Alikua maskini ameufata utajiri wa duniani lakini kama alikuwa shekhe bas anafam fika kuwa akifa kwenye hali hiyo kwa Mungu hana chake anajua ila ameamua kuitafuta dunia na kuipotezea akhera ila roho ikimtoka atajua hajui
@Sarahsaid2648 Жыл бұрын
Nilikuwa muislam lakin nashukuru Mungu nimepata neema ya kuokolewa na kristo
@SamweliMwakalibela-xp5yk8 ай бұрын
❤
@salomeparmena17794 жыл бұрын
Mungu atukuzwe sanaa, Mungu akutete mtumishi kwa ushindi huo wakutambua njia iliyo sahihi ya maisha yako na kuwavuta wengi kwa Yesu.
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Amen
@getrayakoyi9185 Жыл бұрын
Mch mungu akupeleke mbali Kwa jina la yesu kristo aliye hai Ili uokoe wengi wewe na katekela amiel mungu awzingire Kwa damu yake ya dhamana❤❤❤❤
@marianguli7994 Жыл бұрын
Amen kubwa yenye pumzi ya Mungu Yesu ndiye kila kitu nabarikiwa sana na ushuhuda huu.
@olaislukumay22088 ай бұрын
Kwa Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kwamba Yesu ni Bwana
@carolmuchiri99214 жыл бұрын
Amina Amina Mchungaji, Bila Mwokozi Yesu Maishani Mwetu Hatutuboi, Yeye Peke Ndie Njia ya Uzima Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍👍👍❤️🇰🇪
@wilisonsamwal46524 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Carol muchri🇹🇿
@michaelkwandu66473 жыл бұрын
Hakika mungu anatupenda kuliko tujipendavyo sisi Asante mungu kwa upendo wako juu yangu
@JimmyStone-sb3wt7 ай бұрын
Mungu haiandikwi kwa herufi ndogo unakosea
@flourishing_wilderness6072 Жыл бұрын
Ni kweli usiopingika kuwa kuna uganga kwenye uislamu na ukatoliki. Hizi dini mbili lazima kabla hujahitimu ufundishwe jinsi ya kutemda kazi na spirits mbalimbali. YESU pekee ndie anaeokoa ukiwa hai na ukifa atakuokoa na mauti ya pili yaani lile ziwa la moto Amen
@ISMAILIDRISSA-q6p Жыл бұрын
Amina mtu mishi wa Mungu sema ukweli wote.
@richisaibulu15384 жыл бұрын
Kama unaangalia huku unasoma comments acha likes apo chini👍👍
@samwatv75334 жыл бұрын
Hareruya
@mwanahawahassan30373 жыл бұрын
Chezea yesu hapana chezea
@trophywilson72112 жыл бұрын
Kabisaa hasa nikiangalia ndugu zetu wanaoonaga Wivu wamekomenti nini??
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣waislam sasa
@davidmwatonoka19739 ай бұрын
Mungu akushidishie uishi maisha marefu ya kuwaokoa watu waingie kwenye ufalme wa Yesu Amina
@sebastianmwita91494 жыл бұрын
Mtumishi Amiri Mungu azidi kukuinua kwenye kila jambo ambalo, la kutangaza UFALME WA MUNGU
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Amen😭😭😭😭ushuhuda muzuri sana nimejifunza kitu mungu akubariki muchungaji Amir
@wycliffemuremy85694 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mr. Amir. Endelea kufundisha watu watoke kwenye kisa
@JimmyStone-sb3wt7 ай бұрын
Yesu ni Mungu Haleluya
@EmmyKanjanja-qi1vl Жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha kuhusu majini pokea maua yako 🎉
@janetnzai98664 жыл бұрын
Haleluya wacha Mungu aitwe Mungu maana hakuna kama yeye JESUS I love you sweet JESUS
@lilianngushi15313 жыл бұрын
Shetani ashindwe katika Jina la Yesu Kristo
@annemoureen6676 Жыл бұрын
Hakika ni neema kumjua Yesu nampenda sana 😘😘watu wote inatakiwa tumfuate kwa7bu yeye ndie njia pekee ya kutufkisha mbingun
@maryr40332 жыл бұрын
Unto the Lord Be A Glory Great things You have Done!
@beatricenjine87494 жыл бұрын
Watching from Germany....God bless u juctan msafiri for your good work.
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Amen, thanks for watching
@victorishengoma45994 жыл бұрын
Beatrice
@victorishengoma45994 жыл бұрын
Beatrice
@godwinsamwel39374 жыл бұрын
@@PromovertvTz Kaka njo utangaze injil
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Wapi
@JaiNdaluhijwe8 ай бұрын
Yesu Asante kwa ajili ya maisha shehe Amir tunategemea wengi katika. Nina la Yesu.
@issujar.j.francis32202 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu, ushauri wangu kwako: unaporudia Aya za kule ulikotoka za Quran sijaona kama ni vema sana. Tafsiri tu kwa lugha ya kiswahili.
@komboshuarimakame3943 Жыл бұрын
Ana soma hizo Aya iliakudanganye nauzidi kumuamini muislam wakweli sirahisi kutoka kwenye uislam
@geitandelwa29910 ай бұрын
Ameni ni kweli
@SamweliMwakalibela-xp5yk8 ай бұрын
Endelea kujidanganya mm nafanya uinjilisiti kanisani kwetu wanakuja Kwa sili waisilamu wengi kuombewa kwenu hakuna upanyaji apa kwetu Kuna dada amekufa na uisilamu wake majini yamemuuwa na alimuamini mungu wako ameshindwa ata kutoa majini na alichaguliwa kua muganga pamoja na kusali kuiamini dini kashakufa@@komboshuarimakame3943
@j1schannel8924 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi Amir, umefundisha vizuri. watu wajue kuwa mabaya yote duniani yanafanywa na majini. watu wengine wamechanganyikiwa kukitokea balaa unaskia wanasema ni Mungu inafaa waseme ni majini.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Majini acha kabisa wanaoyafuga Wamelaaniwa hakika
@annaamani4436 Жыл бұрын
Aminà Mt balikiwa mungu ni mwema kila wakati yeye ni yule Jana na leo na hata milele na itabaki hivyo
@theresiajohnmrimbo94464 жыл бұрын
Yesu ni mzuri nimeuona uzuri wake amenitendea hongera sana Mtumishi kwa kukimbilia kwa Yesu
@kemalswaleh95274 жыл бұрын
Mungu akubariki nakufatilia mtumishi wa mungu huwa wanigusa sana wanibariki sana mungu azidikukuinua zaidi nazaidi uzidi kueneza neno lamungu amin
@nooor11202 жыл бұрын
Shukran bro umesema vzr lkn mpk mwenye akili ndio utafaham haya wengi wao hawana maarifa so wanaangamia hivhv kwa kukosa maarifa
@biblianenolaukweli56164 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka yangu mungu atakulinda usiogope simama imara
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Amen
@florajacobkiduma64952 жыл бұрын
Yesu nakupenda mwaaa mwaaa
@wardakihongole68893 жыл бұрын
Ashukuliwe mungu wa mbinguni tufunguliwe wote aminaaa sanaaa
@rahmakutitu4875 Жыл бұрын
Analia dini ya mwenyezi Mungu inasema nini usiangalie mapungufu ya mtu binafsi shehe sio Mungu wala yeye hajaileta dini
@joycemuhoja47293 жыл бұрын
Mungu yu mwema kila wakati Amen
@EmmaroseJoseph2 ай бұрын
Hakika wema wako BWANA ni wa ajabu sana nami nasema sipangi kukuacha naomba NEEMA YAKO kila siku maishani mwangu niishi maisha ya ushindi nimalize salama safari yangu ya hapa duniani
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa mafundisho mazuri Sasa nimejifunza kuusu hayo makini Ni mapepo wabaya
@JustinaBoniphace7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@mozaadolphe65604 жыл бұрын
Mungu ana vyombo vyake kabisa barikiwa sana baba na Mungu wetu akukinge na majaribu yakila aina.
@marysteven6054 жыл бұрын
Hâta mdis-like Yesu ni Bwana!!!!
@janetnzai98664 жыл бұрын
Amen Amen
@sarahyvonne45804 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN KUBWA SANA YESU NI BWANA NA KIRI IVO,ATA WANIKATE SHINGO,NASEMA YESU NI MUNGU
@yakobomtewele91844 жыл бұрын
Huna jipya yesu ndio Kila kit
@sarahmwakagugu65564 жыл бұрын
Waambie
@carolinetalam58324 жыл бұрын
To God be the Glory 🙏 tuned 🇰🇪
@naomiabel99294 жыл бұрын
Amen yesu azidi kukufunika kwa damu yake yeye aliye mfalme wa giza aletaye nuru
@elijahsebastian91914 жыл бұрын
Unasemaje mfalme wa Giza? Mungu Ni Nuru Wala Giza lolote Halimo ndani yake.
@JaneKuyokwa-ng2qf2 ай бұрын
Amen Amen mungu nimwema sikuzote
@NeemaMrisho-y5o Жыл бұрын
Kwakweli Mungu wetu n mwema kupitia yesu tunajua mengi wokovu uko kwa wote jmn uwamuzi n wetu
@juliawangui7773 жыл бұрын
Mungu akubariki ustadh.tell him to connect with Rev Adam hajji Mohamed from Somali he's in tz still I think. He's a Kenyan still he's testimony is similar about majini he's a preacher I think they make good kolabo please .Jacktan msafiri you are true son of God 🙏❣️🔥 More grace to you.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Yule pesa imemuangusha hatufai tena
@LadislausOdilo Жыл бұрын
Ameeen mtumishi wa Mungu Mkuu aliye hai
@patriciachangawa1754 Жыл бұрын
Amen 🙏 mungu atawale maisha yako n kukige na mabaya
@nelsonsalumuclovis7534 жыл бұрын
Mungu awabariki ndugu katika christo
@stivinikilua51822 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumushi nimejifunza kitu kikubwa sana hakuna majini wazuri au wabaya wote niwschafu mbele za mungu jamani kimbilieni kwa yesu ndie yote ktk yote badiliken acheni ushabiki was kidini kilamtu atatoa hesabu sake mbele za mungu
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Yesu Kristo ni bwana. Asante sana mtumishi unayehubiri Musa huu. Jioni si Rafiki !!!
@shirahikram25874 жыл бұрын
Hakika wewe umepotea ssaana . Huo ukristo sio dinni hicho nikikundi cha wapigaji nahakika makafiri mnahila sssaaana lakini uislaamu haoto potea mungu anaulinda pamoja na malaika wake wakubwa nawenye nguvu . hayo uliyaona Ni trella jeshi la ALLAAH .nikubwa wewe Ni mpumbavu hunaakili . Waswahili wanasema samaki kafia mbele ya mtoto mdogo
@halimaabdulla7714 жыл бұрын
Amina.God bless.you dady
@lilianfelekeni77714 жыл бұрын
Yesu ni muweza kwenye maisha ya watu wake, ubarikiwe
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Kwa Damu ya Yesu,yashindwe!
@mdsavage20483 жыл бұрын
Kwajin la yesu washintwe majini yote amine
@mathayopapiasi88724 жыл бұрын
Nawengine wataletwa kwajina la yesu kristo.
@LoFi_1204 жыл бұрын
Amen
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ni kweli tunasikiliza tutachuja FPct hatubuluzwi ameshahakikishwa na viongozi,Wewe amini hivyo,na Jactani namuamini amemkagua vilivyo
@dianaobadia87624 жыл бұрын
Oooh aleluyaaa YESU ni Bwana acha wajeeee kwa sana
@frolacharles67884 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu Mungu Akubariki sana
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Mjue adui yako ujue namna ya kushinda. Amen
@kemalswaleh95274 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa mungu watching from kenya Cecilia niombee ninashida yakuolewa nakuwachwa
@hobokelajackson19473 жыл бұрын
Hata Mimi huwa sipendi watu wakisema ni mpango wa Mungu kila wakati mtu akifa. Yesu alisema I have come so that you can have abundant life.but thedevial come to kill steal and destroy.
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Yesu wetu ni mkubwa 🎉
@WinnieAmbrose-w9u Жыл бұрын
God saved you it is your turn to bring salvation to others
@carolynadhiambo25434 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@jefwakalama4336 Жыл бұрын
Glory to God 🙏 MUNGU yu mwema 🖐️🖐️
@sarahyvonne45804 жыл бұрын
Nafurahi sana kuona vile BWANA YESU KRISTO,anavo fanya kazi kuokoa watoto wazuri kama hawa,ata mm nimemkiri yesu kua yeye ndie BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YANGU,
@nooor11202 жыл бұрын
Unamkiri yesu aje? Unamkiri huku mtu anazini analewa anaiba ,mshirikina unafkiri yesu anataka uzinzi na walevi
@gaudencekondo37943 жыл бұрын
Asante Amir kutufumbua kwa yale tusiyo yajua. Ni kweli dunia imefika kikomo.
@sarahmuhia73114 жыл бұрын
To God be the Glory hallelujah 🙏
@sidhanimwashiuya87693 жыл бұрын
Yesu atupenda
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Huyu mchungaji Ana madini mengi Sana Ni wakumfualikua vizuri Mungu amtie nguvu kwa jina la Yesu Kristo
@amanimakombe71413 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa ushuhuda
@ChancyLuhasa4 жыл бұрын
Unaongea vizuri saaana mtumishi. Ubarikiwe
@leonardanzurunipombi24994 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi umenielewesha kitu yale majina tisini na tisa ya alah (ni mkuu) wa majini sio JEHOVA muumba,Eh YESU waokowe familia yangu
@zumratyunus93074 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rrajiun
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
Mtafute Yesu vatakushindia
@aminaally41634 жыл бұрын
Aamen shehe barikiwa Sana.
@yekoniatv54662 жыл бұрын
Amina saaaana mtumishi wa yesu kristo, mungu azidi kukutia nguvu na kukutumia kuwashuhudia watu wamjue yesu kristo
@NEEMASWEDI21 күн бұрын
Hooh!! Aleluyaaa, wakiristo wote, muwe hai kwa jina la YESU kiristo. nilikuwa muiisilamu lakini YESU kiristo ameniita kwenye ukiristo dini ya kweli sasa nimeokoka jamani kwa YESU kuna raha, ninamshukuru sana YESU kiristo maana nilikuwa mtu mfuu katika uisilamu.
@jesusismyking52924 жыл бұрын
Amina Bwana Yesu Asifiwe sana
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Amen Hallelujah kwa kweli Mungu wetu ni mwaminifu
@luvungitv59952 жыл бұрын
Amen watching from Canada 🇨🇦
@bettynyongesa67023 жыл бұрын
Ameen Yesu wangu ni Toshaaa
@dorahisinika75764 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@wasajo4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@lilianngushi15313 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa kutuelemisha kuhusu majini,nime pata ufahamu Sasa,Mungu akubariki
@phibianjepkorir96004 жыл бұрын
Amen, watching from Asia barikiwa Sana....
@elishatitus21114 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nimejifunza kitu
@Tianwang123 Жыл бұрын
Huu ni ushuhuda mzuri. Waislamu wanatumia sana majini. Inatisha!! Yesu ni mwokozi!
@lilianngushi15313 жыл бұрын
Ongea Mtumishi wa Mungu, ukweli utakuweka uhuru
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
siyo kila muislam ni shekh,pia muislam na muumini niwawili tofauti.Ukiwa mchawi huwezi jiita mwislam.Ulikuwa mnafiki.
@josephmutemi74944 жыл бұрын
Ameeeen barikiwa sana na Bwana mtumishi
@suitstv58894 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumish WA mung Amil
@fridahnjiru24254 жыл бұрын
May God of heaven protect you brethren.
@kimsamespa84904 жыл бұрын
Amen man of God
@margretokuku82202 жыл бұрын
God.protect.your.life.may.god.bless
@nelsonsalumuclovis7534 жыл бұрын
Akubariki yesu christo
@RTGC.R74 жыл бұрын
Amen Jesus is Lord
@neemanyagawa94794 жыл бұрын
Milele na Milele Sifa na zivume, JINA LA YESU NA LISIFIWE DAIMAAAA!
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Amen
@hawakiza60673 жыл бұрын
Umekula hasara mpanda Issa mpanda, mwenyezi Mungu akurudishe kwenye Uislam ufie kwenye Uislam, ukifia huko kwenye ukristo umekula hasara kubwa mimi nakujua sana umefata pesa huko
@saadkuziwa93233 жыл бұрын
HATA HICHO KIARABU NI MAGUMASHI,YAANI HUYU AMEKARIRISHWA,SASA HIYO WASIILATI SHAFFI INASOMWA HIVYO?.
@wardakihongole68893 жыл бұрын
Yesu oyeeeeee mungu akusaidie umepigwa upofu ww ushindwe katika jina la yesu kristo
@wardakihongole68893 жыл бұрын
Unamwonaje yesu kampendezesha unaona wivu unaona ana dhiki?
@valenakomba76863 жыл бұрын
AMEN,AMEN ASANTE YESU
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Wapo waislam wenye mapenzi mema. Wenye kukata majini. Point taken politely and adhered. Amen mtumishi.
@harmonitz99643 жыл бұрын
Yesu kristo akubariki Kwa kumpokea katika maisha ya wokovu.
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Huyo ni muongo hakuwa muislamu alipandikizwa zamani sana Allah atakuhukumu
@lydiahnabwire1289 ай бұрын
Allah wenu ni huyo jini sharifu mbona utaki ukweli tafta yesu usije ishia ziwa la moto tubu dhambi zako unyakuliwe siku za mwisho na Yesu
@rossemasanja49322 жыл бұрын
Amina mtumishi
@janemuthoni7234 жыл бұрын
Kila ulimi utakiri na kutamka kuwa Yesu ndiye njia ya kwenda mbinguni
@nooor11202 жыл бұрын
Endelea kujidangafanya Engekua hivo basi wale maaskofu wakubwawakubwa wasingesilimu Nyie kaeni tu wenzenu wazungu hawalali ulaya huko wanaitafuta haki na wanaingia uislam kila kukicha
@madamticha27163 жыл бұрын
Sisi wakristo tuna raha Sana.
@godfreydavid69967 ай бұрын
Sanaaa, YESU ni kila kitu.
@adamdeus60154 жыл бұрын
Waislamu ndio msikie hayo na mfunguke ktk jina la Yesu
@newbwejuu4302 Жыл бұрын
Ndio tunasikia ila ni kupaka matope uislam (sikuumba majini na watu ila waniabudu) si wabudu pamoja . Io ni lugha mbili tofauti.
@lydiahnabwire1289 ай бұрын
@@newbwejuu4302 Hata Mungu mwenyewe hajui Allah ni nani maana sio yeye,jiulize Allah ni nani au ni AL MAHDI ??
@queenesther26392 жыл бұрын
Nipo na speaker nawasikizisha waislam jirani zangu
@HappyJohn-kk1pr3 ай бұрын
😂😂😂
@yvettekyalika9074 жыл бұрын
.. Alléluia! Gloire à DIEU ! Aksanti sana Mutumishi Docta wa roho.. Ushuuda iyi inanidjenga sana...