A single Father raising his girl BUT neighbors are against his Principles//Baba Olivia Ep 01

  Рет қаралды 441,554

Henry Mwakajumba

Henry Mwakajumba

26 күн бұрын

#GaboziGamba ambae amecheza kama Athour ni Single father ambae ana jaribu kumpa binti yake malezi bora yatakayo mfanya kuja kua mwanamke asie kua tegemezi kwa mtu yeyote, mwenye kujiamini na zaidi ya yote kua rafiki yake.
Wakati mwingine majirani wanaweza kua msaada wakati wa shida, lakini sio kwa Athour ambae kwa muda mrefu anajaribu kutoraka kifungo cha majirani zake ambao wamekua mzigo kwake.
............................................................................................................................
GaboziGamba, who plays the character of Athour, is a single father trying to give his daughter the best upbringing so that she grows up to be a self-reliant, confident woman and, above all, his friend. Sometimes neighbors can be helpful in times of trouble, but not for Athour, who has long been trying to escape the burden his neighbors have become to him.
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba

Пікірлер: 446
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa kutumia muda wako kuifuatilia tamthilia yetu ya Baba Olivia.❤❤Usisahau kutupa zawadi kubwa ya kusubscribe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-nn8xd5op7c
@user-nn8xd5op7c 8 күн бұрын
🎉
@fabianimussa6003
@fabianimussa6003 5 күн бұрын
Tuma episode 4 na zinazoendelea
@MasterRegan
@MasterRegan 10 күн бұрын
Kumbe wabongo tukituliza akili tunatengeneza vizuri, safi sana
@FaithHaji
@FaithHaji 8 күн бұрын
Gabo anajua anajua anajua tenaa😊❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 18 күн бұрын
Kazi sio mbaya 👍 # aliyeona jicho la gabo kwa mzee akitonyoa ndizi ✋
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂Asanteee, aseee una jichoo!
@beatricesalutare
@beatricesalutare 18 күн бұрын
Haaaa
@KiizaFred-zt4ol
@KiizaFred-zt4ol 14 күн бұрын
Kweli umefuatilia
@aishaomar2287
@aishaomar2287 14 күн бұрын
@@henrymwakajumba yes
@kigomasalatoga6566
@kigomasalatoga6566 7 күн бұрын
Mm mm mm mm mm C😮m😅
@vivianmusic.
@vivianmusic. 10 күн бұрын
Jamani simunipe like zangu nimejitaidi sana kuwahi hapa
@maishayetufilm
@maishayetufilm 21 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akuweke Mahali pema Mzee wangu Kolongo nakukumbuka sana Mzee... Pengo lako ni kubwa mno na umeondoka mapema mno.... Hongera sana brother @henrymwakajumba kwa kunipa nafasi kwenye filamu zako🙏🏽🙏🏽
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 21 күн бұрын
Amen, kweli alikua mcheshi sana tuli enjoy sana kufanya nae kazi mda wote tulikua tunacheka tu location.Asante kwa kujutuma pia!
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 18 күн бұрын
Yani baba baili upike mwenyewe
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 18 күн бұрын
Kwani alikufa lini jamani huyo mzee korongo
@maishayetufilm
@maishayetufilm 18 күн бұрын
@@saumodzumbo9671 mwanzoni mwanzoni mwa mwaka huu kama sio mwishon mwa mwaka jana 😭😭
@karimniyo1909
@karimniyo1909 18 күн бұрын
Heee, kumbeee alishafariki??
@OmariAbedi
@OmariAbedi 3 күн бұрын
Nikiwa south africa nimepata kufatiliya tamsiliya yenu yenye mafunzo na mafanikiyo mungu awawekeye wepesi kwenye kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 күн бұрын
Asante sana na kwako pia!
@MomaDedu
@MomaDedu 18 күн бұрын
Haka katoto cha Gabo kanajua sana ❤🎉 Kongol3 nyingi kwenu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 17 күн бұрын
Asante sana🙏🏾🙏🏾
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 15 күн бұрын
Gabo is also one of the best in the world
@patrickkalu4477
@patrickkalu4477 15 күн бұрын
Your absolutely right..... you have touched the heart of bongo movie
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 14 күн бұрын
@@patrickkalu4477 well said , thanks
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Absolutely 💯🙏🏾🙏🏾❤️❤️
@ashakizenga4379
@ashakizenga4379 15 күн бұрын
Mimi niliacha muda sana kuangalia bongo move lakini hii leo nimeipenda ❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 15 күн бұрын
Asantee❤️❤️
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 11 күн бұрын
Ni movie sio move 😂😂😂😂😂
@davidoscooper237
@davidoscooper237 9 күн бұрын
Hata mm
@shadrackmasigaTV
@shadrackmasigaTV 16 күн бұрын
Huyo mwalimu ni mrembo sana 🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Xasha_tz
@Xasha_tz 15 күн бұрын
Mary kama mary
@user-ji8gw6oh9j
@user-ji8gw6oh9j 20 күн бұрын
Goma lakwenda kabisa hili
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 16 күн бұрын
Nakupenda sana Gabo wangu MUNGU akupe maisha marefu❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 16 күн бұрын
Asante sanaa ❤️❤️ usi sahau ku subscribe basi! 🙏🏾🙏🏾
@user-pp9vz1kv9x
@user-pp9vz1kv9x 14 күн бұрын
I just love how everyone plays their part accordingly. A true masterpiece from Gabo Zigamba
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Asante sana🙏🏾🙏🏾
@MtaluraMalagi
@MtaluraMalagi 6 күн бұрын
Ur the best actor gabo, big up bro.
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 18 күн бұрын
Gabo tunakukubali sana asante sana kwa kazi nzuri ❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 18 күн бұрын
Asante sanaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Clemenceamisi-zy1oy
@Clemenceamisi-zy1oy 2 күн бұрын
Nakupenda sana kaka❤❤❤
@westonyjob1747
@westonyjob1747 7 күн бұрын
Kazi nzuli bro
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 9 күн бұрын
The next kanumba, GABO ZIGAMBA. Smart moves only
@peacemuzaliwa2563
@peacemuzaliwa2563 10 күн бұрын
Utunzaji wa mazingira muimu sana kuzingatiwa, ila Machupa ya plastic ayachomwi moto ovyo. Ongereni kwa Kazi nzuri
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
Asante
@WilliamsBIRIKURE
@WilliamsBIRIKURE 23 күн бұрын
Zigamba kbsaaaaaaa unatisha kbsaaaaaaa ❤❤❤❤tupe ngoma kali
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 22 күн бұрын
Zinakuja we subscribe tu, kila wiki Episode mpya!
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 16 күн бұрын
Hii move niyamdagan siniliskiya huyu mzeee kongoro amefariki
@P4Principle
@P4Principle 10 күн бұрын
itakua ni kitambo kdogo
@SAFIAFOMAR
@SAFIAFOMAR 6 күн бұрын
Kongoro sio korongo. Yes ameshafariki
@djfunk255
@djfunk255 20 күн бұрын
I really love it 😍 you are the best 💞 Gabo more fire more blessings 😊
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 20 күн бұрын
Asante sana! Keep watching the coming episodes!🙏🏾
@elsabio11
@elsabio11 3 күн бұрын
Ndio kwa swali lako la mwisho😂
@matanoathman
@matanoathman 18 күн бұрын
Gabo always ako juu Allah ampe maisha marefu hana umbambamba
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 18 күн бұрын
Aminaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@RizikiZiki
@RizikiZiki 17 күн бұрын
Amin
@MariiaLandik
@MariiaLandik 5 күн бұрын
Jamaa namkubali Sana ! Alafu hana majigambo . Gabo zegamba Mwamba wa maigizo Tanzania.
@Naahlyan
@Naahlyan 17 күн бұрын
Ivi kunawatu wanatabia kama yangu, iih movie nimeiyon umu nikaipoyezea nmeingia tiktok mtu kapost nmeipenda nimeludi kuitafuta.nizur sana
@AsnatLikangamotto
@AsnatLikangamotto 16 күн бұрын
Mimi hapa ivy0 ivy0
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 16 күн бұрын
Mm nilijua ya kizunguu🤣🤣🤣🤣
@AshaKhamis-co8uj
@AshaKhamis-co8uj 15 күн бұрын
Mi ndio nimefika hapa
@justinageorge6587
@justinageorge6587 15 күн бұрын
Ndo natoka tiktok
@Faitadenis
@Faitadenis 15 күн бұрын
Ata Mimi Nilipuuzia
@husseinbigga8021
@husseinbigga8021 11 күн бұрын
Inawezekana kutumia kiswahili mwanzo mwsho bila kuchanganyachanganya👍.. Lugha safi❤
@mafiatouristsattractions2417
@mafiatouristsattractions2417 17 күн бұрын
Goma kali sana gabo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 17 күн бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
@mathewmutinda7824
@mathewmutinda7824 5 күн бұрын
Gabo kazi zako zuri sana naipenda character Yako natamani siku Moja kuigiza pia
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 13 күн бұрын
Keki ya mtoto mdg😂😂😂
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 13 күн бұрын
Semaji mwalimu kanyoooka mnoooo ❤
@davidoscooper237
@davidoscooper237 9 күн бұрын
Jaman gabo Asante kwa hii zawad move bomba kabisa
@EmillyMilly-up7rh
@EmillyMilly-up7rh 20 күн бұрын
Hongereni Sana tamthilia tamu🎉🎉🎉❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 20 күн бұрын
Asante sana! Kila juma tatu episode mpya!!
@revocatuspeter-ky4gx
@revocatuspeter-ky4gx 10 күн бұрын
GABO big up bro God Bless you
@user-id9pe9jj1u
@user-id9pe9jj1u 19 күн бұрын
Bro ujawayi kufel safi sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 19 күн бұрын
Asante sana! Kaa mkao wa kula juma tatu hii!
@JaphetyMwashilindi
@JaphetyMwashilindi 8 күн бұрын
I appreciate you gabo♥️♥️👍👍👍👍👍 napenda move zako zote
@HassanTule
@HassanTule 17 күн бұрын
Mwamba namkubali sana uyu
@kishanakamendu8160
@kishanakamendu8160 15 күн бұрын
This is top tier quality content even the picture quality is amazing i hope you get the recognition you deserve hongera sana❤
@patrickkalu4477
@patrickkalu4477 15 күн бұрын
Absolutely right
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Wow, thank you 🙏🏾🙏🏾
@margretnjuguna2949
@margretnjuguna2949 19 күн бұрын
Kenya watching
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 19 күн бұрын
Thanks stay tuned for more episodes 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-kh1hc8ux2e
@user-kh1hc8ux2e Күн бұрын
Vizuri pamoja 🤝
@renatusmwanakatwe-gl9xb
@renatusmwanakatwe-gl9xb 12 күн бұрын
Hongera kaka Gabo kazi nzur na asante kwa Darasa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Shukran sana🙏🏾🙏🏾
@uiptv365
@uiptv365 21 күн бұрын
The story is so touching, what a masterpiece 💪🏾💪🏾🙌🏽💯. Tunasubiri upcoming episodes kwa hamu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 21 күн бұрын
Asante sana sana kwa kuangalia, Kila wiki kutakua na episode mpya!
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 9 күн бұрын
Ila mm napenda movie za gabo hatari 🔥❤
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 13 күн бұрын
Mzee anamaliza ndizi tu... #nahis huku ni kilimanjaro
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 15 күн бұрын
I😂😂baba oliva bahili hayabana 😢😢innalilah wainna lillah rajoun mzee korongo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Amina ❤️❤️🙏🏾🙏🏾
@cuthbertadam9694
@cuthbertadam9694 14 күн бұрын
Am looking forward to the next episode brother Henry
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Asante kaka! Inakuja J3! 🙏🏾🙏🏾
@AmiriMchikirwa
@AmiriMchikirwa 15 күн бұрын
Nimefrai kumuona Mwanangu kabisa Dude
@lidoxmnyama5455
@lidoxmnyama5455 15 күн бұрын
Movie kali sana but Production Departments wamefeli sana kazi inapoteza mvuto
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 15 күн бұрын
Ni kitu gani kimefeli ili tujirekebishe hapo badae?? 🙏🏾
@MREVENTPLANNER-gy4di
@MREVENTPLANNER-gy4di 9 күн бұрын
Kazinii nzuriii sanaaa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
🙏
@happytaiko2094
@happytaiko2094 20 күн бұрын
Nzur mno hongera nyingine lini
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 20 күн бұрын
Asante sana! Usikose mwendelezo kila wiki share na uwapendao!🙏🏾🙏🏾
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 11 күн бұрын
Olive Yupo vzir sana😂😂😂
@xwabiesabasi4414
@xwabiesabasi4414 2 күн бұрын
Nimekujaa kukasikilizaaa haka katotoooo2 😂😂
@JamaliAbass-pd3nq
@JamaliAbass-pd3nq 9 күн бұрын
Hii ndio movie best Kwangu mwaka huu❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@HassanSeif-mh6oh
@HassanSeif-mh6oh 13 күн бұрын
Gaboo Icho kibanda hapo polin unamuuzia nan 😂😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Utaona tu kwenye episode zinazo endelea subscribe usipitwe😂😂
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 12 күн бұрын
😂😂😂
@elnazjackson7286
@elnazjackson7286 21 күн бұрын
Mungu atufikishe juu zaidi
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 21 күн бұрын
Amen, na asante sana kwa kuangalia.Tafadhali share na uwapendao!
@wizzo2684
@wizzo2684 6 күн бұрын
Movie kali sana
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 14 күн бұрын
Kazi safi wapendwa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Tunashukuru sana!
@mapenzifamily6746
@mapenzifamily6746 Күн бұрын
Nakubali sana
@MwaiholaCompany
@MwaiholaCompany 5 күн бұрын
I move mbaka namkumbuka kanumba quality yake
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 8 күн бұрын
Kiukweli naipenda sana hii elimu ya moja kwa moja nimeipenda from Zanzibar.🎉🎉🎉🎉❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 7 күн бұрын
Asante saaana 🙏🏾🙏🏾
@PachaKisali
@PachaKisali 5 күн бұрын
gabo upo vizur sana ongela kaka
@malyajmpondompondo381
@malyajmpondompondo381 18 күн бұрын
Gabo ujawahi kufer kaka kazi nzur sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 18 күн бұрын
Asante sana!! ❤️
@user-vb8ql6hn3r
@user-vb8ql6hn3r Күн бұрын
Iko na message nzur sanaa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 17 сағат бұрын
Asante sana!🙏🏾
@SalimKhamis-mw4nh
@SalimKhamis-mw4nh 8 күн бұрын
Huyu jamaa fundi Tanzania mzima❤
@necoboytz
@necoboytz 11 күн бұрын
Bonge moja la kamba
@DoriceSanga
@DoriceSanga 4 күн бұрын
Mmetishaaaaa mama jemsi english yake😂😂😂😂
@kizurikinaua2242
@kizurikinaua2242 Күн бұрын
Safi sana
@mwajumamshamu8006
@mwajumamshamu8006 14 күн бұрын
10:26 hapo kwenye kuomba viungo vya cake😂😂😂😂. Ila wewe ni baba wa mfano kwa kweli
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 13 күн бұрын
😂😂😂
@salimNdendya
@salimNdendya 13 күн бұрын
Daah hii muvi tamu sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Shukran 🙏🏾🙏🏾
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 17 күн бұрын
Daaaah! Sema Bro unajua Sana aiseeee! BD cjakupatia mshindani.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 17 күн бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
@user-km3lw9hm1c
@user-km3lw9hm1c 20 күн бұрын
Keep it up Gabo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 20 күн бұрын
Thanks 🙏🏾 🙏🏾🙏🏾
@hawaomar5814
@hawaomar5814 14 күн бұрын
Nzrii san
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 14 күн бұрын
Shukran 🙏🏾🙏🏾
@hatangafelix5598
@hatangafelix5598 17 күн бұрын
Gabo you inspire me so much ❤ 💖 💓
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 17 күн бұрын
Happy to hear that!🙏🏾🙏🏾
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 13 күн бұрын
Dah inasikitisha
@smartactors-od4nb
@smartactors-od4nb 13 күн бұрын
Kazi nzuri jamn ❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
❤️❤️ Asante!!
@MwaiholaCompany
@MwaiholaCompany 5 күн бұрын
Si mpenzi wa move za kibongo ila kwa Hii move sitaichoka
@izmiruebel8190
@izmiruebel8190 Күн бұрын
This guy is kind of cool how he gets the recipe for the cake. :)
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Күн бұрын
😅😅
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 4 күн бұрын
Karegeya Kama Mlenda
@MasterRegan
@MasterRegan 10 күн бұрын
Bonge la movie 🍿 much respect
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
Asante sana!
@MOHAMEDSALEH-fl7kb
@MOHAMEDSALEH-fl7kb 12 күн бұрын
Movie kwakweli Ni Nzuri na Inaonesha vile uzalendo wetu wa Kitanzania ulivyo. Kila mtu anayoifahamu Kiswahili / Kingereza utaiyelewa vizuri. Hongera Kwa producer na Actors . Everyone has played their role well and congratulations to all of you. Please keep up . From Mohamed ( Ndola Zambia )
@user-lw7ut4qe2y
@user-lw7ut4qe2y 11 күн бұрын
Nzuri kwakweli muendelezo tafadhali
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 11 күн бұрын
Asante sana Mohamed!🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Husseinmohammad446
@Husseinmohammad446 12 күн бұрын
Nakushukuru kwa kazi yako ilivyonoga
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 11 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AnnasiaMoses
@AnnasiaMoses 7 күн бұрын
❤❤❤ nzur sana
@BouprainPhilippe
@BouprainPhilippe 3 күн бұрын
Vip Kaka
@Queenm710
@Queenm710 11 күн бұрын
Nice one
@asinallyasinally
@asinallyasinally 2 күн бұрын
MR WEWE N BORA KWEL UNATUSAIDIA
@marywanyika6924
@marywanyika6924 9 күн бұрын
Masterpiece
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 7 күн бұрын
Thanks 🙏🏾🙏🏾
@user-mh9mt9ky3g
@user-mh9mt9ky3g 13 күн бұрын
Jamn sehem ya tatu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Juma tatu hii kaaa mkao wa Kula!
@ramlifeofficial6568
@ramlifeofficial6568 13 күн бұрын
Safi sana Kaka.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Shukran mzee!🙏🏾🙏🏾
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 16 күн бұрын
Ovi Kali San iii
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 16 күн бұрын
Asante sana, usi sahau ku subscribe ni zawadi kubwa kwetu!
@naturelle1097
@naturelle1097 16 күн бұрын
Nicee production
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 15 күн бұрын
Thanks 💯
@Msomal47
@Msomal47 14 күн бұрын
Nice
@JacklineMakule-id8hn
@JacklineMakule-id8hn 13 күн бұрын
Kaka kazi nzuriii mnoo mnoooo huna bayaaa hiii moviii imetoka sasa hv au inamdaaa ulikua hujaiweka sokoni??
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 12 күн бұрын
Asante sana! Tutakuja na behind the scenes utapata story ya kusisimua kuhusu hii tamthilia.
@DaudMuhammedDjuma
@DaudMuhammedDjuma 11 күн бұрын
Duuh movie nzuri hivi ndo season one au tuambieni wanaojuwa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 11 күн бұрын
Wala hujakosea hii ni season 1, kuna Episode nyingi zinakuja, Tafadhali subscribe usipitwe!🙏🏾
@yusuphally6939
@yusuphally6939 2 күн бұрын
Good job 👊
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 күн бұрын
Thanks ✌
@P4Principle
@P4Principle 10 күн бұрын
nice work homeboy mwaisa. naskia sound za muvi katka quality ya hali ya juu
@Devo_xoxo2
@Devo_xoxo2 18 күн бұрын
Mwendelezo jaman
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 18 күн бұрын
Kaa mkao wa kula siku ya leo!
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 9 күн бұрын
Great job director.....
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 9 күн бұрын
Thank you!🙏🏾
@AfricanaPHILDFilm
@AfricanaPHILDFilm 7 күн бұрын
Iko sawa hii
@StevenMui-xd3fl
@StevenMui-xd3fl 14 күн бұрын
Safii
LOVE IS BLIND
1:22:17
hemedy chande
Рет қаралды 134 М.
Whyyyy? 😭 #shorts by Leisi Crazy
00:16
Leisi Crazy
Рет қаралды 18 МЛН
FOOTBALL WITH PLAY BUTTONS ▶️❤️ #roadto100million
00:20
Celine Dept
Рет қаралды 19 МЛН
Which one is the best? #katebrush #shorts
00:12
Kate Brush
Рет қаралды 18 МЛН
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 13 МЛН
STEVE MBONA UNAMUANGALIA HIVYO SHEMEJI YAKO UNAMTAKA
14:18
Mweusi Family
Рет қаралды 1 МЛН
MALAYA NDOIGE (PART 01)
11:24
ASMA COMEDIAN
Рет қаралды 1,9 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,6 МЛН
TAUSI | FILAMU | MARIAM ISMAIL {PART 1}
32:38
Kiatu Films
Рет қаралды 17 М.
GABO & Jenifer Kwaka, BIG SUPRISE 1A. !!  2021
33:26
Bongo Cinema
Рет қаралды 949 М.
HAJUI KUPIKA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 649 М.
Ach nein! Meine Zähne sind ausgefallen 😂 #Krankenhaus #Streich
0:15
SKITS German
Рет қаралды 4,7 МЛН
9999 iq guy 😱 @fash
0:11
Tie
Рет қаралды 6 МЛН
Mr. Krabs's Regret #spongebobexe #shorts
0:11
ANA Craft
Рет қаралды 37 МЛН
Кәріс өшін алды...| Synyptas 3 | 10 серия
24:51
kak budto
Рет қаралды 1,3 МЛН
Bienvenido el verano #chicky #niños #shortsvideo #fail
0:13
¿Dónde está Chicky? - Dibujos Animados en español
Рет қаралды 7 МЛН