AHADI ya Maalim Seif Katika Mkutano wake wa Kwanza baada kufukuzwa CCM 1988

  Рет қаралды 23,585

Bin Seif

Bin Seif

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@harithmohd6318
@harithmohd6318 7 ай бұрын
Hakika alipenda Allah akupe pepo iliyo ya juu zaid nasisi atupe mwsh mwem tunakukumbuk san hapa mm ata sijazaliwa hata kweny tumbo la mama yangu siko hadi raha❤❤❤
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Ай бұрын
Hakuna mwanasiasa mwenye busara na hekma kubwa kama maalimu seif ❤
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 жыл бұрын
Maisha n mapito kweli hapo weng kati yao walishatangulia mbele za haki Allah awafanyie wepes waliotangulia na ss tulio nyuma yao tupate khatma njma
@zuleikhahemed6224
@zuleikhahemed6224 Жыл бұрын
Ameen
@ibrahimmbarouk1623
@ibrahimmbarouk1623 11 ай бұрын
Amiin
@TheChidonline
@TheChidonline 7 жыл бұрын
Ahsante for this documentary
@allyomary2839
@allyomary2839 7 жыл бұрын
kupendwa nimajaliwa ya Allah(sw).
@salehothman6144
@salehothman6144 9 ай бұрын
Most influential and charasmetic politician ,the world has ever seen !
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi 3 ай бұрын
Daaa maalimu nimuaminifu san ali kubalika san mungu akulipe san daaa kuna watu wanapendwa ila maalim kazid
@rashidseif6103
@rashidseif6103 7 жыл бұрын
Tunakupenda sana Maalim seif, ww ndie raisi wetu wa Zanzibar.
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 4 жыл бұрын
Hili jamaa linapendwa tangu huseni mwinyi hajazaliwa
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Kupendwa bwana we acha tu.uyu mtu kumbe alianza kupendwa zamani.
@salmamuhammed428
@salmamuhammed428 7 жыл бұрын
kupendwa majaaliwa,alla akisha kuchagua hakuna wakukuzuiya,utapendwa tu.lakini kumbuka alla hawapendi madhalim
@salmanassour9601
@salmanassour9601 7 жыл бұрын
tu nakupenda.daimaa.wewe.ndiyo.mkombozu.wetu
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
Naam
@Asilimedia
@Asilimedia 4 ай бұрын
Nani ambae anaangalia video hii 2024 ?
@salyali7807
@salyali7807 3 ай бұрын
Mie naitizama
@amenaamena7325
@amenaamena7325 7 жыл бұрын
dar wnatoka mbali sana ss wengne ata tulikuwa hatupo duniani
@hemednassor2362
@hemednassor2362 10 ай бұрын
Uyu jamaa alikua kiboko cha wapizzni hadi leo
@salmanassour9601
@salmanassour9601 7 жыл бұрын
hongera
@salimhamad-ms6qo
@salimhamad-ms6qo 8 ай бұрын
Watu walimpenda sanna hasa
@msabahaali758
@msabahaali758 11 ай бұрын
bado ata sijazaliwa mpaka nimekua nimemfahamu maalim hakika amesimamia ahadi yake mpka amefariki yy na Zanzibar
@allyomary2839
@allyomary2839 7 жыл бұрын
Presidenti of zanzibsr
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Hongera
@HassanKingi-r5z
@HassanKingi-r5z 15 күн бұрын
Hamkumbuki kua ndie aliewaulisha baba zenu na mama zenu
@cadabra7402
@cadabra7402 7 жыл бұрын
amaizing
@HassanKingi-r5z
@HassanKingi-r5z 15 күн бұрын
Yaan wa pemba mnanifurahisha xn mambo yenu😂😂😂
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 күн бұрын
Mtu kamili
@NoufelSalim
@NoufelSalim 7 ай бұрын
Dah wengi wao washafariki hapo
@Asilimedia
@Asilimedia 4 ай бұрын
2:17 3:00
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Hapa mm sijazaliwa
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut Ай бұрын
ANAPENDWA NA WAPEMBA TU
@HassanKingi-r5z
@HassanKingi-r5z 15 күн бұрын
Kule kaburin hamuend kulal tena sikuiz 😂😂
@HassanKingi-r5z
@HassanKingi-r5z 15 күн бұрын
Tatiz nyiny akili zenu zimeingia mafuta ya taaa😂😂😂 eti kabur lake linanukia harufu ya miskii😂😂3
@VillaBoy-fv2zw
@VillaBoy-fv2zw 13 күн бұрын
Sas kwan ajab nn au wew ndie mweny cr ya umung
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Yaani Apo tokea ni mdg mpk Leo yaani Ata mvi sjaota nahisi ni juzi tu
@nasliasuleiman6954
@nasliasuleiman6954 2 жыл бұрын
Apa nipo darasa latatu
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 Жыл бұрын
Duhhh bado miaka mi3 kuzaliwa na saaiv nna mamv kibao😄
@RashidAli-rn3ro
@RashidAli-rn3ro 7 ай бұрын
Nikoo na mwaka 1 ata cjui kitu. Allah ampe kauli thabit na amtilie nuru kaburi lake na akituhitaji Allah atuchukue akiwa ameturidhia. Aamin
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 Жыл бұрын
lkn hapa bado ni waziri kiongozi hajafukuzwa na pia ccm hajafukuzwa. kauli yake hiyo ilikuwa ni maoni na mtizamo wake kutokana na hali ya hewa ya kisiasa ilivyokuwa upande wake na wenzake na wazanzibari
@ibrahimmbarouk1623
@ibrahimmbarouk1623 11 ай бұрын
Hapa ilikuwa tayari kashafukuzwa
@RashidAli-rn3ro
@RashidAli-rn3ro 7 ай бұрын
Bdo lkn tyr ashapata tetesi za kufukuzwa
@alijuma7674
@alijuma7674 2 ай бұрын
Nilikuwa nina umri wa mwaka mmoja tu
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Siasa inatoka mbali
@HassanKingi-r5z
@HassanKingi-r5z 15 күн бұрын
Rais wenu uko kaburin au
Maalim Seif azungumzia utata wa siasa Zanzibar
4:18
BBC News Swahili
Рет қаралды 106 М.
Mwili wa Maalim Seif ulivyowasili Zanzibar
8:22
Azam TV
Рет қаралды 44 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
ZITTO KABWE AZUNGUMZA MANENO YA UCHUNGU MSIBA WA MAALIM SEIF
21:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 16 М.
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 50 М.
ZANZIBAR INASTAHIKI KULINDWA - UAMSHO MAKUNDUCHI
2:19:13
Bin Seif
Рет қаралды 188 М.
UTAWALA WA DK SALMIN AMOUR-MAKALA MAALUMU
22:46
ARUSHA ONE RADIO
Рет қаралды 62 М.
Amani Karume aweka hadharani kuhusu Maalim Seif
1:59:58
Weyani Tv
Рет қаралды 108 М.
HALIKUNIKI NA SEKEMBUKE - 1
56:18
Bin Seif
Рет қаралды 150 М.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Abd Binm
Рет қаралды 433 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2 МЛН