BAADA YA MATOKEO SUGU AFUNGUKA YAKE || MSIGWA NAE ASEMA YAKE

  Рет қаралды 18,809

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu' ameahidi kuwaunganisha wanachama wote kama kazi yake ya kwanza baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Katika uchaguzi huo Sugu alichuana na Mchungaji Peter Msigwa, ambaye amashindwa kutetea nafasi yake hiyo kwa kupata kura 52 dhidi ya 54 za Sugu. Akizungumza leo Jumatano, Mei 29 muda mfupi uliopita baada ya kutangazwa, Sugu amesema kazi yake itakuwa kuwaunganisha wanachama wote baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo. Hatua hiyo inatokana na kawaida ya kuibuka kwa makundi wakati wa uchaguzi.

Пікірлер: 45
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?
33:48
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 469 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН