Amen! Kazi nzuri, ujumbe makini, tumaini linaloishi Leo na milele. Pokeeni baraka za Bwana...
@FrankDaud-p2n Жыл бұрын
i wonder how singing is, be greatfull🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
@BARAKABUBERWA-mh4zy Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana TUCASA SUA CHOIR
@gracemichael-w7k Жыл бұрын
Mungu awabariki mnooo SUA kwa uimbaji wenu uliotukuka kwa kweli Mm binafisi nabarikiwa na nyimbo zenu,...sasa bado nyimbo moja naipenda saana nayo naisubiri kwa hamu saana,..ntafurahi nikiisikia na hiyo,... kikubwa Mungu awabariki saana endeleeni kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji... maana mnagusa maisha ya watu
@chachatugara5034 Жыл бұрын
Ni wimbo Gani unaupenda na unausubiri kwa hamu rafiki
@remmykhan7244 Жыл бұрын
Finally 🔥🔥🔥🔥
@makongorofrancis9155 Жыл бұрын
Amen. Ujumbe unaoishi. Hakika tunaishi nyakati za kujaribiwa na kupimwa kwa imani yetu sana. Macho yetu tuendelee kuyakaza daima kwa mwokozi maana Yeye hakika hajawahi kutuacha hata hatua moja. Yawe magumu au mazito tudumu kwake. Yeye bado ni Mwema...😊😊❤❤
@mwitamarwa329Ай бұрын
Mbarikiwa wanakwaya wa Mang'ong'o SDA church choir kwa nyimbo zenu nzuri mithili ya sauti za kinanda. HAKIKA MKO VIZURI !
@ClementMduta-vm5wv Жыл бұрын
Mimi nimebarikiwa sana na wimbo wa niwe baraka hivyo ninaamini pia hata wimbo huu utaendelea kuwa mbaraka Bwana awabariki mnapoendelea kuimba kwa kufuata misingi ya Kiadventista Amina
@chachatugara5034 Жыл бұрын
Barikiwa zaidi rafiki
@tinamwilongo7739 Жыл бұрын
Nyimbo zenu zimekuwa faraja sana kwangu mbarikiwee🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@SuzanaMbaigwa-yw2gh Жыл бұрын
Mungu awabariki
@RACHELMUSSA-i1v5 ай бұрын
Napenda uimbaji wenu, melody ni yakiadventista. Don't change it's grorious
@eng_sambi Жыл бұрын
waiting eagerly
@justinekenyansa Жыл бұрын
Wow, very well done and translated, I am always blessed with your wonderful songs!
@derrickrein76577 ай бұрын
Woow a piece that has talked to me all through the day,,this is what songs should do touch souls and bring people's thoughts back to Christ. Sincerely may the Lord bless your ministry.
@naomimajura76407 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri na uimbaji mzuri wa kiadventista . Hakika ahadi za BWANAni tamu sana ni za hakika na kweli
@mercyahonobadha12288 ай бұрын
Wimbo huu ni wa kufariji mno!
@GIDEONMUTAI5 ай бұрын
One of my favourite songs. Simply the best and message loaded.
@doo33803 ай бұрын
I keep listening to this song again and again since it was uploaded. You should come to Kenya, Kisii county, Nyangena SDA to bless us. Blarikiwa sana
@tucasasua3 ай бұрын
Amen
@tucasasua3 ай бұрын
Just waiting for your call over there and we will show up.
@releiabby62014 ай бұрын
Watanzania wamebarikiwa sana kwa uimbaji ya kutuliza roho.. Baraka tele🇰🇪
@stephenw80744 ай бұрын
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe sana TUCASA SUA Choir.
@PastorPhilemon-ic7fi8 ай бұрын
Aaaameeeee mwendeee mbali🙏🙏🙏
@athanaskalihamwe3046 Жыл бұрын
Kawimbo kazuri with well balanced music. Barikiweni.
@omodesigner6 ай бұрын
❤❤Amen.
@carolyneshayo14452 ай бұрын
God is gracious may we never forget Him
@user-ipallangyo Жыл бұрын
Kazi nzuri sana na appreciate sana japo mimi ni associate natamani kurudi tena 😀
@chachatugara5034 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@rachelisack12348 ай бұрын
Daaaaaaa pamja sanaa
@philipojustine2541 Жыл бұрын
Wow, this is amazing 😍😍
@remmykhan7244 Жыл бұрын
Can't wait for this song 🔥🔥
@RestitutaFrancis Жыл бұрын
Be blessed always always TUCASA CHOIR SUA
@stevenwolter6849 Жыл бұрын
Naisubiri kwa hamu Sana.
@naomirobert8266 Жыл бұрын
❣️❣️❣️MUNGU awabariki sana
@JoramSon-ys6rt Жыл бұрын
Mungu na atukuzwe 🔥
@paulinekimollo62163 ай бұрын
Amen 🙏🙌
@faithmangesho20813 ай бұрын
Mungu azidi kuwatunza sana WATUMISHI WA MUNGU!!! ❤
@SalomonKavombano-kz1iv25 күн бұрын
Nyimbo hii inanivutiya
@marytoo96335 ай бұрын
Lovely choir..God bless you my favorite choir
@ambangile8 ай бұрын
Amina 🔥🔥
@NathanielMshana-ig2hc Жыл бұрын
Bila shaka huu ni wimbo wa zamani sana. Mbarikiwe mno watumishi wa Bwana.
@ESTERMWAIPOPO-ss3qv11 ай бұрын
Mungu awabariki sanaa SUA kwa kazi ya Mungu❤❤❤
@boazelias97279 ай бұрын
Hakika wimbo huu unastahili kuwa wenye kututia moyo kwenye changamoto zetu, mubarikiwe Sana!
@janemagoma7610 Жыл бұрын
Mungu wa baraka zote awape hizo na kuzidi binafsi nabarikiwa na huu wimbo makini Hope zile effort za niishi ya semester zinaendelea Bwana awatie nguvu muende mbali Hadi mbinguni mwisho
@francispitalis786 Жыл бұрын
Hallelujah Bwana 🤗🤗 Another blessing to count
@jombamakene7479 Жыл бұрын
Real a nice song
@maregesijameslazaro3179 Жыл бұрын
Nice Song Mr Christopher big up mwalimu
@ngutunyingutunyi4672 ай бұрын
Habari
@FredMjema11 ай бұрын
God bless sua Tucasa for your singing service
@owennelson79556 ай бұрын
Amen, mbarikiwe sana
@dainesstungaraza6309 Жыл бұрын
Mbarikiwe ❤
@AlfaksadNelson Жыл бұрын
Aminaaa..
@claudmagungu71037 ай бұрын
Mbarikiwe
@senbon86935 ай бұрын
Amen, nabarikiwa sana na huu wimbo!!!
@bl4ckbo7384 ай бұрын
🙌🙌
@rebecawanda83469 ай бұрын
Wimbo mzuri Hongereni sana Mungu azidi kuwabariki
@francisbernard7579 Жыл бұрын
Be blessed brethren 😊
@yoshuakimguni9345 Жыл бұрын
Amen❤
@eliahtugara182 Жыл бұрын
🔥
@barnababaraka2019 Жыл бұрын
Wimbo uko poa sana, Mungu awabariki kwa sauti tamu
@dlagat5 ай бұрын
Amina kwa uimbaji wa kimbingu
@DanielKulevisanza11 ай бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki kwa nyimbo hizo.
@mwaxcie Жыл бұрын
Barikiwa sana
@faustinechegeni145411 ай бұрын
Ameen, Mbarikiwe Watalaam wa juu kabisa!
@eng_sambi Жыл бұрын
Amen
@omodesigner6 ай бұрын
❤❤Amen.
@LeahAyubu-md5jg Жыл бұрын
🎉🎉 fantastic
@ngetatv347529 күн бұрын
Glorious
@KefrenJosiah11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huduma hii.
@georgejonathanbahati8822 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana TUCASA SUA
@digmed7142 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@PerusiChacha Жыл бұрын
Nice
@MAZEROGAN Жыл бұрын
Hi Tucasa
@mosessabena17 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@ThomasFrancis-hh7cm Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Said-s9c6 ай бұрын
🎉
@DavidCharlesManyerere Жыл бұрын
🙏
@glorybigambo1491 Жыл бұрын
Amen! Kazi nzuri, ujumbe makini, tumaini linaloishi Leo na milele. Pokeeni baraka za Bwana...