A-Z Msigwa alivyotaka kuzichapa na DC

  Рет қаралды 250,614

Global TV  Online

Global TV Online

8 жыл бұрын

Пікірлер: 228
@livionemwangemile4950
@livionemwangemile4950 6 жыл бұрын
mweshimiwa msigwa mwambie kuku uyo anajua umeteuliwa
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 6 жыл бұрын
mwambie huyo mcgwa😂😁😀😂😁😀😂😁😀penda sana mchungaji wangu
@jumagari4695
@jumagari4695 6 жыл бұрын
kweli msigwa nimekukubali usikubali kuburuzwa na makada hao was ccm
@BarakaWaya
@BarakaWaya 5 жыл бұрын
Msigwa hekima huna, Safi Sana DC ,Huyu Dc anahekima sanaa
@boyselemani4493
@boyselemani4493 5 жыл бұрын
Umemtolea uvivu Safi sana kaka nimekubali unafki wamadalaka umempa Kali hao ndio wanafiki Ila kajielewa
@naimajecker2889
@naimajecker2889 6 жыл бұрын
Msigwa i love uuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 6 жыл бұрын
Uongozi unahitaji subira. Dc ni kiongozi. Hajatumia utawala. Nampongeza.
@fungamaliramadhani479
@fungamaliramadhani479 5 жыл бұрын
MICHAEL GERSHON msigwa huyo hapi umuezi mtoto wamjini huyo mguse uone pimbaavu
@stellaernest8735
@stellaernest8735 5 жыл бұрын
we ni fala hujui nn maana ya uwajibikaji Pumbavu
@amanabdallah9745
@amanabdallah9745 5 жыл бұрын
Subira ya nini, kwa hao ma DC na ma rc waonezi,kilichobaki ni kukungutana makonde
@elishajuma2615
@elishajuma2615 Жыл бұрын
Wew na wew ndo wale wale
@elikanaisrael1138
@elikanaisrael1138 6 жыл бұрын
Safi san mchungaji msingwa njoo kabisa nikukabidhi mke wangu
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 жыл бұрын
wahehe wabishiii😂😂😂
@georgesindano7402
@georgesindano7402 5 жыл бұрын
safi sana mbunge wangu wa iringa town kama ni swala la maafa si mpaka viongozi wate wauthulie maafa (ndio maana kukawekwa ngazi kwa ngazi)
@annetmsafiri6704
@annetmsafiri6704 5 жыл бұрын
Kazi kweli kweli mtumishi wa mungu huyoooo mungu tusaidie
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Kwaio alegee kisa utumishi wa dini muungu anataka upambane ndio akusaidie
@husseinkulumbiza8894
@husseinkulumbiza8894 5 жыл бұрын
Napataga Tabu sana kuona Viongozi wetu,wanatupiana maneno Makali,Najiuliza sasa kama wao wanagombana sisi wanatuweka Upande Hupi!Tumtangulize Mungu mbele kwa kila Jambo Tutafanikiwa,Naviongozi wetu Mshirikiane na Mpendane,Mungu Atuongoze.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Safi sana msigwa
@majaliwayusuph3801
@majaliwayusuph3801 6 жыл бұрын
Mh Msigwa hawa RC na DC wana kinga lkn lazima uwaambie wajue hilo. Kuekwa ndani na kufunguliwa. kesi za uchochezi ni kawaida kwa upinzani.
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 5 жыл бұрын
Wachungaji wasiku zamwisho 😂😂😂
@wakatiwetuleotv4295
@wakatiwetuleotv4295 6 жыл бұрын
Yesu aliye mkuu Sana na mfano wakuigwa alikasirika nakupindua meza Za wabadili fedha walipo kiuka taratibu kwa dharau iweje msigwa asikasirike? msigwa Uko Pouwa Sana
@simonnyasebwa9026
@simonnyasebwa9026 6 жыл бұрын
WAKATI WETU LEO TV kweli chadema hamnazo unamfananisha Yesu na msigwa mmetoka wapi ninyi mbona mmeishiwa hivyo kwa akili hizi Tanzania hamtaiongoza MNA vurugu si kawaida mkiguswa tu mnalia oooo mnaoeleka polisi mmekuwa kuwa kama wanawake, poleni sana.
@nathankihiyo9293
@nathankihiyo9293 5 жыл бұрын
Ujinga mwingine huu!! hivi unajua kwann Yesu alikasilika? na utambue Yesu alivyokasilika hakumdhihaki mtu, hakumkashifu mtu wala kumdharau mtu! Acha kumfananisha Yesu na vitu vya kipumbavu.
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Huo ndo uwanaume sasa hakuna kuoneana hapa safi sana
@nathankihiyo9293
@nathankihiyo9293 5 жыл бұрын
msigwa amepaniki kinoma 😂😂😂😂. imebaki siku, majira na nyakati na wewe uwepo nje ya fensi. hao hao waliokuchagua ndio watakaokutoa.
@sulleysonmishlaymishlay7233
@sulleysonmishlaymishlay7233 6 жыл бұрын
Hiyo safii sana uchungaji siyo ujiga
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Aibu Sana ukiwa nakiongozi mropokaji hivyo kama Msigwa duuuh uongozi nibusara na hekima well done DC
@moureenkirundwa8691
@moureenkirundwa8691 4 жыл бұрын
Unafurahia kuburuzwa e, aliyoyaongea msigwa kikawaida ni true ila ttz approach. Kwa iyo by conclusion Dc kazngua
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 5 жыл бұрын
mchungaji nakupenda sana unajuaga kutoa makucha.
@makaleshop6063
@makaleshop6063 5 жыл бұрын
Hongela mkuu ungemsonkola akome
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Ndo msemaji mkuu wa serikali. Genge la wahuni😊😊
@chilombachilo7534
@chilombachilo7534 6 жыл бұрын
msigwa kunywa soda popote nitakuja lipa
@anozacha611
@anozacha611 6 жыл бұрын
Chilomba Chilo safi
@deoshine777
@deoshine777 5 жыл бұрын
chezea kitambi hicho bb wanatumwa hao kuvuruga tunaona arumer na ars
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 6 жыл бұрын
Safi sana msigwa hao mbwa hatutaki mazoea nao bata wa ccm ndo dawa yao umenifurahsha sana
@mzeeahmadi9400
@mzeeahmadi9400 5 жыл бұрын
you are dealing with smart people I'm not stupid !
@samuelpeterkaaya1211
@samuelpeterkaaya1211 3 жыл бұрын
Nakupenda Baba Peter
@braytonymasebene1086
@braytonymasebene1086 5 жыл бұрын
Ahahahahahahahahahha msigwa bana mbn umemchelewesha kwan ccm wao wakina naniiii bg up rais msigwa wa ilinga
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 6 жыл бұрын
Msigwa ni jembe kazi zake tunaziona, aendelee kuchapa kazi na kuisimamia serikali.
@anozacha611
@anozacha611 6 жыл бұрын
Louis Nyon tena sanaaaaaaaaaa
@edsonndogoro3188
@edsonndogoro3188 5 жыл бұрын
Louis Nyoni kazi gan alizofanya msigwa. Huo ni uchafu tu.
@nathankihiyo9293
@nathankihiyo9293 5 жыл бұрын
😂😂😂😂Kazi za kuropoka hata mimi naziona
@edsonndogoro3188
@edsonndogoro3188 5 жыл бұрын
Louis Nyoni ana kazi gan msigwa anazofanya au kulima mahindi ya kumwagilia?
@josephmakau7322
@josephmakau7322 4 жыл бұрын
Msigwaaaa chumaaa motoooo msigwaaa mashine sanaaa
@hassanlikaba9813
@hassanlikaba9813 6 жыл бұрын
Subiri akushuhurikie sasa 2020. Utapata tabu sana
@ramadhanmahongole9649
@ramadhanmahongole9649 5 жыл бұрын
saf sana msigwa hao ma DC hawajuagi sana nguvu ya ubunge kuwa inatokana na wananchi hivyo mbunge ananguvu kuliko hao
@magelaoscarjr1401
@magelaoscarjr1401 5 жыл бұрын
dadeekii!!! mgaya shidaa og
@abdalomari5912
@abdalomari5912 5 жыл бұрын
msingwa uyo mkuu ajielewi yeye kaletwa tu ndiyomana ajielewi
@saidikamduma5468
@saidikamduma5468 6 жыл бұрын
mmmmh Tanzania hii inakoelekea Kazi ipo
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 6 жыл бұрын
Mchaapeee huyo pastor 😆😆😆😆😆😆sina mbavuuuuuu penda pastor msomehe 1king 18:
@danielmpokasye6108
@danielmpokasye6108 3 жыл бұрын
Daaaa mama yake msigwa angezaa tena kama huyu saf kbs hamna kuburuzana hap
@martinkarata1097
@martinkarata1097 6 жыл бұрын
Safi sana tena aache mazoea
@habibadhikr9406
@habibadhikr9406 5 жыл бұрын
Hongera rais magufuli yote Hayayalikuwa hayapo utaona mengi Haya ni mambo yawanawake yamehamia kwa wanaume
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 5 жыл бұрын
Duuuh hapa kazi hipo hahaha😂😂😂😆😆😆
@zubelmkemwa9680
@zubelmkemwa9680 5 жыл бұрын
d mungu gan hy anae muabud msingu mbingu gan tunayo enda Kwa sitar hy
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Msigwa mwenyewe hayupo, na kasesera hayupo!
@adamkaita3009
@adamkaita3009 5 жыл бұрын
he he eeeh msigwa jimbo limekushinda hilo Acha kupanick jimbo linarudi ccm hilo
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 5 жыл бұрын
Kwa ubabe sawa
@ishpalemypasco5751
@ishpalemypasco5751 5 жыл бұрын
eti mchungaji mchungaji gani mpumbavu huyo.chadema mazuzu yote kasoro mzee lowasa ana hekima na busara
@immamlowe734
@immamlowe734 6 жыл бұрын
Huyu. I mcbungaji kwel au nimchunhaji madili? Mchungaji haiwi hivo.
@amanigochen4841
@amanigochen4841 5 жыл бұрын
Imma Mlowe
@stellaernest8735
@stellaernest8735 5 жыл бұрын
huja maliza hata dalasa la 7 unataka kumuelekeza mchungaji msigwa huo n umama
@msemwawalter837
@msemwawalter837 5 жыл бұрын
Uchungaji vitani???
@rennysteve3227
@rennysteve3227 6 жыл бұрын
Eti mchungaji hekima iko wapi?
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 6 жыл бұрын
Renny Steve ulickia mchungaji ndio aonewe we vepe
@fungamaliramadhani479
@fungamaliramadhani479 5 жыл бұрын
Renny Steve mchungaji wanini muhuni tu huyo hapi pigakazi babu Chadema pigachini huyooo
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 5 жыл бұрын
Mungu karuhusu hasila ila usitende dhambi ndio maana unasikia hasila iliwaka kwa Daudi kumuangusha Goliath
@stellaernest8735
@stellaernest8735 5 жыл бұрын
we ni fala hujui nn maana ya uwajibikaji pumbavu
@moureenkirundwa8691
@moureenkirundwa8691 4 жыл бұрын
Uchungaj mana yake co uonewe, na czan km kafanya dhambi hapo, kwa kuw hasira iliwaka ndan yke lkn haikuw na matunda mabaya
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 Жыл бұрын
Mtihani
@amenyekibona8730
@amenyekibona8730 5 жыл бұрын
amakweri umedata Msigwa,,,, Dc pongezi kwako anajichinja mwenyewe
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 жыл бұрын
Mchungaji msigwa njoo tuhubiri wenye dhambi ili tulete maendeleo ya kiroho kwa watanzania.. Hayo ya kimwili waachie wenye wito na style ya siasa..... Siasa ngumu kwa muhubiri jamaniiii... Maji na mafuta. Stahafu ili kujenga heshima.. Umeshafanya kwa sehemu yako sasa njoo madhabahuni... Please please please baba ... Waachie wakina Mdee.
@stephenmgema2208
@stephenmgema2208 5 жыл бұрын
Mmh..... Haya bhana
@allymliloh1760
@allymliloh1760 6 жыл бұрын
Hivi huyu msigwa alisoma tu Bible knowledge akawa mchungaji au ndo watu kuitana prof Jay
@JeanPierre-sb3ys
@JeanPierre-sb3ys 6 жыл бұрын
timoun dezòd
@stellaernest8735
@stellaernest8735 5 жыл бұрын
kamuulize baba ako, ndio atakupa jibu manake wakati anasoma bado hujazaliwa
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 жыл бұрын
Mchungaj anasema yamejaa yamemfika apa,,acha amtolee uvivu duhhh,,
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 6 жыл бұрын
Najiskia kuwachana...wachane baba
@exavermolandi1101
@exavermolandi1101 6 жыл бұрын
Msigwa piga choko ilo la ccm
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 5 жыл бұрын
Huyo DC Anakurupuka sn mambo yake kwenye ukweli bora umpe ukweli tu
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 5 жыл бұрын
hili sasa hivi linakela sana kama halijawahi kuwa lichungaji huenda linavuta bangi linashindwa kumjibu hata kwa hoja mambo ya kijinga limekuwa na presha ya uchaguzi 2020 na 2020 hili hata likipigwa chini kwenye uchagizi siwezi kusikitika linaboa kinoma kwenye haliwajibiki ipasavyo lakini kwenye kutafuta kiki la no 1,
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 жыл бұрын
Huyo msigwa si apigwe Kofi aache kuropoka alaaa,,,nyau tu,,,afu anajiita mchungaji,,,,,,et wewe ndiyo mchungaji
@amenipasanga2918
@amenipasanga2918 5 жыл бұрын
DC hongera sana
@abdulkareemally8371
@abdulkareemally8371 5 жыл бұрын
Waambie ukweli tuu.. wakikufunga sawa ila wanao ukweli
@cypmkutubi3109
@cypmkutubi3109 5 жыл бұрын
Eti huyo ni kiongozi wa chama kisha eti ni mchungaji, anabwata kama muuza gongo! Tujifunze nini kwa kiongozi kama huyu?? Tena anamuomba DC amuweke ndani. Hujanishawishi kujiunga na CHADEMA SACCOS
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 жыл бұрын
Safii,sanaaaa
@chelestinomatinya3002
@chelestinomatinya3002 5 жыл бұрын
ukitaka kuona ubovu Wa mtu utajua tu asa angalia aligombana na yule bado anataka agombane na huyu kijana mzuri mchapa kaz yaan mm ananikera san
@Ba63828
@Ba63828 6 жыл бұрын
WEWE MCHUNGAJI HASIRA BILA KIKOMO KWA HIO ULITAKA UMPIGE USINGEZUILIWA NA WAPAMBE WAKO?
@josenjozi5288
@josenjozi5288 4 жыл бұрын
Alipo Atunkolepo Mwakanyika ko
@raymondmelele1911
@raymondmelele1911 4 жыл бұрын
Daaah msigwa
@johnmotto6366
@johnmotto6366 6 жыл бұрын
Msigwa nguvu huna halafu unajionesha .
@lucyshine1271
@lucyshine1271 5 жыл бұрын
Mbunge anajiamini dc hoi hana kitu
@renatusmgina4003
@renatusmgina4003 6 жыл бұрын
Safi sana wajinga kama hao inatakiwa at a makofi tu wanapenda ujinga kila mda kura za wapiga kura wanaiba bado wanashindwa yakuongea wanakusema MCHUNGAJ vitu vya kijinga wamezoea hao umefanya vizur sana bola kumfece MTU syo kuzunguka MTU mwenyewe bata tu kateuliwa Anataka kushindana nauliye chaguliwa KWA mapenzi ya wananchi waliowachoka mabepari hao wakununua madiwan na wabunge
@wigansichilima4205
@wigansichilima4205 5 жыл бұрын
Kwann mnafanyahayooo jamn
@chaxysimon664
@chaxysimon664 5 жыл бұрын
nimekumbuka enzi zangu zile za kitambo, mstari unachorwa chini afu mwezio anakuambia vuka kama wewe ni mwanaume haaaahaahaaa
@farajihokororo1806
@farajihokororo1806 5 жыл бұрын
Huyo sio mchungaji kasesele ungemtia ndani awe na adabu
@Kifyasi
@Kifyasi 6 жыл бұрын
we msigwa ww achahasila ww nikioo chajamii hasila zann? ukiwa kiongoz lazima utumie wazfa wako fuata sheria
@ramadhanikalumbete7134
@ramadhanikalumbete7134 6 жыл бұрын
upole ukuzidi utatiwadole yanipale kamanimm shamchapa.teke LA.korodani
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 6 жыл бұрын
RAMADHANI KALUMBETE hahahaaaaa sasa sasa
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 3 жыл бұрын
huyo siyo mkuu wa wilaya huyo ni kada wa ccm 🤣🤣🤣😆
@sweetbertmlinda9672
@sweetbertmlinda9672 5 жыл бұрын
Mhhhhh, hiv ukiwa chadema lazma uwe kichaa kichaa hiv au!? Msigwa na ww una Kaz 2020 usipojirekebisha
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 5 жыл бұрын
Nitafuatilia mpaka nione 'Mlokole huyu uchwara' anavyokwisha.
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 жыл бұрын
😁😁😁😁 ngoja kwanza ninywe maji ya motoo then nitakuja badaye
@abubakarimwasumilwe7293
@abubakarimwasumilwe7293 6 жыл бұрын
niubabe tu...
@faridafarida6631
@faridafarida6631 8 жыл бұрын
onyo wazee wazima
@edsonndogoro3188
@edsonndogoro3188 5 жыл бұрын
Msigwa akili huna! Ww ni bwege mkubwa unaonyesha huna uchungaji wowote! Zungumza kihehe basi sasa unazungumza kingereza wazungu wenye lugha wapo wap? Yaan hili jamaa ni tumwa kabisa bado linadhani eti kinge ndy kusoma mweee, popopooo!
@saidimilanzi6403
@saidimilanzi6403 5 жыл бұрын
tatizo ni hawa wateule wa rais yaani asilimia 90%wanakesha kutafuta namna ya kumridhisha mwenzao aliewateua hawajui kabisa wajibu wao,ndio maana sasa wenye busara wanaona haipo tena haja ya kutumia busara ni kuwawakia tu live
@omarmohd5678
@omarmohd5678 5 жыл бұрын
Piga kubwa jinga
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 6 жыл бұрын
Mchungi au Mchungaji!
@robertmartin1589
@robertmartin1589 5 жыл бұрын
muchungaji gani mshenzi.
@florencemgoyo9273
@florencemgoyo9273 5 жыл бұрын
sukumaaaa ndaniiiii
@edsonndogoro3188
@edsonndogoro3188 5 жыл бұрын
Eti huyo ndy mchungaji, eti huyo ndy mbunge, aisee huku kwetu tunaita mbunge masusu.
@sazafsuma7542
@sazafsuma7542 6 жыл бұрын
alaa pumbavu
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 жыл бұрын
Umepanik mbunge
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
wanakela sana mcc
@ramadhanikakoree3728
@ramadhanikakoree3728 6 жыл бұрын
100%
@simonnyasebwa9026
@simonnyasebwa9026 6 жыл бұрын
Nishasema we siyo mch, Bali mchungwaji sijui ulienda chuo gani na unasoma biblia gani we umebambikwa tu huo uchungaji,
@mbwanarashid7353
@mbwanarashid7353 5 жыл бұрын
Wewe kibaraka tu ovyooo et kasomea wapi inakuhusu we mwenyewe hata mlango wa darasa huujui
@emanuelezekielphilipo4687
@emanuelezekielphilipo4687 5 жыл бұрын
Nanyeye mnaye andika uchoko uchungaji siyo unyonge bana, kira mkiandika mchungaji mchungaji sasa ndoawe fara acheni uccm
@hellohello4700
@hellohello4700 5 жыл бұрын
Acha kuropoka we chupi!!
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 5 жыл бұрын
We fici soma Bible
@stellaernest8735
@stellaernest8735 5 жыл бұрын
baba ako anajua nn mpaka useme mbunge msigwa sio mchungaji acha tabia za kimama hizo
@jamessichimata3100
@jamessichimata3100 5 жыл бұрын
Ongea kiswahili mchungaji
@erodycostantin6866
@erodycostantin6866 5 жыл бұрын
kiki zingine za kimavitu ndio munaenda kutunga sheria za kimavitu
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 5 жыл бұрын
Dc kitu gani bhana? Msigwa anamaanisha anachosema, wanazoea vby
@issajohn5670
@issajohn5670 5 жыл бұрын
Mtu mdebwedo utamjua tu. Huwa ashiwi maneno na kujifanya yy mbabe zaid. Na huvyo ndivyo mnazid kupoteza thamani kwa wananchi wenu. Twent twent ikifika razima mbwagwe nyy
@stevenmakundi3310
@stevenmakundi3310 6 жыл бұрын
hmmmm duuuh!!!!!!!
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Huyu DC haongozani na.askari. hatari atakuja kupigwa
@ayoubmkeya8709
@ayoubmkeya8709 5 жыл бұрын
shida pale unapo hc wewe ni bora kuliko wengine mfano msigwa kauli zake ni dhahiri kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanao jiona ni sahihi kuliko wengine kwa kauli zake kwa mienendo yake na mengine
@jumbemarko4386
@jumbemarko4386 5 жыл бұрын
Mtegue kiuno huyo DC uchwaraa
@mazikufabian2252
@mazikufabian2252 7 жыл бұрын
Mkwawa Piga Hiyo Kitu.
@wigansichilima4205
@wigansichilima4205 5 жыл бұрын
Kwann mnafanyann mambo haya
@eliasandale7526
@eliasandale7526 5 жыл бұрын
Shida Hawa viongozi Iringa hawakuja kutatua kero wamekuja kupambana Na wabunge wa wapinzan ,maana hakuna kikao bila kuzungumzia wapinzani
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 833 М.
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
MSIGWA TENA BUNGENI, AWASHUKIA WANAOISIFIA SERIKALI, JENISTA AMBANA
7:41
Mwananchi Digital
Рет қаралды 19 М.
BAADA YA MATOKEO SUGU AFUNGUKA YAKE || MSIGWA NAE ASEMA YAKE
5:47
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
Mh. Peter Msigwa: CCM haina dira
10:03
Chadema Diaspora
Рет қаралды 134 М.
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 11 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 10 МЛН
КАРОЧЕ НЕУДОБНАЯ СИТУАЦИЯ😱🔥 #shorts
0:45
ПОПОВИЧИ
Рет қаралды 4,7 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
0:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,7 МЛН
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 1,8 МЛН