UTAWALA WA DK SALMIN AMOUR-MAKALA MAALUMU

  Рет қаралды 72,804

ARUSHA ONE RADIO

ARUSHA ONE RADIO

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Komandoo ulifana Sana enz hzo
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 ай бұрын
Maalim seif mwenyezimung akulaze pema peponi ❤❤❤
@AhmedAlly-wc7li
@AhmedAlly-wc7li 5 ай бұрын
Huyu jamaa kweli alikuwa anakiburi Cha firiauna
@IssaMohd-f7q
@IssaMohd-f7q 3 ай бұрын
Huo uji na asali alivo vizarau leo havioni kwa macho Allah atulipie juu yako ulionesha kiburi kizuri tu
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 ай бұрын
Alijiita komandooo Kumpiga mtu risasi tu kwake ilikuwa kitu kdgo sana. Alibaka haki za watu kwenye siasa. Allah amjaalie awe mwenye kurejea yy na sisi
@tariquexplore
@tariquexplore 3 ай бұрын
Uraisi sio asali lakini uongozi sio kula kwamba kila mmoja anaweza kuongoza! , seif sharif ni chaguo la wananchi
@bakarhamad4751
@bakarhamad4751 3 ай бұрын
Mungu muache aendelee kuitwa mungu kipofu mbwa ww
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 3 ай бұрын
Mungu amsamehe inshalla lakin dah watu wamekufa wengi tu
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Kama ndoo kweli maana avuja tu hapo Allaah atusaidie tusiwe na viburi
@DadialiDadi
@DadialiDadi 4 ай бұрын
Chezeaaaa ndevuu saiv anapapasa kikuta kwendaa chooni😅😅😅😅😅😅😅
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 3 ай бұрын
Maalim yupo wapi?
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 3 ай бұрын
Ulizalilisha raia saiv unazalilika na unanuka mavi saiv ukinya mpaka unawishwe huoni malipo hapa Hapa dunian jaman ukiwa kiongoz tumia nafas yako vzur malipo hapahapa dunian
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm Ай бұрын
Bora allah kuliko dolla
@DadialiDadi
@DadialiDadi 4 ай бұрын
Chezeaaaa ndevuuuuu😅😅😅 saiv anapapasaa kambaa kwendaa choose jaman jaman 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 3 ай бұрын
Nawakumbuka wengi kati hawa wanasiasa wa rika hizi washakufa wako akhera kwa mola wavuna walivyo vichuma katika matendo yao.
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii
@MustakimseifSalum
@MustakimseifSalum 3 ай бұрын
Uhakika
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n Ай бұрын
Wapo wenye muelekeo lakin
@hajifakisalum7909
@hajifakisalum7909 3 ай бұрын
TAFADHALINI VIONGOZI CHUNGENI NDIMIZEU MJIFUNZE KWA MAMA SAMIA HANA BAYA KWETU
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 3 ай бұрын
Allah atauliza siku ya kiama ainalmuluk yauma
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 ай бұрын
Vip kuhusu leo munataka kazi au munataka ikulu tuu kiasi ya kwamba damu imwagikee ndio mukae madarakanii
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 3 ай бұрын
Safi sana kiongoz
@fafakimchicha1337
@fafakimchicha1337 3 ай бұрын
YUKOWAPI KOMANDO UNAMCHEZEA MUNGU WEWE HAJUWI USIKU WALA MCHANA CHEZEA MUNGU NA MAISHA YA ZULMA
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj Ай бұрын
Kipofu na mke ashakukimbia
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 3 ай бұрын
Siasa zilikua nyingi lakini pesa zilizagaa na tulikula bata
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu 15:00 haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hata uyo maalim hakua msafi nae ana mapungufu mengi t
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Hakuna binadamu aliyemsafi moja kwa moja lkn athari utayoiacha siku zote itakuhukumu.
@suleimanmajani6187
@suleimanmajani6187 3 ай бұрын
Hakika. Allah. Nimuweza. Zaidi
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 3 ай бұрын
Vipi bado wachezee ndevu??? Wapiii buana ni wakati ulee lipo la kujifunza 😮
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 4 ай бұрын
Sawa kipofu
@mohamedIssa-ot8ph
@mohamedIssa-ot8ph 3 ай бұрын
Askari baada kustaafu
@AthumanMakwaya
@AthumanMakwaya 28 күн бұрын
Good
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 ай бұрын
Jitahidi ndugu yangu kuvuta toba.
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Urais mtamu Sasa anaonja utamu wake
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 8 ай бұрын
Saiviii ndiooo anaonjaa tamu tamu ya uraisii
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 3 ай бұрын
Sasa wapiiiiii
@ShaibumajidMajid-uz2nh
@ShaibumajidMajid-uz2nh 11 ай бұрын
Nakusahihisha ndugu muandishi Sheikh Idriss abdulwakil amefariki mwaka 2000
@AhmedSalum-s9m
@AhmedSalum-s9m 3 ай бұрын
Zulma haidumu naikidumu inaangamiza upon wapi sasa
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 2 жыл бұрын
Kwaiyo mpaka wauwanee🇹🇿🇹🇿😢😢😢😢😭😭😭
@sakinakhatibukombo3894
@sakinakhatibukombo3894 2 жыл бұрын
Hhh
@king3-q1s
@king3-q1s 3 ай бұрын
Sheikh Idrissa Abdulwakil hakufariki 1997 bali 2000
@AliHussen-w5b
@AliHussen-w5b 3 ай бұрын
Leo yupo wp ss
@SalumuJabu
@SalumuJabu 8 ай бұрын
Yaliopita sihaba
@prophetcorneliustv7855
@prophetcorneliustv7855 3 жыл бұрын
💪💪
@SwalafyAct-ks5gz
@SwalafyAct-ks5gz 4 ай бұрын
Aliengeza ubaguzi hy
@sakinakhatibukombo3894
@sakinakhatibukombo3894 2 жыл бұрын
Komandoo
@khalfanamour1022
@khalfanamour1022 4 ай бұрын
Allah nimuweza wako wapi sasa😅😅😅
@abdullahmpemba
@abdullahmpemba 3 ай бұрын
Na alikua mbaguzi
@jamaa2760
@jamaa2760 3 ай бұрын
Sauti ya KIONGOZI
@AshaKombo-z1x
@AshaKombo-z1x 3 ай бұрын
Msijidai.komandoo kafanya.maxuri tu na Amani kawacha ktk nchi katika.ugonjwa hata.wewe.unwezakuwa.kipofu
@khalfanamour1022
@khalfanamour1022 4 ай бұрын
Konandooooooo😅😅😅😅😅😅😅
@DadialiDadi
@DadialiDadi 4 ай бұрын
Baloz banaaa Yuko wap bi asha bi tele😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BakarAliy
@BakarAliy 4 ай бұрын
Uji.huu si uji bwana
@abdulkarimally8494
@abdulkarimally8494 3 ай бұрын
Watu wengi wanalaani viongozi waliopita, lkn bila ya kujua kuna nini nyuma ya pazia : mnasifia tu Maalim, Maalim mnajua aliokua akiyafanya - tafuteni hilo mtajua msione mambo tu, mfano mdogo tu angalieni sasa hv OMO akifanya mikutano yake haina mvuto, sababu watu sasa hawapendi chama, kipindi kile walikua wakipenda mtu binafsi na hilo lilikua sio bure katafuteni hayo mambo chini ya Capet:
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Kila mtu ana mambo yake mbona Sheikh Idrissa hajalaaniwa na mtu, Mungu amrehemu.
@alimohd3
@alimohd3 3 ай бұрын
Mungejua anayosema Sasa .........
@mkadammkadam
@mkadammkadam 3 ай бұрын
Kiongozi gani au aliyetoka wapi aliwafurahisha wote, tuache upuuzi wa kutoa maneno ya laana kwa wenzetu badala yake tuombeane dua ndio uislamu ndio ubinaadamu.
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 ай бұрын
Gaddafi aliuliwa Kwa dhulma lakin ukweli alitenda na yameonekana Usifananishe na uharo wa Zanzibar
@SaidHamad-s4j
@SaidHamad-s4j 4 ай бұрын
Laanatullah
@mohamedisimai
@mohamedisimai 4 ай бұрын
Iblis na firuni wanaohitaji laana ya mwana dam sio kila mtu unasema hilo neno
@SaidOthman-n5l
@SaidOthman-n5l 3 ай бұрын
Mshenzi huyu,leo kipofu
@MussaMussa-v4x
@MussaMussa-v4x 5 ай бұрын
Yuko wapi saivi Keisha khabari yake
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 4 ай бұрын
Amekua forgotten legend
@Babawamapaka
@Babawamapaka 3 ай бұрын
Wacha muda uamue juu ya kila jambo hapa duniani
@ShabaniScotto
@ShabaniScotto 3 ай бұрын
Commred Tumekumiis
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 жыл бұрын
Madhalim
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 8 ай бұрын
Zipo wapi bwebwe zako
@kagembemgalula2092
@kagembemgalula2092 3 ай бұрын
49.8 to 50.2
@khamisjuma2947
@khamisjuma2947 3 ай бұрын
Chuki zake ilikua ni kwa wapemba na kisiwa chao tu alichukua tenda hasa
@omarsaid7153
@omarsaid7153 3 ай бұрын
Kiko wapi 🤷‍♂️
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Жыл бұрын
Komandoo anauona saiv
@ShehaAli-pd9ox
@ShehaAli-pd9ox 3 ай бұрын
ACHA ujinga ww ndevu ,Dr salmin mtaendelea kumuheshim. Bado mtabakia kuchezee ndevu na sio Dola.
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Ataheshimiwa kama binadamu yo yote lkn watu wataongea tu. Hatusahau kule Dodoma alipopata wababe wenziwe akaufyata ati anawatambia watu wasitikise kibiriti. Kauli kitu kibaya kama mtu hajachunga ulimi wake, utakuja kumsuta.
@RajabkhamisRajab
@RajabkhamisRajab 3 ай бұрын
Yeye haoni maalim seif yuko wapi
@ThabitAbdulrahman-j7j
@ThabitAbdulrahman-j7j 3 ай бұрын
Amesitirika, hakupitia maumivu hayo. sasa ni mwaka wa 20, anapitia machungu, kakimbiwa na mpenzi wake, maradhi, na hata familia yake imetupwa nje ya serikali, Jusa alisema” tulidhani komando wa chuma kumbe komando wa udongo” miaka 30 iliyopita naikumbuka nyimbo hiyo. Ali Saleh alipata tabu sana wakati wale leo Mbunge, Juma Duni alipata tabu sana wakati wake leo ana heshima kubwa kwa CCM, ACT na CUF, hongera Amani Karume kwa kuamini katika umoja, hongera Rais Mwinyi kwa kuendeleza umoja, Zanzibar ya leo, ni mteremko, lakini mengi imepitia
@AllySully
@AllySully 3 ай бұрын
Daah kumbe utabakia milele ww pole sana
@kudramzee5769
@kudramzee5769 6 ай бұрын
Sasa yupo wapi mungu mkubwa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 ай бұрын
Kwani babu yako yupo wapi
@abdullahmpemba
@abdullahmpemba 3 ай бұрын
Alikua mjinga hakua fasaha
@youssouphsalum786
@youssouphsalum786 2 жыл бұрын
N wajing walishangilia san duh
@khalfanamour1022
@khalfanamour1022 4 ай бұрын
😅😅😅😅 mwisho wa maji ni tope wajifunze waliopo huu niukumbusho kamili
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Sadakta
@DadialiDadi
@DadialiDadi 4 ай бұрын
Komandoo jaman😅😅😅😅😅
@ramzsule7678
@ramzsule7678 3 ай бұрын
Keshatubia? Mkumbusheni Hilo?msisuburi mkasema tusameheyane
@salimnoma8479
@salimnoma8479 3 ай бұрын
Katubu wap
@jumakatanje955
@jumakatanje955 3 ай бұрын
Kama ametubu je aliyewadhulumu wamesamehewa???.kama hawajamsamehe adhabu ipo palepale
@Manhajisalafy42
@Manhajisalafy42 4 ай бұрын
We komandoo..
@BakarAliy
@BakarAliy 10 ай бұрын
Huuu si uji madaraka bwana
@khamisjuma2947
@khamisjuma2947 4 ай бұрын
Abaki tena miaka mia mbili
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 8 ай бұрын
Asha bakar ..........
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 6 ай бұрын
hayo ndio malipo yako na sisi tunakusubiri mbele ya mwenyezi mungu
@mohamedisimai
@mohamedisimai 4 ай бұрын
Na Seif nae tunamsubir si ndo aliwaambia mama xetu walale wa kapata uxuka am umesahau
@AshaKombo-z1x
@AshaKombo-z1x 3 ай бұрын
Dola.hamuipati.nyiye
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Kaonja
@KassimKassim-wv8db
@KassimKassim-wv8db 3 ай бұрын
Kenda mia tisa ndio nini?
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 3 ай бұрын
1900 ndio kenda mie tisa
@MrA24G
@MrA24G 3 ай бұрын
Kanigusa hapa kanipiga hapaaa ha ha ha ha ha ha ha
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 3 ай бұрын
Kwenda zako wewe bazazi wa viambaza wewe ni kama nani yako wapi majivuno yako na maneno yako ya kijinga
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 6 ай бұрын
wajinga walishangiria sana😂
@mohamedisimai
@mohamedisimai 4 ай бұрын
Hata maalim Seif nae angepata basi na ww usingekaa kimya
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu 15:00 haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@FakialiMakame
@FakialiMakame 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi msafi hapa duniani tusijidanganye isipokua mitume na manabii kwa hio tuwaombee dua tuu viongozi wetu haiwi ww uchunga wa nyumba yako unakushinda seuze wao nchi nzima, kuweni na kauli njema
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 ай бұрын
Uko sahihi ndugu yangu
@ThabitAbdulrahman-j7j
@ThabitAbdulrahman-j7j 3 ай бұрын
@@FakialiMakame anza ww kumuombea firauni nae pia alikuwa kiongozi
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 3 ай бұрын
Tatizo ulimi na kiburi si kitu kizuri tujifunze. Utapoondoka siku zote utasemwa kwa ulichokifanya, Mzee Mwinyi alikwishayasema hayo kwamba hadithi yako siku zote iwe nzuri. UBABE HAUFAI......
@شيخنيف
@شيخنيف 3 ай бұрын
​@@happynesbaemuhappynes8813😂😂😂
@شيخنيف
@شيخنيف 3 ай бұрын
Je na Firauni aombewe Dua maana na yy alikua kiongozi
TUJIKUMBUSHE HIKMA ZA AMANI KARUME DODOMA #2
15:25
Bin Seif
Рет қаралды 117 М.
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
TUJIKUMBUSHE HIKMA ZA AMANI KARUME DODOMA
29:25
Bin Seif
Рет қаралды 18 М.
MWANDISHI WA HABARI WA MZEE KARUME AILILIA ZANZIBAR
36:02
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 27 М.
Mfahamu Dk Salim na kisa cha Nyerere kuvishwa baibui
15:54
Daily News Digital
Рет қаралды 20 М.
Huyu ndio Sheikh Hassan Bin Ameir Baba wa Waislamu Tanzania
1:06:55