ABIRIA ALIEPANDA BUS LA KICHAWI ALFAJIRI MWANZA AKIJUA NI BUS LA KAWAIDA ALILOKATA TIKETI

  Рет қаралды 68,715

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Жыл бұрын

Пікірлер: 121
@paulwambua4956
@paulwambua4956 Жыл бұрын
Ukijikuta katika mambo kama hayo Mkiri Yesu Kristo kua Bwana na mwokozi woko na umwite yeye na kumwomba msaada, bila shaka Atakuokoa.
@salimabdallahhussein3294
@salimabdallahhussein3294 Жыл бұрын
Kwann ncmuite mungu mwenyewe Kwan anashindwa
@happinesskitali164
@happinesskitali164 5 ай бұрын
​@@salimabdallahhussein3294Yesu ndio Mungu
@muragizinourah1042
@muragizinourah1042 Жыл бұрын
Yawezekana ulipelekwa kuzimu😭Allah akuondoe ndani ya nguvu za giza🥹😭😭
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani kumbe hii duniya inamambo ivi ni kweli wachawi wapo mungu atulinde na hiii mitihani haw a watu sio wazuri mungu awalani
@messikihongosi5290
@messikihongosi5290 Жыл бұрын
wanga wapo
@dadamwajuma5155
@dadamwajuma5155 Жыл бұрын
Jamani hii ni kweli au ni stori tu? Na kama ni kweli kijana upo na nguvu za mungu uzidishe kuomba mungu kabisaaa na kumtaja mungu Kila ukipata changamoto hizo au akiota ndoto za ajabu ajabu, pole Sana kijana
@EDMUNDNDAUD
@EDMUNDNDAUD Жыл бұрын
Keep moving big up davister.
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah Kuishi kwingi kuona mengi duniani
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Eeeh tuko tunazikisa story...watching from Arabs countries
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
Taja jina la Yesu
@chritinaphilip7439
@chritinaphilip7439 Жыл бұрын
Ungemjua Mungu ungepata neema ya kukusqidiq njoo kwa Yesu ndugu
@rajabu4692
@rajabu4692 Жыл бұрын
Aje Kwa yesu kufanya nini wakat yesu mwenyew anawataka muingie katika uislamu
@chritinaphilip7439
@chritinaphilip7439 Жыл бұрын
@@rajabu4692 Naww ungemjua Mungu ungepqtq neema ya kuingiq ktk ufalme wa Mungu 🙏 🙏 🙏
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪, ❤
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Жыл бұрын
Màandamano yanakwendaje! Salimia Baba Raila
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
@@petermwaibofu7580 Tuko pamoja na baba kwa maandamano, amani tele😅😅. Ntamsalimu
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Жыл бұрын
Thanks a lot madam!
@billyisadia5651
@billyisadia5651 Жыл бұрын
Pelekeni maombi makali kwenye zile barabara mapepo yapeleke upuzi zao mbali na binadamu
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Story nzuri japo sometime napataga uvivu kusikiliza ila nakukubali sana Davista
@leahlucas479
@leahlucas479 Жыл бұрын
Bac Davi , Uweunauliza na mwaka wa matukio please.
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Жыл бұрын
Mpaka hapa tulipofikia kupitia Story na Mikasa ya Devistar Mikoa ya kando ya ziwa Kuna uchawi Sana.
@Abdalakangile1
@Abdalakangile1 Жыл бұрын
Kweli asee
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Kabisa kwetu yapo Wala sio uongo
@mwamwajaonline1881
@mwamwajaonline1881 Жыл бұрын
Sahihi
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 Жыл бұрын
Mikoa yooote uchawi upo, sema Davistar amejikita zaidi mikoa ya Kanda ya Ziwa kwwsababu pia ni makazi yake yalipo
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
@@johnmwandu2116 ni kweli
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Mwanza kwetu hayo kweli yapo kabisa
@VerenaVenance-iz8kn
@VerenaVenance-iz8kn Жыл бұрын
😳😳SEMA kwel
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Wilaya ya magu Wala haongei uongo mwanza kwetu ni hatar
@richrick3110
@richrick3110 Жыл бұрын
Big up Davistar mata 😮😮
@zawadinchimbi6846
@zawadinchimbi6846 Жыл бұрын
Watu waongo jmn Story yauongo adi awezi kusumilia
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Hahaha Watu wanasıkılıza story,na story ni simuliz, na simuliz inasimuliwa.😅😅😅 Nan kayasikia haya manenoo
@victoremanuel29
@victoremanuel29 Жыл бұрын
Mimi huyo
@user-xr9rc5dp5p
@user-xr9rc5dp5p 11 ай бұрын
Nkweli kabisa maana haki kijiji kwatu gari hilo lilikuwepo
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Jaman mbona wat mnao wahoji amjawai kuwahojia ndan ad mt anaskia bard umo t unamuhoji dah
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
Hata Mamdogo wangu aliwahi panda gari la kichawi huko shinyanga, wanayaita Gambosh.
@yushuaissa467
@yushuaissa467 Жыл бұрын
Then what happened?
@kautharkayu6326
@kautharkayu6326 Жыл бұрын
Mwanza kuna uchawi siyo wakawaida
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
Gamboshi hyo mazee😢😢😢
@LatifaLikumbo-nu2kb
@LatifaLikumbo-nu2kb 10 ай бұрын
Pore sana
@peninakachoma2239
@peninakachoma2239 Жыл бұрын
Naogopa Tanzania kabisa
@yushuaissa467
@yushuaissa467 Жыл бұрын
Even me, such things are too common in TZ. I wonder why?
@mulazsaid1907
@mulazsaid1907 Жыл бұрын
Good 💪
@athumanbizzo3907
@athumanbizzo3907 Жыл бұрын
Mh ni hatr
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
ibada hazina maana hizi bado mnahudhilia kwa kuogopa miunguuuu laaniniiiii misalaba wanaovaa hao na waganga wanavaa na ibada zao
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Tuko pamoja sana 🔥🤜
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Uongo bhana,hadithi za kumaliziana MB,zetu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Mwanza mna Uchawi sana asee lkn..huenda huyu ni Team wale Akina Zumaradi
@SiwemaMohammed-dr1vk
@SiwemaMohammed-dr1vk Жыл бұрын
Wewe achana na Zumaridi Zumaridi hapo amekujaje?
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Жыл бұрын
Anasimulia kisukuma
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
NICE STORY 🙏🇹🇿🇬🇷
@Gb_25596
@Gb_25596 Жыл бұрын
Huyo msimuliaji muongo..! Akamatwe apigwe fimbo
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Жыл бұрын
Msimuliaji upo slow unaboa😏unampa wakati mgumu mtangazaji wetu
@linamamoya4985
@linamamoya4985 Жыл бұрын
Mm mmezidi. Mtafuteni mungu Yu karibu kurudi mtajibu nini au mna mbingu yenu,?
@earthgottalent7765
@earthgottalent7765 Жыл бұрын
Jaman story ya mbavu wa dar iliishia wapi na mbona huwa mnakatisha story
@clintondaniel5831
@clintondaniel5831 Жыл бұрын
Story iliisha bhna we ndo hauko makin
@ramadhanishabani2743
@ramadhanishabani2743 Жыл бұрын
Tuletee kaka
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌👊
@zuwenasleiman3587
@zuwenasleiman3587 Жыл бұрын
Victor wanyama
@EDMUNDNDAUD
@EDMUNDNDAUD Жыл бұрын
Am the first to day
@tututz100
@tututz100 Жыл бұрын
J.boys 1999
@cyantess8423
@cyantess8423 Жыл бұрын
salale! na basi hebu weka chapchap 🤔🤔
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Wakawanza
@hurremjudith6043
@hurremjudith6043 Жыл бұрын
😢
@samwelmwigicho3092
@samwelmwigicho3092 Жыл бұрын
Davista Mata
@JustinSteven-be4cs
@JustinSteven-be4cs Жыл бұрын
Hadithi ya uongo kabsa... Yaan inavyohadhisiwq n kama Script za kwenye film za kichawi
@HellenPascal-tn6zu
@HellenPascal-tn6zu Жыл бұрын
Huna lolote uongoz vp au mpaka yakukute
@HellenPascal-tn6zu
@HellenPascal-tn6zu Жыл бұрын
Uongo vp
@VerenaVenance-iz8kn
@VerenaVenance-iz8kn Жыл бұрын
😳😳😳
@kelvinedward5091
@kelvinedward5091 Жыл бұрын
Story ya uongo Jamaaa amekarr script
@evakabete2944
@evakabete2944 Жыл бұрын
Kama ni ivo basi inabidi ajoin nollywood movies
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Жыл бұрын
Au alivutaga bangi? Inamchanganya?
@mgenirasimi7771
@mgenirasimi7771 Жыл бұрын
Relax wewe, hivyo vitu vipo sana tu tena Mwanza hapo hapo na huyo sio mtu wa kwanza, mie mkazi wa Mwanza tumeyaskia mengi na mengine yametokea kwa ndugu zetu. Kama hujui kitu na ukiwa mbele za watu kaa kimya ujifunze mengi watu wana mengi
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
Kavute na wewe basi utuletee story yako
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
​@@msaysha5886 watu wanapenda sana dhihaka
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Nawe kavute ikuchanganye tupate story😀😀
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
@@bintalmasi2393 hawaamini kitu hadi kiwa kute wakisikia tu hivi wana ona kama story za Felix Mwenda huu ni ukweli aisee
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Uongo huu
@fatmanassor9732
@fatmanassor9732 Жыл бұрын
Umeona muongo makkoroboi c kituo kipya kuwa stand hata miaka 5 hakina muongooo
@earthgottalent7765
@earthgottalent7765 Жыл бұрын
Kusema kweli hii story sio ya kweli hii ni story ya uongo ulitaka kujua Hilo muangalie Kwa makini msimuliaji ni waziwazi kuwa ametunga story.
@clintondaniel5831
@clintondaniel5831 Жыл бұрын
Ayo n yako bhna hii story n ya kwel kbsa acha kupotosha watu
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Tupe ya kwako ya ukweri.
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Жыл бұрын
Endelea na kumuandalia usoni Sisi tunaskiliza na tumemuelewa kama we mpepezi endelea kusoma sie tumeletewa Mie msukuma kuna mambo zaidi ya hayo Mwanza yanatokea Sanaa yaani hii story kama ya rafiki yangu hivyo hivyo Ila yeye ulienda mbali mpaka akawa chizi kabisa wamehangaika nae Sana na mwisho akajiua
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Ya kweli ni ipi..?
@ahmadjml9949
@ahmadjml9949 Жыл бұрын
Uongo mtupu
@kaifajuma6790
@kaifajuma6790 Жыл бұрын
Story zakufikirika hizo zakina zumaridi😂😂
@amina-st4ol
@amina-st4ol Жыл бұрын
Kwanini watu wakanda ya ziwa wanakutana na uchawi na wanaamini uchawi story zote zinazowekwa hapa ni watu wa mwanzaa
@yohanahbyzehomba1352
@yohanahbyzehomba1352 Жыл бұрын
Kwasababu Davistr ni wa Mwanza ..ila kuna mikoa ya sumba wanga kigoma nako kuna mambo mengi..na pia watu tunapenda story za kuogofya za mambo ambayo hatujawai kuayona
@happyatonga2618
@happyatonga2618 Жыл бұрын
Huyu anaitwa ataenda sumbawanga bila kuitwa watu mkoje kama aija kupendeza ucckiliz
@kaifajuma6790
@kaifajuma6790 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilitaka nicoment hivyo yaani kila uchawi mwanza wizi mwanza huyu mtangazaji anasanganywa tu 😅😅
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
@@kaifajuma6790 Leteni basi ya kwenu ya ukweli
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Kwa unyoaji huo lazima ushetani ukufuate
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Kwani kanyoaje ap9
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Basi watafatwa wengi
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
@@lilyrose7983 Yakobo 4:4
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Жыл бұрын
Du mbona kama story nyingine bwana Mkuu davistar ni kama tunapigwa kamba na hawa wasimuliaji sidhani kama hiyo kitu IPO asee
@kerosdamusic5521
@kerosdamusic5521 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Mungu anakuona Joseph, kwani kunyoa hivyo kunahusianaje na ushetani ?
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 Жыл бұрын
Hizi stori za kijinga mpaka lini?
@neemadamian7989
@neemadamian7989 Жыл бұрын
Hujalazimishwa kuangalia
@reginaruta3249
@reginaruta3249 Жыл бұрын
Uvhawi ipo hapa duniani. Ila kiboko ya wachawi ni Yesu pekee. Ukoka kijana ndipo utawashinda wachawi ma mizimu.
@samiahmsuya3605
@samiahmsuya3605 Жыл бұрын
Hayajawah kukukut tuliaa yakukut utajua n nin
@jasminisharifu7446
@jasminisharifu7446 Жыл бұрын
Huyu anastory ya kweli ila ni mzito sana kwenye kuelezea anapoozesha story
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Jaman mbona wat mnao wahoji amjawai kuwahojia ndan ad mt anaskia bard umo t unamuhoji dah
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 57 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 123 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 3,1 МЛН