Nimepata uponyaji kupitia hii nyimbo. Mungu awabariki sana.. Msije mkaacha kumtumikia Mungu. Ninyi ni watumishi shambani mwa Bwana Yesu I love your gospel music.
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@benardchinua67462 жыл бұрын
Leo roho mtakatifu amenielekeza hapa. Naona utukufu wa Yesu. Ndugu Benard kutoka Magharibi mwa Kenya.
@festuschongoma46554 жыл бұрын
Hakika naona MUNGU akinisaidia ktk maisha yangu na familia yangu naona amani sana naona upendo sasa.Mungu awabariki sana
@jonathansenkondo80934 жыл бұрын
Wapendwa mmeutendea haki huu wimbo, umekuwa ukinifariji na kunitia nguvu ya kuendelea mbele. Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi.
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen
@tomsonjackson86204 жыл бұрын
Jaman nyimbo hii kama napaaa mbingun.du naona ushindi mm naona mafanikio.aminaaaaa mubarikiwe wapenda.oooooh
@georgegidion69774 жыл бұрын
Big up kila Wimbo naukubali Naona utukufu ktk Maisha yangu Jeshi la Bwana limesimama kunitetea
@torokaujemctv97554 жыл бұрын
Nikisikiza nyimbozenu huwa napata mhemko,hadi nywele husisimka duhh mungu awe nanyi katika hudumayenu
@geoffreywambua75149 ай бұрын
My best song...naitwa Jeff from Kenya.. vocals kwanza soloist God bless you...na hasa mtunzi wa wimbo..ako sawa..
@Mt.Andreakwaya9 ай бұрын
Asante Jeff Mungu akubariki sana.
@catherinemazengo77762 жыл бұрын
Hongereni nafurahi sana kuwaona kumtumikia mungu du Dada angu Scola Mkunda, na Hoya amen
@mgopirobert99213 жыл бұрын
Barikiwa
@jacobmaloda41754 жыл бұрын
Kwa uimbaji huu.mtu asipomgeukia Mungu basi jeuri.endeleeni kutumika talanta kwa kumwimbia mungu
@pieremchome52024 жыл бұрын
Tujitahidi wapendwa kuimba kwetu huku kuwe katika roho na kweli, ili siku ya mwisho tukuvalike macho pa Mungu
@nurukabia96313 жыл бұрын
Am in love with this voice.....be blessed....
@ainessteu2994 Жыл бұрын
Mpo vizuri mbarikiwe
@tomsonjackson86204 жыл бұрын
Jaman nikija dodoma lazima nife hapo niwaone.nahic moyo wangu umeshajifikia kwa Mungu baba.
@omegamwihambi24964 жыл бұрын
Naomba usife, utawaona tu hata ukiwa hai😁.
@tomsonjackson86204 жыл бұрын
Hahah sawa ndugu.but typing error.maana halisi ilikuwa nifike.
@nyemochalagwa734 жыл бұрын
Nawapenda bure mungu aendelee kuwatumia kwa viwango vya juu hakika ujumbe mzuri sana nausikiliza kika siku iitwapo leo
@fredymbasaga Жыл бұрын
Navutiwa sana na wimbo huu ndio wimbo huwa naumizwa moyo sana ninapotafakari wimbo huu
@omegamwihambi24964 жыл бұрын
Hongereni kwaya ya Andrea. Muendelee kutuwakilisha vizuri
@nkenemalulu13303 жыл бұрын
Wimbo mzuri saana. Niusikiapo nayaona maono,. Pia naiona Roho ya uponyaji katika nafsi Mungu awainue zaidi katika uimbaji.
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen
@mosesndahani2434 жыл бұрын
Bwana akubariki na uwainua kiwango cha juu, kuwa baraka kwa Kanisa Taifa na Mataifa.
@georgegidion69774 жыл бұрын
Eeee ee Mungu Wabariki Mt. Andrew choir wakutumikie zaidi ya hapo..Mungu awabariki saana
@joycembunda37834 жыл бұрын
Nayaona maono haya, yakwamba imekwisha ..
@rafaelfredy67023 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa na kupokea kila ninapofwatilia nyimbo zenu MUNGU awabariki sanaa
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe mwana wa Mungu. Mungu akupe hitaji lako.
@ainessteu2994 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@tamkohuru3 жыл бұрын
👏🙌👏 Tunawakubali sana waimbaji wa St. Andrew Choir, Mbarikiwe kwa huduma yenu ya Uimbaji, mmefanyika baraka kwa wengi.
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen. Tunashukuru kwa jumbe hizi zinatupa nguvu ya kumtumikia Mungu kwa nguvu zaidi.
@mussalameck49123 жыл бұрын
ISAY 49:26. - 54:17.
@ashelrichad155 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu katka huduma ya wimbaji wapendwa
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Amen 🙏
@MonicaHamaro Жыл бұрын
Mungu awabariki Sana wimbo huu naupenda sana
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Amen 🙏
@petermagosho509 ай бұрын
My song of all time!
@liliankitinusa96244 жыл бұрын
Mungu awainue kwa viwango vya just zaid...
@hellenaalliy65078 ай бұрын
Nawaelewa Sana MUNGU awabariki sana
@catherinemazengo77762 жыл бұрын
Naona maisha yangu yamebadilika
@gladychimbwi24074 жыл бұрын
Nawapenda na huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@neemamkumbukwa62934 жыл бұрын
Kutoka pande zote za dunia nayaona majeshi yako yameshuka kuniteteaaa
@fredrickmtangoo50714 жыл бұрын
Hongereni sana.Mungu awabariki sana.
@zilipajohn36334 жыл бұрын
Naona.MuNGu.anavonipigania
@jackyluns82244 жыл бұрын
Ninafuraha kubwa sanaaa ninawaangalia hapa UPENDO TV
@emmamhalu78543 жыл бұрын
Mungu awabariki sana ,, awatunze muendelee kutumika shambani mwake wimbo mzuri, sauti nzuri, ujumbe wenye mguso kila kitu ni kipo poa sana 🙏🙏
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen
@lukundolucas1992 жыл бұрын
Napenda sana huu wimbo
@Mt.Andreakwaya2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@fredymbasaga Жыл бұрын
Hongera mtunzi wa wimbo huu saluti kwako
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Asante mtumishi endelea kubarikiwa na nyimbo zetu na hivi karibuni tutatoa toleo letu jingine
@ruthmusyoki82784 жыл бұрын
I love this song cant stop listening it very blessing and touching . May God continue showering his blessing to you as you continue praising Him
@jemamadole14074 жыл бұрын
Love your ministry Msalato kwaya
@ainealessi92054 жыл бұрын
Aiseee nyie watumishi mnanibariki
@julianamganwa99174 жыл бұрын
Nawapenda mnoooooooo mbarikiwe, nitapatawapi hii CD nipo msalato
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Wasiliana na huyu mtu 0658348344 atakupa maelekezo yote au unaweza ukafika kanisani kwetu. Karibu sana
@princes60453 жыл бұрын
Stay blessed forever
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen
@princes60453 жыл бұрын
Nyimbo imetulia sana Mungu awabariki
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen
@shukurundigwamunguawabarik39093 жыл бұрын
Nawapenda sana
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@noelamnyamvumi5074 жыл бұрын
Nzuriii sana
@issacklias20364 жыл бұрын
Mungu awajaze nguvu sana nyimbo zenu zinabariki zinanifariji
@BigfarryG774 жыл бұрын
Njema Sana! Mbarikiwe 💥💥💥
@madelinazawadi1202 ай бұрын
Hakika adui zangu wanatetemeka kwa hofu
@sarahwegga34394 жыл бұрын
Nimetokea kuwapenda sana
@anatolimkonongo79924 жыл бұрын
Wapendwa kwaya ya Mt.Andreas Kwa nyimbo zenu mmenihubiria ,Mungu awajalie afya njema,na utume mwema.katekista Anatoli Manyoni
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Wagogo wayangu ❤ 🔥
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
🙏🙏
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Mbeka yosese.
@fridaernestmkedege9004 ай бұрын
Nitakuja kuwatembelea..nabarikiwa sana na nyimbo zenu