No video

Adui katika ndoto :Ndoto zetu na skh Mtavassy

  Рет қаралды 3,289

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

As,alaykum.
hii ni video ya majaribio japo lisemwalo ni kweli na halina shaka ila imetengenezwa kwa lengo la kumpatia uzowefu moja ya wanagunzi wetu ili aweze kufasiri ndoto kama skh Mtavassy atakuwa na dharura na hii ni kwa lengo la kuboresha huduma zetu kwenu

Пікірлер: 28
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 3 ай бұрын
Ongereeni sana,mi nimeota mwanamke aliemchukua mme wangu wakazaavnae mtoto nakuwa namuota mala nyingi pamoja na mtoto wake,ipo siku niliot mme wangu ananiletea mtot nimuoshe,badae nikamuona mama yake amesimama mlangoni amevaa viatu virefu anaonekana mgongo,siku nyingine nikamuona ananicheka sana akinyonyesha mtoto,siku nyingin nikaota nikiwa nanunua nguo naijalibu akinichungulia chini ya meza,siku nyingine nikaota amekaa kwenye msiba analia kwa sauti kama kafiwa,leo nimemuona amelala kama anaumwa na amekonda sana na sikuangalia sura yake,na mtoto wake alibebwa na binti yangu kwenye baiskeli, nisaidieni tafasili,
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 ай бұрын
kwanza wewe bibie fahamu kwamba kila ndoto katika hizxi ina maana nyingine, ipo inayoonyesha kukuendea mbio kwa uadui uyu mwnamke, hii uliyoona amesimama mlangoni, na hii ya kukucheka hii pia vivyo hivyo, na hii ya kilio ukichunguza utagundua wewe na mwenza wako mulikuwa hamuelewani kipindi hicjho au uchumi umeyumba kiasi, ama ile ya kumuosha mtoto ni kwamba unaambiwa hupaswi kumchukia yule mtoto, pia inaweza kukuelekeza umshauri mume wako amuoe huyo mwanamke.
@user-ix9nd2jt8j
@user-ix9nd2jt8j Ай бұрын
Asalam alykum nimeota sheikh adui yangu amekufa
@fatimaebrahim5256
@fatimaebrahim5256 4 жыл бұрын
asallam allahykum asante kwa kuni jibu allah atupekheri inshallah
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 4 жыл бұрын
Santeeeeeeee sheikh Sheikhs ukiotaa unyee mtt mdogo ila kuna. Sehwmu ulikuwa unatokaa Baada ya kufika njian ukakutaa nyuki kilaa sehem kilaa.njia half njia mojaa tu ndio iko sawa na ndio ukarudi kule ulipo tokaaa Na.kuanza kukimbia ilaa upo na.mtt lakn wafukuzwa na.nyuk Ilaa umekimbiaa na mtt yule hadi ukafika nyumbn bila kuuiswa na nyuki.walee jee nn maana.yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Wewe unaomaadui wengi sana na utakuwa unarudi nyuma kimaisha hata kama utapata nini katika maisha yako haraka sana muelekee Mola wako, Pole sana Allaah akupe mabadiliko kutokana na uliloona
@KijomboMwaipula-zc6ti
@KijomboMwaipula-zc6ti Жыл бұрын
kuota. Umeongea na adui
@zainabmukabi1486
@zainabmukabi1486 Жыл бұрын
Asalam aleikum shekhe nmeota adui yng nimemsalimia akaitikia
@dab8859
@dab8859 4 жыл бұрын
Asalam alaykum shekhe nimeota Asubuh nko n mpnz wngu ktndni ktnda mwenyewe kzur Alfu yule mpnz wngu Aknda kuoga n krdi Tkfnya romnce ambyo ilkua n raha sana Alfu nkmwmbia ntka kuenda hme bbngu ashakja sai mida yke Ikaishia hpo
@dab8859
@dab8859 4 жыл бұрын
Kbla y iyo ndoto iyo nyuma yake nliota niko n mwnzngu twfnya kzi pmja boss akaitsha ktu akawnia yy w kwnza m nkrd nkpnda ktndani ktnda kilikua juu chini kna mwenzngu pia anakitanda n uyo mtu n mschana nnaemjua sie uyo wkwnza bsi nlikua n furaha apo juu nn maana yke shekhe maasallam
@Namanda425
@Namanda425 3 жыл бұрын
..
@nniegimmy673
@nniegimmy673 Жыл бұрын
Mimi nimeota nimesalimiana na adui yangu tukashikana mikono
@salmaabdallah8588
@salmaabdallah8588 4 жыл бұрын
Assalam alaykum sheikh. Nimeota nimeona sink la choo cha kukaa limejaa kinyesi kiac ya kua karibu kitamwagika chin kile kinyec maana yake nn. shukran
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Chunga utapata mkosi jiombee hata kwa dua ya nushra kama unaouwezo au laa swali tu usiku jiombee
@mukambanzaamira4996
@mukambanzaamira4996 Жыл бұрын
Asalam Alaykum warahmaturullah wabarakatuh cheh samahani naomba nomber
@nniegimmy673
@nniegimmy673 Жыл бұрын
Pia nimeota Mwanamke adui ameniibia kitu ila namimi nikalipiza nikaenda naye nikamchukulia kitu chenye thamani kubwa kuliko kile alichonichukulia
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Жыл бұрын
Asallaam alaykum shehe mimi ni mwanamke mfanya ibada nimeota nikiwa na mwanamme nisie mfahamu alikuwa na pesa nyingi sana ila mimi nilikuwa na pesa kidogo nikamuuliza pesa hizi umezitoa wapi?asema twende nikakakuonyeshe ninapo zitoa tukatembea hatua cheche akanifunika kanga kisha akachomoa kisu ili anichome na achukuwe pesa zangu nikakishika kile kisu na kumchoma tumboni akakimbia nikamfua na kumchoma kisu kingine kichwani.naomba maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
wa,salaamu warahmatullaah, wewe kuna mwanaume anahitaji kuwa na wewe lengo lake kwako ni pesa tu au apate njia ya kujikwamua lakini wewe pia unawaza uchukue helas yake au umechukuan hela yake kidhuluma, ndoto hii ikisema kweli wallaahi jambo lipo kama ninavyokuambia
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Жыл бұрын
​@@MTAVASSYTv asante shehe Mwenyezi Mungu akubariki🙏
@salumusalumu8376
@salumusalumu8376 Жыл бұрын
Mimi nahifazi jina ukiota uko nadui zako mnapiga stori inamaanagani
@halimamasimba1459
@halimamasimba1459 4 жыл бұрын
Samahani shekh naomba namba ya WhatsApp nijiunge ktk grupu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
0656606014
@memesmemes85
@memesmemes85 4 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv code number ni gani please Sheikh
@wassunichannel1129
@wassunichannel1129 4 жыл бұрын
Shekhe naitaji namba yako ya whatsapp
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
0656 606014
@nzeyimanaanassi3585
@nzeyimanaanassi3585 3 жыл бұрын
Mimi napenda kuota penye nilikuwag naishi panapita myaka 16 na maranyingi naona Niko na marehem mama yangu ao naona Niki chooni.nisaidie chekh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Je huwa unapata pesa mara baada ya kuona hzi ndoto ?
@nzeyimanaanassi3585
@nzeyimanaanassi3585 3 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv ndio ata zisiwe nyingi akini napatag
Ndoto ya pete iliyokatika na maana zake sheikh Jafar mtavasi
10:02
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 164
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,3 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 9 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 15 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 21 МЛН
Ndoto ya zawadi : Skh Jafar Mtavassy
4:35
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 728
DC Mayeka Mayeka afunga Mafunzo ya Jeshi la akiba 'Mgambo' kata ya Lupa
12:28
Wana funzi wa Jeshi la Akiba msoma wakiwa kwenye mafunzo ya awali
0:30
MARA CHANNEL TV LIVE
Рет қаралды 544
somo la kwanza kujifunza quran pole pole
4:00
Amu Online TV
Рет қаралды 128 М.
UKIOTA NDOTO MTU WAKO WA KARIBU AMEFARIKI INAMAANISHA NINI? sehemu ya [1]
3:02
Mwalimu Philemon Mbemba
Рет қаралды 5 М.
UKIOTA MBWA MWITU.
9:05
Prophet Joseph Minja
Рет қаралды 541
Mrusha mikuki katika ndoto (@mtavassy tv Tanzania) Skh Jafar Mtavassy
2:54
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,3 МЛН