Ahmed Ally afunguka mashine tatu watakazotangaza leo

  Рет қаралды 47,023

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefungua ‘code’ za wachezaji watatu ambao watawatangaza leo.
Mmoja ni mashine mtoa roho ambaye ni kiungo mkabaji anayetokea katika nchi iliyopo kati ya Afrika Magharibi na Afrika Kaskazini.
Mwingine ni mashine katili ambaye ni kiungo mchezeshaji atakayetambulishwa saa 12:00 jioni na baadae usiku watatambulisha mwingine.
Ahmed amezungumza na mtangazaji Mahmoud Zubeir kwa njia ya #WhatsAppCall kupitia kipindi cha #SportsAM
#SimbaSC #SportsAM #AhmedAlly

Пікірлер: 93
@mwanaishamasoud
@mwanaishamasoud 3 ай бұрын
semaji mungu akuweke baba
@youngsir5809
@youngsir5809 3 ай бұрын
Hapo safi, namba 6 na 8 🔥
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 3 ай бұрын
Mashine za kazi
@RichardWema
@RichardWema 3 ай бұрын
Simba ya mwaka huu ni moto❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@fatumahassan8425
@fatumahassan8425 2 ай бұрын
Semaji dua muhm wachezaji muwazindke someni dua
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 3 ай бұрын
Thank you ya jobe lini
@asanterabimunuo5855
@asanterabimunuo5855 3 ай бұрын
😂😂😂 daaaah semaje una Tisha mkuu
@michaelnsingija
@michaelnsingija 3 ай бұрын
ahamed ally upo sahihi sana
@biwivuai1407
@biwivuai1407 3 ай бұрын
Op😊
@ZakariaSimon-gp1gr
@ZakariaSimon-gp1gr 3 ай бұрын
❤❤❤❤ semaji km nakuona Simba day
@mwalimulucas3522
@mwalimulucas3522 3 ай бұрын
Mashine ya kuongea
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 ай бұрын
Engineer Hersi anawaloga sana wachezaji wetu ni mshenzi sana anaamini ushirikina Ili mambo yake yaende
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
@@thehustlerafrica4368 mnajiroga wenyewe sasa unamuacha top scorer wa club yako anaekupa 10 + Kila msimu Kisha unaenda kumchukua Omar Omar kweli ? Unamleta manzoki 🤣 kwenye mkutano mkuu Kisha uwanjani wakamkuta sawadogo kweli mnarogwa nyie au mnajiroga ? Mna game na alhy Cairo mnaenda kuifadhili interview ya mayele mpo serious kweli nyiee ?? Wenzenu wanasajili nyie mmekazana drama tumemteka namba 6 airport 🤣🤣🤣, nyie ndo mnajiroga ... Unamuacha Baleke Unamleta jobe kweli kabisaaa??? Una muuza Inonga Unamleta lameck kwel 🤣, usajili wa akina Omar Omar ndo mnapata ujasiri wa kupayuka ??? 1. Dube 2.chama 3. Baleke 4. Boka Then unapata ujasiri wa kuropoka huogopiiii 🤣🤣🤣🤣
@Hassanmuhidin-77
@Hassanmuhidin-77 3 ай бұрын
semaji huna baya
@bestman8182
@bestman8182 3 ай бұрын
Kitu cha maana kingine mlikchofanya ni kutambulisha bench la ufundi mapema sio kocha anakuja wakati ligi imeanza anaishia kujaribisha wachezaj kwenye mechi za ushindani
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
@@bestman8182 kaka wambie kocha apewe muda wa kusuka timu kwanza .... Sio kafumuliwa 3 mnaanza kutukana 🤣🤣🤣
@victorcharles1732
@victorcharles1732 3 ай бұрын
Deborah Mavambo fernandez huyo
@alitante4279
@alitante4279 3 ай бұрын
Augustine okajepha huyo mi mashine vbya mnoo
@suleimankhamis2771
@suleimankhamis2771 3 ай бұрын
Simba kama simba semaji kama semaji 😂😂😂😂😂❤❤❤
@isackcharles6086
@isackcharles6086 3 ай бұрын
🦁
@billalicool9430
@billalicool9430 3 ай бұрын
Someni Dua Kuwalinda Wachezaji na Benchi la Ufundi mahasidi ni wengi
@simonmilinga2070
@simonmilinga2070 3 ай бұрын
Hio ya mwisho ni equitorial guinea nchi pekee inayoongea spanish
@MudiMajid
@MudiMajid 3 ай бұрын
Semani la kimataifa hongera unatupa laha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 3 ай бұрын
Balaaa
@JumaBakari-ld5rr
@JumaBakari-ld5rr 3 ай бұрын
Namuona fei saa moja
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
WACHEZAJI WAKIJA WANAUMIYA HAMUWAEKEI KINGA YA ALBADIRI HALAFU WANAROGWA NA AKINA MZEE MPILI SHAURI YENU
@officialdana5114
@officialdana5114 3 ай бұрын
Tafuta hela kulogwa unalogwa ww tyu
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
Sasa kama viongozi waliwaacha akina Phiri na baleke then unaleta akija jobe na Fred kweli ?? Kwaiyo manzoki mlimlinda kwenye mkutano mkuuu 😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
@@officialdana5114 UNATETEA SABABU BABAKO NDIO MCHAWI ANAEROGA WATU WASHIRIKINA NYIE MACHOGO FC ATAKUFA MWAKA HUU DADEKI ZENU
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
@@mwanangusana MWAKA HUU MTAKUFA KAMA DAGAA WACHAWI NYIE
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
@@salimmalaka256 uchawiii ni kumleta Manzoki Kisha kwenye usajili unamkuta Sawadogo 🤣😂
@RamadhanMohd-q8l
@RamadhanMohd-q8l 3 ай бұрын
Simba ❤❤❤
@lukiaanatory4598
@lukiaanatory4598 3 ай бұрын
Semaji langu la simbaaaaa
@tuntumzazi
@tuntumzazi 3 ай бұрын
😂😂😂😂 ila semaji
@SimonJoseph-h4e
@SimonJoseph-h4e 3 ай бұрын
Kama mtafunga usajili bila beki wa kushoto tutafungwa sana
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 3 ай бұрын
😂😂😂semaji bwana
@bestman8182
@bestman8182 3 ай бұрын
Kispanyola kinazungumzwa Equatorial Guinea .....Gine ya Ikweta tu hapa Africa. So, is the guy coming from EG?
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Equator Guinea wanaongea Kihispania ndiyo taifa pekee Africa kuongea lugha hiyo
@georgejulius3315
@georgejulius3315 3 ай бұрын
Nigeria
@Msangoboy
@Msangoboy 3 ай бұрын
Vyuma kwelikweli
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 3 ай бұрын
Usajili ndo ukute tumemaliza😢😢😢😢😢😢😢😢
@lukiaanatory4598
@lukiaanatory4598 3 ай бұрын
Semaji unabaya
@allyanyigulilemlaghilajumb5829
@allyanyigulilemlaghilajumb5829 3 ай бұрын
Namibia ni nchi pekee Afrika wanakozungumza Kijerumani. CODE hiyo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Namibia haiiongei kijerumani
@allyanyigulilemlaghilajumb5829
@allyanyigulilemlaghilajumb5829 3 ай бұрын
@@FahadAbubakari labda huijui Namibia. ngoja tusubiri
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
@@allyanyigulilemlaghilajumb5829 nmekaa Namibia Windhoek more than 3 yrs so sihitataji kuambiwa kweli walitawaliwa na wajerumani at some points na ushahidi upo , later walichukua makaburu , lugha zinazozungumzwa ni oshiwambo au ovambo iyo ndio ka kiswahili karibu weusi wengi huongea khoekhoe , Afrikaans na herero kwangali na of course English kwa mijini na walosoma Kuna shule zinafundisha kijerumani kama zilivoshule zinafundisha kifaransa tz na Kuna Jamii ya hao wazungu wakijerumani wako idadi kubwa kidogo ila si kwamba kijerumani ni lugha inayozungumzwa pale
@OnesmoMabena
@OnesmoMabena 3 ай бұрын
Mpanzu pls
@allyanyigulilemlaghilajumb5829
@allyanyigulilemlaghilajumb5829 3 ай бұрын
NAMIBIA
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 3 ай бұрын
Mmeshindwa Kutuletea Feisal??
@AshaAmiri-l2g
@AshaAmiri-l2g 3 ай бұрын
Jamani wana simba hv mbadala wa shomari katangazwa au tuendelee kumuamini dogo mwenda mana msimu uliopita kwa shomar walipita sana
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 3 ай бұрын
Hepa ndo tatizo linaanzia. Sijui hawaoni hili?
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Ninyi Azam mnazingua sana kuhusu mechi za Euro cup jana kwa nini hamkuonesha mechi ya France na Portugal. Mkaonesha Moja why acheni hizo
@HoseaPaul-w8o
@HoseaPaul-w8o 15 күн бұрын
Pw semaji la kafu
@jumamtatiro6358
@jumamtatiro6358 3 ай бұрын
Kireno hicho
@BoniphaceMbapula
@BoniphaceMbapula 3 ай бұрын
Hauna baya semaji tunakutegemea
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 3 ай бұрын
Equatorial Guinea ndio anatoka io Mashine ya pili sijui nani uyo
@NathanLukambinga
@NathanLukambinga 3 ай бұрын
Anachez namba gan?
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 3 ай бұрын
@@NathanLukambinga sijajua pia bado tusubiri
@mrgujarat8391
@mrgujarat8391 3 ай бұрын
Hizi ndo zile clip ambazo akizitizama anacheka mwenyewe
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Mechi za Euro cup onesheni zote acheni ubabaishaji
@Khalidniya380
@Khalidniya380 3 ай бұрын
EQUATORIAL GUINNEA
@flova7022
@flova7022 3 ай бұрын
Urenoo na angolaa
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 ай бұрын
Msumbiji pia wanatumia kireno
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Mechi za Euro cup onesheni zote
@mrgujarat8391
@mrgujarat8391 3 ай бұрын
Kiufupi zilaili yani
@AlexNgonyani-s1q
@AlexNgonyani-s1q 3 ай бұрын
Mashine ya tatu mpanzu tuuu
@HalidiKilale-i8i
@HalidiKilale-i8i 3 ай бұрын
Semaji huna Bayaa....
@ProsperSantos
@ProsperSantos 3 ай бұрын
Azam wasenge sana yani match ya Euro inaonesha 1 afu mnasema buludani Kwa wote nyie vipo nyie ichi kisimbuzi Cha kitoto sana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 ай бұрын
Kwel kabisa wanazingua sana
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Mimi wananiudhi basi tu
@LeonceFedhanane
@LeonceFedhanane 3 ай бұрын
Wambiye
@BADAWY575
@BADAWY575 3 ай бұрын
Huyu Ahmed Aly bonge moja lamuongeaji kuna comedy flan uki brand sio .ushatoka maisha haya ni babu kubwa anafurahisha sana .Simba kazeni mitakavyo kaza nyie muelekeo hamuna sababu ni moja tu uongozi wacha tuwape chance lakini msimu haumaliziki mutapigana kwa sababu simba wote wanafiki omba omba wa babujiiiii jikomboeni mujimiliki mazumbukuku nyie
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
NA WEWE NI NGURUWE MLA MIHOGO HAYA KUHUSU MACHOGO FC WASHONA MAGODORO NYIE KENGE WA KIJANI WEWE 😂😂😂😂
@BADAWY575
@BADAWY575 3 ай бұрын
@@salimmalaka256 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakufa ni wakufa tu
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 3 ай бұрын
Wesema mashine alafu utulete utumbo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 ай бұрын
KWANI YEYE NDIO ANAOWALETA??? YEYE NI MSEMAJI TU
@Mwanzaboy255
@Mwanzaboy255 3 ай бұрын
Mpamzu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@HassaniMakidanga
@HassaniMakidanga 3 ай бұрын
😂😂
@SaidySaidysalum
@SaidySaidysalum 3 ай бұрын
😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BeniYaredy
@BeniYaredy 3 ай бұрын
Uyo mnampa ujinga nyie mana meakajana hakuita watu majina wakina funga funga ukuta wa yeliko mbona Leo hamhoji tumekuzowea we chiz
@OnesmoJulius-fi1qg
@OnesmoJulius-fi1qg 3 ай бұрын
Bishana na radio sasa😂😂😂😂😂
@waltermfikwa4361
@waltermfikwa4361 3 ай бұрын
Chizi wew unataka kubishana na radio.... Na huyo hawahusu nyie hvyo mwache kama alivyo na afanye km anavyotaka coz anatuhusu sisi Wana SSC. Na sio UTOPOLO 😂😂😂
@SITTASIMON
@SITTASIMON 3 ай бұрын
Hii ni simba we dada sijui ni dada au kaka, utajua mwenyewe, peleka coment yako ya kibano cha kunya kwa utopolo
@DaxydizzyChristopher
@DaxydizzyChristopher 3 ай бұрын
Mashine ya kuongea
@SimonJoseph-h4e
@SimonJoseph-h4e 3 ай бұрын
Kama mtafunga usajili bila beki wa kushoto tutafungwa sana
@mwanangusana
@mwanangusana 3 ай бұрын
@@SimonJoseph-h4e mbona unaanza kuogopa mapema ndugu yanguuu
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Mechi za Euro cup onesheni zote
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 19 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 18 МЛН
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 347 М.