A - Z HALI ILIVYOKUWA ANGANI KABLA YA NDEGE KUANGUKA, RUBANI ALIONGEA HAYA, ALIYENUSURIKA ASIMULIA

  Рет қаралды 527,078

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

A - Z HALI ILIVYOKUWA ANGANI KABLA YA NDEGE KUANGUKA, RUBANI ALIONGEA HAYA, ALIYENUSURIKA ASIMULIA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 380
@user-mf5ze5oi9k
@user-mf5ze5oi9k Жыл бұрын
Pole sana watanzania...ata kama pilot aliaga lakini amejaribu sana kusave watu,kwa kuelekeza ndege kwenye maji...kama angeelekeza nchi kavu maskin hakuna yule angelipatika..mungu awafariji mioyo kwa wale waliopoteza wapendwa wao ata ivo pia sisi wakenya tumepoteza..Mungu ailaze roho zao mahali pema.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Nasikiliza stori naumwa kichwa, naangalia jinsi maisha yanaweza kupotea ghafla. Eee Mwenyezi Mungu tujalie mwisho mwema Yarabb😭😭. Pole wale waliopoteza ndugu zao .
@mustafamfiringe1266
@mustafamfiringe1266 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun!
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@mustafamfiringe1266 🤲🤲🤲
@mustafamfiringe1266
@mustafamfiringe1266 Жыл бұрын
Fanya ibada masiku yote ili usalimike mbele ya Allah napia ujiweke tayari
@faridamohammed9366
@faridamohammed9366 Жыл бұрын
🤲🤲🤲
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 Жыл бұрын
Aisee Mungu Ni Mwema ,Kuna Watu walibeba mzigo wa MAOMBI kwa Jambo Hili.Mungu Kaingilia Kati....waliopona Ni wengi Mungu Amesaidia Sana,japo Coligue wangu , Mfamasia Mtani Njegere katutoka Pale.
@everlinekatimbwa9999
@everlinekatimbwa9999 Жыл бұрын
Poleni sana. Nimesikiliza hii story hadi nikatokwa na machozi. Poleni sana wale mulioachwa, wale muliosumbukana kwenye maji ingawa Mungu ni mwema kawaokoa nyinyi. Pole kwa mama Suluhu na Tanzania kwa jumula kwa kuwapoteza watu mashuhuri. Amani ya bwana iwe nanyi. From Kenya
@jaziranyalusi688
@jaziranyalusi688 Жыл бұрын
Nimekumbuka wimbo wa EMMANUEL MGOGO unaitwa USIPOTELEE MWISHO. 😭😭😭😭mwisho wa safar kabisaa mtu usipotarajia hata wenyeji wako umewaambia nimefika kumbe ndo mwisho wa safari yako😭 tumuombe sana Mungu 🙌🙌
@ashleymuthoni219
@ashleymuthoni219 Жыл бұрын
Inanikumbusha mamangu walitoka kusafiri na wanakijiji wenza kutoka kuhudhuria mazishi ...walipata road accident kama wamefika tu nyumbani
@aishaabdalla7624
@aishaabdalla7624 Жыл бұрын
Namuomba Rahmaan atupe ulinzi wake tukiwa safarini na atujaalie safari nyepesi na ya salama, atunusuru na kila mazito na misukosuko, tusafiri salama na tufike salama. Amin
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 Жыл бұрын
Ndg usijione ulikuwa na ujasili sana ilivyotokea ajali juwa ilikuwa ni nguvu ya uokovu wa Mungu wako
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
ni kwei lakini katanguliza kumshukulu mungu
@cosbineowino7217
@cosbineowino7217 Жыл бұрын
Hata simuamini huyu🤣🤣watu wanne walimkanyaga mabega na hakuumia
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@cosbineowino7217 itakuwa ana damu ya yesu
@swaumuramadhan9982
@swaumuramadhan9982 Жыл бұрын
Hajajiona wala hajajiskia yeye anasimuliatuu the way ilivokuwa alivoutuliza moyo na amemshkur mungu pia kwa kumfanya atulie na kusikiliza sauti ya maono yake
@brooramadhan9283
@brooramadhan9283 Жыл бұрын
Nikwer ila tambua kua mungu nisaidie uku unakimbia
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa ALLAH atawatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu, n walionusulika ktk ajali ALLAH awape utulivu n maisha marefu Inshaallah
@yussbreezy918
@yussbreezy918 Жыл бұрын
Rubani alijitoa kwaajil ya wengine for sure🙌
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Nope he put the lives of the passengers in danger.
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 Жыл бұрын
Ile mizunguko aliyoifanya angekuwa na maamuzi ya haraka angeamua kwenda kushuka mwanza. Kwa sababu hayo mafuta aliyotumia kwa mzunguko yangeweza kumfikisha mwanza. Nadhani aliishiwa mafuta kwa sababu hakuna sababu ya kuipeleka ziwani.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
@@georgematahimba5242 NAMI nafikiri hivyo... Yaweza kuwa .
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@georgematahimba5242 yawezekana kabisa.maana najiuliza kwanini hakuenda mwanza?
@hadijajaphari4550
@hadijajaphari4550 Жыл бұрын
inawezekana kweli aliishiwa mafuta,kwaio nafikir..aliona ili wajiokoe nikutua ziwani mana angeanza movement ya kuenda mwanza ingeweza hata kulipuka na asingepona hata mmoja!!kwaio kwa hapo nadhani rubani alijitoa jamani😥
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 Жыл бұрын
Huyu kaka anakauongo flani ivi wasingetoka hawa bila yule mvuvi anakauhaya uyu jamaa swala la maji nalifahamu yashatukuta sisi tulivyokuwa south africa tena mshukuru mungu ni ZIWA VICTORIA mngekuWA Tanganyika Sijui sasaivi ungenena hayo MSHUKURU MUNGU SANA TENA SANA
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Жыл бұрын
We sasha kila alie kuwa kwenye ndege ni mhaya eti kauhaya we ni mrundi nafikiri
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
@@salminasalim5630 😆😆😆😆😆
@dictarchelsea
@dictarchelsea Жыл бұрын
Unambishia?
@abuuda4754
@abuuda4754 Жыл бұрын
Hataki kumpa good time Majaliwa... Kweli uhaya ni tatizo, kupata hayo matatizo ndio kiki🥺
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
@@abuuda4754 nyie ongea tu uhaya sijui ninj aya Mungu awabaliki kwahiyo kila mtu aliyekua kwenye ndege ni mhaya au sio yaani mambo ya usiliasi mnaleta utani aya bwana yote kwa yote Mungu ni mwema
@waqotaarero587
@waqotaarero587 Жыл бұрын
Poleni sana mjirani wetu wa Tanzania kwa kifo hicho ya ghafla kutokana na ajali ya ndege waliyopoteza maisha tumwaombea Allah jannatul firdos inshaallah .waliyopata majira pia tumwaombea Allah awaponye kwa haraka inshaallah alright
@fredmamuya702
@fredmamuya702 Жыл бұрын
Poleni sana familia na ndugu mliopata msiba.Mungu mwenyewe awagange mioyo yenu kwa hakuna mwanadamu atakaeweza kuhuisha mioyo yenu.
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Жыл бұрын
Huyu kaka nimemsikiliza vzr sana Kwa haraka haraka anamaanisha Mungu hakuusika ktk uokovu wake isipokuwa elimu yake ndio imemlinda. Nakuomba M/Mungu msamehee huyu kaka maana nadhani ajali imemchanganya. M/Mungu pekee ndie aliewaokoa wote mlionusurika ktk ajali hiyo na sio kitu kingine.
@zuhurasajiliwa9655
@zuhurasajiliwa9655 Жыл бұрын
Kunywa soda kwa mamgi nije kulipa,uko sawa kabisa
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 Жыл бұрын
Umekua hakimu
@itsjacksonpaul
@itsjacksonpaul Жыл бұрын
Em Rudia tena interview ammemshukuru MUNGU kwa kumpa utulivu ambao ulimsaidia na bado amemshukuru tena MUNGU
@user-lq2xf6tc4j
@user-lq2xf6tc4j Жыл бұрын
@@itsjacksonpaul ❤️😘
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Pole sana ndugu, Shida tu umekuwa Msomi kupita kiasi, Maneno mawili kiingereza unatia.
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@witnessmsuya675
@witnessmsuya675 Жыл бұрын
All in all poleni sana tunajua huo wakati sio mrahisi ni Mungu tu ashukuriwe kwa yote. Inauma sana ndugu zetu pumzikeni salama nasi mnatukumbusha kujiandaa maana kifo ni Ibada kwa waliobaki
@rehemajumanne2842
@rehemajumanne2842 Жыл бұрын
Umshukul na mungu utulivu wako ndo nn shukul umetoka salama usituletee habar za utulivu hapa
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Жыл бұрын
Mshukuru Mungu
@zephaniamasanja1480
@zephaniamasanja1480 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwalinda walionusulika na ajali pia ailaze miili ya marehemu mahala mapema peponi
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
aise naona kama rubani alijitaidi sana jmn
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa Mola awape subra na kuwahifadhi walionusurika innalillahi wainna ileihi rajiun
@jacklinekivuyo9257
@jacklinekivuyo9257 Жыл бұрын
Pole ndugu hakika Mungu aliwanusuru ila kwa wenzetu waliopoteza maisha Mungu awapumzishe mahali pema peponi
@mwachilumokai5242
@mwachilumokai5242 Жыл бұрын
This story is so touching and everybody who was in that aircraft is a hero 👌
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 Жыл бұрын
Where and when does boy Majaliwa chip in into the incident 🤔
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Ila rubani alijitaidi sanaa
@mustafamfiringe1266
@mustafamfiringe1266 Жыл бұрын
Bora angerudi mwanza
@albertmbise2670
@albertmbise2670 Жыл бұрын
@@mustafamfiringe1266 inaonekana aliona hawezi kurudi mwanza ndyo maana alikuwa anatafuta namna ya kufanya ituwe angalu karibu na ufukwe
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@mustafamfiringe1266 itakuwa aliishiwa mafuta.
@mustafamfiringe1266
@mustafamfiringe1266 Жыл бұрын
@@ahz6907 kweli aliona mafuta machache angeunguza ndege abiria wangekufa wote maana ndege ikiiishiwa mafuta huwaka moto
@michaelkungwi1835
@michaelkungwi1835 Жыл бұрын
@@ahz6907 hiyo ndio unaona sababu ya kutokutua kiwanjani
@khadijaseif7316
@khadijaseif7316 Жыл бұрын
Mungu azilaze roho za Mareham mahala pema peponi na ndugu wa Mareham mungu awape subra
@hindukasimu525
@hindukasimu525 Жыл бұрын
Allah Akbar innalilah waina Lilah rajuun
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Pole endelea kumshukuru Mungu,wengine Mungu awapumzishe kwa amani
@sashambonde7258
@sashambonde7258 Жыл бұрын
nduguzangu poleni Sana ila wanasiasa na wachangiaji kumbukeni kwamba mungu anapo taka kuchukua watu wake akuna anaeweza kuwaokoa msiseme mengi kuusu kifo akuna uzembe no wakati umefika wamemaliza muda wao wa kuishi duniani so acheni kuzungumza ktk kazi za mungu nawatania maisha mema waendako
@leilaissa1367
@leilaissa1367 Жыл бұрын
Iinnalillah waina ilaih rajiuon polen wafiwa mungu aziweke roho za marehemu pepon amiin jaman kama hayajakukuta utaona masihara
@juliethcosmas4295
@juliethcosmas4295 Жыл бұрын
Mwenyez MUNGU awapumzishe malehemu wote pepon na awatie nguvu ndugu zetu wote
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 Жыл бұрын
Machozi yamenitoka ,poleni sana mungu mkubwa akuokowe tena na mengine
@dorcashita3531
@dorcashita3531 Жыл бұрын
Poleni saana tukiwa angani mungu atufunike kwa damu ya Yesu...my condolences to te families
@kutailass6671
@kutailass6671 Жыл бұрын
Anatosha Mungu pekee na wala Syo damu ya Mtu
@juliananassoromussa387
@juliananassoromussa387 Жыл бұрын
Poleni Sana wafiwa na watanzania wote kwa ujumla mungu tutie nguvu
@mwesigwakamulali8965
@mwesigwakamulali8965 Жыл бұрын
Poleni Sana Familia zilizopotelewa na wapendwa wao ghafla. Mungu awape uvumilivu.
@zuberama9326
@zuberama9326 Жыл бұрын
Poleni. Wafiwa. Wote mungu. Awape uvumilivu awasaidie pia
@wakwetuwambua4956
@wakwetuwambua4956 Жыл бұрын
God our Lord is our Helper thanks
@trizafrances4304
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Poleni Jamani Mungu hufanya mambo makuu yapitayo Fahamu zutu Ni triza kutoka kenya
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Nlicho elewa kwa hyu jamaa nikwamba anajiona kanusurika kwa elimu yake na ujanja wake ni walio kufa kwenye ajali ni kwaujinga wao anacho maanisha mungu hakua na msaada wowote hizi nifikra za mtu ambae haamini km kuna mungu hili nitatizo kubwa san mwenyezi awarehem waliyo poteza maisha yao
@naujuma4875
@naujuma4875 Жыл бұрын
Mmmh
@priscantabayewilson3590
@priscantabayewilson3590 Жыл бұрын
Kumbe nawe umeliona hilo? Ana nguvu hata ya kuelezea kwa maneno meeengi ya kingereza, kama vile ni mtaalam wa mambo ya aviation.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
@@priscantabayewilson3590 kabisa
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Wavuvi ndo walisaidia kuwaokoa. Majaliwa anasema yeye na wenzake 3(jumla 4) walifika,wakakuta wanahangaika kufungua mlango wa dharura..majaliwa ndo akafanikiwa kupanda juu ya ndege (ilikuwa bado ya moto),akafyatua lock kwa nje kutumia fimbo ya kasia..wakaanza kutoka.
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 Жыл бұрын
Ni kweli yaani huyu ni mjinga sana,hafahamu kama ni mungu pekee ndie aliewanusuru. Kasoma lakini hajaelimika chochote
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 4 ай бұрын
Pole Sana kweli
@simionngandu7708
@simionngandu7708 Жыл бұрын
Aky poleni sana wabongo wetu,all the way from kenya
@agnesmiss1112
@agnesmiss1112 Жыл бұрын
Mungu awapumzishe Kwa aman hakika inasikitisha Sana mungu aenderee kukuepusha na azali zingine
@charlesmutua1835
@charlesmutua1835 Жыл бұрын
Poleni sana tanzania na haswa familia zilizoachwa na wapendwa wao Mungu awape nguvu
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
We baba wewe ebu mshukuru MUNGU kisha washukutu wavuvi useme utulivu uttuli ndo ulikufungulia mlango ebu kuwa na shukran hata kidogo
@felixochiengochieng339
@felixochiengochieng339 Жыл бұрын
Pole sana
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Na tumushukuru sana Mungu kwa kutuokolea hawo madada na mandugu zetu.
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
Muda mwingine siwez kusafiri bila kuvaa suruali maana hapo ndiyo sjui una gauni sjui mean sket oooh ikitokea emergency kama hiyo Daaah enewei Mungu atusimamie saana siyo kwa nguvu yetu ila ni kwa neema zako tu 👏
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Ukivaa suruali inazuia kufa?😃
@mariammakotah4888
@mariammakotah4888 Жыл бұрын
@@ahz6907 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@queenmariposa799
@queenmariposa799 Жыл бұрын
@@ahz6907 umemjibu kwa muhemko tu ila yupo sahihi alichokisema maana yake ni kua ikitokea heka heka kama hizo za panda shuka anakua yupo kwenye stara tofauti akivaa sketi au gauni atakua uchi
@suezanna2690
@suezanna2690 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
MDH na Watanzania kwa ujumla mungu atupe uvumilivu, tumepoteza madaktari wetu.
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 Жыл бұрын
Nini kirefu cha MDH?
@fidefaithSr
@fidefaithSr Жыл бұрын
Ee Mungu utuhurumieee
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 Жыл бұрын
Poleni sana Mungu azidi kuwapa uvumilivu wale waliopoteza wapendwa wao 🙏🤲
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Жыл бұрын
Wewe kaka mbona huogopi mungu , Rubani wetu Ali hitaji mahisha, kisha wewe unasema Ume jituliza huna shukrani una jiweka Kama una jua sana mjinga wewe , funga mdomo wewe, wewe ungeli baki majini tuokewe Marubani zetu
@ashambinga9935
@ashambinga9935 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa wote, Mungu azilaze mahali Pepa Roho za marehemu wote.
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu yangu mungu ni mwema amekupa nafasi nyingine tena ya kuishi 😥😥🙏🏼🙏🏼
@tedyheluka1488
@tedyheluka1488 Жыл бұрын
7tźp
@kassimsleiman4117
@kassimsleiman4117 Жыл бұрын
Mweye Enzi Mungu amekujaali utulivu, ufahamu wa haraka, hikma na WEPESI wa kuchukua hatua na kuweka kumbukumbu. Inafurahisha umetumia vipaji hivyo na vingine Kwa kuwasaidia wenzako. Hilo ni JAMBO Bora mbele ya Mola wetu Mlezi
@shedrackgenesi4750
@shedrackgenesi4750 Жыл бұрын
Mungu amekusaidia broo
@tinadesmond9415
@tinadesmond9415 Жыл бұрын
My sincere condolences to all the family who lost their beloved ones,, may the Almighty God comfort them.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@doricusouma8722
@doricusouma8722 Жыл бұрын
Mungu awape utulivu wa roho
@rossyjustina6465
@rossyjustina6465 Жыл бұрын
Uyu anataka nafasi ya kusema yeye ndiye aliyeokoa wote bahati ya mwenzie asiilalie mlango wazi mungu akiamua kukupa amekupa haijalishi ni Kwa namna gani majaliwa kesha pewa na yeye ashukuru mungu ametoka salamaaaa
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 Жыл бұрын
AMESIMULIA HALI ILIYOKUWEPO ,NAKUSHAURI UJIKITE KWENYE KUTAFAKARI UKUU WA MUNGU KATIKA HILI...HATA KIJANA SHUJAA YULE BILA NGUVU ZA MUNGU ASINGEFANYA KITU...
@thaniakassim7687
@thaniakassim7687 Жыл бұрын
Nyiee😭😭😭😭sisiwasafiri yarabbi tunusuruù Yaarabbi
@rahasaidy2429
@rahasaidy2429 Жыл бұрын
Poleni sana
@aishajuma439
@aishajuma439 Жыл бұрын
hyu kaka kama vile muongo na kingerez chak
@mohammedmaviru4845
@mohammedmaviru4845 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Mungu Atusaidie tunamwitaji Bwana kila wakati
@laurenciajeremia8231
@laurenciajeremia8231 Жыл бұрын
Dahhhh MUNGU tusaidie
@faithnyabuto2669
@faithnyabuto2669 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu
@ngusajilala6128
@ngusajilala6128 Жыл бұрын
Poleni
@cantonalizzy9938
@cantonalizzy9938 Жыл бұрын
Dah mungu amesaidia maana ingetua Mjin dah sijui ingekuaje
@rzekiomari2333
@rzekiomari2333 Жыл бұрын
Inauma sana polen sana ndugu zetu watanzania
@aishaabedi9595
@aishaabedi9595 Жыл бұрын
Poleen
@rodrickibrahim
@rodrickibrahim Жыл бұрын
Story nimeielewa sana ila moja kwa yote luban kazingua kidogo japo kuwa yote ni mipango bya mungu ndege kumbe ilimshinda mda na hakuwa na mawasiliano yoyote naomba mchunguze chanzo cha ajali nn nini kama ndege ilikuwa na hitilafu ili tujiami mapema maana hivi vitu vinatakiwa kufichunguza na kuwa navyo makini sana maana hatuna ujuzi navyo r i p all mbele yenu nyuma yetu🙏
@patriciafelix5756
@patriciafelix5756 Жыл бұрын
Nimeskiliza story yote... Boya lilikuwa Moja? Muda wanazunguka je waliambiwa Hali ya tahadhari wavae maboya? Au hayakuwepo? Au ndio kusema panic??
@marthakambona
@marthakambona Жыл бұрын
Lubani niwakupongezwa coz alijuwa ishaleta shida kwahiyo alikuwa anatafuta mahali pa angalau isilipuke na maafa yakawa makubwa zaidi ,ingedondokea sehemu kavu ingelipuka na hakuna wakusalimika kama karibu kuna nyumba pia zina lipuka, na kwenye maji piya angetuwa kwa speed ingelipuka na kuzama chini zaidi
@rodrickibrahim
@rodrickibrahim Жыл бұрын
@@patriciafelix5756 ndo ivo ishatokea ndugu yangu..
@matata1126
@matata1126 Жыл бұрын
@@marthakambona naungana na ww...Ni wazi rubani alifanya umakini mpka kuixhuxha kwenye maji...na angekurupuk kulazimixha xeem nyengine naiman ingelipuka na ingekua mxiba mkubwa....Ila yote Mungu Ni moubwa.
@ashajuma8521
@ashajuma8521 Жыл бұрын
So painful R.I.P to all of them in Jesus name Amen
@fatmahamesa2449
@fatmahamesa2449 Жыл бұрын
Masikin alijitahidi sana huruma😭😭😭😭😭😭
@glorylema
@glorylema Жыл бұрын
Inauma sana na msaada akakosa
@husseinkarim9211
@husseinkarim9211 Жыл бұрын
Ajali ni ajali lakini bora angerudi Mwanza, hatujui kilichotokea ndani ya ndege,mambo ya mungu. Black box litasema.
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Exact-le
@rukiarayza7372
@rukiarayza7372 Жыл бұрын
Polen sana ndug zetu mungu awalaze salama
@johnkyalo3257
@johnkyalo3257 Жыл бұрын
Poleni sana Mungu awasaindie
@mjobegameplay2410
@mjobegameplay2410 Жыл бұрын
Poleen sana kwakwel
@priscajohn6090
@priscajohn6090 Жыл бұрын
Hongera kwa kuokolewa! Poleni kwa wafiwa wote
@Irenehizza1994
@Irenehizza1994 Жыл бұрын
Big Story Poleni Sana
@davykisabo875
@davykisabo875 Жыл бұрын
Mungu anakuhitaji bado
@Mamiseti7
@Mamiseti7 Жыл бұрын
Poleni sana 😢
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
The situation for this tragedy was very intense, we should always pray as we don't know what shall happen to us next. May all those who died rest in eternal peace.
@doricusouma8722
@doricusouma8722 Жыл бұрын
Wacha kuishi Kwa uoga ni wakati wamwisho sheitani anakata mpaka kamba ya kuokoa rubani akiokolewa asikufe utasema nini sikwa uwezi Wala fikara zetu balini Kwa nehema 2
@rahimakhamisi5488
@rahimakhamisi5488 Жыл бұрын
Hope m
@rahimakhamisi5488
@rahimakhamisi5488 Жыл бұрын
I'm o
@mariammkono7455
@mariammkono7455 Жыл бұрын
Poleni sana wapendwa mliofiwa na ndugu zenu lakini tunamshukuru MUNGU kwa kila hatua mliopitia hadi leo jina lake litukuzwe
@miriamherman4499
@miriamherman4499 Жыл бұрын
Daahh kikubwa mshukuru Mungu mmetoka salama...
@Inukanaalmasipodcast
@Inukanaalmasipodcast Жыл бұрын
Serikali na mashirika wanatakiwa kuitazama familia ya rubani,ni dhahiri kuwa rumani alijitahidi sana
@rahmarr2160
@rahmarr2160 Жыл бұрын
Pwent👌
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 Жыл бұрын
Yule kuna Bima ya ndege yeye na abiria na ndugu wa wafu,wengi hawaongelei hili,kisha yeye ana stahiki zake km mfanyakazi.
@liliannanjala2707
@liliannanjala2707 Жыл бұрын
Wewe mshukutu mungu Sana kama hulipona bro
@aggykihiyo2426
@aggykihiyo2426 Жыл бұрын
Pole sana kaka ni kwa uwezo wa mungu tumshukuru yy ndio Kila kitu🙏
@allyngaso4516
@allyngaso4516 Жыл бұрын
Inauma xana jmn mungu awatie nguvu
@johnkyalo3257
@johnkyalo3257 Жыл бұрын
God is our protector
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 Жыл бұрын
Sijasikia kabisa hapa uhusika wa Majaliwa Jackson kuwa mtu aliyefika mwanzo kwenye ndege na kufungulia watu, au yeye mwenyewe kuokoa.hao watu 24 😐
@godsonkaunda1604
@godsonkaunda1604 Жыл бұрын
Jaman polen xana
@filomenabarongo693
@filomenabarongo693 Жыл бұрын
Kuna watu wataogopa kuwaokoa watu ajalini maana hapa anacreate kitu kwamba hakuokolewa na Majaliwa
@kakuutoenterprises1672
@kakuutoenterprises1672 Жыл бұрын
Pole Sanaaa MDH😫😭
@aishaabdalla7624
@aishaabdalla7624 Жыл бұрын
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiun. Poleni sana wafiwa na sote, kwa hakika allah qadir, kwani yy ndio aliochukua aowataka nandiò⁶þþ walokua wakati wao haujafika kawapa khatua ya kujiokoa
@markjason2035
@markjason2035 Жыл бұрын
Sensory
@aminakunja277
@aminakunja277 Жыл бұрын
Nyie usiombe yakukute dahh Inshalaah Allah qareem
@akidajulius8397
@akidajulius8397 Жыл бұрын
Acha kabisa, MUNGU ndie ajuaye
@gloriandunguru8880
@gloriandunguru8880 Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia mungu awape Amani yake
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 Жыл бұрын
Kabisaaaa kwenye hali ya hatar tunatakiwa kuomba Mungu atupe uvumilivu unaweza kufa kwa presha kabla hata maji hayakujazimisha uwiiiiii Mungu nitie nguvu nilivyo muoga mm ningefia huko huko angani
@akidajulius8397
@akidajulius8397 Жыл бұрын
MUNGU ameweka fumbo ktk,kifo,hujui sec,ya mbele yako,au njia ya kifo chako ni ipi,
@rispermndeme8982
@rispermndeme8982 Жыл бұрын
Utulivu wakati wa ajali ni muhimu sana
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 Жыл бұрын
Poleni ndugu zangu
@princeoswald5777
@princeoswald5777 Жыл бұрын
Poleni sn mungu awatie nguvu
@mildredkitheka7947
@mildredkitheka7947 Жыл бұрын
Poleni sana jamani
@emillyzeeh1173
@emillyzeeh1173 Жыл бұрын
Polen sana mandungu na madada 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇪
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 Жыл бұрын
Dah 😭😭😭😭😭😭😭😭 Poleni Sana wafiwa, na atukuzwe Mungu Kwa nyie mliosalimika Kwenye hii ajali. Mungu awapumzishe Kwa Amani marehemu wote 🙏
@giftrevocatus8040
@giftrevocatus8040 Жыл бұрын
Man of match ni rubani alitumia akili nyingi mbaka akalengesha majini ingekuwa nje kavu wote wangeteketea Kwa moto
@yussbreezy918
@yussbreezy918 Жыл бұрын
Kabisa👍
@leonardmagege6100
@leonardmagege6100 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdulally5339
@abdulally5339 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@thehurricaneshow216
@thehurricaneshow216 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Sikubaliani na wewe alipoona hatari alitakiwa kuvaa safety mind and immediately re-route to mwanza akaanza ku bargain angani na maisha ya watu..precious lives lost because he was trying to be hero
@rehemakisengo5878
@rehemakisengo5878 Жыл бұрын
Inasikitisha Sana
@emmanueljunior5342
@emmanueljunior5342 Жыл бұрын
Polen sana wote mliopatwa na majanga,, mungu awatie nguvu,
@janemusau7036
@janemusau7036 Жыл бұрын
poleni sana kwa kuachwa na wenzenu
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
TUKIO LA KINYAMA LILILOTOKEA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA
9:29
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 141 М.
NDEGE ILIYOPOTEA KUZIMU NA KURUDI TENA DUNIANI BAADA YA MIAKA 37
13:58
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН