Tx mungu akulaze mahara pema, mim ni kijana lakn wimbo huu unanipaga amani moyoni pale ninapo usikiliza.😢😢😢
@kissakamweusi35493 жыл бұрын
Katika nyimbo ninayoipenda daaahh hii cheusi mangala aiseee tx Moshi mungu amlaze mahali pema peponi....Amiin 2021 gonga like hapa twende sawa
@JumanneMaulidi6 ай бұрын
2024 mpoooo hizo ndongomaa asee daah❤❤
@JustinMwakalukila2 ай бұрын
Chelsie magalaa tupoooo
@ZainabuRichardАй бұрын
Hatari sana
@muhammadmpahi338Ай бұрын
Tupoooooo. Ujumbe safi kabisa
@paschaldamian45972 жыл бұрын
Hadi leo feb 22 nauckiliza haujachuja kweli ni baba ya muziki big up sanaaaaaaaaaaa
@selemanivanmkungu46374 жыл бұрын
Tena na tena.... Rip moshi William uliufanya mziki kuwa burudani.... Cheusi Magara ukipenda Asha Seifu
@josephatmakuka48602 жыл бұрын
Hakika pumzikeni kwa amani.Tx Moshi William, Suleimani Mbwembwe, Othman Momba,Joseph Mahina,Kamanda Ngurumo na Said Mabela
@ngonyani12 жыл бұрын
Dah....huu wimbo unanipa hisia kali sana kwa mama watoto wangu...cheusiii
@johnstoncharles99664 жыл бұрын
Mziki mliweza sana! Mungu awape furaha ya milele kama raha ya mziki mliotuachia milele
@machelepatrick71165 жыл бұрын
Mbele yetu nyuma yenu. Tunawakumbuka sana hawa watu waliokwishatutangulia mbele za haki. TX MOSHI WILLIAM, SULEIMAN MBWEMBWE, OTHUMAN MOMBA, JOSEPH MAHINA NA KAMANDA MZEE MWIDINI NGURUMO. Mwenyezi Mungu azilaze Roho zao Mahali Pema Peponi - AMINA.
@mwaimuj2 жыл бұрын
Muhidin Mwalimu Gurumo RIP
@Kabeya4104 ай бұрын
Kuna DEDE KAMCHAPE, NABAADAE MZEE MABERA YAANI HAPO ALIEBAKI NI HAO WAPIGA TRUMPET MNYUPE NA ROJAS MNGANDE. ILA WIMBO HUU SOLO KAPIGA PANGA MAWE RIDHIWAN TOTOO
@sylvestercameo62633 ай бұрын
@@Kabeya410Kabeya yup? Uko Songea?
@Kabeya4103 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 Hapana nipo Dar mimi mnyamwezi story ilikua rafiki yangu kuna wimbo wa kinyamwezi uliimbwa na KABEYA BADU bhanyamwezi zugi kwishinye sasa kutokana mimi kuwa mnyamwezi akanipachika jina Kabeya. 🤣 Kwa hiyo ni nick name. Toka mwaka 1982 mpaka sasa limenikaa nalitumia. We unamsema kabeya yupi wa songea.
@sylvestercameo62633 ай бұрын
@@Kabeya410 Nashukuru, Nina rafiki yangu Kabeya wa Songea tumepotezana siku nyingi. Ila umenikunbusha marehemu Kabeya Badu mwimbani wa OSS na wimbo wake "Ziyada" Ooh mama ooh Mimi namlia Ziyada! Huu wimbo aliuimba katika mashindano ya bendi ya OSS na Marquis tarehe 5/2/1983 pale Mnazi Mmoja. Onesho Hilo nilikuwepo, Marquis wimbo wao wa mashindano ulikuwa ni Angelou ukiimbwa .Mpinda Clayton. Kila la heri!
@balozimchomvu77796 жыл бұрын
Baba ya muziki. Hawa watu ni zaidi ya wanamuziki. RIP LEGENDS. Haitakaa itokee hii tena Tanzania.
@bettymwasa10796 жыл бұрын
balozi mchomvu kabisa
@mitodaud18206 жыл бұрын
Kbs
@gracejulius39662 жыл бұрын
Hakuna ajuaye ya mbele
@nyambinyambi47815 жыл бұрын
Nyimbo za kale ukizisikiliza hadi moyo unapenda na michezo yao had inakubaliki sana daaah,R.I.P Mungu awalaze mahal pema peponi Amen
@ntahimehansuli81123 жыл бұрын
Nakumbuka miaka ya tisini
@ScopionScopion-zj9cd8 ай бұрын
Niko hapa mikocheni dar nasikiliza mimi nimezijua hizi nyimbo za mosh tayali ashakufa ila bado nasikiliza hii nyimbo sio ya mzee nakataaa
@angelmacha58414 жыл бұрын
2020 kama yupo anaesikiliza huu wimbo kama mimi gonga like yako hapa twende pamoja
@tophanakomolwa51133 жыл бұрын
Kilio Cha mtu mzima
@edwardmsumar80773 жыл бұрын
Ni
@henrychaula1174 Жыл бұрын
Ni 1/8/2023 niko nawewe
@josephatlaban36027 ай бұрын
Kila jambo hupangwa na mungu na Kila wakati hupangwa na mola nakumbuka Mbali sana mwe
@adammwanjugilo78274 жыл бұрын
R.I.P.. wote njia nimoja ..Umetuachia ujumbe tunaendelea kuuenzi..
aisee msondo kweli baba la music hawezi tokea tena malegendali kama hao miaka buku
@husseinomary44665 жыл бұрын
Hua sijutii bando langu kuangalia kazi nzur iliyofanywa nahawa wazee😭😭 laleni salama tunalia kwakua waliobaki wanatusikilizisha nyegezi bila yasisi kupenda hatuna namna du😭😭😭
@selemanikisalo50604 жыл бұрын
Nkweli broh
@kikotikikoki25604 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu dah yani siku hizi tunasikilizishwa mitusi kinguvu yani loh!! ==
@issawade47794 жыл бұрын
Hii ngoma kila siku Kama imetoka Jana no kali sana
@bernardmegabe88124 жыл бұрын
Siku hizi nyimbo ni kihuni tu.
@bernardmegabe88124 жыл бұрын
Siku hizi nyimbo ni za kihuni tu.
@raphaelbendera9160 Жыл бұрын
Mziki huu ulikuwa wa kiwango zaidi, wanamsondo waliobaki wafuate nyayo za wenzao
@rittohmziwanda9311 Жыл бұрын
2023..leo nimemkumbuka sana baba angu.,huu wimbo niliujua na kuupenda kwasababu yake😢kila nikiusikiliza namkumbuka sana..Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani baba angu😭🙏🙏
@sandpardegera7246 Жыл бұрын
Pole mziwanda wote ni wa muumba na kwake tutarejea
@GodfreyMushi-eh6ly Жыл бұрын
Asha mwanasefu
@rittohmziwanda9311 Жыл бұрын
@@sandpardegera7246Aminaa🙏nashukuru sana
@nassaryjoseph86842 жыл бұрын
Nyimbo hizi zitadumu miak na miaka R.I.P MALENDARY waliotangulia😔😔🤙
@mwaimuj2 жыл бұрын
Ali Kileo Mwadunga, best guitarist
@danstanpanga84902 ай бұрын
Mungu aliwaleta TOT iwe zawadi katika muziki wa dansi na nyimbo zenye jumbe za heshima na mafunzo.
@chiefndatu189511 ай бұрын
2024 naenjoy na cheusi magala🎉❤
@jumbeomari30446 жыл бұрын
Tx hii ni nyimbo ya pili ana muimba mkewe asha mangara baada ya ile ya asha mwana seif.yy na mkewe wote ni marehemu.mungu awalaze peponi amina.
@DavidMandevu Жыл бұрын
..
@aliissa66326 жыл бұрын
Wakati huo bado kijana sana Allah awajaalie safari yao wao wametungulia ss tuko nyuma yao
@bornjuly70446 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awalaze mahala pema Ottu waliotangulia
@jmkwanzatv53636 жыл бұрын
Uyo cheusi magara ni asha s magara aliyekuwa mke wa Ally muhoja kishiwa maarufu tx moshi william.wote ni marehemu
@allystevenkazeye78194 жыл бұрын
Jumbe Omary sio asha mwana seif ndo alikua mkewe?
@shuwanaliloka38162 жыл бұрын
Allah awarehemu Amin Awasamehe woote wa humu. Amin.
@saheelameir43138 ай бұрын
Amiin Allah awasamehe makosa yao wao na sisi
@saheelameir43133 ай бұрын
Amiina Allah atusameh sisi na wao walotangulia atupe mwisho mwema
@unclesaleh32575 жыл бұрын
Asante sana home boy Ridhiwani Pangamawe mwana wa mshindo Iringa, kamwenee.
@Fatuma-l5y9 ай бұрын
Dhaa ama kweli mungu awapumzishe wazee wet mahala pem pepon nimekumbuka baba angu San alikua km rafik yangu akiskia bendi au msondo ngoma popote ananibeba tuanaend lakin kaniacha mwenyewe😢😢❤❤ mauw yenu🎉 watu wote wamsondo ngoma
@barutihasani84493 жыл бұрын
Huwa moyo wangu unasuuzika sana!
@FaridaYusuphu-f9xАй бұрын
Dah napenda sana hii miziki had naumwa❤
@balozimchomvu77796 жыл бұрын
Tx moshi William, hatari sana. Hatokei mwingine tena
@joelnassari1058 жыл бұрын
True Legend kila nikiwaskiliza msondo ngoma especially huu wimbo naona kama mpya kila siku. ..Old is Gold kizuri hakidumu
@JustineMsita4 ай бұрын
Namkumbuka sana Mzee TX_MOSH alikuw mtunz mzuri sana ,haijawai tokea ktk kizazi Chao na hata sasa
@joelnassari1058 жыл бұрын
daah R.I.P TX MOSHI r a Machine ...We Love u na Msondo wote waliotangulia mbele za haki
@joelnassari1057 жыл бұрын
msondo ngoma music band baba ya Music. ..haitakaa itokee band kama hii sku za karbun. ..R.I.P Tx Moshi William baba haika
@mosiwaziri16214 жыл бұрын
Rip wana mungu awaweke mahali. Pema peponi
@johnchatila66323 жыл бұрын
Baba maika siyo mahika
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
MC injerede nisamilie wote hahaaaaa ayo nimaneno ya mosh akinegesha ngoma yake
@unclesaleh32575 жыл бұрын
Hakuna Kama Msondo na haitakuja kutokea tena, na Kama hutaki basi, R.I.P, mabingwa wa muziki wa kihistolia Tanzania, Mwenyezi Mungu uwape kauri thabiti wote waliotangulia mbele ya haki Amina.
@mohamedmlaponi95097 жыл бұрын
Hii nyimbo inanigusa sana maana ninaishi na mama watoto zaidi ya miaka 20 na sifa zote zinazotajwa wife anazo!!!hawajaa walikuwa juu sana
@jumasula50036 жыл бұрын
Namkumbu Sana mushi nikienda pale amana kumsikiliza akiunguruma na alikuwa akija Sana barabara yamne Tanga Dar namkumbu Sana
@hafidhmabrouk93446 жыл бұрын
mohamed mlaponi video Safi Sana tangia enzi hizo harage nusu nazi 20
@hafidhmabrouk93446 жыл бұрын
ww sio nyimbo zaleo upuuz mtup
@judiechriss291 Жыл бұрын
💃💃💃Mangala eeh Mangala eeh usibadili mwendo huo
@EmmanuelWilliam-st8ct4 ай бұрын
Daaah mungu awalaze loho za malehem hawa jaman nikiangalia namwona tx moshi sulemani mbwebwe tulikuwa tunamwita masharubu huko baba Lao sasa mhidin ngulumo
@suraijamcamel584 жыл бұрын
Sana tuu umenitoa ukiwa kupenda wasio imani,,mpumzike kwa amani wazee wetu 🙏😭
@OmarOmar-s7t1s9 ай бұрын
Wazee wa ngwasuma wapo vizuri🤙😎
@norbertsongo90606 жыл бұрын
huu wimbo wengi wanauita cheusi mangala, lakini sio mangala ila ni MAGALA
@shebbyrnem70035 жыл бұрын
Norbert Songo kweli
@rensamson71262 жыл бұрын
Old is gold 2022 nausikiliza wimbo uko on fireeeeeeee
@ngonyani12 жыл бұрын
Tulipokuwa tunatengeneza hizi video....kilikosekana kitu kimoja tu....Costume .....Mavazi sare mazuriiii
@iddbakari76278 ай бұрын
Nyimbo yangu bora kabisaa hunipa hisia nyingi mno ,pmj na msisimko wakutosha
@abbassanga24645 жыл бұрын
Cheusi Mangala wimbo mzuri sana,kila siku unakuwa kama mya masikioni kwa watu, RIP TX Moshi William na wengine wote waliotangulia mbele za haki kutoka Msondo ngoma Baba ya Muziki
@Ernestmnwag4 ай бұрын
Mungu tupe wanamziki kama hawa yimbo zeye ujumbe
@mujibumsigit27415 жыл бұрын
Asee wenzetu wa zamani mmeona raha sio sasa eti nyege nyege
@KarimuShabaniNgoka Жыл бұрын
Hiyo Ngoma ya msondo ni zaidi ya raha
@abdonmgina11088 жыл бұрын
Hawa ndo vigogo WA kukata na Shoka, Tutawakumbuka katika muziki WA Dansi•
@johnmugeta35715 жыл бұрын
Hii ndiyo ulikua miziki ya ukweli
@jumakisangali49493 жыл бұрын
Nakumbuka mbali Sana mwaka 1987 Napa nda mpunga
@jeffballafundi97766 жыл бұрын
Namwangali Tx Moshi Hadi Mwili Unashikwa na Baridiii....alikua anaimba sana uyu mzee
@hashimharoun48437 жыл бұрын
kumbukumbu muhimi sana hii kwenye maisha ... binti maringo tbt
@godfreymagome97506 жыл бұрын
ngoma Kali sana laleni mahali pema pepon
@victorbugobola22762 жыл бұрын
Kweli chema akidumu ndo hivi sasa....Dah walikuwa wanajua sana RIP wendo mliumaliza
@mchelumohamed297628 күн бұрын
O yes hiyo ndio Ngoma yenye heshima
@ThomasBenny-wh5jh8 ай бұрын
Huundiomziki unatoa ujumbe unao fundisha jamii.mwenyeziMUNGU awatunze hukomliko. Kwani hamkuangalia maslahi yenu bali kufundisha na burudani kwawatu mbalikiwesana.
@bellybray80258 жыл бұрын
Mungu awalaze mahala pema. kazi zenu zibaki kio cha jamii
@henrychaula1174 Жыл бұрын
Asante sana Selemani Mwanyilo hilo bass lako bado linatupa raha hadi leo 1/8/2023
@agripinamgema36562 жыл бұрын
Mbona cheusi, jamani na cheupe.🤣🤣🤣. Asante kwa mziki mzuri. Na MWENYEZI MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA POPONI WOTE MLIOTANGULIA MBELE ZA HAKI
@herrymlawa22727 жыл бұрын
kazi yenu bado naithamini. M/Mungu awaweke mahala pema.
@allysaid18064 жыл бұрын
Amen
@anthonyfaru99085 жыл бұрын
Huyo mabela anavypiga solo kama karogwa Dah, ukiskiliza hizi nyimbo memory kichwani inaaingia virus ya nyegezi
@jumamarley79642 жыл бұрын
Solo ya Ridh one panga mawe
@egnokinunda45396 жыл бұрын
Cheusu mangala noma Sana aise, r i p Moshi
@happkipoya40435 жыл бұрын
Napenda kupita maelezo huu wimbo
@bakilabernardo86405 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo hizo
@shaabannyuge68575 жыл бұрын
Kipindi kile hawa Wazee wanapga mziki huu nilikuwa mdogo sijautambua huu mzki lakin kila nikiangali sasa nyimbo Zao Znanpa mafundsho sana R I P mosh, mahina, Mbwembwe. Momba .Ngurumo
@francisnyeriga Жыл бұрын
Hatari sn 2023 bado ngoma kali
@jemakhalifa68075 жыл бұрын
nyimbo hii naipenda sanaaa
@salehemikidadi68338 жыл бұрын
Pumzikeni kwa amani makamanda kazi zetu zitakumbukwa daima..!!
@nancynoely54196 жыл бұрын
Hiko vizr
@mitodaud18206 жыл бұрын
Salehe Mikidadi nazipendaga hizi paka Leo japo kijana bt zinanibariki vby mno kwene Old iz gold
@JanethMbogela-k7i6 ай бұрын
Daah nahisigi kushiba hta bila kula mimi
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
2023/6/12 bado natazama R I P. Mosh
@reginaluhombo49243 жыл бұрын
Mungu awaweke mahali pema huko mliko wote TX na wenzako mliotangulia
@kassimumape76054 жыл бұрын
Miaka mingi tulio ishi penzi letu alikupungua daima tulibembeleza kama mtoto na mama. Wp tx r i p
@MwajanjaPaul3 ай бұрын
msondo ngoma baba. ya muziki
@silverman6930 Жыл бұрын
2023… sio upuuzi wa sasa … old is gold 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🙏🙏🙏😢😢
@simonosmundsilinu326 жыл бұрын
2018 lakin bado huu wimbo ni 🔥
@mitodaud18206 жыл бұрын
Miaka km yote hazichuji
@GeraldMagome11 ай бұрын
Dunia mapito nimemisi wazazi wangu Kwa nyimbo hzi
@FestoYakobo-d3b4 ай бұрын
Lala salama baba ujumbe wako una fundisha
@allymarijani68692 жыл бұрын
daaaa hatari
@kucdakin80223 жыл бұрын
Mabela weeee🔥🔥🔥🔥
@akidaboma61647 жыл бұрын
Wenye mzk wao .
@KasibanteTonny-xo3dr10 ай бұрын
Cheusi magara asiubadili mwendo huo....
@bembe_boy4 жыл бұрын
Nani amekuja hapa baada ya joti comedy 🤩
@pendosammy59843 жыл бұрын
haha
@salimumpoma8393 Жыл бұрын
Apo kilakitu kinaeleweka safi sana
@willykibona1812 ай бұрын
Uzi huo unausikia!!
@macherathomas64746 жыл бұрын
Hapo ndipo kwetu vijana wa zaman wazee wa sasa,mngu awaweke pema pepon wazee wenzangu wa msondo,na tulio hai mngu atutie nguvu.
@amadisandaku31313 жыл бұрын
Hizi nyimbo hazitopote kabisa... Rip
@abdallahmkombozi56052 жыл бұрын
The true meaning of old is gold
@husseinnyanda39052 жыл бұрын
8uu p2x
@japhetleonard-z8f2 ай бұрын
Mnazierewa ee.
@zuberindete32907 жыл бұрын
Sikiliza ngoma hizo mziki haushi
@basilimchonde5240 Жыл бұрын
Miziki ys zamani ndio mizuri maana inafundisha
@J4Machupa4 ай бұрын
Nyimbozao zinaishi make Leo hiiila mm pia nawezakuimba kama muhidini ngurumo
@kenethkimaro7213 Жыл бұрын
Muziki kama muziki mamae
@mutokatalks...44387 жыл бұрын
sauti ya dhahabu Tx moshi William, kimwili hatupo nanyi hila kila roho tuko pamoja, na fikra njema zitatumu milele na milele