Mungu jina lako lihimidiwe ninamfahamu huyu kaka ni Engineer ana roho ya kipekee sana Kuna kitu aliwahi nisaidia 🙏🙏🙏 Asante mungu kwa rehema zako.
@hatibumwinyi8382 жыл бұрын
Mambo
@maxmilajoseph18972 жыл бұрын
Pw
@hatibumwinyi8382 жыл бұрын
Natamani nikupigie tuongeee
@auntdorah91412 жыл бұрын
wema ni akiba... Mungu azidi kukulinda na wewe usichoke kutenda mema.
@fillomuhenga42402 жыл бұрын
Kuweni na akiba ya maneno ninyi mlikuwa wahanga mkageuka kuwa waokoaji kweli kumbukeni mungu anawaona Mimi naweza kusema ni mungu tu na wale wavuvi unapata ujasili wa kuongea kwa sababu ya kupona lakini ungeulizwa siku hiyo usingeweza kuongea kama unavyoongea ajari sikia kwa mwingine si ukukute mwenyewe binadamu hanashukurani pointi Moja tu uliyosema mungu alikusaidia ilikuwa Tosha mengine hayo umeharibu
@bernaaswile1966 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumpa ujasiri kuokoa watu wengine, tunakushukuru Victor Laurian. Jina lako likumbukwe. You deserve a medal kwa kweli! Na wavuvi na wananchi wote waliosaidia, tunawashukuru!
@josephkulija2932 жыл бұрын
Duuh Mungu akupe maisha marefu, kwa kazi kubwa ulioifanya kwa uwezo wa MUNGU. Nawe unastahili kupongezwa hata na kupewa kifuta jasho kwa ujasiri. Usimwache Mungu, siku zote anza na Mungu na umalize na Mungu.
@cnm29762 жыл бұрын
Nguvu Alikupa Mungu kaka! Kweli Mungu ni wa Ajabu sana. Ubarikiwe sana engineer
@agnes34242 жыл бұрын
Jaman masiongee vibaya kuhusu mlango hawa walikua wanaangaika kufungua mlango kwa ndani na majaliwa alikua anaangaika kufungua kwa nje, majaliwa hadi alizimia sababu ya kuokoa watu is that still not enough tupunguze maneno
@zainaburuthzainaburuth33762 жыл бұрын
Waambie juu hiyo hali ni ya uchungu na sio kusema uongo maanake in prayerful naye mungu alimusaidia
@saumudadi84092 жыл бұрын
Point
@aaa64sa132 жыл бұрын
Allah amjaalie umri mrefu kijana. Ameen
@agnesdikson94802 жыл бұрын
Hawana shukurani maana ningekuwa mimi ninge mshukuru mungu tuu,nisingekuwa na maneno mengi
@ruthsikuku12722 жыл бұрын
Ahsanteeeee mungu, Jinaa lako lihimidiwee milelee siku zotee mungu ni mwemaa sanaa 🙏🙏🙏♥️
@auntdorah91412 жыл бұрын
Ameen...nimeipenda imani yako, hakika alisema tumuite nae ataitika...🙏🙏utukufu kwa Mungu juu.. Victor wewe ni mtumishi wa Mungu..lkn hiyo mitumbwi mingine nao wamepongezwa?
@billgussy60992 жыл бұрын
Kumbe dada ndiye alifungua mlango tunaomba namba ya hhuyo dada tumshukuru she is a true hero....Mungu mkubwa
@evangelismchannel88102 жыл бұрын
Pole sana Engineer Victor,,,, Mungu wa Mbinguni akulinde zaidi naukumbuka msaada wako kwangu. Ubarikiwe live Long Brother
@husseinshabani95222 жыл бұрын
kila mtu hapo Anafasi yake kati ili......ndo maana na Majaliwa Naye Alivyozimia nae Akaokolewa....Yote kwa yote Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
@aminbakari54432 жыл бұрын
Watanzania tunachotakiwa kutafakari nini hakikuwa Sawa na tufanye nini kuepuka kilichotokea. Mosi hiyo ajali kwa hakika ilitokana na hitilafu ya ndege siyo hali ya hewa. Kama ni hali ya hewa rubani asinge risk maisha yake kutua majini wakati kulikuwa na option za chato na mwanza. Jinsi alivyozunguka muda mrefu zaidi ya nusu saa yumkini alishawaarifu control tower nini anataka kufanya na wao watakuwa walikubaliana na mpango wake. Pia alizunguka zunguka kupunguza kiwango cha mafuta ndani ya ndege ili kupunguza uwezekano wa mlipuko mkubwa. Mambo ambayo hayakufanyika kwa usahihi ni kutokuwepo kwa maandalizi ya wapo mahali salama ziwani pa kutua kwa dharura majini. Ziwa Victoria lina kina kifupi na mahali pengine kuna miamba ndani ya maji. Kwa jinsi ile ndege ilivyokatika ni dhahiri kuwa ilikita kwenye mwamba. Jambo jingine ambalo halikufanyika vizuri ni kutokuwa na vifaa vya uokoaji vilivyo tayari. Muda ule rubani a ajiandaa kushusha ndege ndani ya maji kikuwa na uwezekano wa kufanya maandizi ya namna ya kuokoa kama vifaa vingekuwepo tayari.
@otmarmkali8883 Жыл бұрын
Yan hata emergency walishindwa kuwahi sehem ambayo rubani alisema anataka kutua,, sababu maelezo ya rubani alikuw anapata taarifa ya hali ya hewa mbaya. nusu saa nzima bado anatoa taarifa. Sasa daah.
@rahellubandila19282 жыл бұрын
Hubiri injili Victor Mungu amekuhifadhi kwa kusudi
@64aaa2 жыл бұрын
Bro wewe ni kumshkuru mungu umeokolewa na kutoka salama. Sio rahisi ndege kuanguka ndani ya maji pakatoka mtu salama. Shukuru na uwashkuru waliofika kwa wakti kujakuokowa. Majaaliwa na wenziwe wanaitaji pongezi kubwa sana. Tuwache majungu na maojiyano ya kila siku. Mshukuru mungu na utowe sadaka kwa wingi sana. Duh!! Bongo ni Shida
@ericron61152 жыл бұрын
Watu hudhani hivyo, lakini Google.... survival rate ya ndege ikianguka inapaswa kuwa 90%... kwasababu wameweka njia nyingi za kuokoka na huwakumbusha kila inaporuka. Na kama hichi kiisa, rubani anajua muda mrefu kabla kwamba imemshinda na anawataarifu WA chini wajipange. Lisu is right kuna uzembe fulani.
@shangazshangaz42222 жыл бұрын
Asige fungua mlango majaaaliwa ugetokea wapi ebu muache majungu baba mzima unamuonea wivu kijana mdogo 😏😏😏
@ruqhaiyahshek73922 жыл бұрын
@@shangazshangaz4222 kabsa yani wankosa shukrani na mtt wawatu alijitolea kam mlango wansema kfungua mchina kwa nini msiogelee mpak nchikavu manusura wa ajar muwe na shukrani wavuvi wamefanya kz kubwa
@philbertluhunga59322 жыл бұрын
@@ruqhaiyahshek7392 ukweli ni kwamba huwezi ukaufungua mlango wa ndege kwa kutumia KASIA
@philbertluhunga59322 жыл бұрын
@@shangazshangaz4222 huwezi ukaufungua mlango wa ndege kwa kutumia KASIA labda kama huujui mlango wa ndege
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Pole kaka nawewe kumbe uajiriwe jeshi la uokozi
@claudiangowi96282 жыл бұрын
Majaliwa msichukulie poa, kazama ndani kumuokoa rubani, Kariski maisha yake mpaka kazimia Kwa kuvunja mlango wa rubani mnasemaje hakuokoa.
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Ila ninavyojua mlango wa ndege unafunguliwa kwa ndani kwa hiyo majaliwa hakufumgua mlango over
@sifatiiman Жыл бұрын
@@jumaabas6837 utakunya sasa ndio inajulikana majaariwa alifungua
@florencebudoya38142 жыл бұрын
Mungu akubariki Victor. Hapo ulipomuuliza Mungu kuwa huwa unamuomba kila siku. Mungu alikuokoa kwa kweli
@marthaadammakatobemwakatob42462 жыл бұрын
Mwachen mungu aitwe mungu
@auntdorah91412 жыл бұрын
Amina...alisema nikumbusheni
@sumayaishengoma45432 жыл бұрын
Mungu alikuwa na makusudi yake ndio maana ilishindikana kubadilisha ticket. Mungu ni mwema wakati wote. Waliofariki Mungu awarehemu.
@iteefmedia44852 жыл бұрын
Oyaa Majaliwa Kishakula Mamilioni Hukoo 😂😂😂🤣
@lepodinaff77522 жыл бұрын
Nakuambia wee 😂 na kumbe waliosaidia walikuwa wengi lkn yye ndo alisema aliwaokowa wote hii story sielewi
@jackobgalish57422 жыл бұрын
Nakwambia hivii, Hii nchi ukiweza kujieleza vizuri tu utafaidi vingi Sana😂
@millymilly7244 Жыл бұрын
Ila watanzania mna ushirikiano na kupendana kweli❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana Victor. You are really a hero. Mungu akulinde.
@pendoluoga2023 Жыл бұрын
Bwana Yesu akufariji Sawa Sawa na Pendo Lake
@hellendaniel38092 жыл бұрын
Kwa mtindio huuu atafutwe mchina nahisi ataongea cha ukweli. 😂😂😂😂😂😂😂
@happinessmkombwemkombwe86772 жыл бұрын
Machina alifariki huyu sijui anamuongelea yupi
@merabubirakashekwa3502 жыл бұрын
Binafsi ninavoogopa maji nafikiri ningefariki hata kabla ya kuyanywa. Kila nikipitaga juu ya maji Roho inakuwaga mkononi. Nafikiri hawa manusura tuwaelewe hivo hivo na Majaliwa tumwelewe pia. Wao walikuwa kwenye shock and Majaliwa was sober. Tumshukuru tu Mungu kwa ajili yao wote na kuwaombea pumziko jema waliofariki.
@advocatekarama49172 жыл бұрын
Kabisa mi kila nikivaa viatu vyao havinitoshi, kifo cha maji kibaya mno
@allanmuriithi25352 жыл бұрын
Waw
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@advocatekarama4917 sana😢😢😢😢 mungu atunusuru awaeke pema walotangulia🤗🤗😢
@tegemeongalama67372 жыл бұрын
Sawa Majaliwa na wavuvi walioleta mitumbwi wamefanya kazi kubwa sana na kupongezwa,ingawa kuna watu wengine kumbe wanawez kuwa waliupiga mwingi lakin hawatambuliw ;mfano mhudumu wa ndege manusura wamemtaja sana 2.Mchina pia katajwa katika kuhusika na jtihada za kufungua mlango Sas ndo najiuliza uwezo wa kasia kuvunja malango kwa nje 🤔 nadhan kinachombeba Maja ni ushawishi kw wavuvi wengin kuwahi eneo la tukio . Mwisho nmshaur maja mnyama asile maisha akawasahau wajuba wenye mitumbwi hiyo wameupiga mwingi🤣🤣🤣
@onesmoelias22852 жыл бұрын
HAAHHAHAHAA u sio sizan Kama atawakumbuka
@tegemeongalama67372 жыл бұрын
@@onesmoelias2285 maisha yanapanda na kushuka asjisahau🤣🤣
@adrianaeustace8886 Жыл бұрын
Baada ya kuona Kijana Majaliwa kafanikiwa Kila mtu atasema kawaokoa watu. Acheni roho mbàyà
@sifatiiman Жыл бұрын
sisi tunajua majaariwa tu hizi porojo nyingine hatujui bwana weee
@alikidungura94192 жыл бұрын
Hahahaha hahahah Yani kwahili hati juwi nani mkweli ama victa au majaliwa nawezake ila kama huyu anasema kweli afatiliwe ktk majina walio safir nandege kamajinalake lipo hapotutajuwa
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Hakika umefanya kaz kubwa mungu akubarik kaka🙏🙏🙏
@kyambarungwe69602 жыл бұрын
mhhhhh nimekufuatilia Sana wew ndugu wew ni muongo
@iddmaftah2 жыл бұрын
Nikweli huyu nimuwongo
@benedictmhina88802 жыл бұрын
Kivipi jamani kwani mlikuwepo eneo la tukio?
@khalfanmohd70192 жыл бұрын
😄😄😄😄
@khalfanmohd70192 жыл бұрын
Anatak OP YA MAJAALIWA
@wadeelegbogun30152 жыл бұрын
Bahati ya mtu, usiilalie mlango wazi, ilikuwa mpango wa mungu ni Bahati yake majaliwa. PERIOD.
Too traumatising to listen.God help human beings.Huyo ndugu ni binadamu kweli,Mungu amulinde.
@josephmakau73222 жыл бұрын
Hakuna mtu Duniani aliye koswa koswaa Na kifo cha maji Akawa Sawaa😅😅😅😅
@senseiamani46842 жыл бұрын
Haaaaahaaaaa
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Mnh jmn
@zenokahumba12852 жыл бұрын
Hongera sana Kwa kazi nzuri, Mungu aendelee kukutunza.
@mbwizax872 жыл бұрын
Pole classmate , kwenye group la chuo tulijua umedanchi
@flackomasterbaddest41552 жыл бұрын
Majaliwa kapiga hela mamae 😂😂😂😂😂😂😂😂
@annamussa1852 жыл бұрын
Ukisikiliza maelezo ya huyu kaka walotoka mwanzo wachache mlango ukajifunga so majaliwa ndo alifungua tena na alobahatika kuwatoa ndo hao na wengine walikufa so ebu eleweni hivyo hivyo nadhani inatosha
@flackomasterbaddest41552 жыл бұрын
@@annamussa185 kapime maskio Mlango umefunguliwa kutoka ndani kabla wavuvi hawajafikq
@upendolema98092 жыл бұрын
@@flackomasterbaddest4155 Kuna wavuvi na kuna Majaliwa
@flackomasterbaddest41552 жыл бұрын
@@upendolema9809 hahahaaa
@annamussa1852 жыл бұрын
@@flackomasterbaddest4155 anza wewe kupima
@nothinglivenation75252 жыл бұрын
I like that this guy put a demand on his faith... Salute..
@joycelaura46112 жыл бұрын
even me jmn Mungu yuu mwema sana
@jamalijamali347 Жыл бұрын
Hongera na pole sana kyoma
@andrew.gadimrinji17132 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@thomaskulwa4252 жыл бұрын
Hawa wahaya wanapenda mno sifa na wao🙆 eti Kila mtu aliokoa watu😂😂 aliyeokolewa na Majaliwa ni yupi Sasa🙆😂😂
@francismsindo9041 Жыл бұрын
Huyu jamaa ndio nimemuelewa sana yaani daah MUNGU ampe maisha marefu,huyu ndio mtu SAHIHI kumuelewa tofauti na tik taka zinazoendelea.
@careeninnocent7382 жыл бұрын
Ooh itakua yule mama mweupe Mungu akutunze
@faithbisach6692 жыл бұрын
Ulikuwa pia kwa lilo ajali?
@daudimangalo80022 жыл бұрын
MWENYENZI MUNGU NI MKUU. NAMSHUKURU SANA SANA.
@mossesramadhani5012 жыл бұрын
Majaliwa alifungua mrango upi jaman
@bibianamarwakesanta57992 жыл бұрын
Heri yako wewe maaana umeuona uwezo wa Mungu.
@charlesmihuwa6287 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu na watu wote mliopata matatizo haya ndio ubinadam kwa kweli utake usitake wewe na mimi yetu pia yanakuja. Ila nchi hii wananchi wake kwa tukio lolote lile lazima kwenye kulielezea lazima tutofautiane duu hivi ni nini hasa tafsiri yake? Ni kujua sana au kukomaa kwa uongo kichwani??
@humbleguy3756 Жыл бұрын
Salute kaka una roho safi
@savanny_music2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atukuzwe siku zote
@upendomosi9465 Жыл бұрын
Hongera snaa
@josephinealexander64922 жыл бұрын
Cku akihojiwa mchina au dada mhudumu wa ndege.. Ndio ntapata nachokihitaji hawa wengine tuwasikilize tu
@nancynjahira2356 Жыл бұрын
Engineer, Mungu akulide na apogee sifa
@robertmwangomale2 жыл бұрын
Mungu akupe maarifa zaidi eng wangu
@thedriver.michael.39752 жыл бұрын
Nani alifungua mlango? Mvuvi au hostres (mhudumu)🇹🇿
@mkalywagoka99132 жыл бұрын
Maajaliwa keshaa jaaliwa walionusurika mshukuruni Mungu hata kama mmejiokoa wenyewe,,Naa hakuna mtu wa kujiokoa wenyewe bila Mungu kufanya miujiza yake,,miujiza hiyo na bahati hiyo kapewa majaaliwa,,..
@rukiamziwanda74582 жыл бұрын
Mchina amesaidia sana kwann wasiimtafute
@emmanuelpius54792 жыл бұрын
jaman ulikumbuka hadi beg lako bro? Kwakwel hii movie inavutia
@nigamo96452 жыл бұрын
🤣🤣nacheka kama mazur mwenyezi mungu anisamehe
@winniesainet86352 жыл бұрын
Kwakwer hii movie
@senseiamani46842 жыл бұрын
Haaaaahaaaaa huyu anaitaji saikoloj cancelling
@emmanuelpius54792 жыл бұрын
@@senseiamani4684 haswaa anatakiwa afanyiwe systematic desensitization therapy to treat such post-dramatic stress disorder of the accident
@Mimy_keys2 жыл бұрын
Nilishangaa kuskia alituma mvuvi akatizame begi leke hapo nyuma 😯 kwa hiyo wangejuwa begi lake ? 🙆♀️ Afu eti alipookoa wa mwisho nae akatoka ndo mlango duuh !
@samirysharifu86492 жыл бұрын
Kwaiyo majaliwa akufanya kazi yoyote
@linusbyabato72422 жыл бұрын
Mungu ni mwema ,Eng Victor mungu akubariki sana
@winfordmwangonda53752 жыл бұрын
Pole Victor ,wewe ni jasiri ,katika mazingira hayo bado unakumbuka begi lako
@happinessmkombwemkombwe86772 жыл бұрын
Kazingua
@margaretnyamwilahila2922 жыл бұрын
Umepona ajali kaka, unatafuta bag?? Mshukuru sana Mungu kwa kupona hiyo ajali.
@chriskimaro9422 жыл бұрын
Litakua na hela😁
@joycehamis49252 жыл бұрын
Ht cjaamin km anaweza ongelea begi wallah
@Judy-qh8bj2 жыл бұрын
Yaani uyu ndo katoa kali kuliko...khaaa
@zulfaiddy79792 жыл бұрын
Mungu ni mwema!!
@hiarijuma26842 жыл бұрын
Was it front door?
@emmanuelnzaligo62622 жыл бұрын
Pole Sana kaka MUNGU akutangulie
@nothinglivenation75252 жыл бұрын
Seems like the door mishap cost lives.... From the narration it seems like the cabin crew had been briefed by the pilot.
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mungu akunusur hilo na jengine kwa wowote ishaalah na hao waliofariki mungu alizilaze pali pema peponi ishaalah nawatakiya kila la kheri ishaalah
@nurukaguo9272 жыл бұрын
We nawe hata hueleweki mala ulikuwa hujitambui mala uliokowa watu uongo mtupu we sema namshukuru mungu kwakuniokoa hayo mengine unatudanganya tokahapa ssbtunajua mlango alifunguwa majaliwa ila ww mungo sana yana hadihti yako iko mbelenyuma nyuma mbele
@mwitaagness4552 жыл бұрын
Ebu msikilizeni vzr mara nilipiga simu, mara nilikuwa sipatikani maana simu zilibaki kwenye....jamani mahojiano yasitishwe banaaa
@immaculateakilimali72202 жыл бұрын
Rudia kumsikiliza tena,anakuambia simu zake zote zilibaki kwenye ndege,huyo mtu aliyekuja kumpokea ndo alikuwa naye na ndo akampigia mkewe kumueleza ye yuko salama,atakuwa anayo no.ya mkewe kichwani.
@mwitaagness4552 жыл бұрын
@@immaculateakilimali7220 tumshukuru tuu Mungu kwa waliobaki ni huzuni kwa waliondokewa na wapendwa wao...wameshaanza kusema majaliwa hakuokoa wakiendelea kuhoji ni maneno wanatafuta na kuzid kuumiza wenzao🙏waache tuu
@edinakyaruzi92262 жыл бұрын
Jamani pressure ya maji inafunga maji sio inafungua japo ongera kwa upendo afu sio mbali na nchi kavu sema milango ili jifunga
@mathiaslyamunda25262 жыл бұрын
Maji yanaingia ndani kwa nguvu lazuia mlango usifunguke. Yuko sahihi.
@abasmwika34322 жыл бұрын
Hawa manusura wahaya wanashida sana,yani hamna hata mmoja anae appreciate msaada wa wavuvi kwa kiwango stahiki,inawezekana wengi bado wamechanganyikiwa unatakiwa wapate utulivu sana. Ni kweli kabisa manusura walijitahidi sana kujiokoa hilo halipingiki lakini bila ya msaada wa wavuvi ukimhusisha na majaaliwa wasingefaulu.
@elibarikimaganga95712 жыл бұрын
Abas Mwika anachokiongea ndicho anachokumbuka ndio maana anasema akili ilikuwa imevurugwa
@theafricaiknow66152 жыл бұрын
HAWA MANUSURA INAONEKANA WENGI WALIKUWA WAMECHANGANYIKIWA, KILA MTU ANAELEZA KIVYAKE
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Hata nashangaa kila mtu kajiokoa mwenyewe
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Halafu anamemory mimi sijui km ningekumbuka kitu
@lemathomas2862 Жыл бұрын
Jmn nisaidieni, ndege ina milango mingapi, maana Majaliwa nae anasema alipiga mlango na kasia ukafunguka, yote kwa yote ashukuriwe Mungu
@blandinamwarabu50252 жыл бұрын
Majaliwa Ushujaa wake ni kuona ndege wa kwanza na kuwashawishi wenzake kwenda kuanza kupeleka waokoaji
@zuchu3138 Жыл бұрын
Shujaa majaliwa
@namsifubwana21522 жыл бұрын
Hongera sana mr Victor
@kefaeninakimambo1466 Жыл бұрын
Pole sana
@promiseyona81892 жыл бұрын
Mhandisi wetu pole sana kaka Victor dit 05
@RUFUS_972 жыл бұрын
Mwandishi upo vzr sana✌️✌️👌
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Wenzako wakiona mauti yamewakaribia wanaanza kutubu madhambi Yao nakumuomba Mungu apokee roho zao
@kyambarungwe69602 жыл бұрын
pole Sana ndugu zangu 🙏
@jovanafidelis28022 жыл бұрын
Ndege ilikuwa na madr wengi sana,asanteni bk
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Wanafanya kazi kwenye mashirika wengi walikuwa wa MDh na walikuwa hawaendi Bukoba walikuwa wanaenda Tabora Ila ndege unaanza bukoba wanashuka Mwanza halafu magari ya kazi yakawa yanawafuata Mwanza airport to Tabora
@mzalendomtokambali65512 жыл бұрын
Wewe ndie Majaliwa? Mnachanganya hii story
@teedullah5708 Жыл бұрын
Mashallah munqu alikupa ujasiri
@hilaribarongo19962 жыл бұрын
Sasa kama alikuwa amechanganyikiwa hata haya anayotueleza hayapo sahihi.
@ibrahimally8073 Жыл бұрын
Majaliwa alituingiza mjini eti ye ndio alifunguwa mlango wa ndege.. kumbe aliyefunguwa ni mhudumu wa ndege.. dah huyo mvuvi majaliwa alijuwa siri haita julikana... Duh 🙄 kweli kufa kufaana
@ashuu77722 жыл бұрын
Ivi kweli katika hiyo ajali ukumbuke kuulizia begi majaaliwa kapambana bwana acheni wivu huo
@jaffarijaffa74022 жыл бұрын
Kwahiyo akavunja mlango na kasia??
@kimsamespa84902 жыл бұрын
@@jaffarijaffa7402 eeh Sababu malaika walimsaidia naulikua ushaingia maji
@dianapaulo72982 жыл бұрын
Kuweni nashukrani mlango wa ndege hua unafunguka pole pole iweje usikie kishindo kama sio Majaliwa kivunja
@juster5478 Жыл бұрын
Mshukuru mungu maana mkono wake ulikuwa juu yako
@florayoram90992 жыл бұрын
Majaliwa katulisha matango poriiiiii😝😝😝😝😝
@annakisiga8892 жыл бұрын
Sasa ulikuwa hujielewei na ulijielewaje vip mpka kuokoa mtoto yaani hujielewei mara mchina daha hapo umetulisha matango pori
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Hongera kwa hilo kaka yangu Mungu awarehem waliotangulia 🤗🤗 Atupe mwisho mwema 👂🇪🇭
@mnanakhalidi19682 жыл бұрын
Nyie ebu fikilieni huyu kaka asitake attention tu mlango wa ndege unafungukaga taratibu sana na plus pressure ya maji naweza kumuamini majaliwa bila kupiga na Kasia means Ali break pressure ya maji atleast wakatoka kwa moments anazosema huyu huwezi kuanza kuvuta tena ndege Ukitak kwa swimming pool tu miguu Hoi kabisa majaliwa kajitahidi ashukuru San
@maryjohn14132 жыл бұрын
Mungu akutunze mwanangu, soma zab 91
@rehemahramadhani34282 жыл бұрын
majaliwa asingekuja ziwani jumapili ungekufa wote
@shamsasuileman2 жыл бұрын
We ndo ume comment point kabsa
@paschalpaul38622 жыл бұрын
Huyu ni muongo jamani tumuogope Mungu matatizo yanapotokea, manusura sahihi ni yule aliyesema watu walionusurika walibana na kushikana mlangoni mchina akatangulia kudakwa na wavuvi na mtoto na mama mtoto na watu wengine,
@auntdorah91412 жыл бұрын
Lkn Kitu nimeona kwa Victor ni kumjua Mungu, na ni mkweli anasema akili haikua sawa na hajasema ametumia akili yake bali ni Mungu ametenda..MUNGU ATUKUZWE MILELE.. Amesahau tuu kuwashukuru watu wa mitumbwi( wavuvi)
@Mwanamkesahihi012 жыл бұрын
Means hata precision wamecheat idadi
@hassanparamana22152 жыл бұрын
pole sana endelea kuwa karibu na mungu uwa anajibu maombi umuombayo 🙏💪🇹🇿🇦🇪
@felistermajuto8002 жыл бұрын
Dah mung amzidishie majariwa roh hiyhiy
@swedially22272 жыл бұрын
Kwhy alituma msg akiwa juu angani😁😁? Kiustaarabu si simu zinatakiwa ziwe offline.
@janifajani88752 жыл бұрын
Katika watu wote walio okolewa ni mama mmoja tu aliee washukuru wavuvi na kusema mvuvi ndoalimuokowa alikuwa mlangoni akaniona naangaika akaja akaniokowa badaee alivo toka yy mlango ukajifunga huyu anakwambia aliakikisha akuna mtu mwengine ndopo akaachia mlango akaondoka kweli ayupo sawa masikini
@irenemlay9104 Жыл бұрын
Wavuvi wana sare?
@ashurajuma20242 жыл бұрын
Kaka kiboko amekumbuka Hadi begi
@avelinakomba7212 жыл бұрын
Kama ndege ilikuwa na baunsa kama wewe na ulikuwa na ujasili kama huo ulishindwajje kuwaokoa wale 19. Piga salut Kwa wavuvi .
@mbithenzuki3865 Жыл бұрын
Oooh pole
@gloryassey3962 Жыл бұрын
Pole
@braitonmhagama91022 жыл бұрын
Mpaka sasa nimewasikiliza manusura 6 wa ajali ninachoweza sema kuna km ndege 6 pia zilianguka ila zote ziwani ... yan kiufupi maelezo yote yanakutana kwenye ZIWA tu ngoja nisubir naamini kuna mwingine atasema ndege ilianguka MBUGANI. Kila mmoja sterling yeye
@kwilasajunior53672 жыл бұрын
This is Tanzania dah
@isabellahuba57532 жыл бұрын
Nimecheka
@shangazshangaz42222 жыл бұрын
Sema walio okolewa wana yumba sana hata wasipo mpogeza majaaaliwa kwakuwaokoa haituhusu wawe wamejiokoa wenyewe laki maja mnyama yuko ndani yabunge acha nawao watapetape na shoshomidia🏃♂️🏃♀️
@sirielsamweli47512 жыл бұрын
😅😅😅😅 umenifurahishaaaa sanaaasss
@dianapaulo72982 жыл бұрын
Kama unasema mlango uligonga kwanguvu basi ulipigwa na Majaliwa kwa nje kisha akazama upande mwingine kwarubani