UNAYOTAKIWA KUJUA KUHUSU LENGAI OLE SABAYA, KIJANA ANAYETAJWA TENA KATIKA ULINGO WA SIASA

  Рет қаралды 75,057

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

#Day2NewsTV #Zungu #CharlesWilliam

Пікірлер: 175
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 8 ай бұрын
Huyu mwamba ni mwamba wa miambani ipo siku atakua sehemu moja imizing
@martinamarugu44
@martinamarugu44 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amekutetea Nenda kafanye kazi uliyoitiwa
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 8 ай бұрын
The strong guy we need. Huyu kijana ni muhimu sana ni kiongozi bora ajaye. Apewe nafasi aonyeshe uwezo wake.
@mamapeace6730
@mamapeace6730 8 ай бұрын
Mungu akulinde kaka angu umepitia mengi sana
@afamatv4848
@afamatv4848 8 ай бұрын
Hata baadhi ya Ma Rais wa Nchi kadhaa duniani waliwahi kufungwa jera na wakapata nyazifa hizo baadae. Lengai O. Sabaya is the future President of Tanzania. You will never believe....,
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 8 ай бұрын
Sabaya namba one
@fatimahants1526
@fatimahants1526 7 ай бұрын
Wamurudishe huyu mwamba kwenye madarka tena afanye majabu....🔥🔥🔥🔥🔥
@JoyceSaulo-m4b
@JoyceSaulo-m4b 8 ай бұрын
Yuko vizuri sana apewe apige kazi
@AbisoloMalenda
@AbisoloMalenda 8 ай бұрын
Mungu hakutangulie hakulinde hiyo nafasi ni kwako unaweza kijana wetu hodari mwanasiasa shupavu
@RamzoJunior
@RamzoJunior 5 ай бұрын
No body can stop,, 💪
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 8 ай бұрын
Huyu ndo mwenezi mpya👏
@robertdominic7298
@robertdominic7298 8 ай бұрын
Tuleteeni RC bora kuwahi kutokea Tz Ally Hapi.
@IssaMsomba
@IssaMsomba 8 ай бұрын
Sabaya yupo vizuri
@talents7934
@talents7934 7 ай бұрын
Hii miamba imepewa majina mabaya ili kuiondoa kwenye ramani ya siasa ila hawafahamu kuwa hawa ndio walioijenga CCM Kuna siku Mungu atawarudisha maana wamewakataa ili Wavune vilivyolimwa na hii miamba😢
@GeoffreyFelix-w9r
@GeoffreyFelix-w9r 8 ай бұрын
Mungu akusimamie na akutendee haki kama kuna maonevu yaliyofanyika juu yako
@abras3479
@abras3479 8 ай бұрын
Miongoni mwa wanasiasa wenye mikosi sana. Ni miongoni mwa wanasiasa wachache wazalendo waliobaki. Awamu ya 6 ni awamu mbaya sana kwa wanasiasa wazalendo. Bora aendelee kukaa kimya mpaka tutakapopata awamu ya wazalendo. Inshallah
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 8 ай бұрын
Good point 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JoyceSaulo-m4b
@JoyceSaulo-m4b 8 ай бұрын
Uko sawa kabisa nakuunga point
@sonnyr1899
@sonnyr1899 8 ай бұрын
Chukuwa like yangu
@shinipapaya846
@shinipapaya846 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣kabisaa imepita hiyo bila utata 👍
@AvitusGerase
@AvitusGerase 5 ай бұрын
Umenena
@radhiaaboubakari4619
@radhiaaboubakari4619 8 ай бұрын
Sabya bomba makonda bomba sanaaaaà ❤
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 8 ай бұрын
Love you sabaya mwanangu
@titus_maridhia
@titus_maridhia 8 ай бұрын
Ni nampenda sana
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 8 ай бұрын
Huyu jamaa sio muda anarud kwenye system...n suala la muda tu...n kijana wa kazi
@deusmauka8270
@deusmauka8270 8 күн бұрын
Yupo vizuri sana.
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 8 ай бұрын
Excellent leader ( Ole Sabaya)
@peteraqadwe7199
@peteraqadwe7199 8 ай бұрын
Yuko poa kijana mugu amtagulie katika maisha yake amina
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 8 ай бұрын
Sabaya NI Masai hodari mkweli na asio ogopa
@wilhardvawunge-ns2ks
@wilhardvawunge-ns2ks 8 ай бұрын
Viongozi kama sabaya meio tunawataka,sema Sasa mzeee ya ccm inaona chama chão na nchi yao
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 2 ай бұрын
Mtu wa kazi sana huyu, hapoa kulikuwa na Makonda na King mwenyewe Magufuri. Tatizo nchi yetu haitaki uwe serious sana 😢😢
@ChalyaIdaso
@ChalyaIdaso 8 ай бұрын
Makonda na sabaya tunawapenda mno watetez wawanyonge tunawapenda sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 8 ай бұрын
Mnyonge wewe siyo MTU unejitambua unyonge katika biblia ni dhambi mpeleke kwenu nyumbani awaongoze maana unaonesha udhaifu katika kujipambanua hujui kuwa hata wewe ni kiongozi Ila hujui hill unamsifia sabaya
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 3 ай бұрын
Watetezi for what watu ni malooser mnapenda watu wanaonyanyasa wenzao
@lekinyaurey5772
@lekinyaurey5772 8 ай бұрын
Anafaaaa Sana kuwa kiongozi Bora mungu mbariki sabaya
@mussahancy6591
@mussahancy6591 8 ай бұрын
Sabaya kijana mzuri sana,na anatosha Natamani awe RC pale SINGIDA
@karimjuma4019
@karimjuma4019 8 ай бұрын
Chizi ww
@fatimahants1526
@fatimahants1526 7 ай бұрын
Huyu ni mwamba ni shujaa na ndiyo maana apigwa mawe
@yusuphbudodi6720
@yusuphbudodi6720 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 et pale singinda
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 2 ай бұрын
Anafaa sana, alionewa mungu ni mkubwa apewe nafasi.
@EliasLomnyak-h8r
@EliasLomnyak-h8r 8 ай бұрын
shida yetu atupendi wasalendo tunapenda fibaraka
@williamwilliamjosephkabogo3417
@williamwilliamjosephkabogo3417 Ай бұрын
Mungu ni mwema
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 8 ай бұрын
Nikisikia jina sabaya namkumbuka yule mama wa kiarusha alivyokuwa analia na kumlaani😢😢😢😢😢
@MUHAJIMTONOYA
@MUHAJIMTONOYA 8 ай бұрын
Sebaya mpe kazi mama
@AbisoloMalenda
@AbisoloMalenda 8 ай бұрын
Apewe hiyo nafasi anaweza kabisa mwanasiasa hodari shupavu pamoja na majaribu aliyopitia mungu ndio Kila kwake
@ayoubliyanga7802
@ayoubliyanga7802 8 ай бұрын
Strong man lengai ole sabaya
@LalakwaLekinanga-cj5ke
@LalakwaLekinanga-cj5ke 8 ай бұрын
Ole sabaya nikiongozi mnzuri sana
@salomekense525
@salomekense525 8 ай бұрын
Tuliozaliwa 1986 tupo pamoja kukuombea ili baadaye uje uwe mtu mkubwa katika nchi yetu ya Tzn.
@nehemiamwasile8696
@nehemiamwasile8696 8 ай бұрын
Yupo vizur
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 8 ай бұрын
Kukaa kwako magereza ni kuenda kujifunza eananchi wanaosingiziwa kesi wanavyoteseka lakini mimi binafsi nakuombea uje uwe mtu mkubwa katika Taifa hili, tunakutegemea na tunakuombea kwa mungu uje uwe kiongozi mkubwa katika Taifa hili.
@HakimuMaliki
@HakimuMaliki 8 ай бұрын
Nikijana mzalendo anapawa kumbwa nimchapakazi anamfaa mama Samia ampekazi
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 4 ай бұрын
Ccm hawana rafiki kwakua wakubwa wengi si wazalendo
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 8 ай бұрын
maudhui mazuri sana D2N kazi iendelee
@RedeemerElias
@RedeemerElias 8 ай бұрын
Mama mwangalie kijana Ole sabaya ni jembe hasa mpe nafasi akusaidie
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 7 ай бұрын
Namupenda sana sabaya
@martinamarugu44
@martinamarugu44 8 ай бұрын
Sabaya kila la Kheri
@deusisindwa616
@deusisindwa616 8 ай бұрын
Isingekuwa siasa chafu za nchi yetu,,Sabaya anastahili kuwa kiongoz wa ngazi za juu,,ila namuombea Kwa Mungu ampe kibali Cha kuwa kiongoz mkuu katika taifa letu,,naiman atatufikisha kanani 10:38
@danielnangela2195
@danielnangela2195 8 ай бұрын
Splendid.
@hermanjoseph6170
@hermanjoseph6170 3 ай бұрын
Mimi naitwa John silim Lengutai. Ni mwenyeji wa Kata ya Olmotonyi,Kijiji cha Engariolmonyi,Wilaya ya Arusha DC. Mimi binafisi namwamini Lengai Olesabaya kuwa ni Kiongozi mwenye uwezo kwa nafasi yeyote ya uongozi.
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 8 ай бұрын
Jamaa yupo vizur sana yupo nkwenye kundi la kutetea wanyonge
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 8 ай бұрын
Acha kumtetea, maana Mungu ndo anajua
@leonardmayunga2851
@leonardmayunga2851 8 ай бұрын
Zungu natamani kukutana na sabaya,ni kijana makini na anauwezo mkubwa sana tatizo liko ccm na matajiri na wanasiasa wachache wakiguswa mambo yao wanamchafua mtu
@MaryJoseph-u8s
@MaryJoseph-u8s 7 ай бұрын
Sabayaa Mungu akukumbukeeeee
@Emmamugya-iu8uv
@Emmamugya-iu8uv 8 ай бұрын
Kaka unapambana sio poa
@RossaRutasha
@RossaRutasha 8 ай бұрын
Sabaya tunaomba mama Samia aliangalie hili kujaza nafasi ya watatu hao Makonda Hapi Sabaya itakuwa hatari😢
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Good guy
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Watu kama sabaya na makonda,slaa na mzalendo inaonekana mama hawataki
@nicksonngogo7904
@nicksonngogo7904 8 ай бұрын
🎉🎉🎉!
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 7 ай бұрын
ally happy ,makonda ,sabaya, sabaya na mahu wao ni noma hapo kuna soma iyoooo toronto
@abdulpires9091
@abdulpires9091 Ай бұрын
Safi sn
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
We remember sabaya
@WilsonLuchwele
@WilsonLuchwele 7 ай бұрын
Hebu ione hazina waliyobakiza ccm, makonda + sabaya type,Mungu ihurumie Tanzania!
@MUHAJIMTONOYA
@MUHAJIMTONOYA 8 ай бұрын
Kesi zote zilikuwa za mchongo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Magufuli baba tunakukumbuka sn
@CharlesLukas-d3u
@CharlesLukas-d3u 5 ай бұрын
Aliyomkuta sabaya kwenye uongozi ni changamoto ya kawaidaa kwenye siasa ,lengai olesabaya usikate tamaa kwenye siasa ikiwezekana njooo jimboni
@WilsonLuchwele
@WilsonLuchwele 7 ай бұрын
Kweli ccm mna mambo
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 8 ай бұрын
Mwamba tunakukubali Sabaya mzalendo wa kweli
@SanareMolle
@SanareMolle 8 ай бұрын
Sabaya ni kiboko ya wapinzani
@Emmamugya-iu8uv
@Emmamugya-iu8uv 8 ай бұрын
Komaa hiyo ni spirit yako umezaliwa nayo mwana
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 8 ай бұрын
Ni msenge sana huyu jamaa
@DeoOmali
@DeoOmali 8 ай бұрын
Hii serikali ya kikuma kwani wao sindio walisema ametapeli watu inamana mahakama haikua na ukweli wowote juu ya tuuma manake ni nini sasa wanataka kugombanisha wananchi na mahakama saivi usipokua upande wa mama samia hatakama serikali inakosea wewe ni kupewa kesi huyu tunaukweli wake na lazima mungu amewekea mwisho uwo ndo ukwelì msijifanye ccm wajuaji mungu ni mungu
@PartySekemi
@PartySekemi 8 ай бұрын
Zilikua vita vya kisiasa na ya wakwepa kodi naomba utuchambulie mwana sheria mkuu wa serikali tuna wasiwasi na taaluma yake😅
@MataukaMatauka
@MataukaMatauka 8 ай бұрын
Hawa.jama.ndio.wazarendo.kweri.nawakubari
@bundalaizina652
@bundalaizina652 8 ай бұрын
Hata mpina anafaa pia
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 8 ай бұрын
Yaani hapa tumepigwa aliyetoka gerezani apewe rungu ni hatari
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 8 ай бұрын
Unatombwa akil iyo watu wanatok jela nakupew urais we mkundu unakuwasha kwa nafas ndogo km iyo
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 8 ай бұрын
We need sabaya
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 ай бұрын
U and who
@michaelmwakajoka7672
@michaelmwakajoka7672 8 ай бұрын
Mchambueni mwakyembe alie wai kuwa mbunge wa kyela
@OscarKasalile
@OscarKasalile 3 ай бұрын
Sabaya arudishwe haraka mnoo.
@msebishimwinyi4121
@msebishimwinyi4121 2 ай бұрын
Rudisha sabaya kazini mama
@mangwembecompany7039
@mangwembecompany7039 8 ай бұрын
Anafaa sana
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw 3 ай бұрын
Ndio maana sjawahi kucoment vbaya kuhusu huyu kijana aliye aminiwa na mwendazake.
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu 4 ай бұрын
Mwamba kwel2 lakin matumiz ya nguvu apunguze
@PartySekemi
@PartySekemi 8 ай бұрын
Kwa sababu hoja nyingi za vivungu bungeni Mara nyingi ameshindwa hadharani
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 8 ай бұрын
Acheni kufanya uchafu kisha kulitaja jina Mungu.
@ShedrackDamiani
@ShedrackDamiani 2 ай бұрын
Hawa watu Wana jua kuongea kinoma
@MUHAJIMTONOYA
@MUHAJIMTONOYA 8 ай бұрын
Naitwa muhaji mtonoya, huyu kijana apewe kazi sasa kwani ni kati ya vijana wazalendo
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 8 ай бұрын
Naomba munchambue mwana harakati mwabukusi
@hamphreybetty6208
@hamphreybetty6208 8 ай бұрын
SABAYA NI MWAMBA SANA YAAN KWA NCHI YA TANZANIA INAITAJI MTU WA HAIBA YAKE Mfano kama PAUL MAKONDA ,SABAYA,GAMBO NI WATU AMBAO WANAITAJIKA SANA KWA SIAZA BONGO MAMA KAMA ANASIKIA SAUTI ZA WACHANGIA MADA BAMUOMBA AMSAMEHE SABAYA AMPE ATA UBUNGE WA KUTEULIWA TANZANIA BILA WATU WENYE MAAMUZI MAGUMU HATUTOBOI WENGINE BILA KUTINGISHWA HAWAENDIIII
@OttoChiduo
@OttoChiduo 8 ай бұрын
Huenda zilikuwa ni kesi za michongo tu dhidi yake
@derickkahangwa5405
@derickkahangwa5405 8 ай бұрын
Yuko vzur alipambana na wanyonyaji
@emanuelkyashama3858
@emanuelkyashama3858 6 ай бұрын
The general
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 ай бұрын
Tunapenda sana rais awe makonda makamo WA rais awe sabaya
@saidmpunga-en6pf
@saidmpunga-en6pf 7 ай бұрын
mimi mmojawapo sabaya anafaa kwa asilimia 100 hebu mama mpe nafasi sabaya awanyooshe wanaopenda konakona
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 8 ай бұрын
Sabaya hoye
@LazaroSimioni
@LazaroSimioni 8 ай бұрын
Huyu sabaya ni bonge la kiongozi ipo siku atakuwa kiongozi mkubwa sana nchini tuombe uzima tuu
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 8 ай бұрын
Tunataka watu kama Hawa wasiyokuwa waoga
@dixonpius9873
@dixonpius9873 5 күн бұрын
Hafai huyu
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 8 ай бұрын
Mengine wala hayatamaniki Moto haililiwi
@chubwadeogratius1239
@chubwadeogratius1239 25 күн бұрын
Viongozi kama Sabaya na makonda vijana wa chuma hayati Jpm hawakubariki na wizi mafisadi wanaohujumu mali za wanyonge hata ukiangalia comment za Sabaya niwatu wachache ndio wamemsema vibaya kama sio wizi ni ndugu za majizi..Tunatakiwa kuwa na viongozi wanaotetea wanyonge
@karimmveyange280
@karimmveyange280 8 ай бұрын
HIVI WALIO KUWA WAKIMUHUKUMU SABAYA HUKUMU AS UWONGO HUKU WAKIJUA NO UWONGO WANAJISIKIAJE?HE,COM INAJISIKIAJE KUHUSU SABAYA,ALIYE IBUA NA KUTOKOMEZA MAOVU USO KWA UPS,WANAMUONA NO MUHUJUMU UCHUMI?HAFAI? INATIA SHAKA SHAKA SANA IKIWA MSIMAMO NI HUO. HATUWEZI TOKA KIMAENDELEO YA KITAIFA
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 7 ай бұрын
Sabaya ni kiongozi Mwamba wa kzi
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 11 МЛН
RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake
15:33
Global TV Online
Рет қаралды 223 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 414 М.
JOHN PAMBALU MAVAA RAIS SAMIA KWA KAUNZA NA MSTARI KWENYE BIBLIA
7:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 37 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН