Kwa nini sasa hii dunia tu sote tutaiacha acheni kuuwa wenzenu kwa ajili ya dunia kuna maisha baada ya hii dunia mtakwenda sema nini na kwanini hasa
@safiaothman5175Ай бұрын
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJI'UN ..MWENYEZI MUNGU AMPE KAULI THABIIT NA AMRAHAMU NA KUMWEKA MAHALI PEMA PEPONI, AAMIIN YAA RABBAL 'ALAAMIIN
@noot-oe2mwАй бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@abdallasheha4173Ай бұрын
Mie naona bora watue wote wabaki wao na watoto wao wafaidi dunia
@Hellen-i2yАй бұрын
Siasa ni sehemu ndogo sana ya.maisha yake. Ana wazazi, watoto na wanaompenda. Kinachosikitisha zaidi ametekwa hadharani na kuuwawa kikatili huku serikali ikishindwa kumlinda. Hili linatisha sana ni jambo la kiusalama zaidi hapa serikali imekuwa mtazamaji tu kwa nini?
@zephaniasirikwa7495Ай бұрын
Kuna nini kinatengenezwa?kwanini. Watu watekwe na kuuwawa?Hizi kauli zilizotolewa na viongozi,Dc longido,M,kiti Uvccm Kagera,Nape,M,Kiti UWT Lindi!Zinatupeleka wapi?Hizi haziwezi kuwa hujuma za moja kwa moja kwa Mh,Raisi?
@rogersiddyАй бұрын
Alafu wakenya wakiandamana wanaonekana sio nchi ya amani ila amani ipo Tanzania hivi ndo Kuna amani kweli?Mungu tuongoze tusaudie sana🙏🤲
@jamessiame5169Ай бұрын
Wakenya niwajanja alafu ni wasomi
@rogersiddyАй бұрын
@@jamessiame5169 Uko sahihi kbsaaaa sisi vichwa maji wengi
@mtakamatvАй бұрын
Utasikia polisi wanasema wamekikia tu,kwenye vyombo vya habari,hivi huyu raisi Yuko kimya,chama Cha mapinduzi wako kimya,ukimya wao ni tafsiri ya Nini?kuwa hawaamini,hawajui?wanajua kinachoendelea?wanafurahia?kweli ccm itashinda kwa gharama yoyote Ile!!
@yusufmohamed8874Ай бұрын
So sad indeed
@KaburuKimath-eu5nfАй бұрын
Poleni sana sana familia ya kibao poleni sana viongozi WA chadema bila kumsahau mwenyekiti mbowe poleni sana
@labunaabouna6122Ай бұрын
Njia mbili tu mfanyeee muondoe democracy na upinzani Tized 2 muamue kupapambana muondoe serekali hio iliopo hata wakiuwa milioni ila iondoke watabaki waishi kwa amani nyia mbili tu
@aaa64sa13Ай бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@communitytv590Ай бұрын
Wauwaji wanajisahau kuwa nao watakufa,na bahati mbaya watakufa wakiwa na nafsi ya mauwaji mzigo utakao lipwa siku moja na kizazi Chao,tuombee taifa toba hii damu italigharimu taifa!
@mukhsintwaha5909Ай бұрын
Innalillah wainnaileihy rajiuun
@samoskiyalo6095Ай бұрын
Tuko vukuna tulicho panda kipindi cha Magufuli EE MUNGU TUOKOE NA HAWA WAUWAJI machuuziii oooo heeee😢😅😢😅
@abdallasheha4173Ай бұрын
Lakini wajie mwandishi mmoja alisema hakuna marefu yasio na mwisho
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Sasa analizwa nini wakati haya mambo yanalalamikiwa muda mrefu sasa wanakaa kimya kama serikali? Mpaka imetokea kwa aliyemgusa ndio analia Hao wengine wote vijana wadogo wanaambiwa wanakaa kimya Wangechukua hatua mapema hili lisingetokea!!!
@ramadhanishabani807Ай бұрын
Hii ni hatari bora watuue wote tu
@AbdalahManguIhenanguАй бұрын
Innalilah wainailaiyh rajiuuna Hakika vifo hivi vya kutekwa ni vibaya sana . Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,tunaomba wafuatilie kwa ukaribu swala hili ,hasa waziri mwenye dhamana . Wananchi wataamini Nini kama anahitajiwa na polisi .
@rithaurassaАй бұрын
Kwa pamoja chukueni hatua sasa.
@TrustElbashilАй бұрын
Ata mlaani nibure nimungu pekee anaweza kulipiza haya kwa samia
@daudimchileg307Ай бұрын
Inaumiza saana, hapo serkali mnafeli, inashindikanaje kuwajua watu wasiojulikana?
@DavidKaguluАй бұрын
Ccm wameamua kuua watu Ili kubaki madarakani,hii ni Nini hiii?
Siasa za kijinga kabisaa, mnajenga nyumba mmoja alafu mnagombania fito!!! Nchi ni mali yetu wote kila mtu anahaki yakutoa maoni yake au kuokosoa serikali ni jambo la kawaida tuu