Sema HUYU JAMAAA ANAVYOTUPA HII HABARI TUNAJIFUNZA MENGI MAKOSA YA KWENYW REPORT POLICE NDIO YATAKAYOMUWEKA SABAYA HURU
@joshuajeremiah8683 жыл бұрын
Sabaya bado nimtumishi waumma duh hata siwezi kuamini mkuu wawilaya anaiba simu ya 35 kwel
@oyay28213 жыл бұрын
Mtangazaji ana report alivyo sikia namna huyo jambazi alivyo jitetea
@onesmojustice23483 жыл бұрын
@@oyay2821 kuna vitu anaweza kuwa amefanya kama mwanadamu mabaya lakini mengine sidhani
@christinammassy15503 жыл бұрын
Unafaa mtangazaji
@selemanrobert79143 жыл бұрын
palipo na ukweli uongo hujitenga mbali... unahuakika gani kusema kuwa mashitaka ni ya kweli ikiwa mashahidi wamejichanganya mpaka police nao pia wameonekana ni wababaishaji tu.... chuki tu hakuna kesi hapo na sabaya ataachiwa huru na aibu itabaki kwao wote
@Mike-yg7pb3 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sana una experience, unafaa kupandishwa cheo zaidi , unavutia Kusikiliza habari kwa kupangilia vizuri
@braysonsilaa20643 жыл бұрын
-l
@ruthelia92893 жыл бұрын
Mungu ndiye kimbilio letu Sabaya Mungu ndiye mtetezi wako na amesema atakupigania nawe utanyamaza kimya Vita ni vya Bwana Yesu atakupigania
@hassanabazar94113 жыл бұрын
Kesi ya kutengezwa kweli ila zulma haidumu In Shaa Allah sabaya atashinda
@seifabdulwahid45793 жыл бұрын
Hy co ya kutengenezwa ni kweli mshenzi huyo
@alimohammedomar60853 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 3
@wannaproducts3 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 poleee na chuki zenu, kiongozi wenu wa chuki nae ana mashtaka ya ugaidi
@seifabdulwahid45793 жыл бұрын
Naona unatapa tu kwa mm cp Tanzania na wala cjawahikupiga kura
@mariamfaicalhassan28903 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 kesi yenu ya chuki mpaka mnaongopa mahakamani
@amanimollel89413 жыл бұрын
Yaaaaaaani utaachiwa tuuuu kakaanguuuuuu.....we pray for youuuu....Mungu atakushindia ....
@cachboy52183 жыл бұрын
😂😂😂😂 jiadangany tu
@happinesfesto91713 жыл бұрын
Amen Mungu mwema
@J4UPro3 жыл бұрын
Soon utatoka
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Kesi za huyu zinaonyesha zimetengenezwa na wenye pesa tu...nina hakika atachomoka maana kama ni kutengeza jambo litakosa uhalisia
@wilsonkaseha20343 жыл бұрын
Nuru yaja! Siku inakuja hakimu atatoa tamko ya kwamba hakuna ushahidi wa kumtia hatiani Lengai Ole Sabaya, hivyo yu huru. Amen!
@stivemginya76163 жыл бұрын
Q
@neemawilliam84153 жыл бұрын
Kweli eeeh
@mariasongea55183 жыл бұрын
I lyk the way unatueleza haya kwa urefu... bosi wake pliz msaada ongeza mshahara huyu mtangazaji yupo vzr👍
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
kabsa
@moshisaidnassoro10393 жыл бұрын
Aongezewe kabisa mbalina habari tunajifu za baadhi ya vitu
@franciscosweya95163 жыл бұрын
Nakuombea kwa Mungu kijana mchapa kazi SABAYA mahakama itende haki wakuachie huru.
@frankkaijage97263 жыл бұрын
Milango ya Gereza itafunguka. Kama Paulo na Silla. Pole SABAYA.
@hamisiyangakozwe26093 жыл бұрын
Anapitia mitihani mizito sana r I p magufuri
@juliusntandu43023 жыл бұрын
Asante kwa taarifa iliyochambuka
@olesimangakimbey41473 жыл бұрын
Ety k kaiba sm Kwan sim hyo Ina thaman. Ya 10 million yaan hii serikali ya huyu mama bhna Ni hovyo hovyo kabsa yaaaaan Ni hovyoooooooooooooooo hata sjuy nisemeje bas tu
@adammwita31503 жыл бұрын
SABAYA NINAKUKUBALI SANA BROO, MUNGU ATAKUWEKA HURU. PAMBANA
@bwatorahim34103 жыл бұрын
Nakuombea dua sabaya,ukishinda kesi Mama akuteue mkuu wa mkoa Kilimanjaro ili ukawanyooshe vzuri hao mafisadi .
@rehemakasebele72403 жыл бұрын
Saana
@hamisiyangakozwe26093 жыл бұрын
Yote ni mitihani tu r I p magufuri
@stevenmasangula21043 жыл бұрын
Mungu, atakuponya na njama zao
@vbnmmnbv52923 жыл бұрын
Amiin
@ashaaaa35133 жыл бұрын
Mungu ndie atakayeamua ktk kesi hii nzito,, kwamungu ni tatizo dogo Sana,, pamoja nakusimama pekeako mungu ataweka wepes na maajabu yatatendeka inshaalah😭🙏
@missmwayway47043 жыл бұрын
Inshallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼😢😢😢😢
@frankcharles38813 жыл бұрын
BINAFSI CNA TAALUMA YA SHERIA,, ILA NINACHOKIONA MIMI NI KWAMBA SABAYA KAONEWA...! CTAK MASWALI 😰
@chikiranathanael30973 жыл бұрын
Katoe
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Nakubaliana na wew
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Nakubaliana na wew
@stevenmabungi32453 жыл бұрын
Mungu yupo
@frankcharles38813 жыл бұрын
@@chikiranathanael3097 oky
@nassarrostom19193 жыл бұрын
Sabaya pole my bro tupo pamoja daaaaa
@alexanderdustan88723 жыл бұрын
The guy is very very smart
@mwajumahamisi20063 жыл бұрын
Sabay Nakupend sana mung yupo yu nawe siyachi kukuombea 🙏🙏
@seifabdulwahid45793 жыл бұрын
Hy mtu kakiri km alitumwa na magufuli fungeni hiyo Bwana ake ndo hayupo
@JjJj-hd3zm3 жыл бұрын
Mungu atakupigania kaka yangu
@shadyakimaro32453 жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 Hawafatilii ndo shidaa
@vailethkilembe92533 жыл бұрын
Mungu wewe ndiye hakimu wa kweli simama katika hili
Tulia sabaya mungu yupo na atatenda haki wewe ni mzalendo 💪yote unayopitia yatakishwa na ushindi ni wako
@stanlaymsabaha40383 жыл бұрын
Kwani kashitakiwa na nani
@gervaswmigayo3863 жыл бұрын
sabaya aachiliwe bila sababu yoyote kwani alikuwa mtumishi wa serikal mbona hamkuliona hilo jpm alipokuwepo?wote hao nimashaid waongotu maana kiongoz anajulikana nawatu wengi sana,wengine watamletea alibaka wengine aliwaibia kuku wengine aliwachomolea mifukoni nikumchafuatu lakini Mungu atamtetea wataaibika tu,hao mashaid waongo juu yake,
@backamwasha82803 жыл бұрын
Mungu atamsimamia sabaya
@sophiankwera90203 жыл бұрын
😭inaumiza kwakweli
@dottobulayi37853 жыл бұрын
Sijui kwa nin roho huwa inaniuma juu ya hili. Mungu ndiyo mtetezi wa wanyonge. Haki ya Mungu isimame
@rehemamaduhu56423 жыл бұрын
Basi Mungu awe nawe, kama mahakama imetoa maamuzi
@jeffkonki82793 жыл бұрын
HIV DC anaweza kuiba simu kweli acheni umalaya wa kuwasingizia watu sabaya kafanya kazi kubwa sana
@stanlaymsabaha40383 жыл бұрын
Sio simu hata pipi anaweza kuiba
@vbnmmnbv52923 жыл бұрын
Hawa wapinzani tu na sivingine sema Sabaya ni mchapakazi ila Mungu atamlinda
@morganrobinson35423 жыл бұрын
Kazi kubwa sana ya wizi
@karimujuma65953 жыл бұрын
Jambaz tu uyu
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
@@stanlaymsabaha4038 wanaiba simu ili kumnyima mtu mawasiliano
@nurukitomary80873 жыл бұрын
Kama Paulo na sila waliomba milango ya gereza ikafungu ...hata na we we sabaya utashinda na Mungu yuko na we we.
@likimaro63 жыл бұрын
Acha kuhusisha Mungu ktk upuuzi
@tareqhilal67503 жыл бұрын
We unawajua vizuri Hawa vijana wa Magufuli? Bado na wengine
@sophiakavindi32003 жыл бұрын
Likosayadi! Okoa huyu mtu awe salama. Mungu akuokoe Sabaya.
@saikomkumbwa48123 жыл бұрын
Kwanini awe huru
@mwidu87743 жыл бұрын
JAmaa anaweza akaachiwa🤣🤣🤣!! He is very smart
@neemamwengama48493 жыл бұрын
amen
@mtzhalisi22323 жыл бұрын
Mweh😳
@amanestomihi25993 жыл бұрын
Labda very smart phone
@lindambilinyi62533 жыл бұрын
Jidanganye,hawez achiwa
@mwidu87743 жыл бұрын
@@lindambilinyi6253 yes currently hawezi achiwa ila ungekua unafuatilia the case for the past two monthes ungeelewa namaanisha nini!! But si kitu cha kushangilia regardless he is guilty or not!! Mungu atusimamie
@mariamfaicalhassan28903 жыл бұрын
Mungu atakutetea baba
@katunzijasson54103 жыл бұрын
Global tv mpo vizuri hongereni sana....jamaa anatoa habari kamili kiasi kwamba ndo kesi ya kwanza kuiona inaripotiwa na mwandishi na kutufanya wote tulikuwa mahakamani moja kwa moja..👏👏👏👏👏👏
@salmaabdulabdul52003 жыл бұрын
Duniani akunaga haki,,, haki iko siku ya hukumu kwa mungu ,,Pole Sana sabaya
@mohamedngorwe32273 жыл бұрын
brother wewe ni mmoja wa watangazaji bora kabisa wa online tv,hongera kaka
@jemshidsaleh42503 жыл бұрын
Mungu akutetei Ni mitihani ya Dunia
@princeemma38683 жыл бұрын
Asilimia 99.999999999999999 hakun ushahd wa kumfunga sabaya mungu amsimamie🙏
@abdoul_quarimmalisa28023 жыл бұрын
Niko hapa nakusubiri Cde Sabaya, nilijitoa kwa ajili yako, niliamini kabisa kiroho kwamba huna hatia.
@neemaloy8893 жыл бұрын
Asante Kaka nakutafuta
@zahranjushmy72553 жыл бұрын
Umepotea fb, vipi mkuu!
@zahranjushmy72553 жыл бұрын
@@abdoul_quarimmalisa2802 Dah! pole sana. Allah akufanyie wepesi
@happinessmjata63453 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akusimamie kaka
@georgegerald35983 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde sabaya
@levelstar99543 жыл бұрын
Hongera sana mchambuzi habar yako nzur sana umeichambua vizur sanaaaa bless
@nasrahassan73463 жыл бұрын
Sabaya tunakuombea kwa mungu
@catherinphilipo35033 жыл бұрын
Ningekuwa na uongozi mm ninge toa agizo huyu mtu atolewe kei yenyewe hai eleweki
@paulissaya78893 жыл бұрын
Mungu amtangulie huyu jamaa
@ashaaaa35133 жыл бұрын
Yatakwisha kwa salama utarud nymbn ukajumuike na Familia, waulwah inauma sana
@mohamedkigwehe40253 жыл бұрын
Jambazi kama huyu arudi wapi
@zulfaissa78143 жыл бұрын
Ckuzote Jambo lakupanga halinanga mwisho mwema kikose chakuiba akaibe elf 30 tena na cm
@hamiarseif72993 жыл бұрын
INAUMA. NINI. YEYE. ALIVOWAFANYIA. WATU BILA KOSA. HAIUMI. NENDA KAMTOE.
Mungu msaidie Sabaya maana hii kesi ni uongo mwingi
@catherinphilipo35033 жыл бұрын
Yani. Hapo hakuna ukweli tumuombee kingine hakuna ushahidi wowote hapa wameamuwa tu kumzalilisha na kma itabainika sabaya akafingwa itawarudia hao waliomtengenezea uwongo na huyo anaye shikilia hii kesi aangalie pande zote mbili
@sakinajuma61583 жыл бұрын
Naona jinsi dhuluma ilavyotendeka katika hii ardhi ya Allah! Nasema huyu mtu aachiwe kabla Mwenyezi Mungu hajaleta hukumu yake. Mimi sipendi kuona mwanadam akionewa hata siku moja.
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
kabsa ndugu yangu mie ni pamoja nawe na mungu pia Allah atawalipa magumu woote walio mtengezea kas mbaya huyu mmoja kesha tangulia anna mgwira bado samia na group lake wanomtesa huyu sabaya mie islam namombea sana kwa Allah awe huru na waliotengeza hili kwa ukepaji kod wata angamia insha allah
@emeldagodlove52433 жыл бұрын
😭😭😭pole Sana Sabaya MUNGU atakusaidia.
@cattydaniel50163 жыл бұрын
Sijala kabisa Sabaya mchapa kazi MUNGU atakupigania njama za wapinga maendeleo zitaaibishwa na utaachiwa jury Sabaya inauma mno😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@catherinphilipo35033 жыл бұрын
Yani mtakuja kumuomba msamaha saba msamaha nyie yani mneshikilia sana kaka wawatu hapo hakuna ukweli alafu kingine kama kweli mtu ndio amefanya matukio hayo ushahidi huo wa silaha kwann hawaja zipeleka polisi leo yani hamunjui mungu ikatokea sabaya akafia jelaa kwa makosa ya kutengenezewa mtakufa kifo kibayaa maisha yenyee mafupi mwacheni kaka wawatu
@ibel4lf3 жыл бұрын
Utatoka kwa jina la Yesu
@seifabdulwahid45793 жыл бұрын
Huyo hana yesu wala nani wakimwachia tunae
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Usimpakazie Yesu kwa vitu usivyo na ushahidi navyo huo ni unafiki acha huo unafiki
@manyotaskipper57653 жыл бұрын
SABAYA UTATOKA MWAMBA MUNGU ATAKUSIMAMIA ONDOA SHAKA
@mashirimathias60063 жыл бұрын
Pole Sana Sabaya MUNGU yupo pamoja na wewe kwani ibilisi shetani kapewa kibali cha kutujaribu endelea Kuwa na Imani yeye aliyejuu ya mamlaka zote duniani na mbinguni bado hajakuacha kiongozi
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
insha allah
@zulfasaeed74453 жыл бұрын
Hii kitu inaniuma sana japokua huyu kaka simjui aninui kwa ukarib ila daaah inaniuma sana kiukweli kama mdogo wake kama dada yake na mm kama kaka yangu pia inaniuma sana 😭😭😭😭😭mungu msaidie huyu mja wako bila wewe yeye hawezi kitu tufanyie wepes mungu 🙏🙏😭😭😭😭😭
@mdzainb37223 жыл бұрын
Mungu mkubwa Sabaya utatoka tu ni mapito ya mda tu😘😘😘
@nasrahassan73463 жыл бұрын
Yaani sabaya unaniliza kwa kweli mungu yupo kaka muombe mungu tu utashinda kweli ni kesi ya kutengeneza siasa hiyo pole kaka sabaya mtanazaji nakuelewa vizur asante kwa kutujuuza
@robertphilip3853 жыл бұрын
Wewe ndo ulikua unafaidi hela sabaya siyo!!
@christianpetro6043 жыл бұрын
😭😭😭eeh mungu onekana jaman kwahuyu sabaya wanamuonea jaman haki itendeke jaman 😭😭😭
@francemunanka78073 жыл бұрын
Sabaya Wewe ni noma Jamn Yuko Makin Sana hiii kesi anashinda kabisaaa bula shida walisha jichanganya tayri alio ibiwa pesa mwingine na majina yanasoma ya wengine
@mohammedrashid77353 жыл бұрын
Siamini kama hana hatia ila nnachoamini hakuna ushahid wa kumtia hatiani. Na hii ni tatizo ya mahakama si swala la kua na hatia ama kutoa kua na hatia kuna wengi wanafungwa hawana hatia ila kuna ushahid wa kuwatia hatiani na wengu hawafungwi kwa kukosekana ushahid.
@zakiangumbe67393 жыл бұрын
Mungu akutetee sabaya
@richardmercio38553 жыл бұрын
Pole sana Sabaya naamini haki itatendeka tu utakua huru Muda simrefu naona askari magereza wako kazin kutengeneza muvi kupitia kes yako wanaigiza kama vile wako vitani namtu ambae hana hata fimbo
@shedyjr32273 жыл бұрын
Freee sabaya.
@azizawadh59733 жыл бұрын
Free mbowe
@zenaabdallah37973 жыл бұрын
@@azizawadh5973 HATA AKITOKA NAE KAIONA JOTO YA JIWE.AJIFUNZE FITINA NI MBAYA NAE MUNGU KAMLIPA.
@innocentlaurean64143 жыл бұрын
Kasim said mungu yuu pamoja nawe kaka mda soo mrefu utaachiwa hulu na maisha yataendelea@
@happynesskibona66583 жыл бұрын
Eeee Mungu simama na mja wako kama kweli ametoa majonzi mbele za watu mwanaume mnzimaaaa Hao wote walitoa ushaidi mbele ya mtu asiye na kosa 😭😭😭😭😭
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
waangamie kabla ya mwaka kuisha had alie sikiliza uongo na kuwamuru ashikwe sabaya angamie kama alivo angamia shetan ndani ya jahanam wajinga sana viongoz wa serkal ya samia na rais wao
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Wanamuonea jamaa MUNGU atatenda tu 🙏🏾
@Vuvuzelaz13 жыл бұрын
Pole sana Sabaya hustahili adhabu Mungu yupo ukweli utakuweka huru iko siku wacha inyeeshe tutajuwa panapivuja
@mathewedwin26763 жыл бұрын
Mungu atakuachia hakika hustahili malipo haya ulikuwa kiongoz bora sana hakuna asie jua
Yaan MUNGU aingilie kat kama ni mambo ya kisiasa Mungu awalipe hao wates Mara saba maana walingoja Magu aondoke ndio wafungue kesi hiz. Ila sina uhakika Ila no kama mambo ya kisiasa haya hakimu tenden haki mkimuhukumu kwa mbwembwe Mungu atawatenda nyie vibaya said amina
@alexiasimba37073 жыл бұрын
Hivi mbona inaonekana kabisa kuwa ni mambo ya kisiasa? Hii sio kweli Mungu aonekane ukipenda haki unakuwa adui Wa wengi
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Mama Samia mungu anakuona kwa jinsi ulivyotusaliti Watanzania wazalendo, nashangaa Kwa nini lisifanyike uhaini au jeshi kumpindua huyu mama ameshindwa kabisa kuongoza nchi. Tumeanza hata mapolice wetu kushambuliwa na magaidi wa kisomali mama umekaa kimya tu
@ahmadkilili42043 жыл бұрын
Unatakiwa ulale uchi
@mbwanaseif4043 жыл бұрын
Hii ni namna ya kuwaogopesha viongozi wachapa kazi na wapambanaji. ila kwanamna hii kesi ilivyoendeshwa kwa uwazi tumeona mashahidi walikua wanajikanyaga, Sabaya hana hatia
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
kabsa ndugu na samia na kikwete na wanasiasa wamehusika vikubwa kwa uonevu kwa sabaya mungu yupo atamlipia sabaya hapa hapa dunian insha allah
@georgeigogo92593 жыл бұрын
Sabaya mwizituu Ila kesi ndoishaapindiswa
@salomemasanja10713 жыл бұрын
mshara wa zambi ni mauti. acha apokee alicho kifanyai
@mbwanaseif4043 жыл бұрын
@@georgeigogo9259 imepindishwaje sasa na mashahidi wote tumewasikia walivyokua wanapindisha maneno wanashindwa kujibu vitu walivyo viona hii inamaanisha walimezeshwa maneno na mbele ya mahakama wakayasahau. Ni aibu tupu
@sirizawa33603 жыл бұрын
Jah bless sabaya 🙏🙏🙏
@glorygosbert26593 жыл бұрын
Sabaya Free jamani, Ee Mwenyezi Mungu Msaidie
@catherinphilipo35033 жыл бұрын
Hakuna kitu hakuna ukweli wowote plz mungu hawezi mtupa mja wake ee mungi msaidie sabaya
@royaltourspemba73013 жыл бұрын
Daaahh ama kweli hayamaisha Yana hangamoto nyingi kwakweli ila sabaya ukitoka washtaki wao kwakukudhalilisha kiasi hichi
@ngolomahewa37073 жыл бұрын
Nimeumia SANA. 😭😭😭😭😭😭 nimelia zaidi yako
@nicholauskilosa53363 жыл бұрын
Sabaya beba msalaba wako,Umepoteza watu wengi sana.Hayo ndiyo malipo ya dhambi ulizotendea wanyonge wengi,Pambana na hali yako!!
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Nakuambia leo hii yupo mungu mkombozi wakweli anayepambania wazalendo na ata ya aibisha maneno yako ya ki puuzi
@issacksinkala56473 жыл бұрын
Sisawa
@onesmojustice23483 жыл бұрын
Nyie ndo inabidi mwende mkathibitishe mahakamani hao aliowapoteza sasa mnalalama huku KZbin
@zenaabdallah37973 жыл бұрын
NA WW MUNGU ATAKULIPA KWA KUOMBEA WENZAKO TOA USHAHIDI WA MANENO YAKO.
@tausmadili68253 жыл бұрын
Nichousi kilosa mungu anakuona shetani wewe binti ndio mafisadi wakubwa mpivyobanwa mkaona ni vibaya nyoko wewe
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Mungu aisimamie hii kesi ili haki itendeke na iwe fundisho
@rehemamlowe51043 жыл бұрын
Sabaya pole sana ,mungu atatengeneza njia paspo na njia ,
@nasrahassan73463 жыл бұрын
Mungu atamponya tu sabaya masikini amekonda sana malipo hapa hapa mungu atakulipa
@mariamufungo96193 жыл бұрын
Siyo yeye SABAYA kukonda hata kama ungekuwa wew pia ungekonda,kwanza anafikilia familia yake,pili kule mahabusu siyo kuzuli,tatu kesi yenyewe ni kama mchezo wa kuigiza.
@mwanaharusisaidi68893 жыл бұрын
Nico Mtwara masasi nafuatilia kesihii mungu atakusaidia sabaya
@katyalengajua67163 жыл бұрын
Mm niko Newala nafuatilia kesi hii mungu atakusaidia utafungwa tu
@michaelkapaya71643 жыл бұрын
Mungu ata tenda kwako SABAYA UTATOKA
@husseinntarugera39303 жыл бұрын
Mungu mkubwa atakusimamia kaka najua haya yote ni matukio tu ya kisiasa ipo siku muumba atakusimamia
@reubenmobe59613 жыл бұрын
Ukisikiliza kesi hii unabain nidili sabaya aonekane anashitakiwa lakini lengo ni mbowe ili sabaya ataachiwa na atakuwa mkandamizaji was mbowe Amin usiamin utaona meza inainduliwa
@joharijohn70053 жыл бұрын
Mimi nasema hivi Mungu hajawahi macha aliyekataliwa sabaya soon Mungu anajibu maombi yetu tunaendelea kukuombea
@vbnmmnbv52923 жыл бұрын
Hakika maombi muhimu
@abdiabdallah19953 жыл бұрын
Hasbunallah wanighmal wakil mungu atakutoa in Sha Allah ndani ya mwezi huu huu 8.
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Masikini jamani mungu yupo hii ni siasa tu
@abdiabdallah19953 жыл бұрын
@@عباسعباس-ش9ه4ت kweli
@claranewaho12513 жыл бұрын
Let's pray for our gvt. Amen
@paschaziaignas69843 жыл бұрын
Mungu naomba umteteee SABAYA
@lyegojaphet19643 жыл бұрын
Raisi samia jaribu kuwa na huruma huyu kaka anahatia mungu msaidie sabaya
@skilindaissa54413 жыл бұрын
Mungu msimamie sabaya😭😭😭😭🙏🙏🙏
@esthernsami77323 жыл бұрын
Watanzania wenzangu , Sambaya hakustahili haya mateso.. Hawa vijana walifanya kazi kubwa wakiongozwa na Hayati mpendwa Magufuli kurudisha heshima ya wana wa Tz. Walala hoi wote makaburi yetu alikuwa yanatusubiri na kisazi chetu kutokana na madawa ya kulevya na kufukuzwa kwenye ardhi yetu nawanaojihita wawekezaji. Pia kuua uchumi na pesa haramu. Tunawashukuru na upendo wetu kwa Hayati Magufuli na vijana wake hauwezi kunyauka. Tunampenda ,tunamkumbuka na tunamshukuru pamoja na vijana wake. Mungu ibarikiTz. Mungu mbariki Mama Samia
@joycenshala13103 жыл бұрын
Duuu pole
@khneesajumaa20523 жыл бұрын
Du umenena sana 👍
@davieed14273 жыл бұрын
Pole Sana 😂😂😂
@serdcomtanzania51932 жыл бұрын
she
@ednambata95033 жыл бұрын
Mm naona hii kesi Sabay anashinda mungu yupo
@lispafulgence99833 жыл бұрын
Mungu atakutetea
@nestoemanuel28213 жыл бұрын
Huwa nasomaga tu comment za watu mko vzr ila namwombia atoke huko so pazuri🙏🙏
@jacksonbiswalo83603 жыл бұрын
Pole Sana Kaka,ndio dunia hyo ila Mungu yupo
@neemaruben54273 жыл бұрын
Sabaya tulia tu hakuna mwenye haki akachwa nyuma
@lucyjeremia13813 жыл бұрын
Sabaya mungu yupo nawe inshaallah utatoka tu mi pia nakuombea Sana mungu ndiye mtenda haki
@neemahezron4863 жыл бұрын
Mungu atamsaidia Sabaya
@zenaabdallah37973 жыл бұрын
MUNGU YUPO UTATOKA TU HAKA NI KAMCHEZO KAKIJINGA SANA.UONGO MTUPU
@vbnmmnbv52923 жыл бұрын
Kabisa wamemtengenezea tu ila Mungu atawalaani
@enockfanueli30083 жыл бұрын
Mungu yupo kesi ya kute genezwa mkuu wa wilaya anaiba simu haiingi akilini mama angalia mamlaka itashi dwa kazi mkuu akifanya maamuzi yoyote kwa nafasi yake hata pendwa
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
@@vbnmmnbv5292 tena anzie leo kuwalaan had nahuyo rais alie mtoa kaz kwa kuwatetea wafisad insha allah
@merryluoga52723 жыл бұрын
Kiukweli moyo wangu unaugua sana juu yako kka sabaya,naomba pia kwaajili ya hili hakika Mungu atakuweka salama ushindi upo.
@ngolomahewa37073 жыл бұрын
Your going to be free Sabaya. I love you mr Lengai. Hakuna jambo rahisi Duniani ila kwa MUNGU kila kitu rahisi tu. I'm pray for you
@expert58983 жыл бұрын
Maombi yako yamesikika.
@petermuganda73223 жыл бұрын
Mzee uko vizuri sana
@abdulabdy68223 жыл бұрын
Hii kesi ni ya kutengenezwa...wenye haki wasiogope kupitia changamoto hizi,Mungu yupo waache wafanye kwa ajili ya kufurahisha mabwana zao..IPO siku haki itasimama tu,ukweli anaujua Mungu ila mpaka hapa naona kuna uonevu..SABAYA Mungu yupo pamoja nawe.
@zakhianzuki93483 жыл бұрын
Mungu akutangulie olle sabaya.
@jafarysoahjafarysoah11503 жыл бұрын
Ivi Kweli mtu kama sabaya anaweza kunyang'anya elf35 na cm duuuh
@mwahijalukali23873 жыл бұрын
Sijawah sikiliza kesi hii leo ndo nimesikia masiki political ni mchezo mchafu sana mungu wa haki ata simama kwenye haki ataamua ss hatutawezaa kama kwel wanamsingizia kaka wawatu mungu hata waacha 🙏
@noahlarapho34113 жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri
@jamilamwarabu38903 жыл бұрын
MIM NAVYOONA MM WAMEMWUONEA SABAYA SANA ILa mungu atawahukumu 🤔🤔malipo nihapahapa dunia
@husseinmiraji1243 жыл бұрын
Malipo hapa hapa duniani hata Kama umesingiziwa na wewe ukumbuke hata yeye alibambika watu makosa hivyo hata Kama ukitoka utakuwa umejifunza ukiuwa kwa upanga na wewe utauwawa kwa upanga
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
we nawe msikariri maneno kwani wangapi wanasingiziwa na kufungwa bilakosa na wao hawajawahi wasongizia watu kas usiropoke sana bado waish dunian sabaya al8fanya kaz kwa haq na wered leo mnajifanya alibambikia watu sijui mafrica baadhi yako vp
@lindambilinyi62533 жыл бұрын
Acha Mungu atende haki,shwain hyu alilewa madaraka,Wakat wa Mungu sasa