So far tunashukuru kwa kenya and Tanzania SGR, sio rahisi kivile na naamini zitaunganisha East Africa siku moja.
@polycarpmdemu35527 ай бұрын
1. dar station 2. mombasa station 3. Makutupora station (complete) 4. Kituo cha treni Nairobi
@surusuru19949 ай бұрын
Hongera Tanzania 🇹🇿 😘😘✨🇹🇿💚💚makufuli❤😢
@J4UPro9 ай бұрын
Dar es Salaam is best station in east Africa.
@Mpakauseme9 ай бұрын
for me tanzania station is modern building very beautiful
@jsmtupoa9 ай бұрын
Ile ya nairobi si kama ubungo terminal tu😀🙌
@lewiswasonga95379 ай бұрын
I'm a Kenyan but Tanzana iis ahead of us
@itsomwenga7 ай бұрын
In terms of what
@Beingtedros9 ай бұрын
The Dar Es Salaam Terminal is the best
@nicholasaswa55069 ай бұрын
Umekosea heshima hiyo terminus ya Mombasa,as for me Mombasa 1
@patrickochieng799 ай бұрын
Ya mombsa nikali sana trust me ..... Mombasa should be number
@ElizabethAmaniSidiwest9 ай бұрын
mombasa terminus is more stylish and bigger in terms passanger platform,it has 2 long platform which can handle 3 trains at the same time@@patrickochieng79
@iddimussaomary-ux6eo5 ай бұрын
Unapendelea sana wakenya
@our10picks189 ай бұрын
We need to electrify Kenya’s SGR asap! The phase from Naivasha to Malaba is about to start being constructed and they better build it as an electric rail while converting the Mombasa to Naivasha stretch into electric as well! Considering all that budget for building the SGR, if they don’t electrify it then we’ll have been ripped off big time! Especially since Tanzania’s SGR cost way less than Kenya’s yet Tanzania’s is fully electrified and ours is not! What a shame really!
@israelifissoo21417 ай бұрын
they don't hear you 😁
@alibinali_9 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 iko poa sana kuliko ya kenya 🇰🇪 😂😂😂😂
@WilfredOlwande7 ай бұрын
Kenyan stations look friendly
@Ladystill6 ай бұрын
Mombasa terminus is number one and there's no contest about that. I've been to Mombasa terminus and it beats many airports and that's a fact
@JacksonGresmo-d1b9 ай бұрын
Tz number 1
@imaniLameck-fd4eb7 ай бұрын
Dar es salaam namba 1 nzuri mno
@nicksonmwenda15076 ай бұрын
Mombasa terminal should be number one it's big and beautiful, tukilinganisha treni Tanzania ni kama wako na Tesla ilhali kenya wakona petroleum Lamborghini na Bugatti, kenya 👍
@AngelaNare8 ай бұрын
Tanzania is the best of all
@ricardoortizqomboc21849 ай бұрын
HOW DO YOU COMPARE COMPLETED RAIL AND UNFINISHED ONE
@sylvestercameo62639 ай бұрын
Baseless argument!
@NK-DF-ST-10-36 күн бұрын
all still under construction. if kenyans real finish is a joke
@davidluangisa45159 ай бұрын
Let me be honest Tanzania's sgr is far class compared to Kenyan one bro...wakati ni ukuta.....stop comparing ancient diesel trains with modern electric trains...
@KadengeKenya9 ай бұрын
Wewe ndio unakosea,he is comparing terminus not trains
@itsomwenga7 ай бұрын
It is not the train we are comparing it is the terminals
@lennysiambe-xb5fh7 ай бұрын
David. You. Are. Faking. And. Stupid. I. Am. In. Kenya🇰🇪🤬
@Daniel-jb5ud7 ай бұрын
I love kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@theophilmawe97767 ай бұрын
Bongo ndio namba 1
@ChrisZLC9 ай бұрын
Correction: That is not Makutopora station, it is Dodoma train station.
@DanielDwasi-i4n4 ай бұрын
We utakuwa ni raia wa kenya maana mnapenda sifa za kishoga shoga hiyo terminal ya Nairobi ni sawa na terminal ya mabasi ya magufuli
@josephcyprian23229 ай бұрын
Stesheni ya dar es salaam mbona iko poa zaidi ya zote au watazamaji hatuoni vizuri😢
@PeterMasala-gh5np5 ай бұрын
Tanzania is marching faster towards Development
@ARIELLAMITCH9 ай бұрын
❤❤Lovely ❤❤❤
@boniphacenyuma35377 ай бұрын
Ya kwanza ni ya Dar, then Mombasa, dodoma mwisho Nairobi
@GianniBarberi6 ай бұрын
Standard and narrow gauge on same track?
@oracled12397 ай бұрын
Stop miss informing us! Our eyes can see for ourselves. Dar es Salaam Station is the best and not Nairobi. There is a bus station in Dar es Salaam Ubungo, that is better thana Nai Station
@kambamazig020247 ай бұрын
What were your criteria for ranking these stations? There so many different components that do not fit in one category!
@nestaflix9 ай бұрын
Mombasa is more beautiful than Nairobi.
@RiadAhmed-ce6qo7 ай бұрын
Billion dollars infrastructure wow
@imaniLameck-fd4eb7 ай бұрын
we mwongo sana ibiris shetani mkubwa unavuta bangi ya Dar es salaam ndiyo ya kwanza ya pili mombasa ya tatu Nairobi na comments za wengi wameikubari Dar es salaam kwenda zako nenda ukashindanishe wakulima shambani
@omarybakunda25549 ай бұрын
Wewe ni liongo sana treni ya Tanzania inakimbia sana kuliko zote
@RobinsonOdongo9 ай бұрын
Kweli kusoma ni kuzur hawajasema ni tren hii tren station
@francisakatsa31789 ай бұрын
Kizungu ngumu
@sylvestercameo62639 ай бұрын
Masikini lugha ya kimombi imekuoiga chenga, shule za watu wazima bado zipo kasome! Kinachoongelewa hapa ni vituo (terminals) vikubwa, vizuri na vya kisiasa vya reli SGR, si mwendo kasi wa treni!
@joshateka13967 ай бұрын
Kenya stations have been in use for 7 years now but Tanzania's aren't yet ready
@kelvinmoses52329 ай бұрын
That's not makutupora SGR station it's DODOMA SGR station... 😂
@jamesjerome94764 ай бұрын
He need to be informed😅 Hana data, hajui anachofanya na kusema
@dogobonge9 ай бұрын
KARIBU BONGO😂🤷🏾♂️🇹🇿
@JumaFakki6 ай бұрын
Terminal zetu za bongo zimejengwa kwa maana maalumu hatujengijengi tu
@Assu89Ma2ly-xt4np7 ай бұрын
We wa wapi wewe!!? Dar es salaam Tanzanite station is the best of east and central africa
@musaissa46935 ай бұрын
1 dar es salaam
@israelifissoo21417 ай бұрын
bro which station
@wilsonmwamuramwamura19539 ай бұрын
Mombasa is the best terminal
@AbdulMussa-ff9yl6 ай бұрын
😂😂😂 ok comando am filling your content
@Suleiman_914 ай бұрын
Public Transport to bamburi from there ni ngapi
@kevinmoks-uo1yt9 ай бұрын
Mombasa is the best...
@maulidmaonyesho36105 ай бұрын
I think Kenya SGR train is use bettery coz I don't see any electric line nere the relway
@Userof-d4b7 ай бұрын
In coorperation with China?
@sunrisecity12129 ай бұрын
Longest tunnel next
@yaakellymkutano77579 ай бұрын
Hukuelewa comparison si Train gani inaenda mbiyo ok comparison ni Train Station ni Best
@maulidmaonyesho36105 ай бұрын
Sasa unazani sis wasafir tunakaa station ss TREN tu bwana
@omarkeya54749 ай бұрын
U mess out number 1 is mombasa.this terminal is best then all.
@denniskimani59669 ай бұрын
Are you a Tanzanian?
@zuberytragez72747 ай бұрын
Ya Daresalam ndo kali mno
@mbuerecarlos13962 ай бұрын
This is not nomal you can’t compair the Railway Station of Dar es Salaam and Kenya .We know you people . Wen you compair the best Train in East Africa or Citys you always put Tanzania the last or the forth etc but why. Even the Airport Tanzania is the last . But we see other airport is liking on the roof but is the first class why this. But now God is showing you the truth that Tanzania is one of the best Erectric Train Airport ,Ship etc . Hii inaonyesha Anaye fanya ayo ma competition Anawivu na Tanzania MTAISOMA Number. Acheni Wivu .Sasa tuna TRAIN za gorofo zinaanza. Ukijiinua Unashushwa. Tunawatizama yetu ni macho, Simba mwenda kimya ndio… Ajikwezaye atashushwa.Eti Hawajui kingereza kimewasaidia nini.Mwingereza anafukuza ata uzungumze kingereza hawakutski black.Badirika ndugu wewe Mungu hataki hivyo. Tumewachoka na macompetition yenu ni ya kiwivu .Upendeleo ubinafsi mtupu sasa Mnahaibika . Acheni wivuuu
@modenasayi7 ай бұрын
Rubbish comparison Tanzanian stations and trains leads here
@ricardoortizqomboc21849 ай бұрын
DIESEL ENGINE BUT SUPERIOR AND SUPERP
@emmanuelchiza77339 ай бұрын
Wakenya wasenge sana wanawivu sana na maendeleo ya Tz iyo nairobi terminal unazidiwa na Magufuli bus terminal DSM😂😂😂😂😂
@imaniLameck-fd4eb7 ай бұрын
kwanza Nairobi yamwisho
@deepsea-x9 ай бұрын
Mombasa terminus beats them all in my opinion.
@kwisa48999 ай бұрын
ur not rit
@ShanellyNainai-zd3kr17 күн бұрын
And this too you make Kenya first! 😂 Because you are Kenyan
@Nedjadist7 ай бұрын
HUU UTOTO WA KUSHINDANA KWA VITU MLIVYOTENGEZEWA UTAKWISHA LINI? SIONI POINT. sSI NI FEDHA TU, UTAJENGEWA UTAKAYO? KAMA MAINJINIA WANGEKUWA WETU, HAPO TUNGESHINDANA. UPUUZI TU.
@DotiVirtuoso7 ай бұрын
nyinyi wabongo kizungu kidogo inawapita lakini sio ujinga ya kupenda kwenyu. anaongea kuhusu terminus na sio train. ama namnagani watu wa suluhu? train ya kwanza ni ethiopian😃😆🤣😂wacheni nyege mingi
@ardisyah59319 ай бұрын
Di Afrika Timur..dsk.. hanya Somalia.. negara yg tak berubah kondisi,. nya politik ekonomi.. infrastruktur..,, kasihan.. mengapa China tak ..bisa investasi..di Somalia!?+&_
@BigZhumbe9 ай бұрын
Somalia wana endekeza dini kuzidi maendeleo, watu wanauana kila siku kisa dini.
@dayan_lee9 ай бұрын
Hii channel ni upuuzi tu. Inafanya comparison inabidi u Travel then ulete Conclusion. Na sio picha zenyewe tu unaokoteza mitandaoni
@tediusmakwara39319 ай бұрын
you crazy first tanzania live tribalism
@DanielDwasi-i4n4 ай бұрын
Huo ni uongo ya dar tz ndiyo namba 1 hiyo ya nairobi ni sawa na stend ya mabas ya magufur iliyopo dar tz