Namshukuru Mungu Leo ni siku ya Tano naamini na Mimi Nimepokea nanitazidi kukua zaidi na zaidi juu ya neema ya Mungu Amen
@Neema-wy4mh10 ай бұрын
Uhakika. Bwana yesu nisaindie kutembea ktk neema yako. Peke yangu siwezi Bwana. Nirehemu tu kwa damu yako
@EmanuelBadi10 ай бұрын
Hii ya safarii sikubari navuka na wewe #Yesu kuelekea kwenye Kesho yangu katika Damu ya Yesu, (I will Fight for my Tomorrow) ❤❤❤❤
@wemawestern197110 ай бұрын
Na iwe Nuru kama nilivyowaza Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen
@mamsaramamassawe.479710 ай бұрын
Bwana Yesu Nakuomba unifundishe Kuomba😢😢
@QUEENJoseph-kh6cb6 ай бұрын
AMINI TU YOTE YANAWEZEKANA KWA IMANI
@rcbproductiontz180710 ай бұрын
Asante MUNGU kwa uaminifu wako Asante kwa kumtumia Mtumishi wako hatimaye tumekwenda ng'ambo nyingine sifa na utukufu ni kwako amen 🙌
@ZaneGideon-sp2pj10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 MUNGU awabariki sanaaaa baba na mama 🤝🙏🙏💯💯
@waithirahnaomy157310 ай бұрын
Ameni amenii ameni
@olivervenance177610 ай бұрын
Mungu aibariki huduma ya Mana na watu wote wanaoiwezeshe huduma hii 🙏.
@rosepatrick814810 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali kushiriki 5days Baba semina hii ikawe Baraka juu ya maisha yangu
@CalistMosha10 ай бұрын
Baba ktk Jna la Yesu Kristo, Tunakushuru kwa Rehema na Wema wako MKUU juu ya Mtumishi wako Mwl.Mwakasege na timu nzima ya HUDUMA YA MANNA, BABA MTAKATIFU, tunakushuru kwa mafunuo yako yote Uliyoachilia kupitia Mtumishi wako Mwl/Mwakasege, UTUKUFU NI WAKO,NA HESHIMA NA ADHAMA MILELE TOTE
@emmanueljoshua90310 ай бұрын
May The Almighty GOD Through His Son JESUS...Provide Us With The Grace To Walk&Work With Accord To HIS Plans For Our Lives....Amen......Thanks Mwl C.Mwakasege...May The AlmightyGOD Continue To Shower His Blessings In Wisdom&Understanding For You To Share With Us......"The WORD Is The Bread Of LIFE"
@zmugittu10 ай бұрын
Asante sana kwa ratiba ya Babati...Tumekuwa na KIU na huduma hii kwa miaka mingi sana mwaka jana tulibahatika na Neema ya Mungu ipo na mji huu tena mwaka huu... tena ndani ya robo ya kwanza tu ya mwaka
@mamayuu964010 ай бұрын
Mungu awalinde baba na mama mwakasege
@DottoModest10 ай бұрын
Mungu wa bwana wetu yesu kristo ushukuriwe kwa kutuzaa mala ya pili na kutupa uweza wa kiungu ndan yetu, na kutupa maana iliyo kuu zaid, mkumbuke baba na mama kwa huduma ulizo ziweka ndan yao, bwana yesu asifiwe
@christinangondi421210 ай бұрын
Wa-TZ tunakushukuru MUNGU kutuletea Christopher, Diana na MANA Team nyakati hizi za mwisho kutuandaa kwa Unyakuo
@mamsaramamassawe.479710 ай бұрын
Mungu nakuomba unipe japo kidogo to Imani kama ya AYUBU🙏
@EliazeliAbely10 ай бұрын
Mungu awabariki San baba na mama Mwakasege,, utumishi went ni mwema
@jastinnkya10 ай бұрын
Amin sana mungu yukojuu sana shetani chini sana yesu nasema asante nimekuonakwangu leo
@FrankMorice10 ай бұрын
TUMESIKIA TUMEPOKEA TUMEIMARISHWA MUNGU AWABARIKI SANA BABA NA MAMA MWAKASEGE NA TEAM NZIMA YA MANA NA ZAIDI ASHUKURIWE BWANA YESU KWA NEEMA HII KUBWA,SIFA NA UTUKUFU APEWE PEKE YAKE ❤️
@ThomasMapunda10 ай бұрын
Amen
@philmonnem729410 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@yudithmwamaso743810 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu Kwa hili somo nimejifunza kitu kwenye Maisha yangu. Mungu akubariki
@ShaphelyNulan10 ай бұрын
Asante mungu kwa fadhili zako
@ThomasMapunda10 ай бұрын
Àsante MUNGU Kwa neno lako ili
@YustinaNyenza10 ай бұрын
Mungu akubarik 🙏
@CementShed10 ай бұрын
Mbarikiwa sana
@aminankinda10 ай бұрын
MUNGU nimepokea nitatembea nawe popote uwepo wzko BWANA uwe nami
@dwashiedward86929 ай бұрын
AAHSANTE MUNGU
@christinangondi421210 ай бұрын
MUNGU wetu wa MBINGUNI tusaidie kuyafanyia kazi yooote uliyotuamuru kuyafanya
@HappyCookingApron-pv1hn10 ай бұрын
Naombeni ushaul I mume wangu aneoa mke mwingine na tumezaa nae watoto wawili mara nyingi huniambia hanihitaji nahitaji ushauli
@joycenuhu156610 ай бұрын
Mpendwa wangu Happy hilo swala lako peleka kwenye kiti cha Neema cha Yesu KRISTo kitakutetea katika hilo, YESU KRISTO HASHINDWI NA JAMBO, MWAMINI ATAKUTENDEA USIUMIZE MOYO KWA AJILI YA MWANADAMU YUPO YESUKRISTO MTETEZI WETU
@jastinnkya10 ай бұрын
🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jastinnkya10 ай бұрын
Amin sana mungu wangu Nimekutumaini wewe nisiaibike tena yesu