No video

RAIS SAMIA: WAPAMBE WA MAALIM SEIF WALICHUKIA, ALINIAMBIA HUPATI KITU.

  Рет қаралды 24,458

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Taasisi ya Maalim Seif leo November 5 2021 imeandaa Kongamano la kumuenzi aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif ambapo kwenye kongamano hilo Mgeni rasmi alikua ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambapo haya ndio aliyoyazungumza.

Пікірлер: 14
@alawiali3475
@alawiali3475 2 жыл бұрын
Ukisha kufa ndio yatasemwa mazuri yako,alipokuwa hai mbona hamku yasema hayo mulimuona adui yenu mkubwa.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Haisaidii kitu. Alipokuwa hai Maalim alipata msukosuko kila uchao na dhuluma kwenye haki zake na kuihujumu CUF yake !! Iko haja kutenda haki wakati wote na sio baada ya mtu kuiaga dunia ! Huo ni kujidanganya wenyewe !! Wenye kutunza historia wataielewa ! Kuna nukuu ya Mh. Tundu Lissu ... "hakuwa malaika ..."
@amourmattar773
@amourmattar773 2 жыл бұрын
Mashaallah
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
😂😂siasa oyeee
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Mungu awalinde san
@miltonjohn1402
@miltonjohn1402 2 жыл бұрын
Unadharau Sana mama.
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 2 жыл бұрын
*🇹🇿NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥*
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 2 жыл бұрын
Amakwel akiwa hai mnataka auwawe yaan
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 жыл бұрын
🙄
@swahilimovie4436
@swahilimovie4436 2 жыл бұрын
Unakampeni ya shea ushinde
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 жыл бұрын
Kila hotuba unasoma toa basi akilini tujue kwel ww kichwa
@ShebeShebe-us3ow
@ShebeShebe-us3ow 6 ай бұрын
Ukitak usitak mama kichwa tu...na kusoma hutoub alio inadaaa sio vibya.
KAMATI YA MARIDHIANO SIX MAALIM SEIF HOTUBA BWAWANI 2010 KUTANGAZWA UCHAGUZI
10:55
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 13 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 44 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA MAALIM BAKATHIR KUTOKA UKUTANI ZANZIBAR
9:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.