.
@frankfrancis2195
@frankfrancis2195 3 жыл бұрын
Uyo muhuni asiwadaganye pumbavu sana uyo
@duraazizi1794
@duraazizi1794 3 жыл бұрын
Kwaiyo mung aoni walaasikii siokosalake
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 жыл бұрын
Jama sshv ni mkuu wa Wilaya anakula bata tu
@amanestomihi2599
@amanestomihi2599 2 жыл бұрын
Jambazi
@eddadaniel9355
@eddadaniel9355 3 жыл бұрын
Mhhhh kila MTU anamapungufu mkamilifu mungu
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 жыл бұрын
Kumbe ni ya miaka 3 ilio pita!nikajua ya sasa
@asengasefu2767
@asengasefu2767 3 жыл бұрын
Ya zamani iyo
@alialghafri1833
@alialghafri1833 3 жыл бұрын
ww nimuaji nendajela umewatesa wananchi sn ARUSHA
@beneboybeneboy4386
@beneboybeneboy4386 3 жыл бұрын
Hataukiwa mkali kunamahali utazidiwa
@selemankadede8332
@selemankadede8332 3 жыл бұрын
Ndio uwache wizi Nani kakupa kibari Cha kusachi watu wanyonge
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 жыл бұрын
Kweli KABISA, na itakuwa Waziri
@bakarimbisu6204
@bakarimbisu6204 3 жыл бұрын
Afungwe mjinga uyo
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 3 жыл бұрын
Mungu simama na wanaoonewa
@tatut3889
@tatut3889 7 жыл бұрын
Mbona unalia vp 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@jamesswai6583
@jamesswai6583 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mamarose4693
@mamarose4693 4 жыл бұрын
Mungu atakusaidia kaka wote tunakuombea japo tupo mikoa tofauti
@maryamshaibu1918
@maryamshaibu1918 4 жыл бұрын
Huo mkoa nahizo wiraya WNaubinafsi ya ukabira naukooyupo sehemu gum u sauna mung u atakusaifia Kk we we chspakazi
@bellutbellut3049
@bellutbellut3049 3 жыл бұрын
mama mpe kazi Sabaya .ni mpambanaji .tumepigwa sana kwa miaka mingi .ni Mtetezi wa watu wa hali ya chini .wspigaji lazima wamchukie. dogo usikate tamaa .hakuna safari isiyo na makona .
@abdulraqeebfaiz9442
@abdulraqeebfaiz9442 3 жыл бұрын
Ww na sabaya wako utaozea jelaa mbwaa ww
@ariffaizal8006
@ariffaizal8006 3 жыл бұрын
Hehe hatari
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 жыл бұрын
Mahakama haiingiliwi,Dogo angalilia hii mihimili ina nguvu.
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 жыл бұрын
Kiboko yao, kijana safi sana
@eddybrokali3600
@eddybrokali3600 3 жыл бұрын
kwenda huko fala ww unashindana na wachaga tutakunyooaha mwaka huu
@richardsmoni197
@richardsmoni197 3 жыл бұрын
mmmmm
@sandalalutubija235
@sandalalutubija235 3 жыл бұрын
Jaman huyu m2 anaonelewa angalien hao waty wanaomfata ad mabb
@jumaomar1404
@jumaomar1404 3 жыл бұрын
Uyo haonew ni jambaz na nimuuaj mkubwa
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 3 жыл бұрын
SEMA Wananchi wenzangu sio wananchi Wangu
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 3 жыл бұрын
Upanda bro ndo unacho kivuna wengine je uliokuwa unawatendea mabaya.ndo mkuki kwa ngurue...
@matthewglory2877
@matthewglory2877 3 жыл бұрын
Hii ni ile ya kipindi kile cha zamani alipojifanya usalama. alikuwa na hekima
@devotajoel3730
@devotajoel3730 3 жыл бұрын
Huyu ni jangiri kabisa mama Samia huyu ahukumiwe kifungo Cha maisha ushaidi na mm nataowa wangu toka sku ile alipo onyesha zalau kwa yule mama ya kumfuvyonza pale makucha yake ndoo yalipo onekana hakuokopa hata kamela. . huyu mkimrudisha uraian hakika ataunda na kuzidisha vikundi vya ujambazi na ukatili mama huyu asirudi uraian
@philipodaniel4098
@philipodaniel4098 3 жыл бұрын
Kwenda uko
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@nebatymwashiuya7588
@nebatymwashiuya7588 3 жыл бұрын
Kumbe unakumbuka kua uliwafanyia watu ubaya? Wanakulipa kisasi bora ufungwe tu au ufe
@daniellucas9887
@daniellucas9887 5 жыл бұрын
kila siku unasema rais ametupunguzia ukali wa maisha kivp?i jirekebixhe utaxhinda mahakaman
@sajadimabale1198
@sajadimabale1198 4 жыл бұрын
leo umekua mpole
@chakalaboti9709
@chakalaboti9709 3 жыл бұрын
ungekuwa we ungekuwa umejinyeaa kabisaaa🤣🤣🤣
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Ole Sabaya....
@aikandelema4349
@aikandelema4349 4 жыл бұрын
😭😭😭dah
@williampojoss8446
@williampojoss8446 3 жыл бұрын
Kumbe ulisha kuwa wa mahakama tangia ukiwa diwani
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Muongo MKUBWA
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 4 жыл бұрын
Mh ndie huyu sasa mkuu wa wilaya bana
@jonathanjonathan4460
@jonathanjonathan4460 7 жыл бұрын
vijana wako wapi hapo mbona ni wazee tuu
@gilbertalex1651
@gilbertalex1651 7 жыл бұрын
Jonathan Jonathan Vijana walimkimbia😆
@tatut3889
@tatut3889 7 жыл бұрын
Jonathan Jonathan tena kawapa viroba
@joanbaby5953
@joanbaby5953 5 жыл бұрын
Jonathan Jonathan hao ni vijana ni ugumu wa maisha tuuu
@aisasam7981
@aisasam7981 3 жыл бұрын
Eri wananchi wangu ..emechanganyikiwa nini????
@williammkenda3062
@williammkenda3062 3 жыл бұрын
Enzo ukiwa diwani,,,,,
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Haaa! Kumbe ni kijana mdogo hivi akivua miwani
@jamesswai6583
@jamesswai6583 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Ahahaha anaongea kama mwadilifu kumbe kajinga tu
@lilianbunjulu1281
@lilianbunjulu1281 6 жыл бұрын
Kwa hiyo rais ni hakimu au
@lomulendavid8283
@lomulendavid8283 4 жыл бұрын
Mzee magufuli akistafu wewe ndio rais.Ni David kutoka kenya county ya marsabit.
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 3 жыл бұрын
Kashakua rais tayari
@faridamtuka1896
@faridamtuka1896 3 жыл бұрын
@@abdalahmaganga8183 😂😂😂😂😂
@meshackkigumbi121
@meshackkigumbi121 3 жыл бұрын
Mlitaka afungwe ?!!? Mapuvu yanawatoka mafala woteee
@isayasaidi8861
@isayasaidi8861 3 жыл бұрын
Huna lolote mdomo mtamu lakini matendo machafu kuna waliokufa kwa ajili yako na wewe sasa utakufa kwa ajili ya wengine
@meshackkigumbi121
@meshackkigumbi121 3 жыл бұрын
Wewe ushafeli.njia za muongo fupi sabaya uyo kashatoka Sema jingine. Sabaya kaza Mwendo Mokozi Yesu WA Goligoth u pamoja Nawe. Ameen
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 3 жыл бұрын
A
@asamungeteghe7157
@asamungeteghe7157 3 жыл бұрын
Hahahaha umekutana na kichaa mwenzako
@lilianbunjulu1281
@lilianbunjulu1281 6 жыл бұрын
Unalalamika nini mbona wenzako chadema wanakaa magereza we kidogo tu unalalamika
@frolensernest7049
@frolensernest7049 3 жыл бұрын
Kwan aliwaonea?
@weranyari4571
@weranyari4571 3 жыл бұрын
Ja,,,,m,,,
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Huyu diwani au mkuu wa wilaya.....Kama mfanya Biashara alivyoongea Ukweli
@nurumushi2226
@nurumushi2226 3 жыл бұрын
Hii ishue ya siku nyingi
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 жыл бұрын
Mnafiki tu wewe
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
mwizi mkubwa
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Kumsaidia raisi nisawa lakin ww unamsaidia kwakuvunja sheria
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 3 жыл бұрын
Sabaya ni muhuuni asiwadanganye ana ongoza magengi ya uhuni nataka ufungwe maisha
@khatibumkokota4880
@khatibumkokota4880 3 жыл бұрын
Ukiambiwa uwoneshe ayo Makundi utaonesha mzee au ushakula ugali ushashiba tayali mzee
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
@@khatibumkokota4880 umeona eeh
@habilmselemu4610
@habilmselemu4610 6 жыл бұрын
unamtaja rais ili mahakama ikupendelee
@mohamedbaby3542
@mohamedbaby3542 5 жыл бұрын
nanikampeleka huyujamaa mahakamani nakwakosagani?
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 жыл бұрын
Wewe ukifungwa sawa tu kwanza nawashangaa Wachaga mpaka leo wanakuchekea tu. "MKAPE KYANDUUI"
@nebatymwashiuya7588
@nebatymwashiuya7588 3 жыл бұрын
Ufungwe tuu wewe
@ramadhanideu6444
@ramadhanideu6444 3 жыл бұрын
Hamukuwepo wakat anayafanya muache akilizenu mbich nyie mnacoment shit
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Ramadhani deu. Sio hamukuwepo. Sema hamkuwepo mwenyewe kuongea hujui. Alafu unataka umhukum mwenzio je? wewe ni mkamilifu?
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 жыл бұрын
Jambazi
RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake
15:33
Global TV Online
Рет қаралды 222 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 96 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania
9:54
DW Kiswahili
Рет қаралды 79 М.
EXCLUSIVE: MAISHA YA IGP SIRO HUKO ZIMBABWE AKIWA KAMA BALOZI
3:13