5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 1

  Рет қаралды 31,834

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 59
@sikukujumamalley9929
@sikukujumamalley9929 5 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako, nilimeshakutana na hayo makundi yote uliyotaja. Nimelipenda sana hayao maneno "SEE YOU AT THE TOP" huwa nashangaa najikuta namwambia mtoto wangu see you at the top na yy hunijibu yuo too dady, hasa wakati anaenda shule, ni neno mzuri sana na ubarikiwa sana, Mungu kakuleta duniani kwa kusudi
@aloycemtweve9649
@aloycemtweve9649 4 жыл бұрын
Asante sana brother Mungu akubariki
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 5 жыл бұрын
Lazima tuongeze thamani zetuu gonga like hapa ubarikiwee
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Kenedy Noel kabisaaa
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Nice one ....am here to stay..umenifanya nipende Tanzania...siku moja nitavizit na nihudhurie mikutano yako....Kenya loves you teacher
@abdulybabumgwaobabu7407
@abdulybabumgwaobabu7407 5 жыл бұрын
Miongoni mwa watu Wang Wa nguvu ni Joel Nanauka Allah akupe umri mrefu brother
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Abdulybabu Mgwao babu Ameen nashukuru sana
@mwitanyansoho1186
@mwitanyansoho1186 4 жыл бұрын
Shukrani Mwalimu Nanauka, Nimekufuatilia kwa social media Na nikaamua kuanza project yangu ya Kuku za kienyeji Na saiii nilipata scholarship kweda kusoma Thailand in Asia.Na ninapocomment hapa niko Asia saa hii. Mungu akubariki. Mwita.
@michaelmbogo7512
@michaelmbogo7512 5 жыл бұрын
Broo Nanauka you have changed my life GOD bless you my broo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
MICHAEL MBOGO Ameen michael,glad to hear that
@michaelmbogo7512
@michaelmbogo7512 5 жыл бұрын
@@joelnanauka Thanks my brother
@khamishosea6269
@khamishosea6269 5 жыл бұрын
hai bro ubalikiwe sana kwa mfundisha na mifano yenye weredi wa juu big up sana my brother
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Nashukuru Kwa Kunitia Moyo
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka tunakushukuru kwa kutufungua kimtazamo
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 жыл бұрын
May God bless you!! Amiin
@LuiTvshow
@LuiTvshow 5 жыл бұрын
kazi safi bro @Joel NAnauka
@alfredngongi7509
@alfredngongi7509 5 жыл бұрын
I like it, it's powerful
@sakitasaitoti2023
@sakitasaitoti2023 Жыл бұрын
OK nakupongeza xana
@beatricekikove2979
@beatricekikove2979 5 жыл бұрын
Brother Joel..God bless you
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Nimezomewa saa hii.... But I thank God nilikua nimekuakiza asubuhi . Nimeumia lakini sijafa moyo nitatia bidii hadi nifikie malengo yangu...
@JosephMnzava-kt6tm
@JosephMnzava-kt6tm Жыл бұрын
It is brave message brother,God bless you
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Ni Elimu isio na Mipakaa Ahsante sana
@lynusjacob6727
@lynusjacob6727 5 жыл бұрын
Joel wewe ni kiongozi sio tuu mwl acha niendelee kufanyia kazi unayotufundishaa naaamn tutafika... Tulioambia hatuwezi ni wengi
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 5 жыл бұрын
It's not too late for me to become whom I am supposed to be. Ubarikiwe sana #Nanauka.
@judemazho9612
@judemazho9612 5 жыл бұрын
You the best candidate..... You are still alive ☺.
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 5 жыл бұрын
@@judemazho9612 thank you.!
@nicomedimartin7540
@nicomedimartin7540 5 жыл бұрын
This message will catapult many
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks #SeeYouAtTheTop
@mauadonat7191
@mauadonat7191 Жыл бұрын
This is a very powerful speech,thank Joel,"Keep Rising,the Sky is the Limit"
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Asante kaka. Kwa elimu ya leo. God protects you for every wrong situation. Peace
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mouly Joseph Ameen thanks
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
So energetic!
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Tembo Vs Kamba...its true wengi tuna visual kamba kwenye akili zetu....Tembo wengi
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kwa Kujifunza #SeeYouAtThe Top
@anastaziagerad1646
@anastaziagerad1646 4 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka Joel ,,alakini sauti ilikaa vibaya mwanzo adi dk ya 35 adi part tu ndo ikawa good,,MUNGU akubariki
@yabonehamamaulidi1704
@yabonehamamaulidi1704 Жыл бұрын
Wazir wa fedha unafaa nanauka
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 5 жыл бұрын
Wengi tulimhama luvanda sababu hatujui kingereza(like hapo kama kweli)
@daudtumwanke8506
@daudtumwanke8506 2 жыл бұрын
MUNGU azidi kukuinua kaka Joel
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 жыл бұрын
Absolutely perfect speech .
@ahadidenis8858
@ahadidenis8858 5 жыл бұрын
Hongera kaka Joel nanauka mafundisho yako mazuri
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 5 жыл бұрын
Asante san kaka joel Nanauka mungu akubaliki
@brunophilbert1034
@brunophilbert1034 2 жыл бұрын
Asante
@rajabumrama3161
@rajabumrama3161 3 жыл бұрын
Salute for you
@fredricksteven6117
@fredricksteven6117 5 жыл бұрын
ubarikiwe kaka
@hamisimgaya7889
@hamisimgaya7889 5 жыл бұрын
Nanauka nakuona mtu mkubwa baada ya miaka kumi
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
hamisi mgaya nashukuru sana,tuendelee kuombeana
@salminjumah1384
@salminjumah1384 5 жыл бұрын
I like it
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Welcome
@salminjumah1384
@salminjumah1384 5 жыл бұрын
Am already your fans we run together kaka am really appreciate your good presentation,sijui nlikuwaga dunia gani maana mambo mazur kama haya wazazi wala mtu yeyote hajakaa kuniambia mifano hai dah nashukuru sana kaka mungu akutie nguvu zaidi ila nimepata kitabu chako cha timiza malengo yako shukran sana
@Miss_Kaaya
@Miss_Kaaya 5 жыл бұрын
Be blessed baba♥️
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Masomo haya kwa kweli yananivuruga sana kichwa ni miaka mitatu tu lakini naishi miaka 100th mbele
@bonifacefatael2936
@bonifacefatael2936 5 жыл бұрын
Iwish I could knew it in 20,s
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
See You At The Top
@NEEMAERNESTMGONHO-zs8ie
@NEEMAERNESTMGONHO-zs8ie Жыл бұрын
Tangu nimeanza kukusikiliza nimewaza kugundua mapungufu niliyonayo
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 5 жыл бұрын
Thanks my main mentor
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 JNANAUKA
@titonimu4291
@titonimu4291 3 жыл бұрын
Sawuti kuna problem
@saidsuleiman7473
@saidsuleiman7473 4 жыл бұрын
Nina bajet ya miaka mitatu
@LuiTvshow
@LuiTvshow 5 жыл бұрын
kazi safi bro @Joel NAnauka
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 2
25:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 41 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 57 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 935 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 166 М.
Nanauka Super Thursday
50:20
THE MILLIONAIRE COACH
Рет қаралды 4,4 М.
MAMBO 7 YA KUJIFUNZA KABLA HUJAWA MJASIRIAMALI by Anthony Luvanda
50:04
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 296 М.
NGUVU ILIOKO KATOKA MAONO (JOEL NANAUKA)
1:07:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 91 М.
7 Signs Someone Is Lying To You | STOIC PHILOSOPHY
29:45
James The Stoic
Рет қаралды 32 М.
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO   - SEHEMU YA  KWNZA (1)
12:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 82 М.
Joel Nanauka I Giant Killers for a 21st Century I CCC Upanga
42:09
CCC-Upanga TAG Church
Рет қаралды 8 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 41 МЛН