MARKAZ OMAR IBNUL KHATWAAB JANGWANI K/KOO NI MAHIZBI

  Рет қаралды 4,102

ABUU AMMAAR

ABUU AMMAAR

Күн бұрын

ABUU USAAMAH (KHAMYS IBN AME)حفظه الله

Пікірлер: 37
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 7 күн бұрын
Tuna Mtihani Sana Wallaahi .. MWEVULI WA SUNNAH UNAVUNJWA KILA LEO .. Tahamaki, tutasalishwa na MASHIA .. Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raaji'oun 😢
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 ай бұрын
Hahaaaaa😂 hajawirah ndo kamaliza hoja hapo duuh hatar eeh hamis ame huyo boss la mahajawira lililopinda
@abdallajuma0587
@abdallajuma0587 5 ай бұрын
Mahajawirra Allah awaongozee
@Manywele.Maluja
@Manywele.Maluja 10 күн бұрын
Mabaraamika hawapendi ukweli na kila siku wanazidi kupinda na kurudi kulekule kwa answari ssuna na wao kwa kuwa wanaendeshwa na matamanio basi wanajiona wapo sawa allahumostaghaan.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 күн бұрын
Nyi wote wapotofu tuuh! Hamna usalafi kitu kikundi cha mafezuli bhasi, hampo katika hakki ndomana mnabidaishana ovyo ovyo tuh! Arafu unasema et baramika wanarudi kwa answari sunnah kwani umeona answari wanamagomvi Kama ninyi jadida?? Unaosema ww wamepinda shkh.fawzan anafatuwa yake kawasifia, katika jumuiya ilobaki salama ulimwenguni answari,wanakataza shirki,na bidaa na kueneza tawheed Ni katika jumuiya Bora ilobaki ulimwenguni kwa sasa.mbona alitajiwa jumuiya salafi ,jamat tabligh, nk akusema salafi ndo jumuiya Bora kwahiyo mnajitahidi kuwapindisha watu,bila dalili wanazuoni wakubwa wanawakataa nyie fukuzaneni tukananeni wenyewe kwa wenyewe answari msiingize answari bakieni na chama chenu hiko tukananeni wenyewe kwa wenyewe answari Awana ujinga huoo msiwaingize kwenye magomvi yenu ya kijahli.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 күн бұрын
Nyi watu😂😂mnachekesha xana Allah awaongoze kwakweli kwa nje mtu atajuwa mpo na hakki lakini hakki iko mbali na ninyi kabisa kutukana wenyewe kwa wenyewe mmefikia mpasuko Sasa situna ruddi kule Allah aliposema Wala takunu Minal mushirikina Mina ladhina faraku dina hum wakanu Shia kulu hizby bi maladey farihun_ msiwe Kama washirikina walioigawanya dini yao makundi makundi, kila kikundi kikafurahia kwa Yale walokuwa nayo. Sasa tukiangalia nyi mnaojinasibisha na usalafi saivi mmeshajigawa vikundi vingi na Aya hii Allah amekata makemeo kwa watu mfano wa hawa wanaogawa dini yao makundi makundi na ninyi tunaona mnataka kuwa Kama hawa, alowataja Allah maana kila kikundi kinaxema wao ndo salafi, wengine hizby duuuh! Allah katupa mtihani kweli zama hizi.
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 5 ай бұрын
Haadakumullah mahawajawira
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 2 ай бұрын
Rais wa mahajawirah Tanzania afufuka na jipya 😂😂😂
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz Ай бұрын
Majidi abdi nawewe nanani aliekuia sufi
@abdallajuma0587
@abdallajuma0587 5 ай бұрын
Mahajawirra nyie
@JumaKaimu-ci3lg
@JumaKaimu-ci3lg 4 ай бұрын
Mtihani sana. Ila mtakwenda kujibu mbele ya Allah mnawachananganya sana Waislamu nakuwapa nguvu Makafiri.
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 4 ай бұрын
unachanganywa nini,? kwni wewe husomi na haki huioni?
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 5 күн бұрын
😂😂😂. Watu waovu ndio walivyo wao Kwa wao wanapigana vijembe na kutowana katika usalafii 😂😂😂
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 күн бұрын
Daah kikundi hiki kimefikia kubaya sana yani wanatoana katika dini kirahisi hivi hawa jamaa bado hakki ipo mbali nao japo kwanje utasema wapo na hakki
@AbdallahSadiki-z4b
@AbdallahSadiki-z4b 14 күн бұрын
HAHAHAHA... MAHAJAAWIRAH BHANA.
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz Ай бұрын
Hawa ni mahajawira ila washaanguka
@Jureyji
@Jureyji 24 күн бұрын
Hawajaanguka
@selemanimkupaya3029
@selemanimkupaya3029 2 ай бұрын
Hajaawiratul ghulaat😂😂
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Mi kwa mtazamo wangu ansari sunnah wapo sahihi zaidi na wanafata usalafi wa kweli kuliko hawa. Jamaa wanaotoana kwenye usalafi kila siku wao kwa wao mimi, nilijuwa hiki kikundi kipo karibu na hakki lakini usalagfi upo mbali na wao sabu sioni maansar wakitukanana wao kwa wao na kutoana kwenye dini kama hawa jamaa kwamba fulani hizbi fulani so mtu wa sunna khawarijji fulani sijui mtu wa bidaa kitu hicho ndo kimenifanya nichunguze vzr nkagunduwa ansari sunnah wako vzr kufata usalafi sabu wanapendana wao wao hawatoani awa tukanani kama hawa kingine kilichofanya nigundue hiki ni kikundi tuu so salafi wa kweli ile fatuwa ya shekhe utheimini kasema kuwa kuna vikundi vilivyoibuka zama hizi akataja jamaat tabligh,ihwan muslim, na sallafiyu hiki kikundi kimeibuka zama hizi ukiona hivyo we kiweke pembeni shika quruan na sunnah.arafu kilichofanya nigundue hawa wasanii shekhe kataja dalili zao na ndo wanazo hawa jamaa kiukweli usipojuwa utajuwa wapo karibu na hakki kweli
@abdulsalum9698
@abdulsalum9698 2 ай бұрын
Jaahili ww na shekh wako, dini ni dalili so mtanzamo
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
@@abdulsalum9698 dalili zindo hizo shekhe utheiminy kazitoa moja ya kujuwa kikundi kiicholeta fitna zama hizi katika safu za ahlsunna na katoa dalili nyingi nikisona kila dalili zinawaangukia nyie na sifa mnazo shekhe kasema kuwatoa watu katika suunha dalili hiyo mnayo kweli kuwabaadij wengi katika ahlsunna walinganizi wa sunnah mmewajwruhi hawwjasalimika na kikundi hikki,dalili ingine shekhe anasema kuwatia watu upotevuni fulani khawariji fulani so mtu wa sunnah, shekhe aliulizwa Sasa ikiwa mtu khawariji kweli au mtu wa bidaa kweli tusiwaite akajibu laa hapana hatujakusudia hivyo wangekuwa wanawaita watu wanaostahili kuitwa tusingewapinga, dalili ingine shekhe alisema salafi Ni yule kila atakae shika na kulingania kitabu na sunnah na wema walotangulia huyo bila shaka huyo Ni salafi hata kama kama hata jiita huyo kwa dalili hizo yatosha kusema yey Ni salafi, dalili nyingine alotaja shekhe wanakawaida ya kung'ang'ania Rai ya shekhe wanaomtaka wao ukienda kinyume nao we so salafi hizbi. Madamu umetofautiana nae Rai za mashekhe ukasema minafata Rai ya shekhe fulani aso mtaka yeye we so salafi hizbi kingine shekhe katahadharisha kasema ukiona dalili hizo weka kikundi hicho pembeni we shika qurruani na sunnah za mtume na mwendo wa wema walotangulia inatosha kuwa salafi hata kama hutojitangaza ww ni salafi tuna mshukuru sana shekhe kutubainishia maana tulikuwa tunapata taabu kweli na hili kundi, vurugu mtupu kumbe shekhe kabainisha haki bwana kuna kikundi kinachojiita salafi na kunanjia ya usalaffi weka kikundi pembeni shika njia ya wema walotangulia Allah amrehemu shekhe wetu uko alipo arafu kingine usalafi ni miongoni mwa majina tuu, Sabu yamekuja majina mengi kisheria Al hurabaa Al hadithi, filkatu najjia, a tawifu mansura ,sunna wali jammaa, Ansari sunnah Ni majina tu hayo yalokuja kisheria,lakini yote Yana mlengo mmoja sunna Wal jamaa, issue ni matendo na so jina lengo mtu anafata kitabu na sunnah
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 13 күн бұрын
​@@abdulsalum9698kila kitu dalili.. KAAFIR wewe salaf uvundo 😂😂
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 5 күн бұрын
😂😂😂 kipimo kipoo Cha wenye akili ,ukiona watu wanagombana wao Kwa wao na kutukanana basi ujue hawapo katika hakki na ndivyo walivyoo Hawa masalafi ndio tabia zao chafuu hasaaa za kutukana wenzao na kuwakufurishaa na hujiona wao tu ndo wapo katk hakii
@majidiabdi424
@majidiabdi424 3 ай бұрын
Allah hajatwagiza Tue MASALAFI wala MTUME wake. Enyi Wanachama CHA kisalafi - Mnaotangaza USALAFI - Ninani alie kuijieni Na USALAFI ?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Usalafi ni njia ya wema waliotangulia na ni wajibu kila muislamu afate mfumo huwo sema Hawa jamaa wamekuja na ( ni majadida) yani hawajafahamu vzr maana ya usalafi ukisoma vitabu wema walotangulia walivyoishi katika usalafi wao tofauti na hawa jamaa wamekuja kujaribu man hajji salafi na mipito yao inajinasibisha na usalafi ila usalafi upo mbali na wao mambo yao mengi so ni kikundi kilicho jikusanya kikajinasibisha na salaffiyu ukienda kinyume na wao tuu ww so salafi madamu mtatofautiana masula madogo madogo lakini wao wamejiweka kivyao vyao aso kuwa katika wao we so salafi mala hawarijji,kwahiyo wepesi kutoana katika njia
@muuminiabubakari6985
@muuminiabubakari6985 Ай бұрын
Kwani neno salafi kwa kiswahili lina maanisha nini?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@muuminiabubakari6985 usalafi nikufata kitabu na sunnah na ufahamu wa wema walotangulia mtu huyo Ni salafi
@user-zf9ee1us6p
@user-zf9ee1us6p 3 ай бұрын
Kwa ishara ninazopata kupitua miaamalaati yenu, niina wasiwasi sana Masalafy bado hamjui mnachokitafuta kwa ujumla.
@user-zf9ee1us6p
@user-zf9ee1us6p 3 ай бұрын
NA Kama munajua basi NINYI NI katika wanaotumika vibaya ktk DINI.
@Assalafiyyah637
@Assalafiyyah637 14 күн бұрын
Mtizamo wako huu unakupoteza wewe mwenyewe wewe ndo hujielewi kabisa
@banihashim5347
@banihashim5347 5 ай бұрын
JAMENI SASA TUFWATE SALAFI GANI????😅
@majidiabdi424
@majidiabdi424 3 ай бұрын
Kwani Allah alikwaagiza kuwafata WATU na Vyama VYAO ? Uliagizwa kuifata QUR'AN,MAAGIZO ya MTUME ( S A.W ) achana Na Vikundi VYAWATU. Allah Alitutaka Tue WAISILAAM - hakututaka tue MASHIA Wala MASALAFI wala MIIBADHI wala Wala......😅
@yaqubjuma7137
@yaqubjuma7137 2 ай бұрын
نسأل الله السلامة والعافية في الدنيا والآخرة
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Fata quruani na sunnah ufahamu wema walotangulia mimi kwa mtazamo wangu naona maanswari sunnah wapo vzr kufata usalafi wa kweli kuliko hawa sabu kuna man hajji salafi kama njia ya wema walotangulia kuna kikundi kinachojinasibisha na usalafi ndi Hawa jamaa wao kwa wao wanakurana sabu wameacha njia sahihi wakabuni kikundi chao kinachojinasibisha na usalafi na ukiangalia utasema kweli wapo kwenye hakki lakini matendo yao yameutupa usalafi, huu mfumo wa kutoana katika sunna so sahihi na so mwendo wa wema walotangulia mtu aloshika sunnah anapokosea kidogo unamkosoa tuu, na kwanza inatakiwa umrekebishe ila hatolewi kwenye man hajji ya usalafi ni makosa akuna binadamu alokamilika,ukiwasoma maswahaba walipendana japo baadhi ya mambo walitofautiana lakini waliswali pamoja walikula pamoja walolingania sunna za mtume kwa pamoja hawakotoana katika njia ya hakki kisa mwenzao fulani alikosea kidogo ndo umtoe kwenye salafi laa huo so mwendo wa wema waliotangulia shekhe, sasa kingine kilichofanya nisiwaamini Hawa kuna fatuwa ya mwanazuoni mkubwa saudia shekh. Salehe utheiminy ndo nkafanya nijue kabisa usalafi so huu kuna kikundi kinachodai usalafi na kuna salafi njia ya wema walotangulia weka pembeni kikundi hicho shika njia quruani na sunnah kisikushughulishe hiki kikundi,na kataja dalili zao na kila dalili alizotaja wapo nazo Hawa jamaa hapo ndo nkakinai na maneno ya shekhe kuwa tushike njia ya wema walotangulia quruani na sunna tuachane na kikundi kinachojiita saffiyu wazungu wanasema no comment.
@Assalafiyyah637
@Assalafiyyah637 14 күн бұрын
Kaeni chini msome kila siku tufuate kundi gani hili swali linakariri sana kumaanisha hamtaki kusoma dini yenu ili mpate kujielewa Wallaahul mustacaan
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 14 күн бұрын
@@Assalafiyyah637 mi nimesoma nimeeleewa kundi la kufata ndomana sibabaishwi na mtu,
Live Hafla kwa Wanao Hitmu   : Masjid Omar  Ibn Khatwaab K/koo Dar es salaam Tz
22:03
Masjid Omari Online Tv
Рет қаралды 1,4 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
WANAOCHAFUA USALAFI NI MASALAFI WENYEWE || ABU MUAWIYA.
1:14:00
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 6 М.
KWANN QASSIM MAFUTA HATAK KUKUTANA NA NDUGU YAKE ABUU MUAAWIYA
42:58
الوسطية
Рет қаралды 10 М.
RADDI KWA ABDALLAH HUMAYDI 🅱️, USTADH ABUU ZAGAR حفظه الله
27:15
قناة الحق منصور
Рет қаралды 960
JE, NI IPI TOFAUTI BAINA YA SALAFI NA ANSWARI SUNNAH?
3:00
atharusalafitz
Рет қаралды 1,7 М.