Mungu nisaidie nisewe wakawaida kaa nijaze neema kwenye moyo wangu nisibaki kama nilivyo mungu ukawe nami milele jina lako lishukuliwe na lisifiwe muda wote amen 🙏 🙏🙏
@amospoppe7616Ай бұрын
Hili neno Bwana anasema nami , nalipokea kwa jina la Yesu
@JepchirchirKiptarusАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 kuanzia Leo najukua majukumu katika jina la yesu
@janethdeogratius0724Ай бұрын
Mungu naomba unisaidie ufungue milango ya baraka🙏🙏
@SYDEYLINETАй бұрын
HALLELUJAH BABA nakataa kila roho yakujiurumia,kulia,naomba ROHO ya ushujaa na ujasiri ndani yangu AMEN AMEN AMEN
@DelaneyWambuiАй бұрын
Amen amen Asante MUNGU kwa ujumbe mzuri
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Mungu naomba niongoze2 mimi nitakufuata🙏🙏🙏
@jadymshary2035Ай бұрын
Ee yesu niondolee Roho ya woga Na mashaka ndani mwango ambwavyo shetani anataka kuniwekea,havikuepo Na vitaondoka AMEN 🙏🙌🙏🙌
@safialuhizo4979Ай бұрын
Ahsante yesu umenifanya lango niinue niwe kuhani ndani ya familia yangu
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Mungu mimi ansantee kwa neno hili2🙏🙏🙏
@aminamohamed4889Ай бұрын
Amina. Mimi ki kiongozi wa familiar yangu kwa jina la yesu Bristol na damu ya yesu iliyomwagika msalabani. Kikombe changing kinafurika kuligana utajiroi ktk jina la Yesu. Watt wangu wote na kizazi change. Kitamtumikia Mungu.
@MonicaJB-x7w29 күн бұрын
Ee mungu naomba ufungue milango niweze kuolew ee mungu jibu haja moyo Wang🙏🙏
@LucyGichuru-lu2ggАй бұрын
Mimi ni kiongoza wa my family kwa jina la yesu cristo namini Amen and amen nmefunguliwa toka mbinguni na Dunia I believe that's in Jesus Christ
@EstherBitengoАй бұрын
Bwana Yesu niongoze,Kwa mamraka umenipa ya kuongoza familia yetu, Baba Neema yako iwe juu yangu,nisiwapoteze ,nipee ufahamu nielewe nifungue milango ya ushindi,tutembee katika njia zako Amen 🙏
@lizymwakyusa8798Ай бұрын
Amina mchungaji MUNGU anisaidie.
@winfredmuthui9707Ай бұрын
Asante mungu wangu kwa yote umenitendea. Wewe ni mwingi wa rehema kwangu na kwa kizazi cha tumbo langu. Hakika tumeuona mkono wako.
@Nancy-q7p3eАй бұрын
Bwana yesu nakuomba uniongoze katika safari yangu ya wokovu Amina
@furahamkonda5112Ай бұрын
Eeh Mungu wangu naomba kujua nilichobeba ndani yangu
@DorothyChilemboАй бұрын
Amen mtumishi 🙏🙏🙏
@uweraclotilde8837Ай бұрын
Ee Mungu naomba nijue kilicho ndaní yangu
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Mimi ni kiongozi wa FAMILIA nafunga roho ya umaskini nafungua milango ya utajiri amina 🙏🙏🙏
@beverlynekavaya5085Ай бұрын
Amen 🙏 ❤
@GiftNamonje-kp5qvАй бұрын
Asante mungu 🗝️🔓💥🔥🙏🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲🖐️
@neemajeremiah8669Ай бұрын
Yesu nisaidie familia yangu inanitegemea ila napitia mapito mengi. Na jina la Yesu naamini nitavuka kupitia neno hili
@collenskessy-uv9mrАй бұрын
Asante Mungu kweli mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana kwa neno la Mungu asante Bwana Yesu 🙏🙏
@FrolaMakandilo20 күн бұрын
Mungu nisaidie niweze kuomba
@shukurusyriack350426 күн бұрын
Mungu nisaidie umponye mwanangu ,nimechoka kulazwa kila siku Baba ,ingilia kati maisha yangu
@nurubushirianelkas8681Ай бұрын
Mungu Baba nakushukuru sana, Bwana kumbuka mimi ni breadwinner usiniache ili familia yangu ilindwe nawewe
@SimoniZakayo-pc6ewАй бұрын
Mungu naomba nami niwezishe
@AminaSaidi-s3qАй бұрын
Nisaidie eeh mungu wangu nishinde kila majaribu ya shetani
@annegunga3738Ай бұрын
Mungu naomba nisaidie
@pendomwampamba5221Ай бұрын
Amina mimi ni mzaliwa wa kwanza nachkua hatua ya kufunga roho ya umaskini ya magonjwa kwenye familia yangu kwa jina la yesu kristo nafungua utajiri na afya katika familia yangu AMEN❤🙏
@samiraraphael1802Ай бұрын
Nakuomba eee yesu nafungua Kila milango ya kheri na utajiri mkubwa mtaji mkubwa na nyota yangu kuirudisha na kufanya iwe juuu zaidi ya mwanzoooo
@dianagoyayi5698Ай бұрын
Hili somo ni langu Roho Mtakatifu nifundishe kutumia mamlaka iliyo ndani yangu
@GeofreyJonesАй бұрын
Eh Mungu naomba nijue kilicho ndani yangu 👏🏾
@SarhKiniaАй бұрын
Eee mungu naomba njue nlicho kibeba ndani yangu
@MarieMakiwaАй бұрын
Ee mungu nahomba nijuwe kilicho ndani yangu
@neemakarisa1496Ай бұрын
Amen Asante Mtumishi Mbona hii hali ninayo hofu nilikua naeza tafuta kazi nikapata laki nikawa nahofu 😢😢🙏🙏
@linet6663Ай бұрын
Amen 🙏🙏,God let your will be done in my life 🙏🙏..be blessed man of God🙏🙏
@MARIAGODFREY-k4sАй бұрын
Amen nafungua kila kilichofungwa na kuwafunga wote na vyote vinavyonifatilia
@ThomMandaАй бұрын
Amen innocent nipo nchini Malawi nakupata vizuri Baba asante
Bwana mbele zako nimesimama kwa niamba ya familia yangu naomba roho wako mtakatifu aniongoze na kunitia nguvu wakati nakata tamaa , kwa maana mm ndio tegemeo kwa familia naomba nisije nikaanguka na kuwafail wote wanao nitegemea maana wewe ni mungu mweza yote🙏🙏
@FadhilahbonyBoniphancemgogosiАй бұрын
Mungu mimi ndyo support ya FAMILIA nipe nguvu zaidi 🙏🙏🙏
@lyimomanka6152Ай бұрын
❤❤❤❤amen
@HeriethJoseph-cd8vk24 күн бұрын
Ameeeeeeen 🥰🙏
@NeemaKomba-vn6shАй бұрын
Eee Mungu nisaidie
@marymaria6544Ай бұрын
Sylvia amen amen amen🙏🙏🙏🙌🙌❤️
@waitheramwangi3558Ай бұрын
Ee mungu naomba nifahamu kilicho ndani yangu naomba unifungue macho yangu ya rohoni thank you pastor God bless you 🙏🙏
@DorothyChilemboАй бұрын
Naomba nifahamu kilicho ndani yangu nope macho ya Rohoni Mungu wangu 😭😭
@StephenOwuor-w4qАй бұрын
Niombee kazi postor
@HeritierMwengeGiseleАй бұрын
Mungu fungua akili zangu na fahamu zangu
@StellaMzengiАй бұрын
Mimi kiongozi wa family na ni single mother. Mungu anisaidie nipate Muujiza watoto wa ndugu zangu wananitegemea ada za za shule na vyuo. Ibilisi wa madeni amenivamia. Mungu nisaidie
@JohnCharlie-p2uАй бұрын
Eeh bwana kaniongoze kwenye kila jambo kaa nami
@EvalynePendoАй бұрын
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻
@Victoria-bv6xuАй бұрын
God. Bless you pastor 👏
@Nauminaumi_1984Ай бұрын
Mm ndo baba ndo mama Kwa watoto wangu bwana hanakazi nimeshoka mtumishi
@StephenOwuor-w4qАй бұрын
Postor ombea NYOTA yangu ingae.
@consolatamnyukaАй бұрын
EE MUNGU NIPE UJASILI KUSHINDA MASHAMBULIZI YA SHETANI NIENDELEE KUISPORT FAMILIA YANGU AMINA
@elizabeth-hg8knАй бұрын
Mmi ni kiongozi wa familia
@StephenOwuor-w4qАй бұрын
AAAAAMMMMMMEEEEEEEN!
@shynesszennah1992Ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@StephenOwuor-w4qАй бұрын
Stephen from kenya
@nurubushirianelkas8681Ай бұрын
Amen amen God 🙏
@epifaniajames3572Ай бұрын
Amein Amein🙏🏻
@EditaMponziАй бұрын
Ee mungu naomba nijijue mimi ni nani
@OrnellaNkeshimanaАй бұрын
Amen amen
@SevAl-p9kАй бұрын
Mungu nitie nguvu na neema yako initoshe Mimi peke yangu siwezi bwana
@SurprisedDaisy-lq8shАй бұрын
Mimi ndo kichwa cha Familia nafunga mlango wa umaskin nafungua malango ya utajir I Kan dou this I Kan fes that
@SarhKiniaАй бұрын
Naomba roho mtakatifu uwe pamoja nami
@Janet1-v5hАй бұрын
Yesu nisaidie familiar yangu inanitegemea
@SevAl-p9kАй бұрын
Nkweli mm nikiongozi wa familia baba npe nguvu
@tunuhajiАй бұрын
Ameen ameen ameen 🙏🙏🙏🙏
@Neemaezekiel2Ай бұрын
Amen🙌🙌🙏
@godfreycheyo3396Ай бұрын
Amen
@SarahSarah-h3yАй бұрын
Amen nimejifunza sana sana🙏🙏
@DorothyChilemboАй бұрын
Thank you Jesus 🙏🙏🙏
@CalistaMichaelАй бұрын
😭😭😭
@FaithKwamboka-i5hАй бұрын
Ameen
@alicemwaka3762Ай бұрын
Emeeen
@castojuliusАй бұрын
kama mimi naomba mnisaidie nikiingia kwenye mfungo naishiwwa maneno yakutamka