ABBAS TARIMBA AMWAGA MACHOZI, ASHINDWA KUJIZUIA MAGUFULI AKIZUNGUMZIA VIFO VYA WATOTO WAKE.....

  Рет қаралды 58,439

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

ABBAS TARIMBA AMWAGA MACHOZI, ASHINDWA KUJIZUIA MAGUFULI AKIZUNGUMZIA VIFO VYA WATOTO WAKE.....
MGOMBEA URAIS (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake katika jiji la Dar es Salaam, ambapo leo Oktoba 14, amefanya mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Pakers vilivyopo wilaya ya Kinondoni na kumtoa machozi ugombea ubunge jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba......
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 186
@user-rh6jw9np7y
@user-rh6jw9np7y 3 жыл бұрын
Yni ni kweli kabisa tarimba anaroho mzur sana..hta kipindi cha mafuliko mwaka 2011 alitupigania sana tupate viwanja mabwepande na tulipata...tarimba ni mtu safi sana anapenda kujichanganya sana na wananchi wake🙏❤
@jinaali4370
@jinaali4370 3 жыл бұрын
Pole, kaka tarimba! Allah akutie moyo, Kwa mapenzi yake atakupatia kilicho bora zaidi!
@cyprianndabavunye3308
@cyprianndabavunye3308 3 жыл бұрын
CCM BABA LAO VYAMA VINGINE VINAJITESA BURE, I REAL APPRECIATE DR. JOHN POMBE MAGUFURI THAN ANYTHING KAMA LOSAWA ALIPIGWA SEMBUSE HAWA VIBARAKA... MTASIKIA URAIS MIAKA YOTE
@florashauri9228
@florashauri9228 3 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA RAIS WETU MPENDWA DR.JPM
@alvanside4913
@alvanside4913 3 жыл бұрын
Tunakupenda Sana Rais magufuli
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Pole Mheshimiwa Tarimba mungu akutie nguvu inshallah 🤲🙏
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Masikini inauma watoto wakubwa ndani ya wiki mmoja? Jamani mungu akupe moyo mkuu baba history nzito sana
@josephzitto4870
@josephzitto4870 3 жыл бұрын
Hata mimi niliposikia iliniumiza sana Mungu amtie nguvu
@almunirkarim126
@almunirkarim126 3 жыл бұрын
Pole sana Abbas Tarimba godbless you and yr family.
@shabanisalum2491
@shabanisalum2491 3 жыл бұрын
kwakazianayo fanyamweshimiwa magufuli safisna tunakupeda baba mangufuli
@mwitaadam8040
@mwitaadam8040 3 жыл бұрын
Pole mh tarimba Mungu akutie nguvu
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
Pole sana mzee kwani mipango ya mungu aina makosa
@matridabatista7989
@matridabatista7989 3 жыл бұрын
Tarimba oyeeeeeeeeeeeeee
@beretaman8300
@beretaman8300 3 жыл бұрын
Nan kama magufuli🔥🔥
@eliajoseph6865
@eliajoseph6865 3 жыл бұрын
Hajazaliwa bado wa kufanana JPM
@hamadjuma4819
@hamadjuma4819 3 жыл бұрын
Na sisi zanzibar tunasubiri flyover baba
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Mleteeni Hussen mwinyi mambo yote yatakuja hayo.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Yeah Dkt mwinyi ataleta mabadiliko Zanzibar
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Yatakuja
@teamlovesquare3207
@teamlovesquare3207 3 жыл бұрын
Aaaaaaaa wapi zipo kumi namoja lkn hata moja hawajatuletea kwa roho mbaya yao
@dinatalib2703
@dinatalib2703 3 жыл бұрын
Mm ndonasubir tu Hassan mwiny achaguliwe nirud kwetu tz
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Duuu pole sana huo ni mtihani mzito.
@rizikimustapha3806
@rizikimustapha3806 3 жыл бұрын
BABA PIGA KAZI SIKUZOTE huwezi kupendwa nakila mtu
@eliajoseph6865
@eliajoseph6865 3 жыл бұрын
Mm peke yangu nampenda. MAGUFULI wangu
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Magufuli. Babalaooo
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Pole talimba kuondokewa na wanao
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 3 жыл бұрын
Pole baba angu Tarimba
@matridabatista7989
@matridabatista7989 3 жыл бұрын
Daaah pole sana Tarimba,
@vannnyclassic3328
@vannnyclassic3328 3 жыл бұрын
Tunakushuru rais wetu kura yangu na kupa wewe hila kuranga yangu na kupa tusaidie jangwani pale sisi wafanya bishara tunashindwa kupitia kwenda k/kko kufunguwa duka zetu kipindi chavuwa rais wetu🙏🙏🙏
@sarahrajabu9812
@sarahrajabu9812 3 жыл бұрын
Pole sana abas tarimba inasikitisha sana lakini mwenyezi mungu ndiye mpangaji. Mwenyezi mungu akupe nguvu
@dominamollel6753
@dominamollel6753 3 жыл бұрын
Siasa na wana siasa...kuvuta all in all this is campaign...Father God have Mercy for Tanzania.
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
Ndugu zangu please be grafeful for Magufuli. Chose him
@alvanside4913
@alvanside4913 3 жыл бұрын
Mungu akujaalie uwe na moyo uwo uwo wa kutetea wanyonge muheshimiwa Rais magufuli
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Inaumiza. Sana mungu akuinie mh tarimba mungu yupo pamoja na wewe
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Pole Tarimba maskini
@furryinjasuper2242
@furryinjasuper2242 3 жыл бұрын
Raisi wawanyoge
@sebastianlubava452
@sebastianlubava452 3 жыл бұрын
Na ananyonga kwel mpeni tena shingo izo
@unclesaleh3257
@unclesaleh3257 3 жыл бұрын
Tarimba Abas anafaa Sana apewe kula zote za ndio.
@kayembesaidi9949
@kayembesaidi9949 3 жыл бұрын
Pole sana tarimba
@husseinawadh4009
@husseinawadh4009 3 жыл бұрын
Rajab Salum amliza Tarimba,
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Pole sana
@deograsiamoyo4975
@deograsiamoyo4975 3 жыл бұрын
Nami nimejikuta nalia pole abassi mh mungu wa mbinguni akutie nguvu tarimba
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
Mengi Sana, Ata mlima una moto
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 3 жыл бұрын
Allah akutie nguvu Kaka Abbas Talimba
@suzanayangi1792
@suzanayangi1792 3 жыл бұрын
Pole sana tarimba kwani sisi tuliwapenda ila munqu aliwapenda sana kaza moyo kinondoni ni ya kwako wewe ni shujaa
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 3 жыл бұрын
Tunakuamini Baba Magufuli
@kitambimwanakitambi975
@kitambimwanakitambi975 3 жыл бұрын
Duuu nmeumiaa sanaaa ....pole sanaa baba tarimbaa
@khadijamwarabu900
@khadijamwarabu900 3 жыл бұрын
Nimejikuta nalia pole Tarimba Mungu akutangulie
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 3 жыл бұрын
Ukonga tunajamboletu wote tumefiwa na wazazi
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
Uyo baba ana roho nzuri
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 3 жыл бұрын
Mkuu una kura yangu
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 3 жыл бұрын
Wakati watoto wa Tarimba Abbasi wanakufa na COVID19 nani alikuwa Rais. CCM wametufanya Watanzania wajinga kabisa. Watoto wanamaliza Darasa la Saba, Form Four, Form Six, Chuo Kikuu wanarudi majumbani kukaa na wazazi kwa kukosa ajira. TUWAKATAE KAMA COVID19
@neemajohn114
@neemajohn114 3 жыл бұрын
Nimejikuta natoa machozi Mungu akutie nguvu
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 жыл бұрын
Hata mm nimelia Sana et,...inahuzunisha mno
@rithamalyagili3130
@rithamalyagili3130 3 жыл бұрын
Waziiiiii mkuuu umesomeka hapa KAZI tu
@fantsonmipango5805
@fantsonmipango5805 3 жыл бұрын
Kwani hilo jimbo sililikuwa chini ya ccm?
@rizikimustapha3806
@rizikimustapha3806 3 жыл бұрын
Ndiyo lakini WALIYO kuwa wakiongoza siyo kama MAGU punguzeni mihemko
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 3 жыл бұрын
Sawa ni wazalendo was Tanzania
@samsoniwakenya1404
@samsoniwakenya1404 3 жыл бұрын
Kaaa sio mzuri mbona vichwavyenu vyakijani😁😁
@ashiraally527
@ashiraally527 3 жыл бұрын
Si ndo ccm kila kona sehemu zote
@samsoniwakenya1404
@samsoniwakenya1404 3 жыл бұрын
@@ashiraally527 Hadikichwa?
@sarahamos8524
@sarahamos8524 3 жыл бұрын
Yaan mmea wenye uhai ndsn yake
@lugendochilongola2513
@lugendochilongola2513 3 жыл бұрын
Uwaziri tarimba apewa kwanza anaheshima sana jamaa japo pesa anayo mara nyingi namuona sports pesa
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 3 жыл бұрын
Lugendo Chilongola sport pesa ni yake huyo
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
@@mwlelishamathayo6528 hv kagombania mara ya pil hii ubunge au
@chimalitv727
@chimalitv727 3 жыл бұрын
Viva magu viva
@charlesmakaggah2853
@charlesmakaggah2853 3 жыл бұрын
Vpi historia ya lisu
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
HAIMUHUSU MAGU HISTORIA YA LISU MUULIZE BABA AU MAMA YAKE NDIO WANAHISTORIA YA MTT WAO
@consolathakimaryo3798
@consolathakimaryo3798 3 жыл бұрын
mwanamusimbe lisopansi i
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
Alipigwa lisasi 30 mbili kwenye tako kwamaana anataka akipita aruhu ushoga kwakuwa yeye anasehemu ambayo ipo wazi na baada ya kutibiwa madactary aligeuzwa nyuma hiyo ndio historia fupi ya jangiri lisumbutu au lisu
@janekikoti2179
@janekikoti2179 3 жыл бұрын
@@maalickbintarish6658 chukua kinywaji nakuja kulipa
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 3 жыл бұрын
Pole sana tarimba Mungu yupo pamoja nawe ana makusudi na wewe na daima mungu hamtupi mja wake raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaaangazie
@bijampolamsemakweli9687
@bijampolamsemakweli9687 3 жыл бұрын
Magufuli oyee
@chimalitv727
@chimalitv727 3 жыл бұрын
Tulioko nje tz magu anapendwa mno
@keraryojoseph5076
@keraryojoseph5076 3 жыл бұрын
Dji afuro
@athuimansaid1369
@athuimansaid1369 3 жыл бұрын
Piga kazi
@charlesmakaggah2853
@charlesmakaggah2853 3 жыл бұрын
Kwa kauli za magufuli akipita tutakula nyasi
@suzansalala9232
@suzansalala9232 3 жыл бұрын
Anapita nani sasa ebu niambie
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
ATAPITA TENA KWA KISHINDO KWASABABU KISHA TUONYESHA NJIA,CJUI WW LISU KAKUONYESHA NN? NADHANI USHOGA
@suzansalala9232
@suzansalala9232 3 жыл бұрын
Nilimuuliza,huyo anahisi nani anapita ni magufuli tena mitano mingine
@charlesmakaggah2853
@charlesmakaggah2853 3 жыл бұрын
@@hajjighanji5667 nadhani babako atakua shoga ndio maana unaujua
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
@@charlesmakaggah2853 HATA WW NI SHOGA NA KIZAZI CHAKO KITAKUWA CHA MASHOGA INSHAALLAH.KWASABABU UNASHABIKIA RAIC WA MASHOGA
@salumkinono4729
@salumkinono4729 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema uyoo talimba eti analia nini sasa wakati yanga ilimshinda kuongoza
@masudichinga3498
@masudichinga3498 3 жыл бұрын
Mjomba kunamaneno awe anajizuia kuyasema maana
@kalistusauzebi5707
@kalistusauzebi5707 3 жыл бұрын
Mtulya akome sasa kuhama hama vyama ona anavy zalilika kama siyo Mbunge aliye kuwa anajulikana
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
Acha usenge wewe kinachomzalilisha nini Sasa Malaya wewe
@leahedward5889
@leahedward5889 3 жыл бұрын
uroho wa mapesa
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 3 жыл бұрын
@@maalickbintarish6658 Malaya unamjua mbuzi wewee unajua mama yako kakupata vipiii nyonyoma wewe
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
@@maalickbintarish6658 kwa nini unatukana wewe?
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
@@taslimanyange2850 nyonyoma mwenyewe🤣🤣🤣🤣
@eliezachalamila7891
@eliezachalamila7891 3 жыл бұрын
Sasa wewe unasema tukuletee talimba kwaniwewe umeshachaguliwa na wananchi
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
Huyo kashapita choko wewe atuwezi mchagua jangiri lisu
@magecosta4449
@magecosta4449 3 жыл бұрын
Magufuli ndiyo Rais.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 3 жыл бұрын
Anapita maana kura za msubiri zakutosha tu.
@subiransasi8029
@subiransasi8029 3 жыл бұрын
We mwenyewe utampigia kura Magufuli
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Hana mpinzan huyo magu kashapita
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 жыл бұрын
Achia hella baba hali ni tete wanyonge tuhoi njaaa kali kura bumepata achia maney hioooo
@elishankandajonathan4265
@elishankandajonathan4265 3 жыл бұрын
Kwani yeyendo kashikilia hela zako, fanya kazi acha kulia wewe
@elishankandajonathan4265
@elishankandajonathan4265 3 жыл бұрын
Kwani yeyendo kashikilia hela zako, fanya kazi acha kulia wewe
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Nani anawadanganya km hela zinaachiwa ovyo
@taimumwasanya7708
@taimumwasanya7708 3 жыл бұрын
@@elishankandajonathan4265 kazi tunafanya saana ndugu yangu lakin mmhh kazi tembo kipato sungura pesa empty
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
MBONA ULISEMA WAKULETEE YULE MWANAMKE MWEUPE UTAMSIKILIZA HARAKA
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
ACHENI UJINGA RAIC WETU ANAPENDA UTANI C HIVYO UNAVYOWAZA.KAAA HAMJUAGI UTANI
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 3 жыл бұрын
Mlivyoishiwa sera mpaka mnamkaba kwenye utani wake.😁😁😁
@ashleymipawa995
@ashleymipawa995 3 жыл бұрын
😠
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Huo utani bwege wewe umejaa chuki ya kimasikini fanya kazi uondokane na ujinga na malalamishi kila sku
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
@@bernardoleonard7331 SIBISHANI NA WASIO.........
@mathewyoungkarbubaba9304
@mathewyoungkarbubaba9304 3 жыл бұрын
Hufai kabisa
@elliemngwamba6711
@elliemngwamba6711 3 жыл бұрын
Wapi? Chatoo
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 3 жыл бұрын
Kwahiyo kama alifiwa ndio tumchague au?
@ibel4lf
@ibel4lf 3 жыл бұрын
Sikiliza mwanzo mpaka mwisho utaelewa
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
TUTAKULETEA BLACK MZEE
@stanslauselias9002
@stanslauselias9002 3 жыл бұрын
Acha kulazimisha sisi ndio tutachangua sio wewe useme eti niletee huyu
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Wewe sematu mmeshikwa pabaya.
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 3 жыл бұрын
Mweupe??
@kamanzicrouch3881
@kamanzicrouch3881 3 жыл бұрын
😀😀😀😀 acha kunichekesha
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Mbona tarimba alikuwa diwani kinondoni MDA najazui mafuriko au sababu nyumbani kwake maji ayaingii tangu 2010 mafuriko yalianza kinondoni jagwani mpaka Leo yamekisa mkakati wa kuyaondoa
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Jawabu ni mmoja tu, we chagua ccm, utaona kama mafuriko yataonekana tena
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
Aliwatoa kafara nn??
@francismigongwa6112
@francismigongwa6112 3 жыл бұрын
Think before you ,,,,,
@sannycpaul9423
@sannycpaul9423 3 жыл бұрын
Bro kwani lazima ucoment, uwe hata na chembe ya hekima au wewe ni mgumba 🤒
@janekikoti2179
@janekikoti2179 3 жыл бұрын
Acha ujinga wako wakuongelea mambo ya watu wengine hiyo kafara uliwauwa wewe?
@eddydauson7525
@eddydauson7525 3 жыл бұрын
Kassim Rajab muogope Mungu. Omba yasikukute
@frankkikambako9281
@frankkikambako9281 3 жыл бұрын
Akili za wafuasi wa Tundu lisu hizo mzizoee tu
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
HATUKULETEI HUYO TARIMBA
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
MLETE KUBENEA TUKUTANE OC28
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
@@hajjighanji5667 TUKUTANE TR 28
@magecosta4449
@magecosta4449 3 жыл бұрын
Kwa mapenzi ya mungu tutamleta Tarimba
@gloryonesmo2244
@gloryonesmo2244 3 жыл бұрын
@@magecosta4449 WANA YANGA NDO WATAKAOMCHAGUA
@asaniomari7507
@asaniomari7507 3 жыл бұрын
Ss tuko MTO wa mbu arusha tunasumbuliwa na mafuriko sana
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 3 жыл бұрын
Tuna taka maendeleo ya Watu tuna njaa pesa hamna mfukoni flyovers hazina faida kama maisha ya Wananchi ni hoi. Sera za flyovers hazifai tunataka maisha mazuri kwa Wananchi. Magufuli oyee.
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 3 жыл бұрын
Jamal Fanya kazi wacha ujinga wa kufikirika ya kupata vya Bure. Hakuna serikali itayo kugawia pesa Mlangoni
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
utasubiri sana kwa mawazo hayo,kajishughulishe
@asantekwahuuwimbozubeda873
@asantekwahuuwimbozubeda873 3 жыл бұрын
Magufuli tunachokuomba achilia biashara zifanyike tuondoe umaskini na uwizi tz halafu walionje usiwashushie chenchi ya rial na usiulize maswali mtu amepata wapi rial tuchoomba tz shilingi iwe na thamani
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 жыл бұрын
Huyo aliyekuimbisheni maendeleo ya watu umemuona leo analia kapanda kimtumbwi huko ukerewe, maendeleo ya vitu yalikuwa likizo, na aliwaambia hawzi kukaa chini leo kakaa kwenye mbao za mtubwi na kuinuliwa kwa kubebwa, mnataka kutuletea eti raisi mvaa nepi
@johnbow3716
@johnbow3716 3 жыл бұрын
Una mawazo ya kifukara wewe Jamaa, kwani hapo ulipo ni mzurulaji au?
@elinkundamkama3302
@elinkundamkama3302 3 жыл бұрын
Juzi ulisema mwenyewe unapenda waupe leo umesahau hakuna raising wa ajabu Kama huyu
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 3 жыл бұрын
Muunge mkono shoga mwenzako huyuu hutamuelewa maisha yakoo yotee na Kama ulikua unataka likes huna akili pimbi ww
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 3 жыл бұрын
Leo kasemaje
@eliezachalamila7891
@eliezachalamila7891 3 жыл бұрын
Kwani wewe umeshakua raisi
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
ni rais!
@subiransasi8029
@subiransasi8029 3 жыл бұрын
Kwani raisi wako Tz ni Nani ndio mnafeli mitihani
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Ni rais mpaka akija kukosa ndo ana anaachia madaraka lakini ss ni bado rais
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 3 жыл бұрын
Watu wenye uelewa mdogo ka wewe lazima waulize maswali Kama hayo.
@kamalissabig2429
@kamalissabig2429 3 жыл бұрын
Hayo maji ndo mmeanza kuyaona leo usitudanganye hawez kuzuia mafuliko ww maana mafuliko hajaanza leo wala jana ulikuwa hauyaoni ama leo mbona hauja yaongelea leo umeona n kampeni ndo unadanganya watu unajal kukunua ndege tu lakin haujal kushughulikia matatzo ya wananchi
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 3 жыл бұрын
Wakuletee Tarimba kwani umeshakuwa Rais? Tulia mzee maamuzi yapo tarehe 28 October niyeye Lissu bila wasanii
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🎤🎤🎤🎸🎸🎸
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 3 жыл бұрын
@@suleimansuleiman2436 nice
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Hembu kelele mtakapo mchagua lissue ndio mpo lkn tutakaomchagua magufuli tupo wengi so kaa Kimya
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 3 жыл бұрын
@mr kilaga umekwama vibaya wa lisu(chadema) wapo japo hawafikii idadi ya magufuli yaana kwa mtazamo wako bado unamatumaini ya lisu kuwa Rais wa jmt?unamtosha ule urais wa TLS basi ila huu bado hautoshi labda ajaribaadae kwenye chaguzi za kuanzia 2040
@bakariamour6024
@bakariamour6024 3 жыл бұрын
Huwezi kuwa na huruma halafu uko ccm, wewe unatokwa na machozi kwa furaha ya kuingia bungeni huna lolote
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
ACHA MZAHA KUFIWA C MCHEZO MAMBO MENGINE TUMWACHIE MUNGU
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
Acha usenge ccm ndio chama cha uhuru na amani
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 жыл бұрын
@@maalickbintarish6658SAFIIIII MPE HUYO MTAKA USHOGA.
@kikotikikoki2560
@kikotikikoki2560 3 жыл бұрын
Hujui kufiwa choko wewe
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 3 жыл бұрын
@@hajjighanji5667 ccm chama siwezi kumpa rais anayefanana na jangiri
@bijampolamsemakweli9687
@bijampolamsemakweli9687 3 жыл бұрын
Magufuli oyee
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
makabidhiano ya ofisi kati ya Rais Magufuli na JK Novemba 12,2015
6:39
1921 - Charlie Chaplin "The Kid"  Episode in colors. 4K 60fps
4:54
AI Colouring
Рет қаралды 9 МЛН
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Best Documentary
Рет қаралды 10 МЛН
Harris slams Trump at her first presidential rally
17:25
CNN
Рет қаралды 2,3 МЛН