Muanzilishi wa dini yakislamu aitwaye Muhammad amepoteza wengi kuzimu ila tu damu yayesu ndio inaweza kuwabadilisha maisha yao yalio potozwa na Muhammad.... njia nimoja tu yambingu thru yesu Kristo namshukuru mungu kwakunitoa katika uslamu
@herriethtz9833Ай бұрын
Wewe ulikua muislam ?
@SarahShao-jw1up2 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa MUNGU. USHUHUDA NI MKUBWA SANA. Walio wa YESU WANAELEWA VIZURI ...walio wa IBILISI hawatakaa waelewe ....wataelewa baada ya kufa kwa sababu ndio WATAUONA UKWELI
@abdulazizali77014 жыл бұрын
BWANA yu pamoja nawe mtumishi wa Mungu Amir atakupigania hata kuacha Milele aminaa kusikia ushuuda wako na maisha yangu yakabadilishwa
@esterjoseph6702 жыл бұрын
Ni kweli.
@kemalswaleh95273 жыл бұрын
Amin ushuhuda huu unani bariki sana nafatilia mpaka mwisho wake ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Cecilia from kenya
@madamtemu41673 жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi,ila naomba nikushauri kidogo mwanzo nimesikia ukisema wale walo kuingiza katika Mambo hayo ya giza kuwa walaaniwe kwa jina la Yesu ila mm nakushauri usiwaombee walaaniwe ila waombee waokoke ktk Jina la Yesu Kristo.barikiwa mtumishi.
@swahilimagnet11 ай бұрын
Kweli kbs
@mariamidrisa13594 жыл бұрын
wow. ushuhuda mzuri sana. umenibariki. Pia napenda jinsi alivyo mpole...sifa mojawapo ya mtumishi wa Mungu aliye hai.
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Mtu anayemcha Mungu kwa Roho na Kweli hali yake kiasili huwa inabadilika kbs...pia chunguza sana shuhuda za watu waliokutana na Bwana Yesu live, huwa wanakuwa na hali ya utulivu sana wa nafsi! Wamekombolewa kwlkwl hawana haja ya dunia, wanajitambua kwmb wako safarini
@antonybulogosi43533 жыл бұрын
YESU kiboko YAO Bwana zidi kuonekania watu wako waokolewe, Amen.
@zeraheuniceautaim4244 жыл бұрын
Halellujah Bwana Yesu asifiwe sana. Yesu endelea kuwatokezea hawa waisilamu kabisa wakujue
@kitwanajohn82372 жыл бұрын
MUNGU azidi kukutumia katika kueneza habari hii njema ili ndugu zetu, jirani na marafiki zetu wapate Nuru hii ya WOKOVU Moyo unauma sana unapoona sisi tuliopata Neema ya kua wakristo hatuujali na kuishi maisha ya ushindi juu ya dhambi
@veronicawilson42633 жыл бұрын
Nakupat vizuri sana Mtumishi nazidi kubadikiwa nikiwa IRAQ Baghdad Mungu azidi kukutia nguvu 💪 songa mbele Mungu Yupo pamoja na wewe
@estasage55064 жыл бұрын
Mtu yeyote akipambana na wewe, yesu apambane naye. Waliokuwa nasi ni wengi kuliko waliokowa nawo. Wao wanamkono ya nyana, bali sisi tunao mkono wa Bwana Mungu wetu. Amina
@oprahsalum81854 жыл бұрын
Yaani Mungu akubari sana stori hii inafanana sana na ya alhaji Adamu Haji wa Somalia na yeye alipitia hayo baba yake mzazi alimkana . Ubarikiwe sana
@hellenamasinjisa54483 жыл бұрын
Usiogope wauwao mwili, mwogope auaye mwili na roho, haleluya
@jonathankatana11733 жыл бұрын
Ndugu Amiri,Mungu habagui, anaokoa waja wake kwa njia mbalimbali, haijalishi umtu w ainagani, maana Bwana Yesu anakupenda, Bwana Mungu apewe sofa kwa kukuokoa, Ndugu zetu Waisilamu, wajue kwa hakika Mungu hanaupendeleo, humuokoa mja wake kwa wakati unaofaa, Kumbuke I vile Sauli aliyefanya mambo mengi maovu aliyomfanyia Mungu, lakini Mungu alikuwa anahaja Nate amtumikie, Bwana Yesu apewe sifa, Mungu amjalie Ndugu Amiri adumu kulihubiri Injili ya Bwana Yesu Amina
@VioletEtenyi11 ай бұрын
🎉🎉🎉Yesu ni bwana....nakupata vizuri nikiwa Kenya....Kihanja ni nyumbani..karibu tena
@b.a.m62434 жыл бұрын
Hallelujah,, this is Powerful levelation I ever heard, ahsante MUNGU kwa neema hii kubwa ya kunipa nafasi ya kusikiliza ushuhuda huu ambao unazidi kunibadilisha maisha yangu. Ahsante YESU kwa kumkomboa mtumishi wako. Hallelujah.
@bankanievicent91814 жыл бұрын
Yesu yu hai
@eluyasillah10363 жыл бұрын
Hakika MUNGU Ni Wa wote mwenye mwili,barikiwa kwa ushuhuda
@shukuruilomo7684 жыл бұрын
Ahsante pia imani yangu inaimalishwa sana
@gracekadiva66594 жыл бұрын
Amen Glory be to Jesus Christ of Nazareth ahimidiwe na vizazi vyote vitamsifu na kumuabudu yeye pekee 🙏
@zilipajohn36334 жыл бұрын
Mwacheni.MuNGu.aitwe.MUNGU
@saimonidaudy12833 жыл бұрын
Mimi nami nilitokewa na yesu na kunionya niachane nayakidunia kunionyesha kanisa na mch wangu kwa hiyo usikate tamaa ndugu mpendwa Mungu anakupa simama umwamin yesu
@ellyitete9384 жыл бұрын
Ubarikiwe nakupata from Tbr.....Yesu ni Bwana
@lipsonm37434 жыл бұрын
Shuhuda nzuri. Bwana Yesu atukuzwe
@zilipajohn36334 жыл бұрын
Amina
@MzeeKigogo_4 ай бұрын
Amen ubarikiwe Askofu.
@josephinemumbua1594 жыл бұрын
Watching from Dubai pastor jipe ngufu Kwa yesu ni mwenye nehema
@tygggnzyj27712 жыл бұрын
Bwana Yesu anarudi punde na ndio maana anaokowa watu wake Kwa Kasi kubwa mno kuliko ulivoweza kudhani mwanzo hakika utukufu ni Kwa Bwana
@eliakazana72523 жыл бұрын
Bado Mazinge ataokoka kwa jina la Yesu!
@Nganico3 жыл бұрын
Ameen
@bonifasiemanueli27083 жыл бұрын
Hongera mtumishi Mungu akutie nguvu
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
Ooh! JESUS how powerful is your name, how Merciful is your name. Glory be to God am very happy for you brother JESUS loves us completely.
@pierremira4 жыл бұрын
Naomba uwaombee pia nduguzako yesu awaokoe Waludi au wamje mungu wa kweli ilikweli uwaweke huru
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
Ndugu yangu...je wewe wamjua Mungu wa Kweli aliyeumba?
@esthetbabu74814 жыл бұрын
Amen kwa ushunda wako wa jabu
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Yesu ni mzuri sana
@shukuruilomo7684 жыл бұрын
YESU ni Bwana
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@MargretWangui-w8z6 ай бұрын
Bwana yesu anawenza,na yesu akupinganie.
@jackneymasamson83354 жыл бұрын
Glory be to God Hallelujah 🙏 Special Thanks to the Almighty God the maker of the Heaven and Earth And May God Protect you and your family forever and for Always in the mighty name of Christ Jesus Amen and Amen 🙏
@kalungikingalu96944 жыл бұрын
Hongera sana kaka
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
mbinguni ni kuzuri sana kiasi kwamba hakuna lugha inayoweza kupaelezea kikamilifu ndiyo maana shetani anapigana usku na mchana watu wasiende huku sababu ana wivu sana kwa kuwa yeye alifukuzwa huko na anaujua vizuri ukamilifu wa mbinguni ulivyo.
@tygggnzyj27712 жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Mataifa yatakili nakusema Yesu ni bwana God bless yu and protect yu always maadui wakikuona wanaona moto🔥🔥🔥🔥🔥
@benjaminmwilaria11453 жыл бұрын
Jamani ambieni mwaipopo aangalie hii ageukie yesu haraka
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Hakika YESU ni Bwana, Mungu azidi kukutumia walio kutenga wakaone ukuu wa Bwana
@davidamwai24784 жыл бұрын
Mtu afufuke mkose kumuamini abrahamu hakudaganya tajiri wa Lazarus
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
@@davidamwai2478 imagine unajua mafunzo wanayo jifunza ndugu zetu waislam nikama yanawatoa ufahamu wakuamini ya kwamba Mungu nimuweza yote
@zilipajohn36334 жыл бұрын
Amina
@jumaabduli7814 жыл бұрын
Mimi nafurahi maana kila siku injili inaenea kwa viwango vya juu sana
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Umeshindaktk jina la yesu
@mercyjesus66374 жыл бұрын
Ahsante
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu sio Yesu alikua nawewe Cox hawakukukamua
@lululivingstone82984 жыл бұрын
Dah🤣😃🤣😃
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Ujumbe huu na uwafikie wasio wa Kristo kama alikotoka huyu ndugu aliyeokoka.
@sallygrace14954 жыл бұрын
Ukimpa maisha yake kwa mikono ya Yesu, utaona unakuwa na amani na nguvu sana na huwezi tizana nyuma tena!!
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Wala hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu chini ya mbingu, litupasalo ss kuokolewa kwalo, ila ni jina la Yesu tu! Ebeneza 4:12.
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Matendo 4:12
@silasmwakibinga14326 ай бұрын
Amen!
@mwakajohn18194 жыл бұрын
Ukiujua ukweli na kuupokea, usemi wako. Na mwenendo wako vitakushuhudia. Kinywa cha mtumishi wa kristo kinatema baraka. Ubarikiwe sana mtumishi.
@makameally19622 жыл бұрын
Muogope mungu ww
@kikongajoel51723 жыл бұрын
Amina
@michaelivitusi48104 жыл бұрын
Jina la yesu lisifiwe
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Jamani sasa ushuhuda wote huo watu hawaamini? Fungukeni macho msioamini, ushuhuda huu Mungu anahitaji wasiomjua Yesu wamjue, kusiwe na wakujitetea kuwa hawakumjua
@magdalenapeter61062 жыл бұрын
HAKIKA YESU AKIKUHITAJI ATAKUFUATA POPOTE PALE ULIPO YESU WEWE NI WA AJABU SANA NAKUPENDA
@leticiamasalu71454 жыл бұрын
Barikiwa Yesu ni Bwana
@nemaodhiambo72744 жыл бұрын
Ninawafatilia kutoka Spain jacktan ahsante
@aishakilimba59384 жыл бұрын
Hakika yesu yupo,pia Jactan Mungu akuinue Kwa kazi njema umekuwa msaada Kwa wengi nakufurahia sana
@joyceshile63224 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA, MUNGU AKUTETEE KWELIIII.
@cleofasmosha98794 жыл бұрын
Hola neema, hata mimi nipo Spain, wewe upo sehemu gani ya España
@nemaodhiambo72744 жыл бұрын
@@cleofasmosha9879 hola niko mi palma
@cleofasmosha98794 жыл бұрын
Wow!qué bien 👏 mimi nipo Extremadura
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Mkubali mkatae hakuna jina kama la Yesu Yesu alie hai jina lipitalo majina mengine yote
@happynicholaus64744 жыл бұрын
Kabisaa
@azizasaid76604 жыл бұрын
Kumbe mnaongelea jina nikajua mnamuongelea Mungu😂😂😂😂
@derickrangimoto17093 жыл бұрын
@@azizasaid7660 shuhuda hii yote bado moyo wako mgumu unasubili kwenda jehanam?
@peterdaniel90504 жыл бұрын
Yesu ni mwokozi
@humphreykiveu94284 жыл бұрын
Part 5 please
@MustaphaIssa-kh9qd3 ай бұрын
Mkatae mkubali yesu ni bwana hata mki2kana kwa koment yesu ni yey yule jana leo hata milele
@davidneumeyer18664 жыл бұрын
Amen
@beatricemurekatete37694 жыл бұрын
Kutoka🇱🇷 asanteni sana
@annewanjiku524 жыл бұрын
Amir may God overshadow you with His Holy Ghost fire in Jesus Name
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Mtumishi mbona hutuelezi kuhusu huko ulipoenda watu wengi hupenda kusikia kuhusu huko mbinguni
@queenesther26392 жыл бұрын
Unalindwa kuliko walinzi wa Samia
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Acha uwongo KUBWA zima YESU amekutokea wapi muongope mwenyezi Mungu aliye kuumba NDANI tumbo la uzazi njaa mbaya sana
@AndrewKundya Жыл бұрын
Mbona panicking jmn😂
@glorianishimwe15874 жыл бұрын
Mwendelezo jamani
@karensylvester37533 жыл бұрын
Askofu Gunda Alifariki mwaka huu singida
@denismugisha24 жыл бұрын
Vipi taratibu za mazishi ya kiislamu hazikuwa zimeanzakufanyika? Kukafiniwa
@malundesevelin74873 жыл бұрын
Hakika MUNGU wetu yu hai na alitakalo hulitenda haijalishi uko katika mazingira gani yeye anaokoa, jina la BWANA liharikiwe
@mathewrongorongo88414 жыл бұрын
Tuko pamoja
@happynessmarki27804 жыл бұрын
MUNGU wa ajabu sanaaa mmmh ukuu wake hauelezeki haueleweki mpk mwenyewe ajidhihirishe kwako
@queenesther26392 жыл бұрын
Ulibatizwaje na wao hubatiza maji kidogo? Km ulibatizwa kwa maji kdg na kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Jacktan inabidi akuambie ukabatizwe tena... Maana kwa Sasa huezi ona izi comment
@heritier51192 жыл бұрын
Upumbavu Sana kulazimisha imani
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Wewe mtumishi nikweli hiyo
@kelvinlwiva53804 жыл бұрын
Mr jactan muulize mke wake naye kampa Yesu maisha?
@selemanali50534 жыл бұрын
Wee muongo sana kofia ilidondoka kwingine na kanzu kwingine
@lululivingstone82984 жыл бұрын
Nyie kuna kitu mnaona cha kweli kwenye ukristo muache na uongo wake mtakatifu
@erickmislakuba41363 жыл бұрын
Baki hvo hvo nyie wavaa madera
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
JESUS meet you and show you the way and the truth. Akufungue macho maana sasa unayo macho Ila hauoni
@AndrewKundya Жыл бұрын
Wafuga majini
@frankshalula65044 жыл бұрын
Nina swali kuusu shuhuda ya Mtumishi wa kristo tunavyosikia dini wa waislam wanaosha mwili na kuuandaa kabla ya maziko sasa kipindi amekufa kuchukuliwa na kristo je mwili wake aukufanyiwa utaratibu wa kiislam kabla ya maziko
@Ali-ui7qh Жыл бұрын
MTOTO WA MIAKA 3 HAKUAMINI MUONGO UGALI USHAKUTOA AKILI WACHA KUPOTEZA WATU HUTAKI KUWA MUISLAM SIO LAZIMA USIPOTEZE WATU MUONGO
@AndrewKundya Жыл бұрын
Kwani huko kwenu hakuna Ugali jmn??
@Ali-ui7qh3 жыл бұрын
🤣🤣MUONGO WW HAAHAAA NJAA ISHAKUTOA AKILI
@Nganico3 жыл бұрын
Yesu ajidhihirishe kwako haraka sana. Katika jina la YESU
@esterjoseph6702 жыл бұрын
Bila Yesu mbinguni huendi! MTU wa dini hawezi kushinda dhambi
@AllyRamadhani-wl3um Жыл бұрын
Hana lolote ni muongo huyo alikuwa mkiristo tu huyo ni shushushu tu huyo
@AndrewKundya Жыл бұрын
Ila Mazinge mnaamini kua alijua Mkristo😂😂
@pierremira4 жыл бұрын
Swali hulu upande wapili walikuwa waarabu pia au tueleze walikuwa wa ainagani!!!!?
@johnsahani81584 жыл бұрын
Part 5 wap
@cupcakesanddounuts65554 жыл бұрын
Tuoneshe pictures za kifo chako
@liliankelvin46624 жыл бұрын
He he walewale sasa ukiuona?
@melkizedekanthony41514 жыл бұрын
Kutokuamini huko. Mpaka hapo hujaamini tu?
@jumaabduli7814 жыл бұрын
Hiyo ni roho ya Tomaso ni mbaya sana
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
"KWA MWENYE AKILI ATAKUWA KESHAELEWA" HUYU NI MJUMBE MFANYABIASHARA...
@selemanali50534 жыл бұрын
Kwer hata Mimi nimeona
@kmwendemusic53794 жыл бұрын
Yesu ni bwana.... Na yeye ndiye njia ya kweli na mungu pekee wa kweli, karibu ukombolewe
@happynessmarki27804 жыл бұрын
MUNGU AWAREHEMU
@shenjamamzingi79504 жыл бұрын
@@kmwendemusic5379 Yeye Mungu au Mwana?
@kmwendemusic53794 жыл бұрын
@@shenjamamzingi7950 yeye mungu aliyejitoa kama mwana kuokoa ulimwengu,,
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Wakristo atuna mausiano yyte na majini. Ila wezetu wanaswali nao misikitini 😂😂😂😂😂jini yupo kwa ajili ya kualibu ulimwengu so kvp mnaswali nae misikitini?mnampinga Yesu wkt yy ndie atae hukumu ulimwengu jee itakuaje kwenu?kasema kila alie nikataa na mimi nitamkataa mbele ya baba. Waislam lzm mjue msipo okoka lzm motoni.
@kondesaidi20404 жыл бұрын
Hata ss waislamu hatuna mahusiano na Mashetana,,ila wakristo mnasali na MASHETANI.
@kondesaidi20404 жыл бұрын
🤣🤣
@ngwanafabian96684 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 mwamini Yesu jina lako liandikwe mbinguni
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
@@kondesaidi2040 shetANI YUPO NANYI
@azizasaid76604 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 naww ndo shetani na shetani mkuu mama ako
@annewanjiku524 жыл бұрын
Begu ikianguka kwenye udongo humea upya, mashetani yote Amir alikuwa nayo yalitolewa na yesu kristo mwenyewe Amir alirundi upya Kama mtoto amezaliwa afresh Wewe unaye mhoji
@marysteven6054 жыл бұрын
Yaan jaman hao Shetan ameifanya mioyo yao I we migum,yaan pamoja na kumuona amekufa na kufufuka Bado wanamtuhum tu kuwa amenunuliwa na wakristo,,tuna Kaz ya kuwaombea hawa watu mioyo yao imejaa ushetan mtupu,
@mariamjuma41363 жыл бұрын
Muaze kujiombea nyeye na ushetani wenu kwaza. Ndio lje kutuombea siye nyeye mnaoza uko na ushetani. Alf mnataka mtuombee siye. Kweli nyani aone makalio yake.
@benjaminkimathi94893 жыл бұрын
@@mariamjuma4136 jesus is name which is more powerful than other name
@makameally19622 жыл бұрын
Hukuwa muislamu ww pumbavu
@esterjoseph6702 жыл бұрын
Usipomkili Yesu ya kuwa ni mwana wa Mungu,unaenda Motoni.
@AndrewKundya Жыл бұрын
Ila Mazinge mnaamini alikua Mkristo😂
@AllyRamadhani-wl3um Жыл бұрын
Hiyo inaeleweka mnatumwaga kuja kuokoteza vipengele vya uisilamu halafu mnarudi mlikotoka mnajidai mlikuaga waisilamu danganya hao hao